MUHASIBU ashikwa NA KIGUGUMIZI AKIJIBU MASWALI YA MAKONDA, AOMBA DAKIKA 10 ZA KUJIFIKIRIA..

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 27 май 2024
  • 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm
  • РазвлеченияРазвлечения

Комментарии • 184

  • @dionisiajohn519
    @dionisiajohn519 27 дней назад +5

    Kwakweli tunakiu kubwa na watu kama wewe. Ubarikiwe sana Makonda. ❤️❤️❤️

  • @isaackusupa9635
    @isaackusupa9635 28 дней назад +6

    Kweli kazi kweli huyu ndiyo muhasibu anashindwa kujieleza nfio muhasibu

  • @user-sg6ez3cf1f
    @user-sg6ez3cf1f 28 дней назад +13

    Huyu anaofia usalama wake kwa majibu sahihi

  • @jamalomaryhuyushekhhakunak9020
    @jamalomaryhuyushekhhakunak9020 28 дней назад +6

    halafu mnasema makonda hafai ona sasa kazi za kupeana ni Mbaya Sana

  • @malikkb6444
    @malikkb6444 28 дней назад +19

    Kazi za kupeana matatizo yake ndo haya.. Unprofessional head of finance department. She lucks leadership qualities.

    • @YusufSasamalo-uz4ii
      @YusufSasamalo-uz4ii 28 дней назад +2

      Very unprofessional

    • @cornelkapinga8926
      @cornelkapinga8926 28 дней назад +1

      Very sad for this country

    • @bakarithegeoinformatician7406
      @bakarithegeoinformatician7406 28 дней назад +2

      90% ya watumishi wa serikali ukuondoa wizara ya ardhi hawajui wanachokifanya ktk taaluma zao coz hakuna sehemu sahihi wana fanya hata wakiwa field! Wakienda field wanapewa kutembeza nafaili tu

    • @richardmshiu5118
      @richardmshiu5118 26 дней назад +1

      Exactly,, she knows the truth inside the finance department.she is afraid to talk and burn others.

    • @user-lz8zm3nv4i
      @user-lz8zm3nv4i 26 дней назад +1

      sure she is a head of finance department, and not only lucking leadership qualities but even financial regulations and prudence.

  • @user-pu1oe5ke4f
    @user-pu1oe5ke4f 28 дней назад +3

    Doctor samia suluhu Hassan una hitaji watu kma hawa mana hii nchi kuna watu wingi wanaofany ubazirifu wa pesa za umma ponge mama samiaa allah akupe umri mrefu na akulinde amin pongezi makond kz njea tuna hitaji mt kama ww zanzibar utunyoshee watu kma haoo pongezi ccm

  • @charlesmwambinga4355
    @charlesmwambinga4355 28 дней назад +9

    Haya Ndo Madhara ya Watu wanaenda kwenye interview ....Wanaitwa wengine ambao hawakuepo hata kwenye interviews za kazi..Kama alivyosema mbunge mmoja Juu ya Kazi za Tanesco.

  • @SaleheMkomwa
    @SaleheMkomwa 28 дней назад +12

    Angekus ANKO magu kazi Hana huyo dada

  • @SuleAmber-lw2tx
    @SuleAmber-lw2tx 28 дней назад +10

    Awaite wale LHRC na UWT waje wamjibie

    • @donaldmgunda4970
      @donaldmgunda4970 28 дней назад +1

      Aseee umenichekeshaaa Sana😂😂😂

    • @priscamrekoni3451
      @priscamrekoni3451 25 дней назад

      😅😅😅😅😅😅😅😅😅

    • @edisonemmanuel-
      @edisonemmanuel- 25 дней назад

      Mtu kama huyo umchukulie hatua afu eti unamdharirisha hatoi sauti sasa hawa ndi unawakuta ofisini wanaanza zao sasa

  • @samwelsanga5339
    @samwelsanga5339 28 дней назад +8

    Hakuna kitu hapo 😂😂😂

  • @YusufSwaibu
    @YusufSwaibu 28 дней назад +2

    Mheshimiwa ww unaupeo WA Hali ya juu sijawahi ona wala kusikia Mungu akujalie mengi Zaidi mazuri ktk kusimamia haki

  • @elishabwilukiro6746
    @elishabwilukiro6746 28 дней назад +7

    Hao Madam wa hivyo ukiwakuta ofisin kwao waga wanajiona kama ndio kila kitu, kumbe hamna kitu hapo.

  • @saimongilala8938
    @saimongilala8938 28 дней назад +5

    Makonda unaweza sana

  • @Petronkambi
    @Petronkambi 28 дней назад +2

    Huyu ndo makonda bna safi kabisa

  • @MiliamNeneka-us5ks
    @MiliamNeneka-us5ks 28 дней назад +7

    Kazi za kupeana zinaumbua San emu ona madudu haya... Jamn..... Utasikiaa nipe connection ndo hii kaz

    • @mwakimedia291
      @mwakimedia291 28 дней назад +1

      Kweli Kabisa 😂😂😂😂

  • @KishokaMrumakishoka
    @KishokaMrumakishoka 28 дней назад +7

    Yani mtumishi hata kujieleza nishida ameajiriwa nani huyu

  • @mussakimaro5588
    @mussakimaro5588 28 дней назад +8

    makonda hawa fukuza mbali yani kazi wanapeana kimapenzi nadhani hata kujibu hawezi kawekwa sijui na nani

    • @deogratiusyudatadei5658
      @deogratiusyudatadei5658 28 дней назад

      Huja kosea ndugu yangu huyu dada kawekwa tu kuongea tu shida akipewa neno utasikia anadhalilisha wanawake

  • @augustinoevarist6754
    @augustinoevarist6754 27 дней назад +1

    Ndio maana katika NGO jambo ambalo serikalini linafanyika kwa mwaka mzima kwenye NGO ni mwezi Mmoja, sio kwamba serikali haiko sawa shida ni kwamba kuna baadhi ya mambo wale waliaminiwa kwenye nafasi za kuzisaidia Taasisi za serikali ndio wanaoziangusha taasisi za serikali.
    Kuna ukweli mchungu ukisemwa kuna watu watasema tunawaonea wivu mliopata kazi😂, haya kazi njema wenzetu.
    Acha sisi tuendelee kutembeza Bahasha tukisubiri Wakati wa Mungu.

  • @dawhacker2216
    @dawhacker2216 27 дней назад +3

    Mwanamke ni kama mwanamke haki sawa😅😅 mmewaona sasa

  • @Mckiatu
    @Mckiatu 28 дней назад +7

    Huyo anayewaajiri hao watumishi huwa anazingatia vigezo gani jamani.

    • @melanialeonard4031
      @melanialeonard4031 28 дней назад +2

      Ni rushwa hakuna vigezo na kujuana wanajana wenywe na ukoo wao sasa wanaumbuka

    • @user-su7np6sn7s
      @user-su7np6sn7s 28 дней назад +2

      Muangalie macho yake yanavyo pepesapepesa macho yake kama mwanga vile aibu tupu yaani daaaaah!
      Makonda kimbiza huyooo dada Hana vigezo vya kufanya Kazi
      Aende akapike mama ntilie maaokoni

    • @tanzcanmediatv4473
      @tanzcanmediatv4473 25 дней назад

      Kuma

  • @mwantumkombo3014
    @mwantumkombo3014 25 дней назад

    😂😂😂yaani km mazuri vile!!, UBARIKIWE BB❤

  • @kasimnamesou4226
    @kasimnamesou4226 28 дней назад +5

    Wakinyooshwa utasikia uzalilishaji, ona sasa kiongozi gani anaongea namna hiyo

  • @JustineZepha
    @JustineZepha 25 дней назад

    Makonda oyeeeeeee kaz nzur sana professor

  • @godfreyerasto1208
    @godfreyerasto1208 28 дней назад +2

    Mhh hizi ajira za kujuana 🤣

  • @DocuWave
    @DocuWave 17 дней назад

    Kenya hapa ukijaribu kuuliza VIONGOZI unapotezwa, huku ni hatari sana

  • @lunangabenjamin3121
    @lunangabenjamin3121 28 дней назад +3

    Ivi kwanini huyu mwanamke kapewa kazi mbona kama mlevi hajuwi anachofanya hakana nguvu zakuongeya.yaani kala rushwa na ngono nyingi maoficini.sukuma ndani.

    • @elizabethmiho9574
      @elizabethmiho9574 28 дней назад

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 acha wapigwe spana

  • @mwasunga
    @mwasunga 28 дней назад +3

    Wee mohamed umeongea upuuz mwenye umeona mtu kujib anajikanyag kanyaga koasimamishe kikao au

  • @DaimaNyakunga-jb6do
    @DaimaNyakunga-jb6do 28 дней назад +4

    Ondoa huyo Sasa hivi

  • @user-od5si7ld6b
    @user-od5si7ld6b 24 дня назад +1

    Hiiiiii hapo kama hujajiandaa vzr lazima uchanganyikwe

  • @luganosimon7471
    @luganosimon7471 28 дней назад +1

    Sio muhasibu ni Mhasibu

  • @jaydon3361
    @jaydon3361 28 дней назад +5

    Mwanamke huyu alipataje kazi, mbona hata kujieleza hewez

    • @meryamabdullah2081
      @meryamabdullah2081 28 дней назад

      Kazi za kupeana ndo madhara haya

    • @kwzjkwz3532
      @kwzjkwz3532 28 дней назад

      Ngono ni nyingi kak

    • @justice607
      @justice607 28 дней назад

      Mheshimiwa mkuu wa mkoa, mheshimiwa mkuu wa mkoa, mheshimiwa mkuu wa mkoa 😢😢😢😢😢😴😴😴😴😴

  • @mkabesamaashao6805
    @mkabesamaashao6805 27 дней назад +1

    FREM ZA TENGERU TUNALIPA KODI LKN HAZIFANYI KAZI

  • @cidewashington670
    @cidewashington670 28 дней назад +2

    Arushaa ya Makonda weeeee 🤣🤣🤣🤣

  • @salehwaziri5062
    @salehwaziri5062 28 дней назад +5

    Angewaita Tamwa wamsaidiekujibu

  • @elishabwilukiro6746
    @elishabwilukiro6746 28 дней назад +1

    Tanzania ya 50 kwa 50

  • @mwajabukapemba5458
    @mwajabukapemba5458 28 дней назад +1

    Duh haibu naona mimi aisee hakuna kitu hapo

  • @stn4873
    @stn4873 28 дней назад +2

    Mhasibu mbona kama kanywa kitu😂😂😂😂

  • @FranciscoAmos-cx2zh
    @FranciscoAmos-cx2zh 28 дней назад +1

    😂😂😂😂😂😂😂 hatreeeee sana ! hizi spana za moto

  • @ShebbyTheparadiso-hf6fz
    @ShebbyTheparadiso-hf6fz 28 дней назад +3

    Huyu mwasibu hayuko sawa ana matatizo kama kalewa

  • @habibabarker1644
    @habibabarker1644 28 дней назад +1

    Kaazii ipo kazini

  • @user-pt4jf7lg3z
    @user-pt4jf7lg3z 28 дней назад +1

    Wanapena nafasi,hawana sifa
    Wenye sifa wanaachwa

  • @johbernard3628
    @johbernard3628 28 дней назад +4

    Anaonekana anadharau sana huyu dada

  • @robertzamani5612
    @robertzamani5612 28 дней назад +3

    Badae taasisi

  • @bsmonline8482
    @bsmonline8482 28 дней назад

    Wanawekwa tuu hao kwani hatujua sasa mtu hata kuongea akaeleweka tuu hawezi kapitaje.
    Mtaani kuna watu bright, Serikali haiwatumii ila wale wasiojua chochote ndio wanaowaweka wasimamie utendaji wa serikali yaani hii nchi Mungu mwenyewe anatushangaa

  • @kwzjkwz3532
    @kwzjkwz3532 28 дней назад +1

    Rushwa ya kvant ikitumika kupata kazi

  • @user-ev6bq9gf1f
    @user-ev6bq9gf1f 28 дней назад +1

    Uyu demu mbona kama mlevi

  • @edisonemmanuel-
    @edisonemmanuel- 25 дней назад

    Watumishi msipokuwa makini mtakoma tu tena naomba makonda wakupeleke kagera kwanza kule ni hatari zaidi ya Arusha karibu kwetu kagera tunakutamani sana

  • @wennybarny168
    @wennybarny168 25 дней назад

    Huyu hajadhalilihwa kama yule mwingine hadi akaambiwa unaongea kama unatafuta mchumba, mimi nimeoa na nina mke mzuri sana. Huyu wa leo hajapewa maneno makali.

  • @bsmonline8482
    @bsmonline8482 28 дней назад +2

    Kazi zinatangazwa interview huoni popote kuitwa unashangaa tuu watu wanakwambia alaah zile post mbona watu walishaanza kazi siku nyingi aisee kuna siku nilicheka na ndio nilipojua hii nchi ina wabisho 😂😂😂

  • @barikiringo6311
    @barikiringo6311 26 дней назад

    Wengine wameekwa bila vidhibisho vya interview kabla ya kaz... undugu na kujuana inaliua taifa!

  • @bensonmwakipexle8960
    @bensonmwakipexle8960 28 дней назад

    Muhasibu

  • @ShinjeMackenzie
    @ShinjeMackenzie 28 дней назад

    Daaa jamani huyu naye heti mhasibu hujuwi hata kujieleza shenz kabisa wakiambiwa wanajitokeza mbwa wezao heti uzalilishaji pumbavu zenu

  • @mnyongeiddi2454
    @mnyongeiddi2454 28 дней назад +2

    Hizi kazi za kupeana matatizo yake ndio haya MTU hata kujieleza hawezi

  • @user-hu9bf7nw4c
    @user-hu9bf7nw4c 28 дней назад

    Ndio ujue serikalin wanapeana tu uongoz kwa ajili ya kijinsia au kujuana ,huyu hafai ndio maana nmegundua serikalin kuna watu madudu tu yanatuongoza ,hapo ndio makonda unatibua tujue uozo unaoebdelea serikali. ,yaan kumbe ndio maana mambo serikalin mambo hayaendi duuuu!!!

  • @user-ge4ul5fq2k
    @user-ge4ul5fq2k 20 дней назад

    Kiukweli huyu kazi bd inampenda, maaana duuuuuuuuuuuuuh

  • @meryamabdullah2081
    @meryamabdullah2081 28 дней назад +1

    Na wanao sema Makonda anadhalilisha kwa mtu km huyu utasema anamdhalilisha mtu hana anachoelewa

    • @bsmonline8482
      @bsmonline8482 28 дней назад

      Na ndio Mhasibu hii nchi ina vitu vya kushangaza na ubinafsi sana niambie huyo kafuzu vipi kuwa Mhasibu hata kujieleza tuu hawezi

  • @ElishaOisso
    @ElishaOisso 25 дней назад

    Sio kila mtu anaweza kuongea mbele za watu,,kwa kujiamin

  • @user-sw7tf1ob1b
    @user-sw7tf1ob1b 27 дней назад

    Anza nahuyo acaunt zao zichunguzwe dawa ni katiba mahakama ya mafisadi wafilisiwe na wafungwe

  • @user-ru6ct4rh3t
    @user-ru6ct4rh3t 28 дней назад

    Jamani Aibu naiona mimi. Hivi huyu anafaa kweli kwenye nafasi hii. ? Mbona hanauelewa kabisa na hiyo kazi?

  • @rukiauwonde7062
    @rukiauwonde7062 28 дней назад

    Duh balaa hili

  • @user-qy4vk2qp9t
    @user-qy4vk2qp9t 25 дней назад

    Million mbili,na Million mia8😀😀😀

  • @josephminja7953
    @josephminja7953 24 дня назад

    Makonda akiwatimua mbaona hafai😮

  • @jahululamasunga
    @jahululamasunga 28 дней назад

    Watumishi wengine wanabebwa sana RC yupo sawa .Sasa kama umesoma vizuri unashindwa nini??

  • @AsiaNgoleka
    @AsiaNgoleka 28 дней назад

    UWT mnaona mnayoyafichia ktk vyama vyenu? Mnachotetea hapo ni yepi? Huyu mumweke ktk vikoba awe mhasibu au mumweke ktk chama chenu UWT awe mhasibu wenu.

  • @user-cw8zn2dn6m
    @user-cw8zn2dn6m 28 дней назад +1

    Hivi huyu dada, hata kusema jambo hawezi, amewekwa na nani? Kwa sura ni mzuri kweli lkn kujieleza hata hawezi. Hahahahahahahahahaaa

    • @KhmsNsr
      @KhmsNsr 28 дней назад +1

      NA MAKONDA AKIWAKAZIA UTASKIA ANADHALILISHA JINSIA YAANI HII NCHI INGEKUA NAWATU 10 TU WASERIKALI KAMA MAKONDA HATA WANANCHI FUNGELIPWA MISHAHARA MANA PESA INGEKUWEPO YAKUTOSHA NA KODI ZINGEPUNGUA ILA KODI INAONGEZEKA KWAKUA HATA IZO ZINAZOKUSANYWA HAZIFIKI MAHALI HUSIKA KWA WIZI

  • @mazikungusa
    @mazikungusa 24 дня назад

    huyo dada mbona Hana confidence ya kuongea nani kama cheo

  • @DelvinJohn
    @DelvinJohn 28 дней назад

    Mh Makonda naomba mm unipe KAZI nifanye KAZI na wewe mm naona watu wanachezea KAZI ....

  • @khadijatanzania8040
    @khadijatanzania8040 28 дней назад

    Ndio hawa wanapachikwa kwenye kazi na ndugu zao wale ambao wanajuwa nabwamesoma haswa wanapigwa na chini kisa tu hawana ndugu

  • @bsmonline8482
    @bsmonline8482 28 дней назад

    😂😂😂 Mwasibu huyo haloooh!

  • @edisonemmanuel-
    @edisonemmanuel- 25 дней назад

    Hao ndo wanawafukuza wananchi hao pindi wameenda ofsn kwao😢

  • @imanijuma1804
    @imanijuma1804 10 дней назад

    alafu ukimkuta ofcn sasa

  • @JafariHussein-vb6pd
    @JafariHussein-vb6pd 28 дней назад

    tatizo la kupeana kazi kwa connections

  • @kenedymwilikwa5408
    @kenedymwilikwa5408 25 дней назад

    Huyu dada hata kujieleza ni tatizo,kwani hiyo kaz kaipata je!!!!

  • @sabinahobe3478
    @sabinahobe3478 26 дней назад

    Mbona huyo dada kalegea hivyo!!! Jmn ni mhasibu wa wilaya au?

  • @paschalpaul3862
    @paschalpaul3862 24 дня назад

    Pesa zimewatokea puani ila mjini wanatamba

  • @FredMwamgogwa-td6ni
    @FredMwamgogwa-td6ni 28 дней назад +1

    Huyu nae ni kiongozi wa halmashauri 😂😂😂😂😂

  • @SmilingBulldogPuppy-nb9ur
    @SmilingBulldogPuppy-nb9ur 26 дней назад

    Huyu mhasibu mbona kama kimwani hamna kitu,au ni jizi nalo hili dada

  • @khadjamhozya
    @khadjamhozya 28 дней назад

    Tukienda kwao wanatudhazarau, kwako wanajing'atang'ata, mara wanarembuwa Mara wanaguguma kigugumizi ukisema una muke tena mzuri kuriko wao wanasema umewadharirisha🤣🤣🤣

  • @pastorgodwinchengula7848
    @pastorgodwinchengula7848 28 дней назад

    Hivi mbele ya pannel ya interview watu wanaongea hivi pia??

  • @zuberisalum2004
    @zuberisalum2004 23 дня назад

    Ngono nakazz duuuu hatar ndio tanzaniaa

  • @odejose556
    @odejose556 26 дней назад

    Mh. Mkoa 😅

  • @jtheophil5499
    @jtheophil5499 12 дней назад

    Uyu dada ni kiburi tu.Hajui anachokifanya .

  • @user-vl5pu4mm5z
    @user-vl5pu4mm5z 20 дней назад

    Muheshimiwa mkoa 😂😂😂😂

  • @rashidiamani8645
    @rashidiamani8645 28 дней назад

    Mkuu jipu iro

  • @jumabonge8577
    @jumabonge8577 28 дней назад

    kazi zao kuhonga na vijora tu pumbavu zao

  • @zubeiramlanzi2480
    @zubeiramlanzi2480 28 дней назад

    Noumer kinoumer yani

  • @boaziamos1224
    @boaziamos1224 18 дней назад

    Ahahahahaha😂 hao ndio wasomi bhana wenye nafasi zao Tanzania 😅😅😅

  • @PhilipoMwita-wc1ku
    @PhilipoMwita-wc1ku 28 дней назад

    Mtu kama huyu akiambiwa usinilembulie wanakimbia kusema makonda ananyanyasa wanawake

  • @BIGBOSS-hl3bu
    @BIGBOSS-hl3bu 28 дней назад

    Mh nani hapo amesemaje mungu??au mkuu wa mkoa

  • @pastorgodwinchengula7848
    @pastorgodwinchengula7848 28 дней назад +6

    Unaweza ukajichanganya ukasema mheshimiwa Mungu.....😂😂

  • @Ibrahim-ne3in
    @Ibrahim-ne3in 28 дней назад

    😂😂😂dada dada dadaaaaa

  • @adamhashim3352
    @adamhashim3352 28 дней назад +3

    Mheshimiwa mkoa 😀

  • @raymondlyamuya6900
    @raymondlyamuya6900 28 дней назад

    Dada ni kurembua tuu hamna anachojibu cha maana sijui hata kazi kapataje huyu khaaaa

  • @gabapentin8070
    @gabapentin8070 28 дней назад

    Fifte fifte ndo iyo sasa 😂😂😂

  • @user-sw7tf1ob1b
    @user-sw7tf1ob1b 27 дней назад

    Kiswa hili hajuwi alipataje kazi?

  • @anthonymtui5719
    @anthonymtui5719 28 дней назад

    Confidence mhasibu hakuna

  • @user-sw7tf1ob1b
    @user-sw7tf1ob1b 27 дней назад

    Hana uwezo hao ni watoto wa mabosi

  • @user-hu9bf7nw4c
    @user-hu9bf7nw4c 28 дней назад

    Alafu eti mnasema makonda anazalilisha ,sasa kazalilisha nn hapo wakati huyo dada ,mheshimiwa feki ndio kajizalilisha ,yaan nikiona anaesema eti makonda anazalilusha ujue nayy ni wale wale wasio jua wajibu wa uongozi na kaz ufisadi ,serikalin au mtaan

    • @juliethkitali597
      @juliethkitali597 6 дней назад

      serekali inaajiri kwa kujuana huyu dada hawezi hata kuongea sasa nini hii aibu tupu unacheza na hela za wananchi tupa kile

  • @Tetesizausajili152
    @Tetesizausajili152 28 дней назад

    Huyu muhasibu mzuri ana kasura ka upole

  • @chebadanford9837
    @chebadanford9837 6 дней назад

    Si ujifanye umezimia yaishetuu