I invite all of you to attend NYIMBO TAMU ALBUM LAUNCH. Date- 4th December,2022. Venue: Consolata Shrine Westlands; Time: 3-5PM, Dial *229*70# to buy a ticket. Ticket=1 album loaded flashdisk. Price= Kshs. 1,500/- To support launch: MPESA +254795457774.
LYRICS Chorus: Bwana amefufuka twimbe aleluiya, amefufuka kweli kweli aleluya*2. (Utukufu na Ukuu una yeye, hata milele milele aleluiya)*2. 1. Nimefufuka na bado ningali nawe, ni ngali pamoja nawe. 2. Umeniwekea mkono wako, maarifa hayo ni ya ajabu, aleluiya.
Anstacia na wenzio mmeuimba vizuri wimbo huo wa Bwana amefufuka wa Joseph Mkomagu kiasi cha kuvutia kuendelea kusikiliza. Mpiga kinanda uko bomba. Waimbaji sauti zenu ni stereo! Mungu akubarikinI.
Merci pour vos chansons. Ni nyimbo nzuri sana zina jenga moyo kabisa. Ila hakikisha Pia zina kupeleka kwa ulimwengu wa roho ili usiimbe tu kiisha kesho yesu akuambie , ondoka sikujui. Mungu akubariki uwokoe watu wengi kwa nyimbo hizi.
Tunausubiri kwahamu na ninajua itakuwa Bora sana sina shaka nayo mwenyezi Mungu awabariki mzidi kuinjilisha kwa kuimba hongereni sana kwa utume ulio tukuka tuko pamoja katika utume by.Fabian mashindike John kutoka kahama shay
combination ya watu wa nguvu. Annastancia na Kameja. One day i am going to visit Tz just to meet hiyo group ya Kameja, Ufunguo, Swai, the other guy simjui jina. great singers. endelea kutuwakilisha wakenya huko tz anna
Hakika nimependa sana art ya iliyofanyika katika huu wimbo na its my soul favoraout song, Zidi kubarikiwa mno Anna During ester huwa tukiuimba huu wimbo hadi mishipa huwa inasisimuka kabisa
@@anastaciamuema Uzidi kubarikiwa mno mpendwa, ,Natamani na napenda sana siku 1 tungali hai kufanya kazi na wewe kwa kadiri ya mapenzi yake Mwenyezi Mungu
Asanteee sana dada Anastasia Kwa ujumbe mzurii kutoka wimbo huu wa ufufuko wa bwana Yesu Kristu,Pongezi Kwa kazi nzuri na wote walioandaa mbarikiwe pia nakuombea uzidi kuwa imara nasi tupate burudani murua Asanteee.
*_"We are an Easter People and Alleluia is our song,"_* St John Paul 2. The holiest, most significant and consequential Feast in Christendom beckons. Thank you Anastacia and team for this sweet & melodiously glorious Easter song. What a befitting masterpiece to celebrate the greatest victory when Jesus Christ rose from the dead, conquering sin & death. Keep up the good work and let ALLELUIA rend the air 👍🙏👍
El señor ha resucitado Alleluya! Asante sana Annastacia for this lovely melody. Thank you for nourishing our lives with it. Kwa kweli amefufuka. Hongerani sana kwa kazi zuri sana.
Thank you for this unbelievably great performance. I can listen to your voice over and over again. It’s the best, Annastacia You're blessed to bless us, Thank you
I invite all of you to attend NYIMBO TAMU ALBUM LAUNCH. Date- 4th December,2022. Venue: Consolata Shrine Westlands; Time: 3-5PM, Dial *229*70# to buy a ticket. Ticket=1 album loaded flashdisk.
Price= Kshs. 1,500/-
To support launch: MPESA +254795457774.
Hongera sana Anna!
Autukuzwe Bw.Kaniki Mamba milele Amina😌🙌
Mungu hakukosea kumbariki huyu dada na sauti
The piano did the vocals justice 💯💯💯❤️❤️
Thankyou so much rafiki🙏💕💕
Kanikiii amewezaa🔥🔥🔥🔥🔥
Wimbo mtamuu👏👏
Asante sana Sister Mercy.🙏💕
Karibuni mtazame wimbo huu wa Sikukuu ya Pasaka😊. We wish you a happy Easter in advance.🥰🥰Please SUBSCRIBE, LIKE, COMMENT and SHARE WIDELY.🙏
Happy Easter too
@@elizabethmbalu6265 thanks dear🙏❤️
Great Great kenge my best organist
@@deucpatrick4850 🙏🙏🙏
Barikiwa sana dada angu
Dada yangu uwa unauburudisha sana moyo wangu
Nakupenda sana Dada angu nabarikiwa na nyimbo zako Mungu azidi kukuongoza zaid
LYRICS
Chorus: Bwana amefufuka twimbe aleluiya, amefufuka kweli kweli aleluya*2. (Utukufu na Ukuu una yeye, hata milele milele aleluiya)*2.
1. Nimefufuka na bado ningali nawe, ni ngali pamoja nawe.
2. Umeniwekea mkono wako, maarifa hayo ni ya ajabu, aleluiya.
Ann,my playlist is all about you..go,go,go gal.
@@loisemaluki7741 thanks dear❤️❤️
Congratulations Anastacia and the team. Such a wonderful song. Awesome voices 👏 👏
Thankyou so gal. 🙏💕💕
Endelea n kumtumikia Mungu nyimbo zako ziko sawa
Mungu awabariki sanaa 💘
Ohooo good song nabarikiwa sanaa Bwana YESU azidi kuwainua juu zaidi🙏
Amina🙏
Sawa Anastasia Asante sana kwa nyimbo zako safi na nzuri. Let's sometimes see the choir voices behind the scenes.
Mungu ni mwema kila wakati Yesu amefufuka kweli kweli Aleluyaaaa.
Amina🙏🙏
Hongera kipenz changu😍
Asante sana🙏💕
Wimbo murua,Sauti tamuu,mcheza kinanda ....
Uimbaji wa kiwango kingine...
Sifa na utukufu ni kwake Bwana wa Majeshi.
Amina🙏🙏
Hakika utukufu na ukuu una yeye hata milele milele haleluyah, the song of the day sichoki kusikiliza. You did the best team nzima.
Thankyou so much🙏🙏🙏
Aaaawwww🥰🥰🥰 what a lovely song eagerly waiting for the resurrection🙏🙏🙏
Amen🙏🙏🥰🥰
Anastacia wimbo wavutia sana .nimeurudia tena.zidi kubarikiwa Anastacia .
Asante sana Justus. Ubarikiwe sana pia
Anstacia na wenzio mmeuimba vizuri wimbo huo wa Bwana amefufuka wa Joseph Mkomagu kiasi cha kuvutia kuendelea kusikiliza. Mpiga kinanda uko bomba. Waimbaji sauti zenu ni stereo! Mungu akubarikinI.
Asante sana Zephrin. Tumshukuru Mungu kwa yote. Amina🙏🙏
Annastacia. My little daughter really loves you. Yan akiusikia huu wimbo anachanganyikiwa yan
Jamaniiii nafurahi kusikia hilo. Say hi to her for me. Maybe one day I will meet her❤
@@anastaciamuema we ar looking forward to meet you as family in Jesus Christ.
Hapo sasa. Well presented. Congratulations Anne
Thankyou so much🙏🙏
Wimbo ni mzur sana barikiwa
Wapendwa🙏🙏
Hongera Sana Anna umeimba vizuri sana. Mungu awabariki nyote.
Asante sana my dear sister.🙏💕💕💕
Nyimbo tamu👌... Baraka zikufuate milele na Milele.
Amina🙏
Merci pour vos chansons. Ni nyimbo nzuri sana zina jenga moyo kabisa. Ila hakikisha Pia zina kupeleka kwa ulimwengu wa roho ili usiimbe tu kiisha kesho yesu akuambie , ondoka sikujui. Mungu akubariki uwokoe watu wengi kwa nyimbo hizi.
Wow hongera kpnz stay blessed mmy uzid kumsifu Mungu kwa nyimbo zako tamu
Amina🙏🙏💕
wimbo mtamu huu❤❤❤ our kamba gal kudos
Asante sana Faith🙏🙏
Tunausubiri kwahamu na ninajua itakuwa Bora sana sina shaka nayo mwenyezi Mungu awabariki mzidi kuinjilisha kwa kuimba hongereni sana kwa utume ulio tukuka tuko pamoja katika utume by.Fabian mashindike John kutoka kahama shay
Asante sana Fabian. Mungu akubariki sana
combination ya watu wa nguvu. Annastancia na Kameja. One day i am going to visit Tz just to meet hiyo group ya Kameja, Ufunguo, Swai, the other guy simjui jina. great singers. endelea kutuwakilisha wakenya huko tz anna
Asante sana na Karibu Tanzania🇹🇿 ❤
Ngai,,, you,ve done it again. Congratulations...
Thankyou Rosina🙏🙏
I like Piano, it suits that song and sweet voices of singers Duh! so lovely.
Ahsanteni Sanaa Kwa kututafakarisha fumbo hili la ufufuko wa kristo kupitia wimbo huu wapendwa. Kaz nzuri barikiweni sanaaa
Asante sana!🙏🙏💕💕
Asante Miss Anna kwa wimbo mzuri wa Pasaka 🙏
Asante na Karibu sana😊😊
@@anastaciamuema thanks 🙏
This song melts my heart❤,love it Mmmmwa
Unajua sana dada.. sauti mashalaaah!!! 🥰🥰🥰🥰
Asante sana🙏🙏
Amen blessed Amefufuka kweli
Hakika nimependa sana art ya iliyofanyika katika huu wimbo na its my soul favoraout song, Zidi kubarikiwa mno Anna
During ester huwa tukiuimba huu wimbo hadi mishipa huwa inasisimuka kabisa
Hahahaha! Ni wimbo mtamu sana pia mimi naupenda sana.❤
@@anastaciamuema Uzidi kubarikiwa mno mpendwa, ,Natamani na napenda sana siku 1 tungali hai kufanya kazi na wewe kwa kadiri ya mapenzi yake Mwenyezi Mungu
Wimbo mzuri,waimbaji wazuri mpaka nakosa maneno mazuri yakusifia uzuri wa kazi nzuri mnayoifanya kwa uzuri..🔥🔥🔥
Asante sana🙏🙏
If Jesus comes today he would first listen to this melodious song. This couple extremely wonderful. Well prepared molodies
Congratulations, Hongera sana, Bravo . ALLEUIA ALLELUIA, ALLELUIA
Thankyou so much Salvatore.🙏
Hongera sana madam anne kwa wimbo mzuri ubarikiwe mungu akuzidishie
Amina🙏
Wah! i feel like Jesus has already resurrected....very beautiul song
Amen and Thanks🙏🙏
We serve a living God.Emmanuel God with us.We only celebrate his death and resurrection.
This is truly a masterpiece. From Easter last year I can't get enough of it. Thank you
Congratulations MUNGU akutangulie sanaa good song
The 2 are a powerhouse. Can't get enough of this song. BARAKA TELE.
Kazi safi dada💓💓💓❤️❤️❤️....mungu akubarikiiii🤭🙏🙏
Amina🙏🙏💕💕
Asanteee sana dada Anastasia Kwa ujumbe mzurii kutoka wimbo huu wa ufufuko wa bwana Yesu Kristu,Pongezi Kwa kazi nzuri na wote walioandaa mbarikiwe pia nakuombea uzidi kuwa imara nasi tupate burudani murua Asanteee.
Amina🙏. Asante sana kwa kutazama. Ubarikiwe mno.🤗
Amina, tunaungojea vyema ufufuko wake bwana, mungu awabariki sanaa🙏🙏🙏🙏♥️♥️🤍
Amina🙏🙏
Waaaa waaaaa congra Ani sauti Safi sana. I really like the way you sing.
Thankyou so much Florence🙏🙏💕
doing great in delivering Gods message with amazing songs 🙏
All glory and honor to God.🙏🙏🙏
Nyimbo Nzuri💯💯
Wah hii ilinipita aje😁 what a nice song na sauti nyororo za Ann na Kameja, 🌷congrats
Asante sana🙏
@@anastaciamuema Blessed Sunday sis😊
Wow! Great singing and piano work! Congrats.
Nyimbo nzuri Sana na pia ubunifu hodari kutoka kwa pianist,,Hongera Sana Dada angu Udumu kwenye utume wa uimbaji
Amina🙏🙏
Wawoo be blessed all of you
watching from washington DC, wimbo mzuri sana
Asante sana Dennis🙏🙏
Beautiful voices, wonderful song. Thanks
Thankyou so much Charity🙏
@@anastaciamuema welcome. More grace, go far.
Sis and Bro,. you have outdone yourselves.
Thankyou so much🙏
Sweet voices as always..thanks for blessing us again with a beautiful song... keep up the great work..more blessings
Amen and thank you so much for watching 🙏🙏
Wonderful song.God bless You.
Nice one Gods people you have worked on it the best congratulation
Thankyou so much🙏🙏
Whenever I see the name Anastacia Muema, I definately know that a great master piece is here.
Love you from Kenya 💖💖
Thankyou so much for watching🙏💕. Be blessed😊🤗
Anastacia Anastacia Anastacia nimekuita mala tatu Anastacia bint muema wewe Ni 🔥 🔥 unajuaaaaa congratulations kwa wote waliofanikisha
Shukran sana🙏
Ubarikiwe 🤗🤗
Congratulations. Utukufu na ukuu una yeye.
I am already anticipating my Easter festivities.
God bless!
AMEN🙏
And the channel is really growing 👏.May God keep Lighting your paths 🙏
Amen🙏🙏
Wow wow wow.... 👌 🔥🔥🔥🔥🔥
Thankyou🙏💕
fantastic, hongera Sana waimbaji na fundi Mamba....... kazi imenoga Sana aaa
Asante sana🙏🙏
*_"We are an Easter People and Alleluia is our song,"_* St John Paul 2.
The holiest, most significant and consequential Feast in Christendom beckons. Thank you Anastacia and team for this sweet & melodiously glorious Easter song. What a befitting masterpiece to celebrate the greatest victory when Jesus Christ rose from the dead, conquering sin & death. Keep up the good work and let ALLELUIA rend the air 👍🙏👍
AMEN and thankyou so much Fr. MJ🙏.
El señor ha resucitado Alleluya! Asante sana Annastacia for this lovely melody. Thank you for nourishing our lives with it. Kwa kweli amefufuka. Hongerani sana kwa kazi zuri sana.
@@patriciambithi4980 Thankyou so much Patricia🙏🙏
Kazi nzuri hongera sana!
Asante sana 🙏
Annastacia to the world ....Ann and your team ...doing great...
Aaaawwww🥰. Thankyou so much Christine and may God bless you.
Yo lit🔥🔥🥰🥰
Thankyou🙏
Wao congratulations my dear sister.
Thankyou so much🙏💕
Sending love ❤❤🧡 waiting for 1 song palm sunday themed
Thankyou. Okay🙏
Our gal doing it well...... 😍😍😍barikiwa sana... such a wonderful song
Thankyou so much Kanini❤️
Always nice n beautiful songs
Thankyou❤
Hongera Sana kipenzi
Barikiwa dada kwa wimbo mzuri hakika Bwana Amefufuka kweli
Amina🙏. Ubarikiwe sana pia
Thank you for this unbelievably great performance.
I can listen to your voice over and over again. It’s the best, Annastacia You're blessed to bless us, Thank you
Thankyou so much Moses for watching. God bless you!💕
@@anastaciamuema Amen, Thanks 🙏🙏🙏🙏
Mungu awabariki Sana katika utume huu wa uimbaji🙏
Amina🙏🙏🙏
Kazi safi ann and kameja ❤ 😍
Asante sana Kelvin🙏💕
Nyimbo nzuri Sana mbarikiwe katika utume wa mungu
Amina🙏🙏
❤❤❤❤❤🙏🙏🙏🙏🙏🙏🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥blessings
Here is another Easter, we are Easter children,
Happy Easter
Congratulations! Nice song
Thankyou so much🙏
Well done kwenu wote. Mziki umetulia sana👋👏👏👏
Asante sana 🙏
Congratulations Amen Amen Amen Amen Amen God bless you abanduntly
Amen🙏🙏. God bless you tooo
Wow my childhood best song ever. Thanks for bringing it back again. I'm blessed
Thankyou so much🙏🙏
Hongereni sana wapendwa! Very lit ,,and angelic voices!! Alleluia,, barikiweni sana!,,wa-kwitu,,wia museo
Asante sana Maundu🙏🥰
Be blessed the more Queen
Jaman mbona huu wimbo mtamu sana🥰🥰🥰🥰🥰
Asante sana 🙏🙏
A very sweet song🔥🔥❤️
Mliutendea haki👏👏👏👏
Asante Cele🙏🥰
CONGRATULATIONS Our own 💯MUSIC THE STRONGEST FORM OF MAGIC💞
Thankyou so much💕
@@anastaciamuema leta score tujipange
Great piece tunabarikiwa sana shout out to you Mr.Kameja💥💥💥👌
Thankyou🙏
You welcome continue blessing us with your songs❤️❤️👌
Sawasawa🙏🙏
Congratulations Anastacia and Lawrence. You are simply the best.When I am sick this song heals me.
The organist completed it all🔥🔥
Thankyou🙏
Yet another beautiful release God bless you 🌹🌹🌹
Amen🙏. God bless you too.
Waoh Ann keep blessing us always..
🙏🙏🙏
So nice mummy am so proud of you 💗 God 🙏 bless you and your team everytime
Thankyou🙏
Annie & the team, you people never disappoint! You did it superb. Hongera sana! Sana! Sana Annie and the team.
Asante sana Daktari wangu!🙏❤️❤️❤️💕💕
Hata wewe Dr. nakukubali sana kule SMN
Mungu atukuzwe na mwanadamu atakatifuzwe @Fransisca