Umenikumbusha 2014 dada cole Kuna siku nilokutana na mtoto akanililia hana chakula na nilikua na 1000 tu, na nipo mjini hyo ndo nauli ya kurudi nyumban, nilimpa yule mtoto ile hela nikasema nitatembea, nimeachana tu na yule mtoto nikamuona baba yangu mdogo sijamuona muda mrefu, baada tu ya salam akanipa elfu 10.
Yaan da colle Mungu akubariki sana.nami nimepata kipimo changu,nami Ni mwanafunzi wa uuguzi.nategemea kwenda interniship mwakani.ASANTE YESU KWA KUNIKUMBUSHA KUWA UMENIFANYA KUWA MUUGUZI ILI KUONYESHA UPENDO WAKO KWA WAHITAJI
Namshukuru Mungu kwa karama ulizonikirimia nami nitawabariki wenzangu kwa upendo kupitia karama hizo nilizojaaliwa kwa neema. Like serious we are here in the world to complete not to compete. Thanks Lord Jesus for this wonderful woman of God. @Colle Kryn be blessed sister.❤️
2024 baada ya kujiona upendo umepungua ndani yangu nimerudi kujikumbushia
Umenikumbusha 2014 dada cole
Kuna siku nilokutana na mtoto akanililia hana chakula na nilikua na 1000 tu, na nipo mjini hyo ndo nauli ya kurudi nyumban, nilimpa yule mtoto ile hela nikasema nitatembea, nimeachana tu na yule mtoto nikamuona baba yangu mdogo sijamuona muda mrefu, baada tu ya salam akanipa elfu 10.
wooow thats God
Mungu ni mwema sana, tuliishi neno lake na tutamuona Tu
Somo la 2019 lkn nabarikiwa sna na somo hili Leo 2021 Mtumishi ubarikiwe snaaa
Nimerudi kutafuta tena maarifa hapa 2024 baada ya kuona nahitaji kujua zaidi kuhusu Upendo barikiwa saana watumishi wa Mungu kwa kutuimarisha❤❤🙏
JESUS IS SOOO SWEET.. I GLORIFY HIS NAME❤❤
Yaan da colle Mungu akubariki sana.nami nimepata kipimo changu,nami Ni mwanafunzi wa uuguzi.nategemea kwenda interniship mwakani.ASANTE YESU KWA KUNIKUMBUSHA KUWA UMENIFANYA KUWA MUUGUZI ILI KUONYESHA UPENDO WAKO KWA WAHITAJI
May God bless my lovely sister in Faith Da Colle. Thanks Lord for this wonder women
Ansate Mungu kwakua neno lako lina nguvu haijalishi ni La muda gani. Mungu nisaidie niliishi neno hili.
Mbarikiwe Watumishi kwa kufundisha hili somo, binafsi naweza sema ni somo la kuchota baraka na nimeziona baraka zake.
Namshukuru Mungu kwa karama ulizonikirimia nami nitawabariki wenzangu kwa upendo kupitia karama hizo nilizojaaliwa kwa neema. Like serious we are here in the world to complete not to compete. Thanks Lord Jesus for this wonderful woman of God. @Colle Kryn be blessed sister.❤️
Mungu akubarik Zaid dada.
Mungu ni PENDO, haikwepeki hii ni lazima tuwe na UPENDO ndipo tutamwona Mungu. Mungu atusaidie sana tuweze kupendana!!!
Less of me and more of others 'UPENDO'.God bless you siz 🙏
God help us all
Anayepokea na anayetoa both need to hear the voice of the holy spirit
Upendo husitiri wingi wa Dhambi
Barikiwe sana mtu wa MUNGU
Nipe pendo lako Baba nami nilitoe kwa wengine!
AMEN SANTE KWA SOMO ZURI UPENDO NI KILA KITU KATIKA MAISHA YETU
Daah MUNGU Akubariki sana Mtumishi
Kwel mtumish umejua kunibadlsha,,,barikiwa Da Colle
Somo la mwaka 2019 lakini bado linasema vizuri na mioyo yetu,sifa na Utukafu kwa Bwana
Ubarkiwe
Yesu akubariki Sana dada colle
Mungu akubariki
Kwenye mchepuko hpo kumkumbatia Da Colle kaaaah!!!😀
Ila the way the world is corrupt siku hizi hata ukimsaidia mtu anaweza ogopa pokea msaada kisa ya msemo " there is no free lunch"
Somo la 2019 lkn nabarikiwa sna na somo hili Leo 2021 Mtumishi ubarikiwe snaaa