UVUMILIVU/PERSEVERENCE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 дек 2024
  • You can follow our pages on Instagram "anointed_room" and Facebook "Anointed Room". Lets win Differently

Комментарии • 67

  • @mercyaketch1110
    @mercyaketch1110 5 лет назад +3

    asante sana mtumishi God bless you adundantly..umeugusa sana moyo wangu kwa uhakika nmekosa sana uvumilivu kwa maisha yangu....i do thank God for using you as vessel ubarikiwe sana...nasikia nmefunguka moyoni mwangu

  • @JoyceMbangwa
    @JoyceMbangwa 4 месяца назад

    Kweli nilikuwa sina uvumilivu Mungu anisamehe,, asante kwa somo zuri nimepona na nimevuka kwenye hilo eneo

  • @jacquilinemashaka2878
    @jacquilinemashaka2878 6 лет назад +8

    Somo ni zuri sana, tunapaswa kuwa wavumilivu na sio kumlalamikia MUNGU, ninaomba Mungu azidi kukupa maono zaidi kwa ajili ya watu wake! Be blessed da colle

  • @godsgrace4682
    @godsgrace4682 Год назад +1

    Amen amen 🙏🙏 May you live Long my dear sister,I chose you to be my spiritual mum

  • @agnesmahenge7046
    @agnesmahenge7046 5 лет назад +2

    Somo zuri dah kweli sikuwa mvumilivu,Mungu anisamehe nilikuwa nakata tamaa jaman,nimepokea leo asante baba

  • @silyaabel4157
    @silyaabel4157 5 лет назад +2

    Ubarikiwe sana dada angu...hakika Mungu yu ndani yako ....kuna mahali umenivusha ,ubarikiwe sana

  • @joycetematema1324
    @joycetematema1324 3 года назад +2

    Mungu namie nisikie Baba yangu

  • @victoriambezi6210
    @victoriambezi6210 6 лет назад +7

    I'm blessed kwakweli,nilikuwa ni mtu wa kumlaum Mungu but kupitia hili somo naamua kubadilika barikiwa Mtumishi wa Mungu Colle Mungu azidi kukupa mafunuo zaidi.

  • @liberatameshack3730
    @liberatameshack3730 6 лет назад +3

    Asante kwa hili somo la uvumilivu nmepona sijawahi kubahatika kuhudhuria nikutakie yako ila nabarikiwa na mafundisho yako kupitia mtandao,siku nikisikia unakuja karagwe najua unakuja kwaajili yangu tu

  • @neemamwaimu8658
    @neemamwaimu8658 5 лет назад +2

    Yaani nmebarikiwa sana nilikuja kujifunza somo la sadaka lkn nmejikuta nasikiliza uvumilivu

  • @tumainikamwela2160
    @tumainikamwela2160 5 лет назад +4

    Barikiwa sana dada Colle kwa mafundisho mazuri yamenitoa mahali, Mungu aendelee kukutumia kwa viwango vya juu zaidi

  • @adelamwaitula7957
    @adelamwaitula7957 6 лет назад +1

    Umefungua moyo wangu,ubarikiwe,pia tuvae mavaz yakumbariki Mungu kama anavyo pendeza Mtumish Co

  • @evamaro6177
    @evamaro6177 5 лет назад +1

    Dada Colle tunamshuru Mungu kwaajili yako
    Njoo na Mtwara uweze kutulisha na mafundisho haya

  • @monicamanzi3945
    @monicamanzi3945 5 лет назад +2

    M.Mungu akubariki mno.,.,Mtumishi Colle.!

  • @shamilahhassan3213
    @shamilahhassan3213 6 лет назад +1

    Yaani sijui nisemeje...somo limeniingia kwa kweli...he is here kwa kweli....Eeee Mungu niongoze kulitekeleza somo hili la uvumilive ili nishinde kama ulivyonipangia wewe......

  • @ruthmfinanga9455
    @ruthmfinanga9455 6 лет назад +4

    Mungu ni mwema natamani na mm kujiunga na hiyo prayer marathon

  • @julianajchambala6954
    @julianajchambala6954 2 года назад +1

    Asante kwa somo zuri

  • @sophiaanthony9993
    @sophiaanthony9993 3 года назад

    Ubarikiwe Sana mtumishi wa Mungu aliye hai

  • @sylviamassawe7522
    @sylviamassawe7522 3 года назад +1

    Aaamen am blessed 🙏🙏🙏

  • @rachelmwaki7454
    @rachelmwaki7454 5 лет назад

    Somo ni zuri but vaazi la suruali tujirekebishe ,shukrani nimehudumiwa huduma ni nzuri

  • @miliammarwa828
    @miliammarwa828 6 лет назад +1

    Somo zuri sana da colle nakupenda

  • @juliethernest4550
    @juliethernest4550 2 года назад

    Amen Baba nipe hatua nyingine

  • @shamilahhassan3213
    @shamilahhassan3213 6 лет назад +13

    Jaman Dada Colle nataman uwe unaweka kila mafundisho yako yote you tube na wengine tufunguliwe jamn...Arusha lini????

  • @salomelubeleka7309
    @salomelubeleka7309 6 лет назад +5

    namshukuru Mungu somo hili limekuja kwa wakati sahihi katika maisha yangu.

    • @anointedroomministry
      @anointedroomministry  6 лет назад

      barikiwa na endelea kufanyia kazi.

    • @suzymhando418
      @suzymhando418 5 лет назад

      Samahani dada naomba kuuliza kuvaa siruali si dhambi nimebarikiwa sana ila vazi limenikwaza sorry

  • @aimerinamugisho5182
    @aimerinamugisho5182 5 лет назад

    Amen nimekarikiwa na somo ubarikiwe

  • @concesaluganga
    @concesaluganga 6 лет назад +5

    It was the best ever

    • @edgarndyamukama5550
      @edgarndyamukama5550 5 лет назад

      Shalom Mtumishi naomba lile somo la Upendo, ulifundisha pale Tanganyika packers

    • @edgarndyamukama5550
      @edgarndyamukama5550 5 лет назад

      Shalom mtumishi , Naomba lile somo la Upendo. Ulifundisha pale viwanja vya leaders, silioni humu youtube

  • @magangamasanja7297
    @magangamasanja7297 5 лет назад +2

    Thank u jesus

  • @bekaogoro7071
    @bekaogoro7071 2 года назад +1

    Amina

  • @wiza2309
    @wiza2309 6 лет назад +1

    MUNGU NI MWEMA SANA, NI VEMA SANA KUJIFUNZA KUFANYA MAOMBI YA SHUKRANI.

    • @alicenyangi2011
      @alicenyangi2011 Год назад

      Asante kwa somo ili zuri limenivusha Sana hasa kwasasa ninavyopitia changamoto ,,,nimekuwa siyo mvumilivu niliona majibu yanakuja sivyo Ila Bwana ametenda na ninabadilika kuanzia Sasa kwa jina la Yesu aliye hai

  • @charleswaigama8057
    @charleswaigama8057 6 лет назад +1

    somo zuri sanaaa.limenibariki

  • @lilianjosephat858
    @lilianjosephat858 6 лет назад +1

    Nimepata kitu. ...oh Lord forgive me. .

  • @neemashoo5202
    @neemashoo5202 6 лет назад +3

    Be blessed sister Colle

    • @joycetematema1324
      @joycetematema1324 3 года назад

      Niko mbeya, nataka kujiunga na nyie iyo pleya nijiungeje, sijui nianzie wap , nataka niwe na nyie kimaombi, nijibu mpendwa

  • @mafanikiosanga9820
    @mafanikiosanga9820 2 года назад

    Haleluya

  • @joycetematema1324
    @joycetematema1324 3 года назад +1

    nataka niwe patina

  • @dicksonkabanji31
    @dicksonkabanji31 5 лет назад +1

    da colle Beatrice aache kuvaa surual anaharib ibada

  • @edinakakulu5321
    @edinakakulu5321 5 лет назад +1

    Hili somo hakika limenibariki

  • @joliepdame7155
    @joliepdame7155 5 лет назад

    Amen nmebarikiwa sana

  • @dicksonkabanji31
    @dicksonkabanji31 5 лет назад

    hz surual mjirekebishe mbn dacolle anavaa vzr sana? achen hzo bas

  • @winnymartin8077
    @winnymartin8077 6 лет назад +2

    I have been blaming GOD and today I sincere apologize

  • @janejaneth7364
    @janejaneth7364 6 лет назад +2

    BABA forgive me please! From today nmechange

    • @asinathmayemba2054
      @asinathmayemba2054 6 лет назад +1

      Mungu akubariki sana Dada Colle kwa huduma unayoitoa, Binafsi nimependezwa sana na huduma yako nazidi kuiombea iende mbele..

    • @asinathmayemba2054
      @asinathmayemba2054 6 лет назад

      Somo limenigusa sana hili... Nimejifunza kitu

    • @anointedroomministry
      @anointedroomministry  6 лет назад

      amen barikiwa

  • @aishababu4986
    @aishababu4986 6 лет назад

    wamebana vi jeans hatari vi skin kabisa vaeni vizuri

    • @lilianhot994
      @lilianhot994 6 лет назад +5

      Aisha Babu ukiachana na vijeans lakini umeelewa ujumbe ulioongelewa?

    • @susanmsengy4976
      @susanmsengy4976 6 лет назад

      God bless you

    • @styv13tz
      @styv13tz 6 лет назад +1

      Angali shetani asikufunge ufahamu wako na hzo jeans ambazo umeona badala ya somo la msingi..Mungu akusamehe

    • @eliatemba1433
      @eliatemba1433 5 лет назад

      F
      That

    • @eliatemba1433
      @eliatemba1433 5 лет назад

      @@susanmsengy4976 5

  • @suzanlyimo3909
    @suzanlyimo3909 Год назад

    Ubarikiwe mtumishi