SHEIKH MZIWANDA ATAMBA MBELE YA MUFTI, "USIPOJUA KUZUIA MVUA BASI USHEHE WAKO WA MIYEYUSHO"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 янв 2025

Комментарии • 49

  • @Amina-rr8ve
    @Amina-rr8ve Год назад +1

    Nakupenda kwa ajili ya Allah sheik allah akuhifadhi

  • @barzaqtradingcompany8541
    @barzaqtradingcompany8541 Год назад

    يذهب الصوفية للقبور متبركين بمن يزعمون أنهم أولياء
    ولكن الله تعالى يأمرنا أن نقول :
    قُلْ أَغَيْرَ اللَّهِ أَتَّخِذُ وَلِيًّا فَاطِرِ السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضِ وَهُوَ يُطْعِمُ وَلَا يُطْعَمُ ۗ

  • @MuhidiniNassor
    @MuhidiniNassor Год назад

    Bachu vipi SHAMAILU NABII ni sunna au bid.aa

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 Год назад

    Naangalia videfu

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 Год назад

      Unataka kukuna wanaume ndevu 🎂

    • @taurehassan7399
      @taurehassan7399 Год назад

      Usiangalie videvu tu jichunguze na ww je unapandisha au umelala doro?

    • @hijazhija316
      @hijazhija316 Год назад

      ​@@hilalkhalfan1452wewe qaumu lut?

  • @muhamedjumaa6867
    @muhamedjumaa6867 Год назад +1

    Siwapendi mawahabi wavijikanzu vya mtoto

  • @abdulmalikmohamed732
    @abdulmalikmohamed732 Год назад

    Maulid 😅

  • @tanzaniaonmzamiloon8627
    @tanzaniaonmzamiloon8627 Год назад +1

    Mawahabi kila Kona mpo sijui mmetumwa na mayahudi kuwa kila shekh wa watwarik akilingani mmutukane mmelipwa sh ngapi?

    • @saidimkwinzu9106
      @saidimkwinzu9106 Год назад

      Tuko Kila Kona Kwa ajili ya Allah sio ww unaedhania dhana mbaya hakuna sheikh wa twarika aliyeko katila mstar hata mmoja

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 Год назад

      @@saidimkwinzu9106 mpo wapi nyie kama mchele ukichagua chua tuu, 😂, nyie ni chua tu huwa zinakera kera kwenye chakula kitamu na sasa tunakutoeni taratibu tuu. Kila sehemu vichua viwili vitatu na siku zinasonga

    • @tanzaniaonmzamiloon8627
      @tanzaniaonmzamiloon8627 Год назад

      @@saidimkwinzu9106 ndo mnavyodanganywa na wajinga wengine nyie wahabi ni punda wa mayahudi mmeandaliwa kwajili ya kuvunja umoja wa waislam ndo maana mnajiona nyie ndo mpo sawa bila kujiuliza hao mashekh zenu 90% wamefundishwa na mashekh watwarik baada ya kupewa mpunga na waarabu walio Vishwa nembo ya uislam ili kupingana na waislam wanzao

    • @saidimkwinzu9106
      @saidimkwinzu9106 Год назад

      @@hilalkhalfan1452 Acha porojo wapi wanyama walizungumshana siku ya kuingia mimba ya mtume Swalla llaahu alayhi wasallama??🤣

    • @saidimkwinzu9106
      @saidimkwinzu9106 Год назад

      @@hilalkhalfan1452 yaani ukiwa sufi mtu wa twariqa Akili Yako inakua finyu😄 ni wa wanyama walizungumzishana siku ya kuingia mimba ya mtume Swalla llaahu alayhi wasallama na ni nan aliwaambiwa kumsifia mtume s.a.w. ni siku maalum na hadi mkusanyike?

  • @fay9687
    @fay9687 Год назад +1

    Yaani mwatia aibu viongozi wa dini

    • @taurehassan7399
      @taurehassan7399 Год назад

      Watia aibu ww hutaki kuona muahammad akitajwa ktk mkusanyiko lkn wakubali kutajwa viongoz wa siasa na tarehe zao ktk mikusanyiko Mana hao ni Bora kuliko mtume

    • @saidimkwinzu9106
      @saidimkwinzu9106 Год назад +1

      @@taurehassan7399 kwaiyo maswahaba hawakuona lamaana kukusanyika nyie ndo mna la maana kuliko maswahaba na nan aliyekuambia kumtaja mtume lazma mkusanyike??

    • @taurehassan7399
      @taurehassan7399 Год назад

      @@saidimkwinzu9106 Nani aliyekuambia kukusanyika ni lazima?pili mtu hajawahi kufanya mashindano ya Qur'an mwz wa rmdhn Wala swhb je nynyi nimepata wapi?

    • @taurehassan7399
      @taurehassan7399 Год назад

      Jengine mtume hajawahi kuvua viatu anapoingia mckitn ,Cc twavua tumepata wapi utartibu huu?

    • @saidimkwinzu9106
      @saidimkwinzu9106 Год назад

      @@taurehassan7399 toa ushahidi wa maneno Yako kua mtume hajawahi kuvua viatu
      Subhanallah unamsingizia mtume uongo.??

  • @AbdirahimIbrahim-sh6sl
    @AbdirahimIbrahim-sh6sl Год назад

    Sheekhe wa mipaasho ww

  • @MuhidiniNassor
    @MuhidiniNassor Год назад

    Bachu atwambie kafanikiwa vipi kukataza maulidi

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 Год назад +1

      KUJIKOJOLEA p

    • @mwanakheri2880
      @mwanakheri2880 Год назад

      Haezi kufanikiwa

    • @saidimkwinzu9106
      @saidimkwinzu9106 Год назад

      Mtapata tabu sana wazee wa bidaa bora mtulie

    • @saidimkwinzu9106
      @saidimkwinzu9106 Год назад +1

      @@hilalkhalfan1452 Au sio mna propaganda nyjngi sana wanafqi nyie😄😄 hivi mtu aliyejikojolea anaweza kuwambatia watu wakakubal kama ilivyotokea kwenye mnaqasha mliouahindwa kujibu hoja?? Mmemwaga Maji halfu mnasema kajikojolea mna la kueleza mbele ya Allah nyie watu wa bidaa halafu pia wanafqi😄 Allah awaongoze

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 Год назад

      @@saidimkwinzu9106 mnaopata tabu ni nyie maana sisi twafanya kheri na wasi wasi hatuna, mnaopasuka vifua kwa kutukataza ni nyie mbwa wa KIYAHUDI 😂😂😂. Na bado. Qur-an, WARAFAANA LAKA DHIKRAKA. YAANI ALLAH SW ANAMUAHIDI MTUME WAKE KUWA " TUTAUNYANYUA UTAJO WAKO (UTAJWE DUNIANI NA MBINGINI KWA MAKUNDI)" sasa wewe kiwahabia utaweza nini kuuzuia utajo wa Mtume saw ila ni kujiangamiza mwenyeo tuu😂😂😂. Mtajiharia haswa sio kujikojolea tuu

  • @hassanmzandy1421
    @hassanmzandy1421 Год назад

    Pumbavu xana

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 Год назад +1

    Spendi maghurafiiiii

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 Год назад

      Unawajua

    • @mwanakheri2880
      @mwanakheri2880 Год назад

      Meza vidonge

    • @taurehassan7399
      @taurehassan7399 Год назад

      Mpende mama ako na baba ako inatosha unayemuona ghurafi muache,kla 1 ktk hii Dunia anamaadui yawezekana ww ni adui wa masheikh kuwa mkn

    • @Saumu-r6p
      @Saumu-r6p Год назад

      Mtume pia hakupendwa na ammi yke na mkewe abuulahabi kwaiyo chukia maghuraffi kampende baako na babu yko

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 Год назад

      @@Saumu-r6p wewe hujafahamu, ghurafi ni yeye huyu ila hajijui. Huyu shekhe ni SUFI . Kwaio ghurafi ni mtoa comment ila hajijui mwenyewe 😂

  • @abdulmalikmohamed732
    @abdulmalikmohamed732 Год назад

    Maulid 😅