Mchungaji Dr. Kimaro, mimi nakuombea sana maisha marefu yenye heri, ili uzidi kututoa gizani na kutuweka nuruni mwa Bwana. Kwa kutunaokuelewa hakika hauna kupinda ni 'a straight forward man'
Very interesting lesson Rev.Kimaro.Nimetafakari kwa namna yangu inweza kuwa binafsi,au kwenye familia hata kitaifa.Unachambua mawazo,sera,mitazamo,malengo na matarajio ,baadae unachagua labda machache kwa ajili ya utekelezaji-Hapo ndipo huwa mara nyingi ndipo anguko au kufei kunaanzia kwa sababu ya kutokuwepo watu sahihi kwenye famiia au taifa kusimamia yale malengo,sera,mawazo ambayo yalichaguliwa au kuamuliwa...Hii kitu inajitokeza sana kwenye familia na kwenye taasisi na maofisi mballi mbali
Mchungaji umenikumbusha mbalii nilienda kuchota maji mferegini nikayaweka nje ya nyumba ya Rafiki yangu nikacheza kwanza nage sijui kombolela na michezo mingine mimgiiii tuuuu nyumbani wananitafuta wanajua nimeuawa labda bibi alikuwa analia nilikujakupatikana saa kumi moja jioni tangia asubuhi saa nne mpaka jioni binamu yangu alinikuta nipo namsaidia Rafiki yangu kuchota maji yakwao sikuwa hata na mpango wakurudi home binamu yangu akanikata akaniambia twende nyumbani alafu hayo maji mwaga kwa hasira na kichapo juuu😂😂😂😂😂😂 nilipofika home Bibi yangu alinitandika mpaka nilipata matetekuwanga aiseee eeee acha tuuu ila nilikoma nikitumwa naenda na njia moja😂😂😂😂😂😂😂😂😂
🙏🏽🤲🏽
Bwana YESU apewe sifa.Asante sana kwa mafundisho.Nimefahamu kiufasaha kwa nini Rebeka aliamua kumdanganya mumewe!
Mchungaji Dr. Kimaro, mimi nakuombea sana maisha marefu yenye heri, ili uzidi kututoa gizani na kutuweka nuruni mwa Bwana. Kwa kutunaokuelewa hakika hauna kupinda ni 'a straight forward man'
Asante kwa mafundisho, yananijenga kabisa. Niko drc-goma
Very interesting lesson Rev.Kimaro.Nimetafakari kwa namna yangu inweza kuwa binafsi,au kwenye familia hata kitaifa.Unachambua mawazo,sera,mitazamo,malengo na matarajio ,baadae unachagua labda machache kwa ajili ya utekelezaji-Hapo ndipo huwa mara nyingi ndipo anguko au kufei kunaanzia kwa sababu ya kutokuwepo watu sahihi kwenye famiia au taifa kusimamia yale malengo,sera,mawazo ambayo yalichaguliwa au kuamuliwa...Hii kitu inajitokeza sana kwenye familia na kwenye taasisi na maofisi mballi mbali
Barikiwa mnoo mchg
Amina ❤ Amina❤
Amina
Mchungaji umenikumbusha mbalii nilienda kuchota maji mferegini nikayaweka nje ya nyumba ya Rafiki yangu nikacheza kwanza nage sijui kombolela na michezo mingine mimgiiii tuuuu nyumbani wananitafuta wanajua nimeuawa labda bibi alikuwa analia nilikujakupatikana saa kumi moja jioni tangia asubuhi saa nne mpaka jioni binamu yangu alinikuta nipo namsaidia Rafiki yangu kuchota maji yakwao sikuwa hata na mpango wakurudi home binamu yangu akanikata akaniambia twende nyumbani alafu hayo maji mwaga kwa hasira na kichapo juuu😂😂😂😂😂😂 nilipofika home Bibi yangu alinitandika mpaka nilipata matetekuwanga aiseee eeee acha tuuu ila nilikoma nikitumwa naenda na njia moja😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂 utoto jamani mimi niliitwa nikawaambia waseme sipo kumbe kasikia ..
Pole😂
Ila zamani wazazi walikuwA wanapiga utafikiri wamechanjia unapigwa Hadi unamwambia Bora ufe baba wakati kosa letu
🙏🏽🤲🏽
🙏🏽🤲🏽