Kontawa: Wewe (Official Lyrics Video)

Поделиться
HTML-код

Комментарии • 594

  • @kontawa7342
    @kontawa7342  Год назад +355

    Asanteni Kwa Wote Mnaoendelea Kunisupport Naomba Mnisaidie Kushare link Na Kucomment Sana🧨🙏🏽

  • @auntiemylee3157
    @auntiemylee3157 Год назад +2

    Mdomo kazi yake kula mbona tule kwa macho🎉

  • @livinjustin8954
    @livinjustin8954 Год назад +30

    Pigeni likes hapa zaidi ya 100+ kwa wanaomkubali kontawa only Mr. Champion tz the winner 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @cecyjohn4746
    @cecyjohn4746 Год назад +2

    Kaka unajua mpk unakera sijutii kuwa shabiki yako 🎉🎉🎉❤ WEWE

  • @KhenKhenolen
    @KhenKhenolen Год назад +1

    Sana mi na chikaga 2 big up💯 jomba waezaa

  • @MwinyiWilliam
    @MwinyiWilliam Год назад

    Kontawa yani. Wewe jamaa niatar. Njoo umu owe dada yangutuu

  • @honeyflower254
    @honeyflower254 Год назад +1

    Enyewe kontawa umeweza hapa waa!!! Moto kama pasi♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️

  • @NubisonBunera-em7oy
    @NubisonBunera-em7oy Год назад

    Aaahhh!!! Kontawa umetisha song kali mno🎉🎉🎉🎉🎉

  • @heliudjulias7748
    @heliudjulias7748 Год назад

    Mamamae bonge ngomaa contawa weweni zaidi ya contawa. Recpect brad

  • @HassanHussein-tf5ei
    @HassanHussein-tf5ei Год назад

    Nice kaka yan unaaina yapekee kaka yan firee💣

  • @richvannyrichie
    @richvannyrichie Год назад

    Kontawa fundi 🎺🎺🎺🎺🤣🤣🤣🏆🎲 hilo vibe maunyama mingimingi tu.....

  • @globaltv_online
    @globaltv_online Год назад +5

    Kontawa hii ngoma kali sanaaaaa

  • @bernadizzo
    @bernadizzo Год назад +9

    Nimeamkia hii ngoma tena mara kama ya kumi kwa sasa inaweza tawa ❤ nuff respect

  • @OmaryIssa-o2r
    @OmaryIssa-o2r 5 месяцев назад

    Hilii goma ckuwahi kulickia kumbe kontawa ni nouma sanaa

  • @jiratv8278
    @jiratv8278 Год назад

    Sound Kali lyrics kalii ngoma ni 🔥🔥🔥🔥

  • @danielalimitel1334
    @danielalimitel1334 Год назад +1

    Worry out my blood unajua nakukubali sanaaaa

  • @BarakaDaud-p2v
    @BarakaDaud-p2v Год назад +1

    Kontawa kwa uandishi blood maua yako ww ni kiboko nimekukubaki mm utafika mbali blood nikajua unabahatisha lkn ww kama konde kichwa mwako una madude mengi makali kwa nilivo kutazama kwa jicho la mbali utatupa burudan kwa mdaa mrefu salut mwanangu

  • @GR7bb
    @GR7bb Год назад

    Sawa umepoteza mda kwakutafuta kujiajiri najushauri usibeti tena jali kazi ufike mbali sana

  • @bernadizzo
    @bernadizzo Год назад

    Wee mara ya 100003 kurudia kusikiliza hii ngoma kali kweli

  • @lidancerchris
    @lidancerchris Год назад

  • @lchapomakaveli6812
    @lchapomakaveli6812 Год назад

    Midomo tumepewa kutafuna kwaninituishie kula kwa macho ....iko sawa kontawa #wewe👉⚠️

  • @Barnizeboy
    @Barnizeboy Год назад +1

    Ngoma Kali sana 👍🔥

  • @PanchoValentino-wh7wt
    @PanchoValentino-wh7wt Год назад +1

    Goma kaliii saana aisee 🔥💥🎼🎵🔝

  • @AustinMwakibete-zw3te
    @AustinMwakibete-zw3te Год назад

    Bonge ngoma ukiwa zako kwa ndiga Af umeweka sauti mpka mwisho
    Linakupa vibe knoma🙌🙌

  • @hamismustafahalfansuleiman5799
    @hamismustafahalfansuleiman5799 Год назад +5

    Oya mi wa mwisho jamani nipeni maua yangu boy from Msumbiji 🇲🇿🔥🔥

  • @GustaveLajoya
    @GustaveLajoya Год назад

    Na kukubali sana toka congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @bajouboy4897
    @bajouboy4897 Год назад

    Jembe Kontawa ujawai niangusha mwana big up Gee

  • @SwahiliAmbasador954
    @SwahiliAmbasador954 Год назад

    Nenda jeshi jamaaa unaweza kuta wewe ni soldier wa serikali menda jamaa nataman kukuona kwenye gwanda alafu unapiga michano mbele ya wenye gwanda wenzako❤️🌟🎉🔥

  • @maburudani1234
    @maburudani1234 Год назад

    Mwanangu fundi gereji,anakaza nati,akiona dem badala ya kukaza nati anawaza kukazana ...😂😂😂😂😂😂😅😅😅😅😅❤❤❤❤

  • @Eboy684tv
    @Eboy684tv Год назад

    Weweaa wewea ebwanaeeeeee nakubali Sana kontawa sana

  • @Tony-de1lk
    @Tony-de1lk Год назад

    Wewe n wewe sikufananishi na yyt hongera sn kontawa

  • @pamojagrouptv
    @pamojagrouptv Год назад +1

    From kilwa naomba like 100 kwa ajili ya mwamba

  • @moebranty3334
    @moebranty3334 Год назад

    Oyyaaaaah... We hodariii @Kontawa noma sanaaa

  • @tkmusic254
    @tkmusic254 Год назад

    Hii ngoma ni international. Umetisha kinoma

  • @ZygafoxSpeed
    @ZygafoxSpeed Год назад

    nikalisana kontawa mimi nimekubali gomayako mwalimu tuu🙏🙏🙏💪💪

  • @ishyman4485
    @ishyman4485 Год назад +2

    Thanks so much kontawa I love your song my guy,,,,,much love from kenya

  • @theyoungamazing9338
    @theyoungamazing9338 Год назад +1

    😂😂😂😂umetishaaaaaa

  • @HaronDerevaMwendia
    @HaronDerevaMwendia Год назад

    Umekil broo🎉🎉

  • @ibrahimukaaya2085
    @ibrahimukaaya2085 Год назад

    Bad man oyaaa kontawa💂

  • @natunejack2190
    @natunejack2190 Год назад +2

    mi nachekagaa tu🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @nawirirecords4549
    @nawirirecords4549 Год назад

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥Love From Ke 🇰🇪🇰🇪

  • @kenyanstarofficial6548
    @kenyanstarofficial6548 Год назад

    🎉wow kenyan love ❤❤mziki mzuri sana zidi kung'aa

  • @TwahaCobwito
    @TwahaCobwito Год назад

    Ngoma kali sana contawa apewe maua yakee🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @MUSICIAN-k6l
    @MUSICIAN-k6l Год назад +1

    Noma sana

  • @babumwananinga1007
    @babumwananinga1007 Год назад +14

    Always kontawa never dissapoint🖖🖖🖖
    🇹🇿🇹🇿❤️❤️🇰🇪🇰🇪

  • @damasiosantosluis
    @damasiosantosluis Год назад

    Naku kubali sana mwamba from Mozamque❤❤❤❤

  • @emmanueljackson1645
    @emmanueljackson1645 Год назад

    nakubali sana champion,,hiv mpaka leo ile shamba bado hujalijua to 🏃🏃🤣🤣

  • @AkalizaDjalia
    @AkalizaDjalia Год назад

    Yani kwanini tukure kwa macho 😢 love kutoka rwandan♥️

  • @princekusali7949
    @princekusali7949 Год назад +4

    You're The Best Kontawa 🔥🔥🔥🔥Nakubali Vibe yako
    Kusali Toka Kenya 👊🏻👊🏻

  • @agustinomjindo-it5ng
    @agustinomjindo-it5ng Год назад

    Noma sana nice brother

  • @SamwelNduva
    @SamwelNduva Год назад

    Nhahahaha unachukua saa eee duuuh amaizing sana 3:06

  • @negoboy002
    @negoboy002 Год назад

    🎉🎉🎉🎉🎉sawa banaaa❤❤

  • @duderapper98
    @duderapper98 Год назад +1

    Tawaa 💫

  • @LatifaIddy-lk5ek
    @LatifaIddy-lk5ek Год назад

    Unamichanoo wew duuuh 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @onsahboy6398
    @onsahboy6398 Год назад +2

    Next big thing in Africa. ❤❤for this star.

  • @profopiyo8103
    @profopiyo8103 Год назад

    Asikwambie mtu kontawa is another level

  • @saadasaid6001
    @saadasaid6001 Год назад

    Tunakupenda❤❤❤good music

  • @JeanJd-gi4uc
    @JeanJd-gi4uc Год назад

    Ni mwendo wa mitungi na misokoto 💪💪💪

  • @godfreyrema-fp1zp
    @godfreyrema-fp1zp Год назад

    Kontawaaaaaa🔥🔥🔥

  • @WazirHaji-o7h
    @WazirHaji-o7h Год назад

    Yan hap namuon akon siyo kontawa god bless u

  • @jonhboyrolef
    @jonhboyrolef Год назад

    More love south Africa cape town ni mcongo tz🎉🎉🎉 umeua unastahili maua

  • @williamlucas2471
    @williamlucas2471 Год назад

    O̶o̶o̶o̶o̶h̶!!!! n̶o̶m̶a̶ x̶a̶n̶

  • @youngngosha8693
    @youngngosha8693 Год назад

    Kaliiiii Sana 🔥🙌

  • @yahidyboy9170
    @yahidyboy9170 Год назад +12

    Nipo hapa watatu like zi miminike

    • @oirishgervas6603
      @oirishgervas6603 Год назад +2

      Like utazila? Ww toa maoni kuhusu wimbo sasa like like zanini

    • @yahidyboy9170
      @yahidyboy9170 Год назад +2

      @@oirishgervas6603 yani haipingwi ngoma ni kali tu team yetu point tatu muhimu

    • @heavydee2546
      @heavydee2546 Год назад

      @@yahidyboy9170 ruclips.net/video/Ra5U6VkE1Rk/видео.htmlsi=jsAQGm9I9lyJcYLN🇰🇪🔥💯

    • @heavydee2546
      @heavydee2546 Год назад

      @@oirishgervas6603 ruclips.net/video/Ra5U6VkE1Rk/видео.htmlsi=jsAQGm9I9lyJcYLN🔥💯🇰🇪

  • @michaelgodfrey1253
    @michaelgodfrey1253 Год назад +1

    Nliona unavo shoot hii. Nkaona ambavo hakuna kazi rahisi. Ni noma mzee💯💯💯

  • @anticswebnomics
    @anticswebnomics Год назад

    kazi safi we wewe!!!

  • @Mr.lovebite
    @Mr.lovebite Год назад +6

    Kontawa the goat 🐐🐐
    Much love from 254 ❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @yannickunk5499
    @yannickunk5499 Год назад

    Wakitupea saa na shauri, tuna chagua Saa!

  • @DengMashallahah
    @DengMashallahah Год назад +1

    ❤❤🎉

  • @mirzamydownloadsnassoro1920
    @mirzamydownloadsnassoro1920 Год назад

    Big up mwanangu kontawa umeweza yaani kizazi zaidi sema kwa bidii namna hii, unapowaza kufika utapita na heshima itadumu kinyamwezi

  • @delvoh2543
    @delvoh2543 Год назад

    Hiii kaliiiiiiiii Kenya tushakubali🔥🔥🔥🔥🔥

  • @tkmusic254
    @tkmusic254 Год назад

    kila siku lazima nirudi hapa kusikiliza vibe

  • @Ramjamcomedian
    @Ramjamcomedian Год назад +2

    hili dude ungelishusha usiku wa ijuma daah club kingeeleweka hili ni la weekends dadeki,,imeweza

  • @ShadrackElimu-r3l
    @ShadrackElimu-r3l Год назад

    We unachekaga tu tawa ni kweli pesa sina ila nachezaga baati nasibu🙌

  • @bilalmusa5749
    @bilalmusa5749 Год назад

    Mi nachekaga tu .... nakubali Mzee wngu umeua 💥💥💥

  • @nanahcalvin
    @nanahcalvin Год назад

    Kontawa toka enz izo nakukubal sanaaa❤❤❤❤

  • @abdulykilossa9182
    @abdulykilossa9182 Год назад

    Bovuu💥💥

  • @benedictthomas2863
    @benedictthomas2863 Год назад

    Kontawa kama kontawa ni kontawa jamaaaa flani hivi kama tawaaa

  • @pau_listo
    @pau_listo Год назад +1

    Nami nakomaaa nishike vipesa kama kina nasibu

  • @a.k.thehitmaker4701
    @a.k.thehitmaker4701 Год назад +3

    I like this guy 🇺🇸🇹🇿🔥🔥🔥

  • @chikundeboy9450
    @chikundeboy9450 Год назад

    Huyu ndo KON mwenye TAWA zake big up broo kaz nzuri

  • @hassannzai1827
    @hassannzai1827 Год назад

    Hili goma ungemieka mond ingekua ya moto zaidi anyway congratulations

  • @lievinnailsofficiel3562
    @lievinnailsofficiel3562 Год назад +1

    Muziko huuu..... love from burundi Bujumbura

  • @MTALIITV
    @MTALIITV Год назад

    Ata asiyependa Amani anapenda pisi baba😂😂😂🔥🔥💯💯

  • @MwangomoPeter
    @MwangomoPeter Год назад

    Mwananguu tawaaa unaua saana mwananguu🦾🦾🦾🦾🦾🦾🦾

  • @VicentBless-y8v
    @VicentBless-y8v Год назад

    Uyu jamaaa ni mnomaaa sanaaa full punch

  • @bwayafricankid3930
    @bwayafricankid3930 Год назад

    Kontaw mnyama wa dunia unaujulia mziki big up sana🎉🎉

  • @MatirioOfficial
    @MatirioOfficial Год назад

    Nomaaaaa 😅

  • @athanaswilliam6940
    @athanaswilliam6940 Год назад +1

    Aseee hiii ngoma ni Kali Sana... Ikipata airtime ya kutosha itafunika sana

  • @EMMAPRINCIPAL-no4ss
    @EMMAPRINCIPAL-no4ss Год назад +1

    WAITING FOR MKALI SANA Kondawa altheway from 254🔥🔥🔥

  • @nyotaicon8298
    @nyotaicon8298 Год назад

    Kizazi Sana Ngoma Kali sanaa

  • @sharifaomenda1535
    @sharifaomenda1535 Год назад

    Nakuelewa sana endelea kukaza utafika mbali sana

  • @FelixEmanuel-eu9fj
    @FelixEmanuel-eu9fj Год назад

    Nakukubali san kontawa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @emmanueldaud8371
    @emmanueldaud8371 Год назад

    Nakubal xaaana ✊✊✊🙌🙌💯

  • @mugocomedy
    @mugocomedy Год назад +1

    Nikajua ni wa kwanza kulike jameni nipeni tu like zangu

  • @ZeeLaMidosho
    @ZeeLaMidosho Год назад

    Mzee unapoteza njoo kwenye hiphop

  • @Princekenzie_254
    @Princekenzie_254 Год назад

    Banger💥🔥🔥

  • @kwzrvivanHamza
    @kwzrvivanHamza Год назад

    Washa moto 💪

  • @allysinge7096
    @allysinge7096 Год назад

    UMETUMIA NJIA YA KONDE BOY.... IZI NDO NJIA ZAKE

  • @tituswale1084
    @tituswale1084 Год назад

    Bad man ting Ngoma iko juu fire