Kontawa : Mwalimu (official Video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 авг 2023
  • This is Original Sound from Bongo
    Dir @Nicklass
    Pro @DibroOneTouch & Vanturetz
    Mixing @Mafia_tz
    Link Up On
    Boomplay: www.boomplay.com/share/music/...
    Spotify: open.spotify.com/album/61lQRd...
    Apple Music: music.apple.com/tz/album/mwal...
    #Kontawa #mwalimu #BlackandWhite
  • ВидеоклипыВидеоклипы

Комментарии • 1,1 тыс.

  • @kontawa7342
    @kontawa7342  10 месяцев назад +332

    Ningependa Kuwakaribisha kutazama Video ya wangu Mpya #Mwalimu Please Nisaidie Kushare kwa Marafiki , Usiache kucomment pia.
    Nawapenda Sana❤️🙏🏽

    • @shamshabani2262
      @shamshabani2262 10 месяцев назад +10

      Wakwanza kuviews

    • @salehsaid4559
      @salehsaid4559 10 месяцев назад +2

      Champion boy hapa kutoka Zanzibar huna baya Kama nyamwinga kaka

    • @salehsaid4559
      @salehsaid4559 10 месяцев назад +1

      Champion boy hapa kutoka Zanzibar huna baya Kama nyamwinga kaka

    • @user-jy3mi7sw5e
      @user-jy3mi7sw5e 10 месяцев назад

      ruclips.net/video/O0IALZfelFc/видео.html

    • @samuellevy2564
      @samuellevy2564 10 месяцев назад +2

      Unajua sanaa we jaamaa

  • @Didahofficial123
    @Didahofficial123 10 месяцев назад +87

    Kontawa is moving to another level,
    Walahi heistawa is another banger 🔥🔥. Wapi likes zangu🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @DENNISOGINGA-rx9gc
    @DENNISOGINGA-rx9gc 10 месяцев назад +1

    mm apa kutoka kenya my brother akh ww kontawa n mwalimu kweli 👊👊👊👊💪💪💪

  • @0seboy1
    @0seboy1 10 месяцев назад +268

    Nasemaje Tunaomkubal mwanetu kontawa like ziwe nyingi hapa(MWALIMU)🥇

  • @kigamuk
    @kigamuk 10 месяцев назад +42

    hope nitapata likes zangu , big fan from kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @Legionbwoy
    @Legionbwoy 10 месяцев назад +35

    Huku kwetu Kenya 🇰🇪 Kontawa alikubalika maana nyimbo zake huwa zinahit 🔥

    • @mungumkubwa6432
      @mungumkubwa6432 10 месяцев назад +1

      💪

    • @roytz4611
      @roytz4611 10 месяцев назад +2

      Nahiii Ngoma ikifika na 5 on trending kontawa anaacha kufokafoka kama nyoka anahamia upande huu 😂😂me anachekaga tu. Ila masha loveee

    • @beyatus1196
      @beyatus1196 10 месяцев назад

      💪

    • @unyamaunyamani5791
      @unyamaunyamani5791 10 месяцев назад

      💪

    • @kilangakomo1024
      @kilangakomo1024 10 месяцев назад

  • @AmaniMushi-pv9yt
    @AmaniMushi-pv9yt 10 месяцев назад +2

    Dah hii nzury Mr kontawa nimeipend my brother

  • @ommytalent5948
    @ommytalent5948 10 месяцев назад +2

    Kuna mwanafunzi wa kidigo uyo katokea TANGA 😆🔥🔥@kontawaaa

  • @BayayiCornelius-xv5fe
    @BayayiCornelius-xv5fe 10 месяцев назад +6

    Hujawahi niangusha bro.. More love from+254

  • @globaltv_online
    @globaltv_online 10 месяцев назад +48

    KONTAWA😅 MWALIMU..MIMI NACHEKAGA TU

  • @laurentwilson-db4ir
    @laurentwilson-db4ir 10 месяцев назад +2

    Mwana anajua kwnza mtunzi wanyimbo nyingi kwan mnazani wao awajui sema wana vunga tu 😮😮

  • @mohdkhalifa8828
    @mohdkhalifa8828 10 месяцев назад +2

    Hahahaa Hii lazma pia nayo kali hna mbaya kaka tawa

  • @restojeekenya7333
    @restojeekenya7333 10 месяцев назад +6

    Oya wanamawita mwalimu!!!!,,,, I love this guy kontawa, it's music style is amazing, alfu kumbe mjeshi kikofia kahusika pia😂😂, naipenda hii😊

  • @djwizztyga
    @djwizztyga 10 месяцев назад +14

    Mwanzo nimeshangaa kusikia beat la singeli nikijua Kontawa ni Mwanaharakati nikaona kazingua huyu ila nikaona nisikize nilpofika katikati nikajikuta natabasamu na kusikiliza kwa makink zaidi na ilipoisha nikaona nianze tena 🫡🫡🤣🤣🤣

  • @JamesMbise
    @JamesMbise 10 месяцев назад +1

    Kontawa nakukubali kinomanoma mwangu na ulipomhusisha Amasha hapo ndo umemaliza kabisa

  • @yohanaenosi8412
    @yohanaenosi8412 10 месяцев назад +1

    Tawa Tawa Tawa bro we mtu mbad sana my geee

  • @aloyceurio306
    @aloyceurio306 10 месяцев назад +4

    Daaah nimecheki mibakora nikasema ngoma yeyooo, naisubiri, wew mkali

  • @braybah_oley
    @braybah_oley 10 месяцев назад +9

    Unyama mwingi sana humu aisee... Enh bana kontawa 🔥 nakubali sana hili jiwe

  • @salimhamad2701
    @salimhamad2701 10 месяцев назад +1

    Ningekua na MAMLAKA ya kuifungia ningeifungia nchi tunaibomoa wenyewe. Wazungu wanakuja kumalizia tu. Hawana kazi kubwa tena

  • @deomichael3081
    @deomichael3081 10 месяцев назад +1

    oyaaaa weee... umo umo homeboy haina kupoa ,.. 👑🐐

  • @user-yh7dc6tx4x
    @user-yh7dc6tx4x 10 месяцев назад +5

    Nlikuwa naisubir sana kazi hii bonge la kazi kutoka Kwa kontawa mwamba sana🫡🫡🫡🫡🫡🫡

  • @mussaabdalla5466
    @mussaabdalla5466 10 месяцев назад +5

    Namkibali sana huyu mwamba...kama ww ni chama la kontawa naomba like zenu🤟💥

  • @TALBANTIONG
    @TALBANTIONG 10 месяцев назад +1

    Mwwlimu weee utatua 😂😂😂😂

  • @Robytiger-px8kt
    @Robytiger-px8kt 10 месяцев назад +1

    Ngoma Kali sema nami ninabgoma yangu naomba muisapoti natumia jina Roby tiger jina la wimbo ni mandonga mtu kazi

  • @Amahorart
    @Amahorart 10 месяцев назад +3

    I wish ili dude lingilikuwa murundi🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @stanleyleonard8613
    @stanleyleonard8613 10 месяцев назад +4

    Kontawa unaenda poteza mashabiki wish that Mashalove dress code

  • @dianabanga2625
    @dianabanga2625 10 месяцев назад +1

    oyooo 😂😂😂👏🏿👏🏿🔥🔥🔥

  • @wizyqtv8428
    @wizyqtv8428 10 месяцев назад +3

    Mii nachekanga tu😂 badman Konta❤never disappoint

  • @djkiin2544
    @djkiin2544 10 месяцев назад +11

    Hatari 😂😂😂😂,,,,, nimependaaa kazi nzuri kama unaikubali hili ngoma achia like,,,,

  • @samboy9441
    @samboy9441 10 месяцев назад +1

    yaan Mr Teacher.....Umetisha Kontawa

  • @jayBabakaila9883
    @jayBabakaila9883 10 месяцев назад +1

    Kontawa huoooo mwalimu wamchongo nasemaje hiiimeeendaa.

  • @hillarymadali4462
    @hillarymadali4462 10 месяцев назад +14

    Top of the game.....KONTAWA 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪

  • @JOHN-RAY
    @JOHN-RAY 10 месяцев назад +3

    ❤❤❤❤😂😂😂 mwalimu kontawa , huku Kenya sabiki wako❤

  • @user-bt2mu4to8l
    @user-bt2mu4to8l 10 месяцев назад +1

    Kontwaaaaa😂😂

  • @blonekasereka6961
    @blonekasereka6961 10 месяцев назад +1

    Ngoma kali saana 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 kontawa ume uwaaaaah

  • @hassanmbuyu1240
    @hassanmbuyu1240 10 месяцев назад +25

    Ngoma ngali Kwa sisi vijana lakini uwezi ukaangalia hiyo nyimbo na familia mfano.baba ,mama na dada .nyimbo bila matusi inawezekana. All the best mi nachekaga tu ❤

  • @AlexJumanne-ls5gm
    @AlexJumanne-ls5gm 10 месяцев назад +8

    Huya mwamba anaandika mistali mizuri like zake jaman

  • @nuhumoren5103
    @nuhumoren5103 10 месяцев назад +2

    Hii imeeendaaa kabisaaa 🙊😀😀😀

  • @bobikenya5402
    @bobikenya5402 10 месяцев назад

    Number one to view one love my brother tawa am also on de way bro

  • @officialyoungjoctz3152
    @officialyoungjoctz3152 10 месяцев назад +9

    Ujawahi kosea mwamba 🔥💪

  • @adektatu4506
    @adektatu4506 10 месяцев назад +28

    This what we call artistry at it's best.
    Mad respect.

  • @dennymkumbala5748
    @dennymkumbala5748 10 месяцев назад +2

    😂😂😂ila masha😂 unavo litupa ilo ziwa tanganyika😂😂😂noma san😊

  • @witnesmsechu4539
    @witnesmsechu4539 10 месяцев назад

    Nmecheka jmny😂😂😂😂🙌🏾,your my favee artist walaah🙌🏾

  • @the_chemistry
    @the_chemistry 10 месяцев назад +45

    Much love from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @maxwellmoshidamson322
    @maxwellmoshidamson322 10 месяцев назад +3

    Mwalimu kontawa ❤ minachekaga tu

  • @amenimaseleka9981
    @amenimaseleka9981 2 месяца назад

    Tawa we ni another level

  • @alladincartoon254
    @alladincartoon254 10 месяцев назад +1

    Kaa Ticha Kondeeee

  • @zeuskylo667
    @zeuskylo667 10 месяцев назад +3

    Mwalimiuuuuuu🖍️🖍️🖍️📢📢📣📣🚬✍️✍️

  • @dubadontv8387
    @dubadontv8387 10 месяцев назад +3

    Mwalimu 😂😂😂❤🔥🔥🔥🔥

  • @lidancerchris
    @lidancerchris 10 месяцев назад

    TAWA🤸‍♂️😅

  • @Thealthcare.education-96
    @Thealthcare.education-96 10 месяцев назад +2

    Naikubal San iyo ngoma nahisubir Tena kwahamu kubwa🎉🎉

  • @Richmondlotta-pokotmalik
    @Richmondlotta-pokotmalik 10 месяцев назад +10

    5k in 30 minutes sending salute from Nairobi Kenya mwalimu

  • @abdillahkhamis2081
    @abdillahkhamis2081 10 месяцев назад +4

    Kontawa ww unakoelekea ni next level 🎚️

  • @Real_hiphop_flow
    @Real_hiphop_flow 10 месяцев назад +1

    Utawahuwa blood ujawahi shindwa

  • @aminatarabana7959
    @aminatarabana7959 10 месяцев назад +1

    ❤❤❤❤ anajuwa tuko burundi

  • @user-ns8ys2px8s
    @user-ns8ys2px8s 10 месяцев назад +3

    HII IMEENDA👏🏽🌹🌷💐
    yan kk kontaw ni bora wazazi wangu wa wai kufa ila sio wew ur so talentend boi yan (wale wanaosema july to jan wanahits wao kk sio kweli )# ebu kk waoneshe yan wew ni mwalim adi wa hipop acha ao ma young wasemane warogane ila wew ni mwalim wao
    kk sas ni zamu yako from augost to january ni hits to hits
    mwalim imeenda waliosem hufiki mbali waulize hapa ni wapi
    tuna wait another hits more hits from u kak nasemaj augost to january ni wew tu kwenye chats ndio uwaongoze kk
    ngojea hii iende kuwasumbua vichwa kwanz na tupate maokoto ❤like and comented by me smart kid@ officiall

  • @SOS_VILLA
    @SOS_VILLA 10 месяцев назад +8

    Kama umemwona Ndaro..nipe like😂😂

  • @richvannyrichie
    @richvannyrichie 10 месяцев назад +2

    Nancheki tu mashalove na hizo wowowo😂😂😂😂😂😘🏃‍♂️💥💥💥Nasemaje #Mwalimu kwa Tawa nomaaa maunyama mingimingi...🎸💥💥

  • @lazaromwambene4516
    @lazaromwambene4516 10 месяцев назад +1

    ❤😂❤😢😅😅 🤚 ndunga mawe😅😮

  • @lizyonce7414
    @lizyonce7414 10 месяцев назад +4

    Siwezi kuzima data mpaka nisubili dude langu
    Like kwangu kama tupo pamoja

  • @paulwilliam6053
    @paulwilliam6053 10 месяцев назад +3

    Tunaisubilia kwa hamu goma hilo nakukubali sana 🙏😀🙏❤🎉🎉🎉

  • @NigaSkrizz
    @NigaSkrizz 10 месяцев назад +1

    Kontawa never dispoent from Mozambique

  • @urbanekala7528
    @urbanekala7528 10 месяцев назад

    Yam kontawa content zake anaziwasilisha kitalam sana 🎉🎉

  • @peteradonga7668
    @peteradonga7668 10 месяцев назад +3

    Hapa Kenya nikiskia KONTAWA mi NACHEKAGA tu, man you always Deliver .much Love and support from +254 Kenya

  • @FAZZA_DUKE.001
    @FAZZA_DUKE.001 10 месяцев назад +3

    CHUMMMAAAAAAA

  • @mrsinia3064
    @mrsinia3064 10 месяцев назад

    Wew utakuw mwalimu wa mapenz nishakusoma 👍

  • @MichaelEdwrdi-jp5ve
    @MichaelEdwrdi-jp5ve 10 месяцев назад +2

    Kwel kaka iyo imeenda big up

  • @user-fw2jo7oi9n
    @user-fw2jo7oi9n 10 месяцев назад +15

    Bonge la ngoma and Good Idea.
    Keep it up!!❤❤

  • @presentertelence1679
    @presentertelence1679 10 месяцев назад +4

    Mwalimu naomba uniadhibu 🇰🇪

  • @GODLISTENWAYDA
    @GODLISTENWAYDA 10 месяцев назад +1

    Masha love 😂😂😂 mbavu zangu

  • @aloicesanga4478
    @aloicesanga4478 10 месяцев назад +7

    Nimekukunali mwalimu upo vizuri sanaa 🎉

  • @festoismail7648
    @festoismail7648 10 месяцев назад +3

    Umeua kinyama🔥🔥🔥🔥

  • @user-iy8on7zo9e
    @user-iy8on7zo9e 8 месяцев назад

    Nakukubali. Kinyam Yuko pmoj sn ❤ I love you mwaaaaaaaàa e

  • @MbuzimbeyaRomak
    @MbuzimbeyaRomak 5 месяцев назад

    KONTAWA HIYO NYIMBO UMEUWAAA 🔥🔥🔥 WANAKUITA MWALIMU

  • @Chugacomedy
    @Chugacomedy 10 месяцев назад +3

    This song is best to me every time 😍💕 🔥I love it 🔥 am from Tanzania 🇹🇿 #chugacomedy

  • @itNeza
    @itNeza 10 месяцев назад +6

    Kontawa to the World. 🌎🗺️💯❤️

  • @rino6528
    @rino6528 10 месяцев назад +1

    Unyama mwing kaka Ngoma Kali💪🏿💪🏿

  • @inearclassictz1233
    @inearclassictz1233 10 месяцев назад +2

    Kontawa anaweelekeza waimba singeli namna yakuimba punch na hakuna tusi hata moja

  • @MRCHARLES277
    @MRCHARLES277 10 месяцев назад +4

    My favorite ♥️ Kontawa kiboko sana unapenda kuchapa sana😂

  • @nyirokizo8216
    @nyirokizo8216 10 месяцев назад +5

    imeweza Tawa...sapoti sana kutoka Kenya 🇰🇪🇰🇪

  • @Arrowacterscinemax
    @Arrowacterscinemax 10 месяцев назад +2

    Ngoma kali aisee King Kontawa👊

  • @gellyflaour
    @gellyflaour 10 месяцев назад +1

    Ubunifu mkubwa mnooo hongera

  • @kerlyd255
    @kerlyd255 10 месяцев назад +10

    Oya you made it my brother maua yako liacha ya creativity Ila unajua kuchora vibaya mnoo we ni MUBAYA HIII
    Let we enjoy men I call you TEACHER CONTA.

  • @baysadam235
    @baysadam235 10 месяцев назад +3

    Minachekaga tuuu🔥🔥🔥🇲🇿🇲🇿

  • @officialhushas
    @officialhushas 10 месяцев назад +1

    Oyaa ili goma linaitwa mwalimu❤

  • @user-tm9dl5fz4s
    @user-tm9dl5fz4s 9 месяцев назад

    Aaaaaah kontawa mi nachekaga tu

  • @sheltonsure1899
    @sheltonsure1899 10 месяцев назад +28

    Mwalimu wa maths hapa ni wapi😂😂😂
    Kontawa you need to organize a tour to kenya to sell your brand🇰🇪🇰🇪 and you will thank me later❤❤❤
    🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @edwardnelison7485
    @edwardnelison7485 10 месяцев назад +3

    Kontawa✨✨✨✨✨✨✨💥💥💥mwalimu

  • @dannywillson5874
    @dannywillson5874 10 месяцев назад

    Nenda wasafi yaishe utambe kitaaaa kaka

  • @frankkarua9994
    @frankkarua9994 10 месяцев назад +2

    Yah imepenya hiyo ngoma Kali sana

  • @FondationMtotowamtaa
    @FondationMtotowamtaa 10 месяцев назад +4

    😂😂😂😂Kama unakubali mwalimu gonga like hapa

  • @arabgandaempire
    @arabgandaempire 10 месяцев назад +22

    *Let us all express ourselves through the power of Love peace and Music.*

  • @FurahaWamasifa-sx3zt
    @FurahaWamasifa-sx3zt 9 месяцев назад +1

    Nizuri sana kontawa mwalimu 😚😚😥 nimependa san. U.s .a

  • @okisdungamawe254
    @okisdungamawe254 10 месяцев назад +2

    Teacher 🔥💪

  • @xclusivebtz7516
    @xclusivebtz7516 10 месяцев назад +22

    Kontawa is an artist of another level 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @anordrussi6940
    @anordrussi6940 10 месяцев назад +3

    kontawa mwalimu ❤❤❤❤

  • @vanderjoe2551
    @vanderjoe2551 10 месяцев назад +1

    Uwiiiiiii kweli hiphop nomaaaaa

  • @DahuuTz-ue6yg
    @DahuuTz-ue6yg 10 месяцев назад +2

    Kaka taawa hahahah mwalimu bundara chizi😂

  • @Didahofficial123
    @Didahofficial123 10 месяцев назад +4

    Much love from kenya

  • @McQris006.
    @McQris006. 10 месяцев назад +24

    Content is on another level!🔥🔥🔥