Kweli muziki wa zamani ulikuwa ukisikiliza ulikua una uhai ndani yake..muziki wa sasa ni maiti umekufa..fundisho tosha kwa jamii..waache wazee wenzetu wapumzike huko walipo wametuachia majonzi kuondoka tumekuwa wapweke tunawakumbuka na vinanda na sauti zao...RIP all na sisi njiani..
In 1989, I was worried because there was the strong probability that I had got a deadly virus. So, for two weeks, I even didn't want to change the cassette in my car. I don't know how often this song was repeated ( about 60 times), but when I was finally informed I didn't have the virus, the song became some kind of a hymn for me.
Bro zama hazirudi Wana misic wameondaka Na vipaji vyao walikua wengi mno Marijan, ongala,manet,juma mrisho,muhidini ngurumo,bichuka,chidumule Sijawahi kusikia hata mmoja wakati huu anaweza kuwafikia
Nina shindwa kusema kitu maana Hemedi Maneti na Vijana jazz walifanya kazi safi kupanga vyombo vyote na kweli vilipangika. Sijui kama kuna mwanamziki wa enzi hizi anatosha Maneti.
hakika jmn salute kwao wataalam hawa vijana jazz natamani ningekuwepo kipindi hicho lazma ningehudhuriaga tamasha hata moja la wa vinara hawa,bc tu Mungu angazia viumbe hao waweke mahala pepa peponi !! mbele wao nyuma cc !!!
Kila Jumamos pale Vijana social Hall Kinondoni ilikua siku ya Vijana day, palikua panawaka moto wa hatari, wajanja wote wa mjini wa zamani na mapedejee ndani ya nyumbani, Maneti alikua the real star. Mziki ulikua mtamu sana.
nani aliroga vijana wetu eti muziki wa kisasi kipya .Leo nimesikia wimbo redioni hati 'zima moto.ita wazima moto,moto unawaka'.let them compose music that will stand taste of time like this hit
Vincent Omondi tuko pamonja, ni machozi tu tukizikumbuka hizi nyimbo wakati wa VOK hata RTD Tanzania. Naomba wengi watuzaidie kulia tu kuhusu hizi nyimbo na hao wadungu walizitunga. +254722762665
Reminds me of my Grand father Mzee Samson Mwanzanje Chidzugwe BEKADENGE. Way back 1985.
JOYCE AKINYI MICHAEL is a very Proud Woman Though DOWN TO EARTH honestly SITAKI fitina maishani mwetu
24/12/2017. Nasikiliza hii nyimbo mundinde.kama na ww unasikiliza kama mimi gonga like twende sawa. From Germany 🔊🕪🔊🕪🔊🕪🎶🎶🎶🎶🎶💃
hery kauli yani zinanikumbusha sana geladi amiri
Golden voice, sauti ya dhahabu
Ndugu yangu ilikuwa atar wakati ule radio Tanzania
Mundinde
Wakati huo raha tupu nala na kuyaa tu lkn sasa mm ndo baba!!
Kweli muziki wa zamani ulikuwa ukisikiliza ulikua una uhai ndani yake..muziki wa sasa ni maiti umekufa..fundisho tosha kwa jamii..waache wazee wenzetu wapumzike huko walipo wametuachia majonzi kuondoka tumekuwa wapweke tunawakumbuka na vinanda na sauti zao...RIP all na sisi njiani..
Hongera sana mama Samia kwa kumpa Steven Hiza million 50 .
Yaani vyombo na uimbaji hakuna gap hata sehemu moja ni sawa kabisa tangu mwanzo wa wimbo mpaka mwisho
Hongera vijana jazz popote mlipo! Tunashukuru kwa burudani murua!
Power Nguzo hongera sana kutukumbusha enzi zetu
Storo nyingi ndani ya maisha yetu NA JOYCE AKINYI MICHAEL MKE WANGU SITAKI
Vijana hii haiwezi kurudi tens..... Ni Siku ya jumapili Vijana day hiyo!!!!
2020 nipo peke yangu🎻🎶🎶🎤🎵🎶
Sio peke yako tupo na sisi pia!
In 1989, I was worried because there was the strong probability that I had got a deadly virus. So, for two weeks, I even didn't want to change the cassette in my car.
I don't know how often this song was repeated ( about 60 times), but when I was finally informed I didn't have the virus, the song became some kind of a hymn for me.
I like this
Pole sana kaka.Haya hutokea kwa watu wengi na kuna wachache huchukua maamuzi ya kujiua.
Very fantastic and smooth song
😂😂😂😂😂 that’s serious. Anyway hope you’re still around now. Reading and enjoying this music in Nairobi on ,5th of may 2023.
very melidius and bravo lyrics
muziki wa kweli RIP Hemed maneti
unaweza kutoa machozi! dah old is gold!
Kweli bro wee acha tuu
Nyimbo hizi zinanikumbusha mbali sana sizani kama haya yatarudi tena.
Bro zama hazirudi
Wana misic wameondaka
Na vipaji vyao walikua wengi mno
Marijan, ongala,manet,juma mrisho,muhidini ngurumo,bichuka,chidumule
Sijawahi kusikia hata mmoja wakati huu anaweza kuwafikia
Acha tu ndg ni htr
😢😢😢
Ulikua ni mziki wa ukweli namkubali sana maneti
Wakati huo hata ukimwi haujaanza kumeza watu, km.unavyomeza leo. Ilikuwa Raha kwa kwenda mbele.
Alikua anaimba anatunga na mpangilio wa vyombo vya hali ya juu. Pamoja na umri mdogo aliokua nao wakati huo lakini alikua genius.
He was Great young man and genius.
Kweli zamani wanamuziki waliumiza vichwa kutunga na kupiga vyombo kwa ufasaha. siku hizi kelele tu
Juma Ally
eti muziki wa kisasi mpya
Chiriku,u r not replaceable..... Hatutapata mwingine kama wewe
Mundinde amejiandika kazi ya sambaza vitini na umbra. Nani atakulipa mshahara? Jiepushe!! Dr. Ogeto International
Mungu akulaze pema peponi Hemedi Maneti
This was good time wen am coming from safari Aboseli I listen this song .
Swafi sana, mmesema ukweli mtupu. Mudinde wapo tena wengi mno. Dah.... skiliza wanavyochuna guitar aiseeh. Covid-19 ni mudinde pia.
dahaaa khatari Sana wakowapi wasanii Kama maneti jamani
Power Nguzo nimekuvulia kofia kwa nyimbo za enzi zetu keep it up bro
Nina shindwa kusema kitu maana Hemedi Maneti na Vijana jazz walifanya kazi safi kupanga vyombo vyote na kweli vilipangika. Sijui kama kuna mwanamziki wa enzi hizi anatosha Maneti.
Reminds me of my late dad with his wooden radio national used to hear this music though I never understood the meaning by then
Dah, nyimbo inanikumbusha enzi za Primary, wakati huo nipo Hananasif Kinondoni. Safi sana
Very good,l recall my youth
Inanikumbusha kitambo Sana.... Dah enzi hairudi
The Legends❤.
Melodious and unique voice of chiriku Maneti. Very nice and soothing. Timeless!
2024 still green, ever green, Chiriku was a force ❤
RIP Maneti ulikuwa na sauti tamu sana
Mundinde dada wa magomeni mtaa wa kiyungi
Masterpiece. 2023 & still rocking
mziki wa zamani full ujumbe safi sana!
Misitari ilipangwa kwa usawa kabisa. Mwaneti alikua mwalimu tosha
We all have Pandora's UMBEA ACHENI
This masterpiece is ma number one favorite of all time❤😂🎉
their legacy will never end on this earth
Umeniua jamaa... :-)
Shukran!!!
hakuna kama yeye mwenyezi Mungu amueke pema peponi kwenye wema chiriku
hakika jmn salute kwao wataalam hawa vijana jazz natamani ningekuwepo kipindi hicho lazma ningehudhuriaga tamasha hata moja la wa vinara hawa,bc tu Mungu angazia viumbe hao waweke mahala pepa peponi !! mbele wao nyuma cc !!!
Jamaniii kifo hikii ,rip Manet,shegy,Adam bakari, natokwa namachozi nikikumbuka1988 pale memorial moshi jamani,wapi Elia Gambela,kindora,kingi kombo,chande hamadi wote tuliomaliza lasaba mawenzi1991?
Wema Musa
Raha sana mundinde Mary maria tambiko LA pambamoto rip maneti
Solo bomba
Kila Jumamos pale Vijana social Hall Kinondoni ilikua siku ya Vijana day, palikua panawaka moto wa hatari, wajanja wote wa mjini wa zamani na mapedejee ndani ya nyumbani, Maneti alikua the real star. Mziki ulikua mtamu sana.
Mudinde imenikumbusha mbali Sana maji naita mma.
Mziki taratibu,yanikumbusha wakati mambo yalipokua shwari,vyombo vyachezwa na mikono.Talanta hiyoooo
Maneno ya kusikia yanauma lakini Sina WAKATI HUO MKE WANGU JOYCE AKINYI MICHAEL NAKU AMINI
2018 niko peke yangu tu
Kumbe sijui nilikuwa naimba nini enzi zile za utoto😁
Inakumbusha sana
Nakumbuka miaka ya 90 kule vingunguti wana nzaya walikuwa wanakesha nacho.
Right on the right time
Hemed Maneti.....Mziki bomba
Huu ndo ulikuwa muziki R.I.P Maneti a.k.a chiriku
Nakumbuka mbali sana
Hiyo ndo Leo ya zamani
Nimeirudi January 17 /2023
Aisee noma
Sauti ya Kenya Nairobi..Sina mengi ila machozi
Kama Sijakosea hapo safi ya mbele kuna marehemu Adam Bakari Saudi ya zege na marehemu Chiriku manet
Adam bakar yuko hai hadi leo ni mtangazaj Ufm
Mzee Kitime.
nani aliroga vijana wetu eti muziki wa kisasi kipya .Leo nimesikia wimbo redioni hati 'zima moto.ita wazima moto,moto unawaka'.let them compose music that will stand taste of time like this hit
Miamba ilikuwepo zama huzo
Mundinde, kumbukumbu kibao.
Vincent Omondi tuko pamonja, ni machozi tu tukizikumbuka hizi nyimbo wakati wa VOK hata RTD Tanzania. Naomba wengi watuzaidie kulia tu kuhusu hizi nyimbo na hao wadungu walizitunga. +254722762665
safu ya waimbimbaji anayo zomboko
Muzik ndo huo!! Hongera Maneti and the rest...
nooma za kale nitamu
Hapo inanikumbusha wakati nikiwa Bomu pry sch dooooooh wacha tu
Natamanikama wangerudi, lakinindohivotenewametutoka.
Hapo sasa.
Uhondo halisi
Music ulikua na raha mno hisia vyombo ktk ubora
asante
Kuna wimbo mmoja sijui aliimba nani?hila chorus ilikuwa inaimbwa wote wake zangu mapenzi yangu Ni sawa mpendane ndio heshima ya ndoa
Vijana jazz
Mundide
TUPE MAGAIDI WA MSUMBIJI YA VIJANA JAZZ WEMBE NI ULEULE
tunapata raha