PART1:MAMA ALIETOLEWA KAFARA NA KUPELEKWA MIZIMUNI/NILIPEWA CANCER YA KICHAWI/JINI ANANIFUATA/MAITI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 10 дек 2024

Комментарии •

  • @abushaddad989
    @abushaddad989 3 года назад +3

    Kama umelelewa na wazazi wako wawili shukur Mungu Sana , Mayatima wanahangaika Sana .

  • @somoeawadh7774
    @somoeawadh7774 3 года назад +9

    Pole Sana mama, pia sisi tulipitia hayo mambo, ila mungu ni Nani Sahii watoto wake wamekua vibaka sisi alhamdulillah tuna Pesa zetu na maisha yetu safi, na mamaetu,, yy haezi hata kutuangalia 😏😏😏

  • @somoeawadh7774
    @somoeawadh7774 3 года назад +6

    Mama analia Davistar ana cheka Jamani, 😢😢😢

  • @peninahkariuki4679
    @peninahkariuki4679 3 года назад +3

    No 1 let's watch 🇰🇪🇰🇪

  • @username-ey8qu
    @username-ey8qu 3 года назад

    Pole Sanaa mama kwa kukumbuka Yale uliyoyapitia maishani mwako.

  • @danieljoseph1610
    @danieljoseph1610 3 года назад +2

    Mi mwenyewe napenda sana niwe na wake wawili, Lakini nikiangalia mbali naishiwa nguvu! Bora huyo huyo mmoja!

  • @rehemambito7989
    @rehemambito7989 3 года назад +3

    Kenya tupo ndani kama kawa

  • @florenceawuor9993
    @florenceawuor9993 3 года назад

    U.S.Washigton niko ndani kama kawa...kazi mzuri davistar

  • @danieljoseph1610
    @danieljoseph1610 3 года назад +1

    Mama mbona analia sana? Mwambie asjali sana! Watu tunapita mitihani ya ajabu sana!

  • @ntulikasunga3548
    @ntulikasunga3548 3 года назад

    Maisha some time 😭😭😭pole mdada duniani kuna shule Mungu alikupitisha katika maisha hayo ili nawe usijemfanyia mtoto wa mwenzio hivyo au usimfanyie ubaya mtu awaye yeyote hapa daniani maana dunia ni duara nani ajuaye kesho ya mtu, Kumbuka Mungu humwangalia mwanadamu atakavyokuwa na mwanadamu humwangalia mwanadamu alivyo Leo Kumbuka sisi wote ni waja wa Mungu😭😭wanawake Mungu atuponye😭😭

  • @angelinahogqvist7710
    @angelinahogqvist7710 3 года назад

    Mama pore mia pia nimeyapitia kuishi miji ya nadugu ntayayaswa sio chakula marazi kazi hata kubakwa mia nimeyapitia.najuwa unajisiki .kwa sasa pambana uishi vizuli mungu hatuachi

  • @normanmhina8403
    @normanmhina8403 3 года назад

    Hapo ungenogesha baba ungemhug mama na wewe ungetoa chozi Mr. FACTS 😁😁

  • @carolinetalam5832
    @carolinetalam5832 3 года назад +2

    Right on time tuned 🇰🇪

  • @Teacher_01
    @Teacher_01 3 года назад +2

    One love Daddy.. ❤️❤️❤️❤️

  • @phionamoe9003
    @phionamoe9003 3 года назад +1

    Pole sana mamy hope everything's good now

  • @valentinandukuvalentinandu4779
    @valentinandukuvalentinandu4779 3 года назад

    manawake mnaowatesa watoto ambao mamayao amefariki hii inawahusu mimi niko na uchungu sana cz hii maisha imenipata nanyi wanawake Mungu anawaona

  • @laurarose1521
    @laurarose1521 3 года назад +1

    Davister wew c poa yni wacheka😳😳🙄🙄😂😂😂

  • @ryhislamminamuonamsengetu9111
    @ryhislamminamuonamsengetu9111 3 года назад +1

    Vinakuja kwa namna ya tofauti pole mama ndo dunia 😭

  • @christinaalexander1213
    @christinaalexander1213 3 года назад

    Davista ujiongeze weka tussue unapohoji watu wengine watalia wape tissue. .kuwa kimataifa kidogo 🥺🥺

  • @makavelli.6876
    @makavelli.6876 7 месяцев назад

    Asha mnoko sana Mungu aku lipizie mabaya yako

  • @valentinandukuvalentinandu4779
    @valentinandukuvalentinandu4779 3 года назад

    Asha salamu zikufikie

  • @hasnasaif1075
    @hasnasaif1075 3 года назад

    Daaa ibaga nyumbani Kabisa sehem zote unazo zitaja ni home Kabisa najua utakuwa unakijua kijiji cha Nkito hapo ndo nyumbani my sister

  • @mercykim7004
    @mercykim7004 3 года назад

    Pole sana mama

  • @somoeawadh7774
    @somoeawadh7774 3 года назад +1

    One love... 😍😍😍

  • @tabithamwihaki248
    @tabithamwihaki248 2 года назад

    Tuned from doha

  • @gracewelschemeyer665
    @gracewelschemeyer665 3 года назад

    Pole sana Mama😥

  • @laurarose1521
    @laurarose1521 3 года назад +1

    Watisa leo...bt davister hapo mlipo Kuna baridi nn

  • @macamezunguzungu5697
    @macamezunguzungu5697 3 года назад

    Together Mr dm💪

  • @salumsamesame1741
    @salumsamesame1741 3 года назад

    POLE MAMA .

  • @thumnathumna5946
    @thumnathumna5946 3 года назад +1

    Duh.dunia ina mambo.

  • @nasrasway7143
    @nasrasway7143 3 года назад

    Pole mama yangu

  • @kenyanniggar357
    @kenyanniggar357 2 года назад

    ehee ngozi ni malazi safi sanaa

  • @aminabhitalio8143
    @aminabhitalio8143 3 года назад

    Wanawake sometimes tuna roho mbya japo si wote,, Ila mi namshukuru Mungu mamaangu wa kufikia mpk kesho ananipenda nanamuona km rafiki angu

    • @baravuga622
      @baravuga622 3 года назад

      Mwambie achukue Soda hapo kwa Mangi nakuja kulipa..

    • @aminabhitalio8143
      @aminabhitalio8143 3 года назад

      @@baravuga622 👍🏻

  • @beatricekweka6683
    @beatricekweka6683 3 года назад

    Dàah pole mama 😭😭

  • @kimsamespa8490
    @kimsamespa8490 3 года назад

    Hii niile ya Cain na Abel

  • @Glassskin_co.
    @Glassskin_co. 3 года назад

    Pole mama😪

  • @marthamaligo458
    @marthamaligo458 3 года назад +1

    Walleleeeee🔥🔥🔥🔥🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️

  • @baravuga622
    @baravuga622 3 года назад

    We Davista sio mtu mzuri..Mama analia wewe Unatabasamu😁😁😂

  • @cocotz1892
    @cocotz1892 3 года назад +2

    Wa kwanza

  • @jotafungo4622
    @jotafungo4622 3 года назад

    Aisee!

  • @hamiskalulu5114
    @hamiskalulu5114 3 года назад

    mbona ajajitambulisha jina lake

  • @nasibubalonzizubusa3449
    @nasibubalonzizubusa3449 3 года назад

    Mama yavumilie tu yaliyopita

  • @yushuaissa467
    @yushuaissa467 3 года назад +1

    All blame to the father!

  • @KariukiRoysambu
    @KariukiRoysambu 3 года назад

    Hii ndunia ina maajabu yake

  • @sabinakawembe601
    @sabinakawembe601 3 года назад

    😍😍😍

  • @shantellemwanakombo3703
    @shantellemwanakombo3703 3 года назад

    Duh hatar

  • @kimsamespa8490
    @kimsamespa8490 3 года назад

    Huyo mama alikua ni mchawi kabisa

  • @kalssambaboo9932
    @kalssambaboo9932 3 года назад

    Kwsweli hawa wamama wakufikia nimtihan

  • @tututz100
    @tututz100 3 года назад

    KANSA

  • @thumnathumna5946
    @thumnathumna5946 3 года назад

    Wakina baba wanachangia kunyanyasika watoto wasie na mama.

    • @jamilarajab4610
      @jamilarajab4610 Месяц назад

      Ni kweli mimi yamenifika namshkur Allah nimesave ila nimeteseka sn mke mkubwa ni mwanga alinitesa sn pamona na wanangu

    • @jamilarajab4610
      @jamilarajab4610 Месяц назад

      Ndoto zangu zilikuwa ni za kuwaona wanga tu mke mkubwa nikimuona ndie gwiji la wachawi

  • @kulthumsaif2856
    @kulthumsaif2856 3 года назад

    😞😞

  • @valentinandukuvalentinandu4779
    @valentinandukuvalentinandu4779 3 года назад

    leo mtu makini umeona ufunge shuka la wamasai

  • @womanofsteel1402
    @womanofsteel1402 3 года назад

    Machungu huwa yanaishi kusahaurika Ni vigumu ,,angalia Sasa huyu mama na umri wake bado anakumbuka yote machungu aliopitia tangu utoto na bado Ana maumivu anaumia,,,Tujifunze kuwatendea mema watoto wote hata Kama hukumzaa ,,ukimtendea baya hawezi kusahau anakua na chuki moyoni na kusamehe Ni ngumu.

    • @monicahovda4524
      @monicahovda4524 3 года назад

      Binadam yoyote yule. Akili yake iliyo sawa, ameumbwa kuwa na kumbukumbu, Akili inafanya kazi kama cimputer iliyowekwa Program, feil liko pale alifutiki, kwa kuwa limeshawekewa program, ukilitaji tu hili faili unalitafuta linakuja, na Binadam akili yake iko hivyo, ukimkumbusha anakumbuka Hilo fail, au la anaweza akakumbuka mwenyewe kwa kuwa fail liko pale, Kama fail ni Mbaya akilikumbuka anarifiria na Mwengine anamwachia Mwingi na kuliacha kama lilivyo, ila kufutika haliwezi Maadam Anaishi, program ipo pale,

    • @womanofsteel1402
      @womanofsteel1402 3 года назад

      @@monicahovda4524 Ni kwel ,,Tujifunze kuwatendea watu mazuri zaidi kuliko mabaya ,,Hata wakiyakumbuka yasiwaumize kivile.

  • @karrolleschon3986
    @karrolleschon3986 3 года назад

    🇸🇪🇰🇪🙀