HIVI PUNDE TUMEPOKEA TAARIFA MPYA NA MBAYA SANA KUHUSU WAKILI WA TLS,,AMEUWAWA KIKATILI..

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 31 дек 2024

Комментарии • 10

  • @uwezawamungumkuu.amaniafrika
    @uwezawamungumkuu.amaniafrika 3 дня назад +1

    wanadamu wanasikia raha gani kuua Watu?. Kumwaga damu ya mtu ni kosa sana mbele za MUNGU MKUU. Poleni sana ndugu zetu.

  • @rehemashabhay8946
    @rehemashabhay8946 2 дня назад

    Dharma.. dharma.

  • @NixonJohnson-r4m
    @NixonJohnson-r4m 2 дня назад +1

    Jamani mimi nashauri hivi... wachunguzi watoke nje

  • @CretusMwalongo
    @CretusMwalongo 3 дня назад +3

    Hii sio sawasaw

  • @JohnMhogo-hd3fs
    @JohnMhogo-hd3fs 3 дня назад +2

    Hii nchi hatari sana kwakwwli

  • @ElishaMwakajila
    @ElishaMwakajila 2 дня назад

    Selekali.hatuna.tunagengelawahuni

  • @dorahy1579
    @dorahy1579 День назад

    Kumbe basi kauwawa na huyo mwanamke na kaka zake. Huyo meanamke bado yuko kazini yaani bado ni mbunge? Waliouwa pia watauwawa au siku zao zitafika watakufa.

  • @rehemashabhay8946
    @rehemashabhay8946 2 дня назад

    Mawakili mjitathimini kuna jambo..

  • @ChristerKok
    @ChristerKok 2 дня назад

    Hapa mpaka yesu arudi kupata uchunguzi.