Yani nilivyosoma tuu majina ya hii combination,mimi mars,young lunya na marioo,niligonga like button kabla sijafinya play.Kama kweli ngoma yenyewe ni 🔥🔥
Naona hapa ushabiki tu na watu wasojua mziki tuacheni ushabiki maandazi young lunya kaua sana kwenye hii ngoma,yéyé ndio kaifanya tukaipenda hii ngoma wala sio mario wala mimi mars
I'm from the U.S., planning on visiting Tanzania later this year. This song was playing in a previous video, had the club jumping. I actually love this song!!!!
Yaan Ili Dude nalikubaL!
Tunaoangalia 2024 gonga like
ila hii ngoma🔥🔥🔥🔥🔥
Watoto wa kanda ya kaskazini..Tanga,Manyara, Kilimanjaro na Arusha like zenu
❤❤
Team Mario n Young lunya wimbo we2 huu🔥🔥🔥🔥
Nomasana
Noma sanaaa
Good maboy
Makubali
Wale ambao hatuchoki kurudi zaidi ya mara 3 kuangalia hii ngoma tuna like hapa👇👇👇 kwa pamoja. ili mini,lunya,mario, wote wazione.
Yes
×10 daily 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
❤❤❤❤
Nakupenda huu wmbo kutoka moyo
❤❤❤ hngrn sana
Yani huu wimbo naupenda sana yani kila nikimuona lunya tuuuu mimi hoi
Mariooo uwii nitakutafuta nikuombe tufanye kazi sio kiki ila nimziki 💥💥💥💥💥
Uyu mim Mars miaka 3 mbelee....uwiiiiii 🙌🙌🙌🙌 uyo Lunya ndo mamamamam mariooo ndo sisemiii kbs🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥mmeuaaa wakubwa
Hii ngoma kiukweli badest 47 umefanya bonge LA bit huwezi amini mwanangu ume kill hii ngoma mimimars fire marioo fire
Yeah muda wote kama mpo mnasikiliza Una we piga like yko hapo
Yani nilivyosoma tuu majina ya hii combination,mimi mars,young lunya na marioo,niligonga like button kabla sijafinya play.Kama kweli ngoma yenyewe ni 🔥🔥
Kaliii
Daaah bongo tuna vichwaaaa jamani yani Unasiklza mziki kW tabasamu kubwaa wekaaaaaa n wekeeee🙌🏻🙌🏻🙌🏻🔥🔥🔥
Atar sana izi Ladha ya tz mziki mtamu mim mars Mario. Lunya so amaizing
Moto sana I love the BTS and the message ❣️❣️
Oyooo lunyaa boy juu aiseee wote kwenye i ngoma big up mars best planets hhh keep on work Mario big boss
Kama nawew unaiskia vionjo vya particular kama mim gonga like za kutosha
2023 here, still song hits!! My favorite song up to this year 👐love you mimi mars
Lunya mkali sana🎶
Wahuni marioo × Lunyaa balaa zitoo🔥🔥🔥
Ni vyema maneno yangeleta utukufu kwa Mungu so kwa binadam
Nakupenda sana mimi mars tangia uwanze kuimba ujawai kosea bonge yangoma😘😘
Hili zaga hata mimi linanichanganya.love u Mars!
Yong lunya nakukubari san broo.
Naikubali sana hii ngoma lunya umeuwa mzee baba
Mimi mars.... The 🌏 is yours enjoy your time mommy love your voice... Good music
Wale ambao tumerudi leo kwa mimi marss la UNA
Aise hii nyimbo daaah nairudia mara mbili mbili bonge moja ya heat aise
Bonge la ngoma,
*Mimi Mars* uko vyed
*Young Lunya hatari sn*
*Marioo* baba la baba umeua kinyama
Marioo kawafunika knyama an lunya kaza mwamba
Wimbo naupenda kila leoo pale kat marioo daah makin sana💯
Kama imemuelewa Toto bad ngonga like apo chin
Mimi sijui kiswahili ila uyu young lunya kafunika kifala. ..love from German
Huyu #Marioo huyu naomba like zake jamanii
duuh hii nyimbo sio yakukosa M1 viewers ad leo asee kwl watu hawajui vtu vzr
Naomba like za lunya jamani
Nawaombea siku moja mkamuimbie Mungu Mungu bado anawapenda
Hili goma mmetisha wote hamna alobaki nyuma like 👇 tujuane wale tulioijua hii ngoma kuwa haijakosewa
hivi hitatokea tena uwimbe ngoma nyingine kali kama hii ✌️✌️✌️
Saut yko tyu had mwil unavaib omg love u mimi mars😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍
Habari za Mjini kwani nini, Weee!!!
namtazama younglunya kama msanii mkubwa wa hip hop ajae africa nzimaa!!!
Naona hapa ushabiki tu na watu wasojua mziki tuacheni ushabiki maandazi young lunya kaua sana kwenye hii ngoma,yéyé ndio kaifanya tukaipenda hii ngoma wala sio mario wala mimi mars
15/12/2023 mgonge like hapaaa
Walae umaliiza na ngoma yako congratulations 👏👏👏👑👑 you mmmmmm
Duuuh hi ngoma kali bhn gonga like km umeikubali
uyo lunya hiphop nomaaa san uyo lunya uyo kawafunika wote yaan anajuaaa uyo duhh uyo lunya nomaaaa
Mimi mars you knailed the song , congratulations
Nailed with a k,🤣🤣
Ndio nimeskiza leo x10 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
I was on holiday in Zanzibar and one of the drivers used to put this song!! I loved it ! It reminds me of ZNZ ... From DR Congo
Mrembo Wa chuga ,nzuri hiooooo,Mario, duu lunya, umenigusaaaaa
I just wanna make it public I loveeee Mariooo with all my heart y’all that’s my Tanzanian celebrity crush 💯😭
Nakupenda Mimi Mars unajua ujawah kosea kaskazini mojaaaaa hiyo
Kama unamkubali marioo weka like twende sambamba
Bado naikubali sana hii ngoma, Marioo ulitisha sana
Shika mahali poa mashabik kama mnapenda hii song like 👏👏👏🤍🤍🤍🤍🤍♥️♥️
Nimeipenda sana hi nyimbo imbeni nyingine kama mlivo imba wote ivi watatu mme tisha sana
Kama una Ikubaki hii nyimbo gonga like twend sawa
Beat kal ngoma kali bonge la collabo young lunya mzee tikisa namuelew knoma huyu mwamb
Mdee music in da house 🏡
Kwasas namkubali Sana marioo aisee🔥 huyu chalii n mbadala wa mondi 💯
My star my queen mimi Mars❤️ good job
I like this song ni nzuri sanaaa
nimemukubari Mimi mars
Noma xana
Nice song
Nikalii kinoma
I am glued🥀🇰🇪🇹🇿🇷🇺
Kuliko upate like za Mario uko una una una pata like za mimi mars
Mim mars na Mario hii ngoma mmetish xichok kuxikiliza❤️❤️
Hii ngoma ina wakali wangu Wa 2019 ndio maana nimewatch sana na kushare lunya&marioo
mimi mars nimekubali kutoka KENYA pia ile song yako na mwana FA - ex nimekubali kwa mpigo
The day I learn Swahili I’ll have respect for nobody. I’ll feel like water in the desert 😂
Love your music Mimi 🥰 ⚡️✨
much respect
Appreciated
Holla me for Swahili lessons dude
Keep it up! Hakuna matata!
@@salimmnzava1883 ppp0ppp000
nakukubal mimi mars naona kesho yk yan bonge moja la star wa kinyamwez
Young lunya on top 1
Mimi mars no 2
Marioo tot tundu 3
Baddest 47 producer 4
Oya hili goma kaproduce Baddest47???
@@godlovegeorge2334 yaaa man imepita kwenye mikono ya baddest 47 man
Ni shida nimeikubali
Idea kalii ndo kitu ambacho tunapendaga combination Kali tunapendaga kitu ambacho
Wachag wenzang koment zen 2po kila idala kusak jax ukorof we2 kuimba ni sis eebna ee chuga juuu
Uko vzr sana
Namkubali sanaaaaaaa young lunya .kafunika 🤳🤳🤳
Nakubali sana💣💥💥🔥💥💥🔥🔥🔥🔥💣💥💥
mimimars anajua sn love you baby 😍😍😍
Wale wa Mnyama Lunya Tujuane hapa..
ngoma kali ile mbaya..ila sasa kuna watu wawili kama wamekosena, G_nako na Jux.
Shout sana kwenu Lunya na Marioo,hawajawahi kosea
The real queen Mimi maaaaaaaars much love from Kenya
Moja kati ya kazi kubwa nzuri za kufungia mwaka 😙😙😘😘mimi_mars nice combination u killed it #LUNYA #MARIOO
#UNA ✌✌✌💪💪💪
2 years but I still love this song💪💪
weeh mtoto Marioo skutaki kabisaaaaaa maana hujawah aribuuu ila uyo jamaaa lunya ni 👑 ov the jango ajae..
Chuga queen achia mambo tunasubiri
Nom sana
Nyimbo imekaa kwake hii mimi mars B gup kwa kuwashirikisha mafundi ndani
Asante kwa mziki mzurii iii chemistry meielewaa san
Hii ndo ile ya G_Nako inaitwa #Gusanisha chaya kwa chanya 🌟🌟aisee Mme uwa wote MTU 3
Wapi likes za marioo
Kjhhhjhhjjjjjjjbjkkjhhujh
Marioo OG
Naivyo ipenda sauti uyu dada 🌟💖💖💖,much love Mimi Mars
Kama waamini marioo katsha umu like apa tujuane team marioooo 💥💥
👍👍
Namkubali
sana2
Kubali sana marioo kauwa
Marioo anaweza💪
My dia hujawai niangush my mim mars🥰😍💖💞💕💋💋umenishika pabaya ww dad nimubay daaah 😘😘
Kama unasema young lunya kauwa gonga like
Huyu dada Ni family related to Vanessa wamefanana Sana mbona
Sanaaaa
@@chrischleopa7738 ni mdg wake huyo
young lunya kauwa
Sanaaaaa young lunya nakukubal broo
Naikubalii xana hii nyimbo kam ninavomkubalii marioo 🤜🤛
Alafu sasa , kitandani mtamu haswa 🤗 Nani kasikia.....
☝🏿
😊☝️
,mim mars unatisha sana
Bonge moja LA jam hii ikipewa airtime asee naiona mbali sana
Bonge LA Ngoma Aiseee
mimi mars wew ni noumaaaaaaa nakupenda sanaaaaaaaaaa
Wale tumeletwa na Marioo wapi likes
Nomaaaaa
Namkubl san mario
@@nadiyaally4084 tupoooooo
Hakuna kama mimi mars best femal artiste nakpnda sanaa❤
I'm from the U.S., planning on visiting Tanzania later this year. This song was playing in a previous video, had the club jumping. I actually love this song!!!!
Welcome dear
Visit Tanzania 🇹🇿💪
Ndo fleva nilikuwa naisubili kwa mim mars yeaaaaaaah
Love from Kenya 🇰🇪 to mimi mars
Mimi ujawai nianguxha wala kukoxea yan ni 💥💥💥💥💖🇿🇲
Marioo has got a soft voice waaah, best vocal ever.