Marioo - Raha ( Official Music Video )

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 янв 2025

Комментарии • 3,1 тыс.

  • @ninabizimana6869
    @ninabizimana6869 Год назад +286

    Nani ungine bado Ana sikiliza iyinyimbo 2023 anipe like

  • @mwajumakitulozulu1582
    @mwajumakitulozulu1582 5 лет назад +25

    Waliotendwa wote ila kwa sasa wanaenjoy like hapa tafadhali.Hongera Mario nyimbo tamu👏👏

    • @easyk9433
      @easyk9433 5 лет назад +1

      Can you explain to me this son please

    • @TebelaTv
      @TebelaTv 5 лет назад +1

      Welcome to my account and subscribe my account and subscribe

  • @petermatoke8293
    @petermatoke8293 4 месяца назад +14

    Mtu yeyote anayesikiliza hii nyimbo 2024

  • @fukijunior1747
    @fukijunior1747 5 лет назад +35

    Napenda akinipa migandishooo 👏👏👏👏👏 marioo una hatariiiii saaana kama unapenda marioo like twende Sawa

  • @marikopafredi
    @marikopafredi 5 лет назад +66

    *Kama una mkubali Mario ℅100 gonga like twende sawaa wazee wa makanyesha*

    • @TebelaTv
      @TebelaTv 5 лет назад

      Movie clip are coming soon plz subscribe my account and subscribe

    • @stevmandele1415
      @stevmandele1415 3 года назад

      Hata sitaki

    • @gabrielobote8145
      @gabrielobote8145 3 года назад

      Iz it original zuchu ? Hata pia wewe ni🔥🔥🔥🔥

  • @ColynxPancracy-eo2me
    @ColynxPancracy-eo2me Год назад +26

    Tujuane tulotendwa mwaka 2024 tukaja kusikilizaa hii ...😢

  • @Komashiomedia
    @Komashiomedia 5 лет назад +70

    Weuwee... First Kenyan viewer likes za Marioo hapa ❤️❤️🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @asheyathuman6228
      @asheyathuman6228 5 лет назад +1

      nimeipenda

    • @Chefflake
      @Chefflake 5 лет назад

      I'm also Kenyan, n I did comment before

    • @TebelaTv
      @TebelaTv 5 лет назад

      Welcome to my account and subscribe

  • @duniayakijani7868
    @duniayakijani7868 5 лет назад +16

    Hi song nimeirudia mpaka tigo wamenitumia sms nimebaki na mb 50..... 😍😎 Much respect marioo.....

  • @taanimedia6489
    @taanimedia6489 5 лет назад +19

    ebu kawaaandikie na wale wanaojiita wasafi mana nyimbo zako mdogo wangu naskiliza mpaka raha .... yaani inatosha!!! wewe ni mnyamaaa kwa huu mziki

  • @innovator3659
    @innovator3659 5 лет назад +60

    wale tunao mkubali marioo tugonge likes hapa maana ni #RAHA🙌💧

  • @PauloTomasCapesseCapesse-pd1jk
    @PauloTomasCapesseCapesse-pd1jk 4 месяца назад +15

    Nani ungine Ana sikiliza iynyimbo 2024 anipe lake 100

  • @bobjimmy93
    @bobjimmy93 5 лет назад +24

    Bass uwii....linajaa kwa speaker kwa gari ni 🔥🔥🔥🔥wangap bado tunaangalia september hii....dondosha likes

  • @trumponlinetv6216
    @trumponlinetv6216 5 лет назад +18

    kama naww unamkubali marioo jeshi la mtu mmoja gonga like hapa twende sawa❤

  • @Nditos
    @Nditos 3 года назад +26

    Nakuombea sana ubarikiwe ndugu Marioo. Nyimbo hizi unachomoa na inaburudisha sana jinsi inanifanya najihisi kama kwamba nahusika nayo kabisa. Najielezea bila hata kujua kama nishawahi pitia haya yote. Muumba akuongeze hekima na vyote utakavyo na upendeke ulimwenguni kote! One love from Kenya...

  • @chrissymetics5132
    @chrissymetics5132 5 лет назад +8

    Toka DAR KUGUMU nipo napambambana na mambo YALE ya MANYAKUNYAKU ila toka nimekutana na IFUNANYA nikamwimbia INATOSHA sahizi naenjoy kwa RAHA hujawahi tuangusha mashabiki MAY THE GOOD WORK,,,,,BY THE PEOPLE🙌🙌🙌🙌

  • @asmahomary7833
    @asmahomary7833 5 лет назад +8

    Marioo daaah unanikosha na nyimbo zako 😍😍Asante sana ngoma kari balaaaahhhh
    KAMA UNAMKUBALI MARIOO NA NGOMA ZAKE #INATOSHA#RAHA. Gonga like yako apa ❤❤

  • @AgnethaKapinga
    @AgnethaKapinga Год назад +6

    Jaman hii nyimbo hainishagi hamu jaman nilitendwa lakin saizi raha nainjoi

  • @danielurassa2762
    @danielurassa2762 5 лет назад +29

    Kw wale wa Kenya,Tanzania,Congo,Uganda,Burundi wenzangu tujuane hpo down kwa kulike plZ

  • @twahaomari2387
    @twahaomari2387 5 лет назад +17

    Sijui kwanini nairudia rudia hii nyimbo, iko really sana

  • @GyslaineAkimana
    @GyslaineAkimana Год назад +10

    Marioo nyimbo yake yamilele kwngu nayipenda zaidi😘mwenye akingali anaisikiliza kama mimi like👍

  • @mathayomarwa9077
    @mathayomarwa9077 5 лет назад +28

    Nmeumizwa ila naposkiliza huu wimbo nafarijika like hapa kama unamwelewa fundi

  • @babaqaira9080
    @babaqaira9080 Год назад +5

    Hii nyimbo huwa naisikiliza kila leo salute 🫡 sana @marioo

  • @ruqaiyaommy4598
    @ruqaiyaommy4598 5 лет назад +15

    Yan hii ngoma unaweza kulia ugal mbele ya X wako wallah

  • @goodluckmalila2117
    @goodluckmalila2117 5 лет назад +10

    Mzee marioo hii ngoma ulitulia kaka mm sio shabiki wa bongo flavour ila hiingoma imenikosha tena imenikosha kunako.......message tosha kabisa kwako ukiona chafu wenzako wanaona safi

  • @fatoubah7472
    @fatoubah7472 4 года назад +18

    Why is this song not nominated for GRAMMMY?????! THIS IS THE MOST BEAUTIFUL AFRICAN SONG!

  • @flugensitairo445
    @flugensitairo445 5 лет назад +19

    *marioooo* much respect kwako
    Kama unamkubali mwamba huyu gonga like hapa

  • @azzaabdallah1875
    @azzaabdallah1875 5 лет назад +22

    Siichoki hii Nyimbo naweza isikiliza hata zaidi ya mara 3...❤❤❤

  • @saimtangi7508
    @saimtangi7508 5 лет назад +10

    Every day lazima niangalie hii song Kwanza, ndipo mengine yaendelee....Safi Marioo

    • @nin6324
      @nin6324 5 лет назад

      Sai Mtangi Hii Nyimbo ikipigwa EAST 24 GROOVE BACK LOL STAGE INAJAA

  • @mwanatalenttv
    @mwanatalenttv 5 лет назад +29

    FUNDIIII 💪💪
    #MARIO RAHA
    NGOMA YA MOTO SANA
    LIKE KAMA unakubaliana nami
    🔥🔥🔥🔥😂😂

    • @selemandaud28
      @selemandaud28 5 лет назад

      Hii ngoma kali aseee, , Mwana unapatkan wp ?

  • @rahimmalik2341
    @rahimmalik2341 5 лет назад +14

    Broo pambana,nyimbo zako zina ujumbe mzuri sana,usibwete pambana usikubali makundi kwenye kazi zako

  • @islamicteachings2365
    @islamicteachings2365 4 года назад +11

    100 time nikiona hii nyimbo wakenya tunampenda Marioo sana

  • @shakilamasoud8979
    @shakilamasoud8979 5 лет назад +32

    Aliyesikiliza huu wimbo zaidi ya Mara moja tujuane bana 🔥🔥🔥

  • @SophiaAlly-e4m
    @SophiaAlly-e4m 10 месяцев назад +5

    Jaman hii nyimbo inanikumbusha mbali xana jaman kipindi sina hata mtoto

  • @chelseaamanda9099
    @chelseaamanda9099 5 лет назад +14

    Nyimbo safi sanaaaa..imesafishwa ikasafishika....nipe like kama unaikubali

  • @arafahabibu6107
    @arafahabibu6107 5 лет назад +15

    Nimerudia mara saba...jamna unajua mariooo

  • @danielngotto5652
    @danielngotto5652 Месяц назад +4

    Sema hili dude vyombo vilipgwa kinyamaa ,one of the best song from Marioo ever

  • @naysamnguruta5593
    @naysamnguruta5593 5 лет назад +11

    Daaa sichuki kuaangalia jaman....like hapa kama kuna mtu anaiangalia hii video kama mm

  • @mzungukobe5285
    @mzungukobe5285 5 лет назад +13

    marioo unajua adi shida kaka unaimba huwakisia wa maisha halisi ya mtaani yalivyo ndo wanavyosemaga hivyo hivyo hoo naondoka naondoka nimeuulewa sana huu wimbo kama nawe umeuelewa kama mm gonga like za kutosha

  • @sylvesterotiato792
    @sylvesterotiato792 5 лет назад +16

    Tamu sana.
    Jan 2020
    Nani Yu nami?

  • @teklaellias4052
    @teklaellias4052 5 лет назад +14

    Kama umesikiliza wimbo zaid ya Mara4. Tujuane

    • @TebelaTv
      @TebelaTv 5 лет назад

      Welcome to my account and subscribe my account

  • @novatusbwakea1704
    @novatusbwakea1704 5 лет назад +9

    Nlijua tu itaingia kumi Bora trending.....saizi inatafuta tatu

  • @lutenlafam
    @lutenlafam Год назад +7

    2023 bado unawakandamiza sana hao wasanii wa kubana pua,nakubali bro big up

  • @ar-shadihashimu6729
    @ar-shadihashimu6729 5 лет назад +9

    Jamani hyu jmaa fund achen kulinga maan hamjapima wengi,,,nipeni like zangu

  • @pstarhreal2767
    @pstarhreal2767 5 лет назад +8

    Huyu kama diamond bana,,,,,,wapi lyks za 254

  • @azzaabdallah1875
    @azzaabdallah1875 5 лет назад +8

    Hii nyimbo nzuri sana midundo yake sasa ni noma ukiwa na Speaker za ukweli zile zenyewe utanielewa nini namaanisha..🇩🇪🇩🇪🇩🇪🇩🇪 Viva Mariooo...

    • @wisehekima3973
      @wisehekima3973 5 лет назад

      🤣🤣 wewe unaonekana unapenda mziki 🙌🙌

    • @azzaabdallah1875
      @azzaabdallah1875 5 лет назад +1

      @@wisehekima3973 😁😁😁 kuna nyimbo zinabaki masikioni na unaendelea kuenjoy napenda miziki inayoeleweka tena sana...

    • @consolatahwairimu5083
      @consolatahwairimu5083 5 лет назад +1

      Azza Abdallah I tell you zinangonga all his songs beats

    • @crershawmafia1009
      @crershawmafia1009 5 лет назад +1

      Hapo unazungumzia kitu cha Sony Xplod....Hatari sana hizo bassline zinavyopishana 🤣🤣🤣 siku naisikia hio beats mule nilitamani nisishuke ilikuwa ni daladala

    • @azzaabdallah1875
      @azzaabdallah1875 5 лет назад

      @@crershawmafia1009 🤣🤣 au JBL Speaker hatari tupu

  • @sophiaally4377
    @sophiaally4377 5 лет назад +12

    Walio dislike hii nyimbo ndo walewale wa kama daladala za kariakoo (inatokainatoka),I love this song I must say (imenigusa ) its like medicine lazima kila Siku nisikilize ,today nimekuja kuilike tu. #marioo from now am your fun of cause nilikuwa ila sasa nimezama

  • @veronicaerias5878
    @veronicaerias5878 5 лет назад +14

    Kwakwl hii nyimbo huwa sichoki kuisikiliza yaani marioo kam vile umeniimbia mm yaan nilikua na bwege mmoja umefany nimuache kupitia hii nyimbo kit konki

  • @fatoubah7472
    @fatoubah7472 4 года назад +61

    this song makes me cry with joy and sadness, I don't even understand what they are saying, it is just a beautiful song. God bless you.

    • @nadinekubwimana3773
      @nadinekubwimana3773 4 года назад

      ruclips.net/video/yJTfV2aAKZMi/видео.htmlol8

    • @sweetie6934
      @sweetie6934 4 года назад +4

      He said he got new girlfriend who loves him so much he forgot all what he went through with his ex

    • @nancykunyiha306
      @nancykunyiha306 3 года назад +1

      0000

    • @stephengikuri2904
      @stephengikuri2904 3 года назад +3

      It's a good feeling to have some one who loves and appreciates u for who you are. Rather than leaving with someone who looks down on you and treats you like garbage.

    • @Iamsheshiy23
      @Iamsheshiy23 3 года назад +2

      Me too..I love it..I reacted to it..rate my reaction on my channel..

  • @careenchazy9471
    @careenchazy9471 5 лет назад +7

    mambo ni 🔥🔥🔥 vibe kama lote wanao mkubali marioo kidole juu☝️☝️☝️

  • @brownmpemba8460
    @brownmpemba8460 5 лет назад +25

    dah nimerudia kuangalia hii ngoma Mara 10 cjui kuna wenzangu

  • @cryptoa782
    @cryptoa782 3 года назад +12

    This jam hits different in a sun-roofed Mercedes Benz ,under streetlights ,smoothly cruising home....mob love from Nairobi,Kenya🇰🇪

  • @mwamvuamwamvua4690
    @mwamvuamwamvua4690 5 лет назад +11

    nakupenda marioo mungu akusimamie ufike mbli zaidi🙏🙏🙏🙏🙏

  • @janabtv3664
    @janabtv3664 5 лет назад +7

    Kama unaikibali hii ngoma na unamkubali marioo like tujuane

  • @sumayaishengoma4543
    @sumayaishengoma4543 9 месяцев назад +8

    Omary fundi makenika mimi ni shabiki yako dam u damu mwanangu❤

  • @khadijangao6990
    @khadijangao6990 5 лет назад +16

    Ma ex jitayarisheni na huu wimbo mtakoma km una ex hoeeh jamani marioo utawaliza watu yaani maex coment bc wenzangu😘😘😚

  • @aishasuvi9210
    @aishasuvi9210 5 лет назад +8

    Mario ameweza wale wakuchepuka!!
    #umeringa umepimaa??)
    nani an support...
    wale wanojua mapenzi na kujua uchungu wakupenda n kutendwa!!

  • @DanielGaspel
    @DanielGaspel 4 месяца назад +3

    Hii nyimbo leo 13/9/2024 naisikiliza nikwa kamarondo Lubumbashi Congo 🇨🇩. Inakumbusha siku niliyovunja mapenzi na Linda nilisikiliza hii nyimbo wiki nzima na clinical nguvu ya kumsahau

  • @khadijangao6990
    @khadijangao6990 5 лет назад +13

    Kwataharifa yako siwezi kuanguka mnk nishapata pa kiegemea kuja sasa wanangu tu coment yani raha😘😘😚😘

  • @saidiomariy4108
    @saidiomariy4108 5 лет назад +10

    Ukitaka kujuwa hii nyimbo nibalaa uwe unachanja gomba unaweza ukapaa

  • @allenmarco9320
    @allenmarco9320 Год назад +6

    Dah hili dude ntawasimulia wajukuu zangu 1day

  • @josephjames2489
    @josephjames2489 5 лет назад +10

    ngoma kali sana ila nani kamuelewa video queen wa humu twende sawa..,

  • @mbosothankyouilikeyoursong9850
    @mbosothankyouilikeyoursong9850 5 лет назад +8

    Mwimbo mzuriii unatiua huzunii kwa wana umee wa na chitiiii mapenzi ndiyo kitu muhimu pesa nivia kupitaaaaaa sauti nzuriiii brooooooo😘😘😘😘

  • @uwezo86
    @uwezo86 5 лет назад +100

    Man, for those who understand music will appreciate the bass guitar 🎸

  • @harlemheat1747
    @harlemheat1747 5 лет назад +9

    Ameweza mbaya uyu kijana... Kenya we love your music.... kam ufanye collabo na #khaligraph #Jones bana

  • @gideonmshana5822
    @gideonmshana5822 5 лет назад +8

    Good song, nakushauri, umtafute chistrian Bela Na ally Kiba, mfanye kolabo, litakuwa poa Sana

  • @OriginalUncleLes
    @OriginalUncleLes 4 года назад +110

    I swear, this is one of the hottest dopest songs ever in the whole world!!!! Absolutely fantastic arrangement.

  • @rashidmakandi
    @rashidmakandi 5 лет назад +13

    Huu wimbo unaeza acha ex ajinyonge dadeki....got talent boy

  • @chrissjr4086
    @chrissjr4086 5 лет назад +10

    Umeuaaaaa saaaan Marioo
    Piga kaziiii saaaan

    • @directordvon2420
      @directordvon2420 5 лет назад

      @Salutwa tv ruclips.net/video/6dszee0bL_o/видео.html

  • @AminaAhmad-m8t
    @AminaAhmad-m8t 7 месяцев назад +11

    Nani yupo 2024 naombeni like waoendwa unaringa umepima

  • @marymayapira3254
    @marymayapira3254 5 лет назад +8

    Na Tena na enjoy,oooh kutendwaa nakusikiaga kwenye bombaaa....nyimbo Kali Sana aichoshi.Umetishaaaaaaaaaaaa

  • @aslambabu5764
    @aslambabu5764 5 лет назад +24

    I don't understand what the hell you are singing! I just love this music. I listened to this song at least 100 (one hundred) times, and still, I am listening.

  • @yahyajuma7137
    @yahyajuma7137 11 месяцев назад +5

    kwenye maisha usikate tamaa mariioo huyu nawasasa tofat bigup marioo

  • @goodluckmalila2117
    @goodluckmalila2117 5 лет назад +9

    dahhh mario kaka unajua unajua sana mnyamwezi.. biti kali kinoma sanaa biti limetulia ...GOD BE WITH U ALL THE TIME..MONDI AKASOME

  • @hawardteam68
    @hawardteam68 5 лет назад +9

    aki wewe ni superstar please come to kenya you are worth......keep up

  • @JeffSauke
    @JeffSauke 4 года назад +13

    i never get enough of this song. Marioo hapa uligonga ndipo

  • @emmanuelmunanka6137
    @emmanuelmunanka6137 5 лет назад +10

    Huyu msela kama hybrid ya mondi flan hiv..
    Anajua🙌🏽

  • @htx1873
    @htx1873 5 лет назад +8

    The song is Everything, the light skin Video vixen she is Gorgeous omg 😍😍😍. Nipeni Hizo likes mpaka RAHA .

  • @EdithaCyrian
    @EdithaCyrian 9 месяцев назад +4

    Our true love story with my husband, now we live happily eve after, ukiachwa kwa dharau kuwa mtulivu Mungu huwa anashuhuda zakuwapa ma ex na huwa hawaamini macho yao wakiona waliwadharau wame move on

  • @elishamwabalogile8775
    @elishamwabalogile8775 5 лет назад +11

    Marioo unawatu sahihi wanaokuzunguka keep shine boy ur the baddest man on ur way

  • @ezekielmanyesela3846
    @ezekielmanyesela3846 5 лет назад +8

    Nafas ya Aslay jamaa anaelekea kuichukua Kama unakubaliana na mm gonga like twende sawa

    • @abdukalembo788
      @abdukalembo788 5 лет назад

      Ezekiel Manyesela kwel ajipange

    • @ezekielmanyesela3846
      @ezekielmanyesela3846 5 лет назад

      @@abdukalembo788 dogo anapita mule mule na tayar ameshapata mashabiki Wa kutosha kila nyimbo lazima iingie kwenye trending

    • @abdukalembo788
      @abdukalembo788 5 лет назад

      Ezekiel Manyesela yani namkubari kinoma ukimsikiliza kwa umakini utajua nini anakiimba uyu dogo

  • @kdloon2030
    @kdloon2030 5 лет назад +8

    Huku vietnam twainjoy hii nyimbo pia.Unaweza kusimama peke ako,coz waeza bila Team

  • @goodluckmalila2117
    @goodluckmalila2117 5 лет назад +8

    i wonder kwann iko no7 trending ilibidi iwe namba 1

  • @deogratiuswillson2563
    @deogratiuswillson2563 5 лет назад +11

    Marioo unasauti nzuri kaza buti utamshinda hata diamond I love

  • @sweetie6934
    @sweetie6934 2 года назад +13

    Na kwa taarifa yako siwezi kuanguka maana nishapata pa kuegemea 2022

  • @charitymnyazi5401
    @charitymnyazi5401 5 лет назад +8

    Totobad mwenyewe...mistari ya hii nyimbo imetulia.....Kama umeona kuwa amemshinda otile achia like

  • @kalunginajib1707
    @kalunginajib1707 5 лет назад +11

    Wow tunawapenda Sana much luv from Uganda

  • @faithjones__
    @faithjones__ 11 месяцев назад +12

    Huu mwaka nani ako hapa? 2024🎉🎉🎉🎉🎉

  • @pendonanyaro4018
    @pendonanyaro4018 5 лет назад +14

    Kama unamkubali marioo gonga like twende sawa

  • @catherinejames9510
    @catherinejames9510 5 лет назад +18

    Hujawah kosea kama unamkubali mariooo gonga like hapa

  • @JacklineCharls
    @JacklineCharls 9 месяцев назад +6

    Ndo namba moja tz kwa sasa

  • @jimmymwaita1621
    @jimmymwaita1621 7 месяцев назад +12

    This is my all time favourite song , 2024 and still strong

    • @asomahevans
      @asomahevans 6 месяцев назад +1

      i played this song during a 4 hr drive from accra to kumasi 🇬🇭

  • @jasminemussa
    @jasminemussa 3 года назад +9

    Nan Yupo hapa 2021 kucklza good music yan cjawah uchoka huu mzki ❤️

  • @SophiaAlly-e4m
    @SophiaAlly-e4m 10 месяцев назад +2

    Jaman hii nyimbo unanikumbusha mbali xana jaman kipindi sina hata mtoto

  • @fatmamacharia3593
    @fatmamacharia3593 4 года назад +28

    Likes za Marioo kutoka Kenya 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
    Tumpe Ata kama 2000

    • @kaswiius1
      @kaswiius1 4 года назад +1

      Mario uko juu 😘

  • @MudiMnyamwezi
    @MudiMnyamwezi Год назад +7

    2024 tuko pale. Hili pini ni timeless classic

  • @laj1699
    @laj1699 5 месяцев назад +6

    Gonga like kama 2024 bado unapata ladha iko palepale kama vile unausikia leo🔥💯

  • @moussabmohamedsaid6066
    @moussabmohamedsaid6066 5 лет назад +8

    Sikuwahi kumskiliza Marioo ila hii ngoma amenishawishi niwe shabiki yake 🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽

  • @arafajuma1346
    @arafajuma1346 4 года назад +8

    Mmm napendwa nasokwa nnavyo jidekeza....weweee wapi likes za marioo kutoka 001 kenya

  • @RehemaSalim-d3g
    @RehemaSalim-d3g 11 месяцев назад +5

    2024 Bado naskila huu wimbo.a sei noma sana.napend San hu wimbo❤❤❤❤

  • @princekassim4089
    @princekassim4089 5 лет назад +10

    (2019)
    #Inatosha Ndio ngoma Kali
    Kwa Muda wote
    #Raha Ndio ngoma Pendwa
    #Gonga like