NJIA 10 ZA KUEPUKA MADENI | Ezden Jumanne

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 фев 2025
  • Kila kitu kwenye maisha kinahitaji maarifa fulani hali kadhalika mafanikio ya kifedha yana maarifa maalum ambayo yanahitaji ufuatilie kwa makini ili uweze kuyafikia. Kitu kinachokwamisha au kuchelewesha watu wengi kufanikiwa ni kuandamwa na madeni, sasa katika somo hili Ezden Jumanne anakuchambulia njia 10 zitakazokuepusha na madeni katika maisha yako, hii ni kwa msaada wa kitabu cha Nguvu Ya Pesa - Festo Amos.
    .
    Tuandikie kwenye comments nini umejifunza katika somo hili na kama kuna mifano inayoendana na somo hili tafadhali tushirikishe na sisi tujifunze toka kwako, Each One Teach One! Karibu sana.
    .
    LIKE - COMMENT - SUBSCRIBE - SHARE
    .
    SPONSOR: MY SHOP TANZANIA
    WEB: myshop.co.tz
    INSTA: / myshop_tz
    .
    WASILIANA NA EZDEN JUMANNE
    Voice-over Talent/ Content Entreprenuer
    Instagram: @ezdenjumanne
    Twitter: @ezdenjumanne
    Facebook: Ezden Jumanne
    Phone: (+255)759 191 076
    Website: tinyurl.com/voi...
    .
    SUBSCRIBE Kwenye channel zetu nyingine:
    .
    HAMASA YA LEO👇🏽
    / hamasayaleo
    .
    JE WAJUA?👇🏽
    www.youtube.co....
    .
    VOICE-OVER CHANNEL👇🏽
    tinyurl.com/mat...
    .
    .
    #Kuepuka #Madeni #Maishani

Комментарии •

  • @successpathnetwork
    @successpathnetwork  2 года назад +3

    KUNUNUA KITABU CHA NGUVU YA PESA:
    Wasiliana na Festo Amos kupitia
    Namba: (+255) 766 181 367
    Bei: 10,000 TZS

  • @gatimakonge8678
    @gatimakonge8678 Месяц назад

    Roho ya madeni ni janga.. Tumuombe sana MUNGU WETU atuondolee hili zimwi

  • @IdrisaHalfani
    @IdrisaHalfani 6 месяцев назад +1

    Hili ni bonge la somo nimijifunza meng sana

  • @jescarwegoshola1754
    @jescarwegoshola1754 2 года назад +4

    Asante kwa shule nzuri,safi sana inawezekana nikuchukua hatua👍

  • @gerardshabani7383
    @gerardshabani7383 2 года назад +1

    Ezden nakuelewa sana uko wap umeyafanya maisha yangu niyafurahie kabisa kutokana na elimu unayotoa

  • @innocentmushi2721
    @innocentmushi2721 Год назад +2

    Each one teach one team thank you alot... Mungu akubariki bro Ezden

  • @AYUBMWANGOKA
    @AYUBMWANGOKA Год назад +1

    Nimejifunza!

  • @irenemosha9262
    @irenemosha9262 Год назад +1

    Njia ya kupunguza maden

  • @francinenkunzimana6825
    @francinenkunzimana6825 2 года назад +1

    Asante Sana kwa ushauli wako

  • @janviervenasi
    @janviervenasi Год назад

    Asante mwenyezi mungu akubariki

  • @JoyceHaule-v7t
    @JoyceHaule-v7t Год назад +1

    Thanks

  • @monicangaluma7756
    @monicangaluma7756 2 года назад

    Asantee nimelewaaa nitafanyia kaz

  • @vitalisstuart9185
    @vitalisstuart9185 8 месяцев назад

    Umenifunza ki2 broo

  • @saumusanjiama6991
    @saumusanjiama6991 8 месяцев назад

    Kweli kabisa shukran

  • @kagepaul9532
    @kagepaul9532 2 года назад

    Barikiwa

  • @mwasitiathumani4626
    @mwasitiathumani4626 Год назад +1

    Umepotea sana kaka nilikua cpat notification

    • @successpathnetwork
      @successpathnetwork  Год назад +1

      Aaah Mwasiti mbona nipo hapa daily ndugu yangu... Karibu tena! Labda bonyeza tena bell notification... OFF & ON tena..

  • @mimiummie
    @mimiummie 2 года назад +1

    We growing family.

  • @johnbanda6601
    @johnbanda6601 2 года назад +1

    Nashukuru bro ezden

    • @successpathnetwork
      @successpathnetwork  2 года назад

      Tuko pamoja ndugu yangu. Zaidi cheki commeny ya kwanza hapo juu ili kuona namna ya kupata hicho kitabu ktakusaidia sana

  • @JoycePeter-mm7qu
    @JoycePeter-mm7qu Год назад +1

    Nimeyapeda Sana mafundisho yako kuhusu,Ila Broo nadiwa nashindwa kuelewa nianzie wapi

  • @snakedee3246
    @snakedee3246 2 года назад +1

    💪

  • @farajiwanted8257
    @farajiwanted8257 2 года назад +3

    Asante Sana Nawezaje kupata hicho kitabu?

    • @successpathnetwork
      @successpathnetwork  2 года назад +1

      KUNUNUA KITABU CHA NGUVU YA PESA:
      Wasiliana na Festo Amos kupitia
      Namba: (+255) 766 181 367
      Bei: 10,000 TZS

  • @sharifsaidshoka8684
    @sharifsaidshoka8684 Год назад +2

    Mm nataka hivi vitabu ili nijifunze zaid

  • @LilianBenjamin-k6o
    @LilianBenjamin-k6o Год назад +1

    Hlw nipo machimboni leo mwaka 4 sina mafanikio zaidi ni madeni na kukimbia familia nifanyeje

  • @Nestoryshilinde-bb9ux
    @Nestoryshilinde-bb9ux Год назад

    Upo vizuri utufundisha Ili Nina seali nahitaj kula bustani ya matunda tatizo vitendea kx😢

  • @maulideabdala3832
    @maulideabdala3832 2 года назад +1

    ASANTE KAKA KARIBU KWETU MOZ(BEIRA)

  • @JoycePeter-mm7qu
    @JoycePeter-mm7qu Год назад +1

    Nisaidie nianzeje kulipa haya madeni maana nadaiwa sana

    • @successpathnetwork
      @successpathnetwork  Год назад

      Fuatilia hili somo vizuri... Ukihitaji zaidi niandikie WhatsApp

  • @pontianrweyongeza6240
    @pontianrweyongeza6240 Год назад +1

    Kwakweri sisi wafanyabiashara tunamadeni mengi uwaayaishi sijuikwanini? Vitabu vya nguvu ya pesa hicho nikizuri sana Mimi Niko wiraya ya mureba nitakipaje?

  • @lifeinmiddleeast8179
    @lifeinmiddleeast8179 Год назад

    Aki yaaani Niko omani 3yrs sijasave chochote ni madeni Tu , hata hayaishi😥

  • @shukranjulius9526
    @shukranjulius9526 2 года назад +2

    Kiunauzwa beigani kaka

    • @successpathnetwork
      @successpathnetwork  2 года назад +1

      KUNUNUA KITABU CHA NGUVU YA PESA:
      Wasiliana na Festo Amos kupitia
      Namba: (+255) 766 181 367
      Bei: 10,000 TZS

    • @shukranjulius9526
      @shukranjulius9526 2 года назад

      @@successpathnetwork Shukrani sana

    • @JoycePeter-mm7qu
      @JoycePeter-mm7qu Год назад

      Nimekuwa nifanya kz Sasa kwa ajili ya kulipa madeni nisaidie Broo

  • @kelyjames5452
    @kelyjames5452 Год назад

    Namba point namba kumi (10)nimeilewa Sanaa "Afya ndo Mtaji mkubwa wa Maisha pasipo Afya nzuri ,hakuna maendeleo !!

  • @karimjuma6196
    @karimjuma6196 2 года назад +3

    Kituambacho huwaga kina ninyima amani nimaden na ili amani yangu isitoeke najizuiagasana kukopa kitu pasipo na sababu zisizo za lazima

  • @musakibwana4596
    @musakibwana4596 2 года назад +2

    Iyo orodha ya wenye kudai inaongezeka haipungui

    • @successpathnetwork
      @successpathnetwork  2 года назад +1

      Wewe ndio inabidi uhakikishe haiongezeki. Na uanze kuishughulikia ipungue mpaka ipotee kabisa. Na inawezekana

  • @mohamedmashaka4599
    @mohamedmashaka4599 2 года назад

    Nahitaji hiki kitabu

  • @suzanbagumhe6935
    @suzanbagumhe6935 2 года назад +3

    Ntakipataje hicho kitabu?? Pia ni bei gani.

    • @successpathnetwork
      @successpathnetwork  2 года назад +1

      KUNUNUA KITABU CHA NGUVU YA PESA:
      Wasiliana na Festo Amos kupitia
      Namba: (+255) 766 181 367
      Bei: 10,000 TZS

  • @maulideabdala3832
    @maulideabdala3832 2 года назад +1

    ASANTE KAKA KARIBU KWETU MOZ(BEIRA)