JINSI YA KUFUNGA FAN & REGULATOR

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 дек 2024

Комментарии • 47

  • @YusufuThabiti-sf9bu
    @YusufuThabiti-sf9bu 10 месяцев назад +2

    Asante mwalimu nimekuelewa sanaa m/mungu akuongezee maarifa zaidi ya ulio nayo

  • @FrankBen-mw9uj
    @FrankBen-mw9uj 9 месяцев назад +1

    Asate mwalimu nimelewa san

  • @khalfanmmenjuka
    @khalfanmmenjuka Месяц назад

    Teacher nakuelewa sana

  • @MaynasampuliJumaa
    @MaynasampuliJumaa Год назад

    Tupo pamoja mwalim

  • @nationboy2541
    @nationboy2541 2 года назад

    Ahsante kwa elim bro

  • @Mtumwakhamis-gp8pe
    @Mtumwakhamis-gp8pe 8 месяцев назад

    Asante mwalimu

  • @aminahaboubakar2479
    @aminahaboubakar2479 3 года назад

    Nakuelewa sana mwalim mtema

  • @brooeddy8965
    @brooeddy8965 3 года назад +1

    Mwl. Mtema .
    Wire wa newton na live za fan ujatuinyesha zinaungwa je hapo sijaelewa Mwl.

  • @faidakahindikatana1480
    @faidakahindikatana1480 Год назад

    Nmeelewaa,,thanks alot

  • @muhitajihachoki2956
    @muhitajihachoki2956 3 года назад

    Asante unatupa vitu adimu tupo p1 mungu atakulipa shukran 🤝🤝🤝

  • @mwanatz5980
    @mwanatz5980 2 года назад

    Asante Mwalimu.

  • @elkanakahi6371
    @elkanakahi6371 2 года назад

    Asante sana kwa kutukumbusha

  • @lucastv8443
    @lucastv8443 2 года назад

    Kuchukua umeme kutoa gan moja kwenda nyingine huitwa ruping sio kukopa mwalim

    • @issaally3270
      @issaally3270 2 года назад

      Kaka mm namba no yako kunataa nataka unifahamishe ya imotin sensor

  • @elisha_glory5035
    @elisha_glory5035 Год назад

    Asante mkuu namba yako ninayo tutawasiliana

  • @hassanferdnand8107
    @hassanferdnand8107 Год назад

    Waya wa nyutro imeyotoka kwenye feni sijaelewa imeenda wapi mwalimu.

  • @alfredmaganga5390
    @alfredmaganga5390 2 года назад

    Asante Kwa darasa

  • @BernadKamesa
    @BernadKamesa 29 дней назад

    Nilazima kufunga feni na huku

  • @medihainfo9318
    @medihainfo9318 3 года назад +1

    kama feni linapiga makelele nini ufanye ili lisipige makelele

  • @charlesandrea1794
    @charlesandrea1794 2 года назад +2

    mwalimu tunaomba darasa jinsi kutumia multimeter

  • @Calvogen
    @Calvogen 2 года назад

    Mwalimu hongera kwa elimu nzur unayotupatia...hakika inaangaza maisha yetu...but kwenye feni zilikuwa nyaya 2 nyeusi na nyekundu sasa mbona kwenye switch imetoka moja tu ya red??? Nyeusi umeicha wapi mkuu??

  • @chidybwax8080
    @chidybwax8080 3 года назад

    Good

  • @ramadhaniamanzi6636
    @ramadhaniamanzi6636 3 года назад

    Kaka iv ufungaji wa regureta na dimmer swich ni mmoja? Au kuna tofauti?

  • @madanjicosmas3430
    @madanjicosmas3430 Год назад

    Jinsi ya kubadilsha capacitor ya feni

  • @aminimwazani9483
    @aminimwazani9483 10 месяцев назад

    Hiyo neutral uliyoitolea huko kwa fan umeiconnect wapi mwalimu

  • @triplesevenproducts
    @triplesevenproducts 3 года назад

    Safi

  • @abrahamomar7496
    @abrahamomar7496 3 года назад

    asante muwalim

  • @jacklinelocken385
    @jacklinelocken385 3 года назад

    Bei ya capacitor ya fen tafadhar

  • @abdurahmanilugazo3675
    @abdurahmanilugazo3675 Год назад

    Kunatofauti za capastor za feni ya panga kma hiyo au ni sawa

  • @ramakatonyongo1389
    @ramakatonyongo1389 2 года назад

    Ila ule waya wa nyutro sijauona fundi kule juu tuliunga nyaya mbili yaani L&N sasa huku chini naona L pekeyake

  • @ramakatonyongo1389
    @ramakatonyongo1389 2 года назад

    Nakukubali sana fundi wangu

  • @massansamagesas2869
    @massansamagesas2869 2 года назад +1

    Mm sijaelewa kwa sababu kule kwenye fan zimetoka wire mbili lkn kwenye switch naona wire moja nyingine umeiweka wapi! Mwalimu

    • @saulimagota9362
      @saulimagota9362 2 года назад

      Nyingi ni N ambayo itakua kaunga kule juu kwenye jangtion so live kaja kuichukulia uku kwenye switch

  • @frezixsabk8078
    @frezixsabk8078 2 года назад +1

    Tcha neutral ya kwenye fan umenga wap?

  • @ushangabakari5801
    @ushangabakari5801 2 года назад

    Vipi Feni kuzunguka kinyume nyume Tatizo nini

  • @ommarijuma1212
    @ommarijuma1212 3 года назад

    Saaaf sana unda group LA wasap kiongozi

  • @pendaelilukumai964
    @pendaelilukumai964 Год назад

    Mwalim naomba kuuliza, je nikifunga feni5 alafu nitumie ragulator moja haina tatizo???

  • @avitusjovin
    @avitusjovin 2 года назад

    Kaka aangu siakuelewa apo kwenye kufunga regureta Kwenye feni zimetoka waya mbili mwekundu na mweusi mbona apo ka umefanyia kazi mwekundu tu mweusi ajauona ulipo pitia af Tena siakuelewa apo kwenye switch nyutro ya feni iliko enda naomba unieleweshe tafazali sar

    • @saulimagota9362
      @saulimagota9362 2 года назад

      Kwa nilivyoelewa neutrol kaunga juu kwenye juction

  • @Christophergallani
    @Christophergallani 11 месяцев назад

    Switch waya ya feni ipo wap sas

  • @juram5349
    @juram5349 2 года назад

    Mwalimu kweny feni kumetoka nyaya mbil comon na switch wire arufu kweny switch ww ukaleta switch ware ambayo imeenda moja kwa moja kweny feni km swait wire sasa common ya feni umeeunga wap hali ya kuwa phase umechukua kweny gang ya switch kwaiyoo phase ya feni umeityumiaje na haijafika kweny REGURATOR....??????

  • @josephmayala6098
    @josephmayala6098 11 месяцев назад

    Fundi

  • @dominicmasele750
    @dominicmasele750 Год назад

    kaka hiyo waya ya neutral iliotokaa kwenye fan mboma sijaelewa imeenda wapi????

    • @bxqueez5729
      @bxqueez5729 Год назад

      Imeungwa kwenye neutral ya taaa

  • @medihainfo9318
    @medihainfo9318 3 года назад

    kama feni linapiga makelele nini ufanye ili lisipige makelele