DARASA LA UMEME two way switch connection

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 дек 2024

Комментарии • 114

  • @aliyshemhiru1591
    @aliyshemhiru1591 2 года назад +7

    Asee unatusaidia sana sisi ambao atujakontroo tunashukuru Mungu akupe heri nyingi 🙏Aliy kutoka moshi Tanzania 🇹🇿

  • @Kened-fv3pe
    @Kened-fv3pe 8 месяцев назад +1

    Me kened from geita mnapatikañ wap napenda iyo kaz🎉❤

  • @abubakariramadhani1372
    @abubakariramadhani1372 8 месяцев назад +1

    Asante sana boss

  • @sameermziray6240
    @sameermziray6240 2 года назад +2

    naipenda sanaaaa big up mwalimu

  • @edwinimezza2471
    @edwinimezza2471 2 года назад +2

    Ubarikiwe sana Na Mwenyezi Mungu alibariki sana

  • @aronjiran
    @aronjiran 2 года назад +4

    Ni mwalimu mzuri sana 🙏🙏

  • @frabiusngemela3994
    @frabiusngemela3994 9 дней назад

    safi sana umetisha

  • @oskaedwin6746
    @oskaedwin6746 2 года назад +5

    Naipenda sana kazi hii ya umeme

  • @josephmwatende1696
    @josephmwatende1696 2 года назад +2

    Safi Sana mtema somo zuri nimelipenda

  • @twaharashidi1103
    @twaharashidi1103 29 дней назад

    Umetisha sana Mzee,

  • @alsamali6964
    @alsamali6964 3 года назад +6

    Shukran sana mwalimu
    Naomba maelekezo ya kufunga 3gang two way

  • @JacklineMbapila-nt3do
    @JacklineMbapila-nt3do Год назад +1

    Punguza maneno engineer twende kaz

  • @PauloSilunde
    @PauloSilunde 22 дня назад

    Nakushukulu mwalimu kwa kutufundisha somo zuri

  • @ramseyallysaid6221
    @ramseyallysaid6221 2 года назад +1

    Fund naipenda sana him fani kwakwel

  • @pirlo7589
    @pirlo7589 Год назад +3

    ASAnt nimepat ujuz

  • @AndasonMbise-f6e
    @AndasonMbise-f6e 3 месяца назад

    Mwalimu big up asee una tusaidia sana❤

  • @josephmwatende1696
    @josephmwatende1696 2 года назад +1

    Asante Sana mwalim nimeelewa ufund endelea kunipa elim Mimi Jose igurus

  • @fundiazamdstvstartimes6556
    @fundiazamdstvstartimes6556 3 года назад +1

    Kaz nzur mwalimuuuu

  • @emmanuelgalyehu9147
    @emmanuelgalyehu9147 Год назад

    Nimeipenda hyo mkuu mungu akubarik tupo pamoja

  • @williamoneya2054
    @williamoneya2054 Год назад

    good mwalimu, kenya keep it up.

  • @MaritimKipkoech-ti7he
    @MaritimKipkoech-ti7he Год назад +2

    Good work Mwalimu. Lots of appreciation 👏🇰🇪

  • @ibnually1512
    @ibnually1512 2 года назад +1

    Nimekusoma vizur

  • @hajihamad6172
    @hajihamad6172 2 года назад +1

    ahsante mwalim

  • @LwambaMwimba
    @LwambaMwimba 3 месяца назад

    asante sana mwalimu nimekupata nmefurai

  • @JumaManusura
    @JumaManusura Месяц назад

    Muko vizuri

  • @HunterKaaya
    @HunterKaaya 6 месяцев назад

    Vyema Sana mwalimu barikiwa sana

  • @paulngassa550
    @paulngassa550 2 года назад +1

    Nakukubali sana kaka

  • @nassorotwaibu1089
    @nassorotwaibu1089 3 месяца назад

    All the best

  • @Steve-ij2lr
    @Steve-ij2lr Год назад

    Mwalimu mzuri

  • @williamkyando-vc8cd
    @williamkyando-vc8cd 4 месяца назад

    sana mwalim

  • @elibarikijohson7694
    @elibarikijohson7694 2 года назад +1

    MUNGU Akubariki sana

  • @japhetjafet9680
    @japhetjafet9680 Год назад +1

    Thanks teacher i apriciat u

  • @travismakini
    @travismakini 2 месяца назад +1

    Somo zuri. Lakini we all know that 2way switch operation when it's off position L2 conduct. Sasa inafaa zaidi tunapofanya connection tuinterchange hizo travellers yaan L2 iende na L1 na L1 iende kwa L2. Ili kurahisisha pale tunapofanya Maintenance kweny taa zetu. Maana kwa connection yako hapo switch zote zilikuw off position lakin ulivoruhusu power taa zote ziliwaka.

  • @giftkweka9139
    @giftkweka9139 8 месяцев назад +1

    Utu Teacher ukweli ndy kaniweka kwenye ajiraa

  • @mwanatz5980
    @mwanatz5980 2 года назад +1

    Asante mwalimu.

  • @oscarluwi5142
    @oscarluwi5142 3 месяца назад

    Ongera sana nikuelewa

  • @rashidmashaka1264
    @rashidmashaka1264 3 года назад +1

    Safi sana namimi nimiongoni mwao

  • @mackmtata8277
    @mackmtata8277 2 года назад +1

    Kutoka mkoa Wa Lindi nakushukuru nimekua fundi kupitia wew

  • @FabianJeremiah-wz9lo
    @FabianJeremiah-wz9lo 6 месяцев назад

    Asnte Sana mwalimu nimekuelewa

  • @amohkizzocomedies4590
    @amohkizzocomedies4590 Год назад

    Napenda hii sana imenisaidia sana

  • @sammyboit-ko6id
    @sammyboit-ko6id Год назад

    Aisee nafurahiai kazi yako nazipenda Mimi pia mwanafunzi WA umeme.natumai utazidi kutufunza jinsi ya kufunga cut out,fuse switch meter Hadi consumer unit.

  • @Andrewtemu
    @Andrewtemu Год назад

    Nime kupata sana mzee

  • @rodgersclemence2124
    @rodgersclemence2124 3 года назад +1

    Sawa kabisa nimeipenda sana hii

  • @elijahcristianoh3379
    @elijahcristianoh3379 3 года назад +1

    Good

  • @barakasimoni
    @barakasimoni 2 месяца назад

    Asante fundi

  • @AbdirahmanSaidhasan
    @AbdirahmanSaidhasan 11 месяцев назад

    Safi.sana.mtema.somo.suri

  • @petermuiruri5632
    @petermuiruri5632 3 года назад +1

    Asante mwalimu

  • @robertmagaga
    @robertmagaga 2 года назад +1

    Asanteeeeee Sana mwalimu

  • @briannyiti204
    @briannyiti204 Год назад

    Thanks bro

  • @chrisekonga9092
    @chrisekonga9092 2 года назад +1

    Unaelekeza vizuri sana,

    • @salehemagoma1325
      @salehemagoma1325 2 года назад

      Pongezi kwako fundi natumai namm soon ntakua fundi

  • @christopherbush9502
    @christopherbush9502 7 месяцев назад

    Cool bro👍

  • @BakariMakamba-pz1yp
    @BakariMakamba-pz1yp 6 месяцев назад

    Nimekubali

  • @FrankJoram-ii8py
    @FrankJoram-ii8py 7 месяцев назад

    asnt uko gud

  • @ngangaamisi4790
    @ngangaamisi4790 10 месяцев назад

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @mwajumasarehe6668
    @mwajumasarehe6668 3 года назад +1

    Shukrani ticha

  • @gerardkonyani3099
    @gerardkonyani3099 11 месяцев назад

    Shukurani sana imeniongezea kitu ndugu yangu

  • @aminimwazani9483
    @aminimwazani9483 Год назад

    Mungu akupe moyo huo huo wakutupa elimu

  • @mgayahassani8377
    @mgayahassani8377 4 месяца назад

    Big up sana

  • @stepshydeportive1363
    @stepshydeportive1363 2 года назад +1

    New singing

  • @bankamusa9931
    @bankamusa9931 Год назад

    Shukrani Fundi Mkubwa

  • @katalyebabuhicho4496
    @katalyebabuhicho4496 11 месяцев назад

    safi sana

  • @engineertarimo7345
    @engineertarimo7345 2 года назад +4

    Hiyo earth ilikupasa ufundishe kwa kuiwekea insulator

  • @ramadhansalimu7924
    @ramadhansalimu7924 2 года назад +2

    👏👏👏

  • @JumaManusura
    @JumaManusura Месяц назад

    Uko vizuri ila mm ilikuwa inanichanganya keny connection tu

  • @amiymuhamisi59
    @amiymuhamisi59 Месяц назад

    Safi fundi

  • @brooeddy8965
    @brooeddy8965 3 года назад +2

    Kwa kweli kabisa kwa mimi mwanafunzi wa Electrical installation Nakushukuru.ila ninaombi mwalimu.

    • @brooeddy8965
      @brooeddy8965 3 года назад +1

      Mwalimu hapo tunaweza kuongeza taa nyingine zijaoperatiwa na hizo two way switch

    • @leudkihanza898
      @leudkihanza898 3 года назад +1

      Wewe ni bonge la mwalim

  • @pallumapesa3784
    @pallumapesa3784 3 года назад +2

    Sema teacher una maneno mengi tembea kwenye content

    • @efkavi77
      @efkavi77 2 года назад

      kweli kabisa, somo limekuwa refu sana, akipunguza maneno muda utakuwa mfupi. Mwalimu hii ni video nenda moja kwa moja kama kuna asiyeelewa atarudisha nyuma.

  • @FrancoFraity
    @FrancoFraity Год назад

    Assange mwalim tunashukuku

  • @paulngassa550
    @paulngassa550 2 года назад

    Asante

  • @HamadNassor
    @HamadNassor Год назад +1

    mwalimu nipo qatar ila nalifuatilia vizuri darasa na mm huku ni fundi umeme

    • @mmasipeter4157
      @mmasipeter4157 Год назад

      Huko pesa c mingi sana na funguwa channel

  • @EliusWambula
    @EliusWambula Год назад

    Ninakupata vixur xn bro endrea kutupa maarifa japo tumesomea alkn vo xana nimevijua kutia kwako by elia

  • @PatrickMtipula
    @PatrickMtipula Год назад

    Mm nakushukuru kuna kitu nimejifunza kwako na nimefankiwa

  • @chanemikila384
    @chanemikila384 3 года назад +1

    Mwalimu mtema heshima kwako nakuelewa sana

  • @rodgersclemence2124
    @rodgersclemence2124 3 года назад +2

    Mwalimu je hapo si tunaweza kuongeza switch ya 3 ambayo itakuwa ina washa taa hiyo moja

  • @DenisPaul-j4j
    @DenisPaul-j4j 4 месяца назад

    Naomba urudie ile photo cell bro

  • @mbarakamohamedy8271
    @mbarakamohamedy8271 3 года назад +1

    Maneno mengi sana

  • @charlesmyamba8531
    @charlesmyamba8531 2 года назад +2

    Samahani Fundi nahitaji kujiunga na group lako je nikishajifunza utanisaidia kupata cheti??

    • @charlesmyamba8531
      @charlesmyamba8531 2 года назад

      @@darasalaumeme7421 cheti nitakipata

    • @edikiumbe7391
      @edikiumbe7391 2 года назад

      Mwalim Naomba Somo la kuwasha Taa Tatu kwa pamoja kwa kutumia Suich tatu tofauti yani INTERMEDIATE CONECTION

  • @medihainfo9318
    @medihainfo9318 3 года назад +2

    yani unatufundisha mpka raah

  • @mr.flamox3330
    @mr.flamox3330 2 года назад +1

    Give me different types of junction box

  • @MmangaHamadMmanga-k6y
    @MmangaHamadMmanga-k6y 2 месяца назад

    Tuletee video ya Alam ya kutumia Sensa

  • @JonathanKaja-if1vx
    @JonathanKaja-if1vx 8 месяцев назад

    niko pamoja nawe ticha

  • @edikiumbe7391
    @edikiumbe7391 2 года назад +1

    KWA MFANO MWALIM NIJIUNGA NA GROUP NA KUPATA MASOMO YOTE KWA NJIA YA MTANDAO JE? MTIHANI NITAFANYAJE NA CHETI NITAPATA KWA NJIA IPI KAMA NIKO MBALI IKIWA KENYA AU ZANZIBAR AU KONGO INAKUAJE HAPO?

  • @mbarakamohamedy8271
    @mbarakamohamedy8271 3 года назад

    Du unachoshwa maelezo kibao

  • @tommrema8842
    @tommrema8842 Год назад

    Apo uhakika teacher mtema

  • @luciucdeodatus8930
    @luciucdeodatus8930 3 года назад +1

    Unajua umuhimu wa earth au

  • @tommrema8842
    @tommrema8842 2 года назад +1

    Teacher apo naauhakika wa kula kazi hiyo switch ilikuwa inanisumbua Akili lakini saiv nimeikomesha

  • @efrahimedson4542
    @efrahimedson4542 Год назад

    Uhakika kwenye umeme

  • @mohdkassim8325
    @mohdkassim8325 3 года назад +1

    Teacher naomba kuuliza
    Kwaiyo iko 1 gang switch na 3 way switch?

  • @owusumichael1874
    @owusumichael1874 2 года назад

    Pls I want to join you this group

  • @gosaguyo7563
    @gosaguyo7563 Год назад

    Unaunganisha wapi wire ya switch

  • @Gladys-ci1sb
    @Gladys-ci1sb 9 месяцев назад

    Tafadhari nipe number yako

  • @hijalizo1575
    @hijalizo1575 2 года назад +1

    t cha kaz! nzr nielekeze j!nsi yakuj!unga na group lako

    • @ianmgunda9766
      @ianmgunda9766 2 года назад

      Good work keep moving sir👏👏

  • @psychoquing5009
    @psychoquing5009 Год назад

    The number can't be added in my WhatsApp and I want to join you guys in person..

  • @amohkizzocomedies4590
    @amohkizzocomedies4590 Год назад

    Napenda hii sana imenisaidia sana

  • @petergeorgemg
    @petergeorgemg Год назад

    Asante