Ni vile hatujue mapito ya wenzetu lakini kusikiliza Huu wimbo unajikuta kumbe kuna Mengi ambayo Umeyashinda Si kwa utashi. Tupe Nguvu Bwana Katika kila Hali zetu! Wimbo Unatafakarisha Sana Hongereni Benediction Voices
It's Benediction Voice once again! Aisee nyie jamaa mnajua mpaka basi yaani! 🔥🔥🔥 Tuendeleeni kumuomba Mungu azidi kutupa nguvu ya kuyashinda majaribu 🙏🙏
Wimbo wa matumaini nipe nguvu ee bwana wewe ndie nakutegemea. Asanteni waimbaji Kwa wimbo mzuri
Huu ni mfululizo wa kazi nzuri Galaxy Studios. Hongereni
Ni vile hatujue mapito ya wenzetu lakini kusikiliza Huu wimbo unajikuta kumbe kuna Mengi ambayo Umeyashinda Si kwa utashi. Tupe Nguvu Bwana Katika kila Hali zetu!
Wimbo Unatafakarisha Sana Hongereni Benediction Voices
Well spoken Ipyana
Nipe nguvu bwana ,nipo kwenye majaribu mzito.😂
Napigwa vita,nimeshuhudiwa uongo,Mungu sikia.
So touching 😥😥 wimbo mzuri sana na unatafakarisha vema ,,,, Mungu awabariki kwa utume huu❤️❤️
🙏🏽🙏🏽 nipe Nguvu Bwana .., majaribu ni mengi
Nyimbo tamu na yenye kutafakarisha mnoo
❤❤❤❤nipe nguvu ee bwana
Hongera wimbo mmeuimba vizuri
Pongezi wa mtunzi,
Naomba kupata copy yake kama inawezekana
Paul Musoka always nyimbo zako zimekuwa zikinigusha sana hongera sana
Kazi nzuri 🔥🔥🔥🔥
Mbarikiwe sana kwa kumtukuza kristu bt wimbo mzuri sana unaleta hisia kubwa sana
Wimbo umenitoa chozi,ujumbe mnzur sana, tafakari safi, mtunzi yuko safiii
Wimbo tamu ❤❤
Beautiful song
I love your work 😊😊🥳
Amina
Pongezi Kwa waimbaji na mtunzi mbarikiwe sn
Amen 🙏
Wimbo mtamu sanaa....
Naomba copy na mbarikiwe
Yani wimbo mtamu jamni pongezi kwa maimbaji Benediction siwawez🔥🔥🔥🔥🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Nice song
I love your work👏
Amen
Wimbo mzur sana wa tafakar hakika Mungu atupe nguvu mbarikiwe sana wapendwa ❤️❤️
It's Benediction Voice once again! Aisee nyie jamaa mnajua mpaka basi yaani! 🔥🔥🔥
Tuendeleeni kumuomba Mungu azidi kutupa nguvu ya kuyashinda majaribu 🙏🙏
Wow. What a beautiful song. From 🇰🇪.
Amina Amina Amina...I am listening very carefully.....Super Benedict Voice..
Wimbo mzuri mnoooo! Kiukweli una tafakari na ujumbe mzito mnoooo! Hongereni sana benediction " Tupn pamoja"
In love 💕❤️
🙏🙏🎹🎹🎼Tafakari nzuri
You never disappoint us! Hongereni sana.
Asanteni!
😭😭😭😭🙏
In love 💕❤️
Amen
Huyu mtunzi Nampa hongera sanàaaaa
Napenda wimbo yenu