TAZAMA WADADA HAWA WENYE VIPAJI NI HATARI , HAWA GILKA,ASNINA NA ZAI KIPINI - "NJOO NDOTONI (ﷺ)"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 11 дек 2024

Комментарии • 29

  • @omarimasanga
    @omarimasanga 2 года назад +5

    Binti wa kiislamu kuimba mbele za wanaume tena kwa kubana sauti. Kisha wanaume wanakuja kuwatunza tena kwa kuwashika.......Haifai kbs

  • @TeamKRX
    @TeamKRX 2 года назад +2

    Subhanallah sasa hii simdhambi

  • @Muu5457
    @Muu5457 6 месяцев назад

    Masha allah

  • @abdallahsaidi3756
    @abdallahsaidi3756 2 года назад

    Maaaaaaaasha----Allah Dada lake ama Dada MTU nakuona mdogo wangu Ama Dada langu Hawa Gilka Ama Hawa bint Laily bin Saidi

  • @alhabeebsulesh1925
    @alhabeebsulesh1925 2 года назад +3

    hawa gilka ma sha Allah ♥️

  • @ummuntaha5711
    @ummuntaha5711 2 года назад +4

    Mashallah watoto wetu munasauti nzuri muliopewa na Allah lakini watoto wangu nawapenda sana mulivyo wazuri tumuogopeni Allah kuimba mbele za wanaume na kutunzwa haifai

  • @sunnykewal3727
    @sunnykewal3727 2 года назад +1

    Asnina she's the best maa shaa Allah🥵🔥😍

  • @nasraharoub1975
    @nasraharoub1975 Год назад

    Asnina yuko vzr jamani Masha Allah

  • @eshasalim5496
    @eshasalim5496 2 года назад

    Maa Shaa ALLAH, Tabaaraka ALLAH

  • @mansourtindwa3328
    @mansourtindwa3328 2 года назад

    Mashallah mashallah ❤️

  • @yahyasamia3982
    @yahyasamia3982 Год назад

    Asnina is best for me

  • @yousuphnzira3209
    @yousuphnzira3209 2 года назад +6

    Hii ni Shubha.
    Innalillah wainnailaih rajiun

  • @yaedlifemedia3203
    @yaedlifemedia3203 2 года назад

    MashaAllah

  • @ahmedshaban7398
    @ahmedshaban7398 2 года назад

    Masha'Allah masha'Allah ❤️

  • @salehrashid1450
    @salehrashid1450 2 года назад +1

    Hawa gilka 🔥

  • @salehrashid1450
    @salehrashid1450 2 года назад +1

    Bab deo hapa ilikuwa wpi na lini mbn hatujaalikwa wapenz wa haya mambo

  • @mwalimumwanyongo880
    @mwalimumwanyongo880 2 года назад +4

    Hivi huu ndio huo uislamu alio ufundisha mtume Muhammad? Tuacheni kuabudu nafsi zetu kupitia kivuli Cha dini. Tunauchafua uislamu

  • @yahyahamad1802
    @yahyahamad1802 2 года назад +1

    huu ni mziki.kama.ilivo mziki.mengine ni.si katika Maelekezo ya uislam

  • @salimsaid1101
    @salimsaid1101 2 года назад +1

    Kwa sisi wenye elimu ndogo ya dini yetu hii imekaaje ??
    Mbona nahisi kama kuna makosa mkusanyiko wakiume na kike

  • @yaedlifemedia3203
    @yaedlifemedia3203 2 года назад

    Raha jaman.kwanin wasirecod huu wimbo

  • @abdulwande1417
    @abdulwande1417 Год назад

    Girka najamb langu utanifanyia kw bei gan fannan

  • @Almujdy.78
    @Almujdy.78 2 года назад +1

    Haram tupu. Binti wa kiislamu badali wajiulize tuje tuwape ni wao na kutoa sauti zao laini kwa kuimba imba. Ingekuwa sauti zao laini sio haramu kwa wanaume wangeruhusiwa kuadhini.

  • @ABSHAAONLINETV
    @ABSHAAONLINETV 2 года назад +2

    @Hawa_gilka Alijua kuupiga mwingi kama mayele Alitetema wallah