MSTAHIKI MEYA WA KWANZA MWANAMKE TANZANIA, DADA YAKE TUNDU LISSU ANENA MAZITO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 19 май 2024

Комментарии • 28

  • @user-fk4ws6fu5x
    @user-fk4ws6fu5x 24 дня назад

    Aksante sana Dada yetu.Nami vilevile namshuru Mungu kwa kimponya ndugu yetu huyu ambaye umuhimu wake ni wa kipekee kwa jinsi anavyo amsha watu walio lala.

  • @isaacjaphet1314
    @isaacjaphet1314 27 дней назад +3

    Mimi nahakika kuna kitu Mungu amekuandalia lissu sijui ni kipi lakini wakati wake ni sahii.... time will tell.

  • @user-nz6rs9vn3t
    @user-nz6rs9vn3t 23 дня назад +1

    Amina mama tunawapenda

  • @user-so9fo5tv3j
    @user-so9fo5tv3j 28 дней назад +2

    Well said retired Mayor Mwanaidi Omar

  • @MichaleMwakyambiki-pq4co
    @MichaleMwakyambiki-pq4co 28 дней назад +1

    Mama ahsante kwa maneno ambayo yanatutia moyo kwamba tusikate tamaa tuendelee kupambana.

  • @user-xi2mf4xh7r
    @user-xi2mf4xh7r 27 дней назад +1

    Huyo mh,Tudu antpas Mungwai Lisu kuna kitu Mungu amembebesha kwa ajili ya watanzania upo wakati wa Bwana ukifika ataketishwa kwenye nafasi ambayo Mungu amemkusudia. na nikutie moyo mh Lisu majarbu unayopitia ni ngazi ya kukupeleka kwenye nafasi ya utukufu,usiogope,usiogope Mungu yu pamoja nawe. Waliokuchimbia kaburi wametumbua wenyewe.Neema ya Bwana wetu Yesu kristo na ikufunike na mkono wa Bwana na usikupungukiwe ktk jina la Yesu kristo,Amina.

  • @user-nz6rs9vn3t
    @user-nz6rs9vn3t 23 дня назад +1

    Kamanda wangu wew ni muujiza pia

  • @davidkawesa3594
    @davidkawesa3594 27 дней назад +1

    Amina Amina kubwa

  • @SundaySteven-bz4yq
    @SundaySteven-bz4yq 28 дней назад

    Ubarikiwe mama Kwa neno la mungu na mungu ni mwenye lehema sisi watanganyika Kwa maombi yetu tutavuka hiyo bahari ya sham amina

  • @hamisimuhunzi7916
    @hamisimuhunzi7916 27 дней назад +1

    Tundu Lissu ni muujiza unaotembea na Mungu amembakiza kwa kazi maalum ambayo ataifanya kabla ya yeye kumchukua wenye akili na hekima mlione hilo

  • @gracedaudimedot9432
    @gracedaudimedot9432 22 дня назад +1

    Ameeen

  • @prospermalala6636
    @prospermalala6636 28 дней назад

    Mungu ni mwema hakika, yupo pamoja nae daima ktk maisha ya mh Lisu

  • @user-ef2ln1mx3s
    @user-ef2ln1mx3s 27 дней назад

    Amina tuwatakie maisha malefu na upendo mkuu uwe dila yenu kumbe kwa umoja wenu kumbe taifa unaliweza kwani umeanzia nyunbAni kwako na ukoo wako wewe ni kiongozi wa kweri

  • @petroyohana1126
    @petroyohana1126 25 дней назад

    Blessed family 🎉

  • @ChristmasMaheri
    @ChristmasMaheri 28 дней назад +2

    Bwana ndiye mchungaji wangu,sitapungukiwa na kitu.Naam,nijapopita kati ya bonded la uvuli wa mauti,sitaogopa mabaya;kwa maana wewe upo pamoja nami,gongo lako na fimbo yako vyanifariji (Zaburi 23:1-6).

    • @MilloWamilonga-ft8ir
      @MilloWamilonga-ft8ir 28 дней назад

      Ondoa duwaa zako za kikafiri

    • @ChristmasMaheri
      @ChristmasMaheri 27 дней назад

      Hii ni Zaburi 23 mistari yote kuanzia wa kwanza hadi wa mwisho.Kwa maelezo yako,hustahili kujibiwa.

    • @MilloWamilonga-ft8ir
      @MilloWamilonga-ft8ir 27 дней назад

      @@ChristmasMaheri zaburi ndio nini?

  • @saleheinnocent7636
    @saleheinnocent7636 25 дней назад

    Mnafanana sana ninyi Ndugu

  • @frankremishoy5778
    @frankremishoy5778 22 дня назад

    Mama kweli ww meya.unajuwa kuongea

  • @HamisMghuna-fj3vz
    @HamisMghuna-fj3vz 28 дней назад

    Allah awastir ukooo w Lissu amIna

  • @juliuszakayo6771
    @juliuszakayo6771 27 дней назад +3

    Ebwana lisu ni wamungu ,, aliposhambuliwa tulikua kwenye send of ngulelo habari iliposambaa ukumbi ulivurugika kila mtu alilia SHEREHE ikageuka msiba ,, lisu usijali watanzania wako nyuma yako 💪✌️💪 MUH LISU

  • @johngibson3089
    @johngibson3089 25 дней назад

    Tundu Lissu MUNGU ana kusudi na wewe na pia alitaka kuwadhalilisha waliokudhuru

  • @user-ie2sr4fi4k
    @user-ie2sr4fi4k 28 дней назад +1

    Naona hapo bibi anafanya yake kwa mbaali

  • @benedictmrisho1800
    @benedictmrisho1800 28 дней назад

    Tumwachie Mungu na maombi

  • @juliuskitaluka1206
    @juliuskitaluka1206 28 дней назад

    Muujiza

  • @gaitanokamage7366
    @gaitanokamage7366 28 дней назад

    Sio mchina mix huyu

    • @1961nungwi
      @1961nungwi 27 дней назад

      Hiyo inadhihirisha Binadamu wote ni sawa!😂