Mtihani mtupu hapa , ukosefu wa kuijua dini na kuhafilika na matamanio ya Ulimwengu,inapelekea watu kuishi kama vile mbuzi aliekata kamba eti hela inaongea , wenye uwelewa wameshaelews,zaidi ninani atamfata mwenziwe kwenye dini yake ? COME back to Allah💪
@@Nihadshighadisio kiislam na wakati siku ya 40 ndo damu ya uzazi ya mama inakata anatakiwa ajisafishe ili kuendelea na ibada zingine kwnye ukristo mnayajua hayo
@@fettiemaganza1484sikubaliani na ww kabisa mia fil mia damu ya uzazi wengi ni wk 2 ikizidi inategemea na pindi damu zikiacha kutoka unapaswa kujinadhifisha ndio wuanze ibada kama kawaida
Punguzeni ukali wa maneno...mtoto ametimiza cku 40 tangu azaliwe anatolewa nje inasomwa dua mtoto anapata baraka zake..watu wanajitoa ufahamu hayo wakati uko mtaani hayo mambo tunafanya sana na tukialikwa tunaenda lakin umu mtandaoni kla mtu sheikh kazi kukosoa ya watu
Wewe unasema 40 mtoto akifikisha siku7anatakiwa afanyiwe hakika na ikiwa wakike mbuzi 1 aanachinjwa na kutolewa sadaka mifupa yake inafukiwa na nywele zake sinanyolewa na kupiwa halafu zinatolewa pesa Kwa mujibu wa kipimo chake na akiwa wakiume ni mbuzi wa2 nayo mifupa hairuhusiwi kuvunjwa I nn afukiwa hivo ndio dini inavosema na sote watoto wetu tumewafanyia na ikiwa imefikia arubaini kama mwenyewe unataka kumtoa unamtoa Kwa Dua khalas
@@AishaNgoyi-vi2kuwivu mbaya sana mwanamke unamuita mwanamke mwenzio malaya kwel jmn wakat wew Kuna jemba inakupanua miguu na unamuomba Hela vp wew haumchuni mwanamke kuwa na kauli ya stara
Waowane Tena wapate watoto wa halali,maana Kama baba wa mtoto ni muislamu basi si mtoto wake na hafai kujinasibisha nae,ni mtoto wa nje,anapaswa kumuhudumia lakin hawez kumrithi so etlist wakioana atakuwa na nafasi ya baba wa kambo,ni vile tu tunayaendesh maisha kidunia na sio kidini
Aroubaini ya mtoto wa nje ya ndoa halafu eti Jina la baba Ni muislam na mama mkiristo Hakuna hiko kitu kwenye Dini yetu Hao wote Ni wazinifu na huyo mtoto Ni koba tu
Marioo uweke akili sawa au utakuta huna hata pesa ya kula hoa wanapenda mahali pawe na pesa huoni rayvanny al8shiyuka katoka japonica alilimlipia ada ya shule na duka akafungua kudaiwa tena ada ya shule akaona hapa mm analipa ada mtu yupi na mungine na wewe kaa mkao w kuliwa na mshenga mwenywe ni j lokole
Mashaallah yani apo wangefunga ndoa kabisa ingependeza zaidi Allah awafanyie wepesi watimize jambo la heri❤❤
Mtihani mtupu hapa , ukosefu wa kuijua dini na kuhafilika na matamanio ya Ulimwengu,inapelekea watu kuishi kama vile mbuzi aliekata kamba eti hela inaongea , wenye uwelewa wameshaelews,zaidi ninani atamfata mwenziwe kwenye dini yake ? COME back to Allah💪
Ooo this is so nice God bless them forever❤❤🥰😍
❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉mashallah
🎉🎉hongera Mario kwa kupata jiko zuri lakin muoane huoni wa2wanapenda maneno mengi 2 ukifa auwoz 😅😅😅 wooooh Mario and paula❤❤❤❤
Dua inasomwa kichwa wazi Subhannallah 😢. Haya hatimae mama wa Marioo aonekana sasa
Si ameva buibui na mtandio wa Black alafu akabadilisha
@@husnaabubakar7144 Kwahy hapo sio muda wa dua? Km sio muda wa dua sawa
Mmemuona Amara Anchzea face ya dady ake ❤
Mashaalla❤❤
Mama ake omy kama hajawahai kumuona mjukuu wake anamuangalia kwa kuibia😢
Huyo ndo alikuwa anamfanyisha mazoezi yakutembea Paula kama hujui
Anae onekana și amala amala bado anafinywa agalieni anavyo funikwa ❤❤❤❤❤
Hongera Dana mdogo Angu Paula mungu awatunze
Mbona Paulababa mtoto hayupo hapo mmependezen na mond km ndio baba shuhuli 😂😂😂😂😂
Wakwanza leo nipewe maua yangu😂❤❤
hongereni sana mungu awatunze
Mama kavaa hereni pia kapendeza mashaa Allah ❤.. Baba nae kavaa hereni na kipini juuu😢😢
Wamependeza sana mashaallah
😂😂😂😂😂Wa mwisho wenu mm hapa...ma sha Allah❤❤❤❤
Nimefurahi kumuona mama Marioo.
Yaani ! Wambea wamezibwa mdomo
Hongeren
Jamn simlitangaza mtt amefarik kumbe yup Hay asante mng napenda sana wtt mung atampa maisha marefu inshaalla
Huyu alosema km 40 maana tunajua amefariki nakujib km ulizaliwa 40 ipo na ukifa 40 ipo kwa ss waislam cjui wengin
Mbona wamesema 40 sio kiislam
@@Nihadshighadisio kiislam na wakati siku ya 40 ndo damu ya uzazi ya mama inakata anatakiwa ajisafishe ili kuendelea na ibada zingine kwnye ukristo mnayajua hayo
@@fettiemaganza1484sikubaliani na ww kabisa mia fil mia damu ya uzazi wengi ni wk 2 ikizidi inategemea na pindi damu zikiacha kutoka unapaswa kujinadhifisha ndio wuanze ibada kama kawaida
@@Nihadshighadikatika uisilamu hakina arubain tofauti na hapo mtoe dalili sio kusema tu hakuna arubaini msibani wala uzazini
@@africa7479 yani ww na huyo mwenzako hapo ju hamjulikani mnaeleza ama sijui makasiriko ya nn
Punguzeni ukali wa maneno...mtoto ametimiza cku 40 tangu azaliwe anatolewa nje inasomwa dua mtoto anapata baraka zake..watu wanajitoa ufahamu hayo wakati uko mtaani hayo mambo tunafanya sana na tukialikwa tunaenda lakin umu mtandaoni kla mtu sheikh kazi kukosoa ya watu
Waaambie chuki tu zinawasumbua, utazan wao wamekamilika Kila kitu😂😂😂
Wewe unasema 40 mtoto akifikisha siku7anatakiwa afanyiwe hakika na ikiwa wakike mbuzi 1 aanachinjwa na kutolewa sadaka mifupa yake inafukiwa na nywele zake sinanyolewa na kupiwa halafu zinatolewa pesa Kwa mujibu wa kipimo chake na akiwa wakiume ni mbuzi wa2 nayo mifupa hairuhusiwi kuvunjwa I nn afukiwa hivo ndio dini inavosema na sote watoto wetu tumewafanyia na ikiwa imefikia arubaini kama mwenyewe unataka kumtoa unamtoa Kwa Dua khalas
Nenda kasome dini wewe sikujiongelea ovyo tu...nani kakwambia Kuna arubaini wala sitini?hebu kasome usipotoshe wasiojua kama wewe
Huyo mama marioo kama haruhusiwi kumshika mtoto
Uislam Hauna Arobaini.Hizo ni Mila za Kifirauni ktk Nchi ya Misri.
Hawa Malaya wapo kzn Mario utachunw mpaka utaukimbia mji
@@AishaNgoyi-vi2kuwivu mbaya sana mwanamke unamuita mwanamke mwenzio malaya kwel jmn wakat wew Kuna jemba inakupanua miguu na unamuomba Hela vp wew haumchuni mwanamke kuwa na kauli ya stara
😂😂😂😂😂 wenzio wanapiga hella kila katukio mbona warabu hawafanyi na ndo wenye dini
@@dorcaskidoti249arobaine hufanywa acha uongo wangu siku ya 40 ndo alitahiiriwa
@Aish😂😂😂aNgoyi-vi2ku
Jaivah amebadilika aiseee😅😅😅😅😅
Mario ana amaniiii anampenda saaana paula
Hata Paula anampenda Sana marioo❤❤❤
Amuoe
Waowane Tena wapate watoto wa halali,maana Kama baba wa mtoto ni muislamu basi si mtoto wake na hafai kujinasibisha nae,ni mtoto wa nje,anapaswa kumuhudumia lakin hawez kumrithi so etlist wakioana atakuwa na nafasi ya baba wa kambo,ni vile tu tunayaendesh maisha kidunia na sio kidini
Swadactaaaa umeongea kweli kabisaaa
Mashaallah ❤
Acheni kuchipua mamb wabongo wapeni maua yao na mpite na yenu 😊
❤❤❤❤❤
Masha Allah
🎉🎉🎉❤❤❤
Mayahudi(Wana ezrail) walisema hawatatuacha hadi tufate Mila zao ndio hizi sasa
Swadacta
Waisrael wanawapa joto sana ,siku hizi hata mkishindwa kuwaridhisha wake zenu , Israel kahusika😂😂😂
Maashallah
Minaona wanache kexha2 Dunia 😅ahaaaaa
siku mkiyachana yani sijuhi niseme nini
Kumbe mama wa mariyo bado kichanga kabisa
Hy sio 40 ni sherehe kchwa wazi ndio nn ss
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Minaona wanache kexha2 Dunia 😅
Leo kajala kavaa nguo ya kumstri nahis anaona mwl unamuwasha kabs anataman avue zote 😅
😂😂😂
Karibu amarah
Mama mkwe mbona anaogapa kumwamngilia mtoto anaon kaingia ukoo wa maneno kajala muonyeshe vizuri mtoto mama w omari
Umesema kweli kama vile ushirikiano mdogo kama kuna kitu
Mtihani dual kusomwa kichwa waz
Wasitaa😂
😊
Kajala yeye ndo mama wamarioo maana yeye ndoànanekana Yuko bize bize
Niulize wali funga ndoa hawa
Ona mlivo vaa mavaz ya dini sahih ya uislam mlivopendeza
Mm wa nne😂😂
Sawa
Mimi wa nane😅
wa kumi hapa nimetuliaaa😂😂😂😂
Amen
Aroubaini ya mtoto wa nje ya ndoa halafu eti Jina la baba Ni muislam na mama mkiristo Hakuna hiko kitu kwenye Dini yetu Hao wote Ni wazinifu na huyo mtoto Ni koba tu
Ucmtie mtt dhamb n za wazaz wake
Na wewe ni Koba mbona tunakufahamu vzr
Hamjamuelewa tu ijapokuwa ametumia neno sio zuri la kumuita mtoto koba,mtoto Hana kosa,makosa ni ya wazazi wake
Wa tano🎉😂😂😂😂
Lazima marioo afate nyayo za baba mkwe wake kuishia kulea mtoto nahiv nayy ni wakike yaani milemule maji hufuata mkondo
Mimi napita tu
Naombeni kufafanuliwa 40 Ni nn?! Mtoto kufikisha mwezi tanguvazaliwe au Nini??
Wa sita
Jmn binadamu tunashida wivu ndo tumejaza kwenye mioyo yetu kipi kibaya kimefanyika hapo
Mbona km paula hamumfungi tumbo
Mario. Mtu. Wa wapi. Yani. Mkoa gani
Mario ni mndengeleko
Wakumi
Hatari sana
Hata celewi
𝗠𝗮𝘀𝗵𝗮𝗮𝗔𝗹𝗹𝗮𝗵❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Hawajaowana. Nafahamu wote ni waislamu.. Nauliza u _ jee mtoto nje ya ndoa huitwaje. ? Na anaweza rithi ?
Pau mkristo
Marioo uweke akili sawa au utakuta huna hata pesa ya kula hoa wanapenda mahali pawe na pesa huoni rayvanny al8shiyuka katoka japonica alilimlipia ada ya shule na duka akafungua kudaiwa tena ada ya shule akaona hapa mm analipa ada mtu yupi na mungine na wewe kaa mkao w kuliwa na mshenga mwenywe ni j lokole
Acha makasariko
Bado hujasema
Hakuna asiependa helaa wewe mwenyewe ukipewa utazitupa?😮😮😮
Hivi nyie mnaoulizia ndoa nyie mnazo? hebu mtupishe
Oya dogo km n kweli muowe wcha uwoga
Ako katoto keusi sana kama bibi kizaa baba😂mkono nimeuon bas apo rkn kaatapigwa Snapchat mpkatuisi kazungu kumbe black
Kwan babake mzungu?
ndo hapo xax bab ake sio mzung😢😢😢😢😢
Kwa hiyo unamaanisha watu weusi no wabaya au hebu acha ulimbukeni
Uchafu tu
Sisi waislamu tunajuwa 40 anafanyiwa mtu aliekufa
Ww muislamu wa wapi
Mbona mm mkristo na najua kuna arobaini ya kuzaliwa na dua inasomwa na pilau tunakula
Ww n mwesilam wa wp kwani hujuwi mtoto wakiisilam anapo zaliwa n anapokufa nilazima afanyiwe 40 au ww wa wp
@@NoelaSumari-ww9lo ww kafiri kaa kmya ya upande huu ww hayakuhusu hivyo ata niongee vpi kamwe huwez kunielewa
@@zahrazahraa3485 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣maiti iyo,alie hai hasomewi 40
Noo pia ya kuzaliwa we vipi
So
Hivi jina la mtoto ni Amarah au ni Amalah
Kama Nerson na Nelson
😂😂😂😂
Sasa hapa lipi sahihi😂😂😂😂
Baada ya hapo mario ataachwa atakuwa nahudumia mtoto tu
Why aachwe😂😂
@@aminakipande5645 wewe si maji yanafuata mkondo mama ake WA Paula ilikuwa VP??
Ww unajua kesho yao,yko waijua
@@Nihadshighadi ndio najua Mimi
@@GeorgeChitemo-kt8sw mnh hebu ngoja tuone mwisho wa huu mchezo lkn km kweli wanapendana wanaweza fika mbali
Mnajua maana ya 40 kwamba alifariki au
Ukizaliwa kuna 40 na ukifika vile vile
40 ya wazinizi lanatullahi alykum
Ujinga tuuuu.utapeliii.,..mapenzi hajui...kiuno kigumu
Wajinga wote kama kweli alobaini mbona mashekhe hawapo pumbafu zenu
Ndio wanaichezea dini