Asante mchungaji nimefunguliwa macho Leo na Mungu kwamba candidate wa mbinguni ni wengi sana na ufarisayo wangu wote umemwagwa chini nikauona na kuuchukia Mungu anisaidie sana
Hakika KAZI unayoifanya ni kubwa kuliko vile uwazavyo sehemu uliyonitoa na mafundisho yako ni mbali mno.Mungu akutie nguvu na ujasiri uendelee kutumika kuokoa roho zilizokata tamaa.
Asante mchungaji nimefunguliwa macho Leo na Mungu kwamba candidate wa mbinguni ni wengi sana na ufarisayo wangu wote umemwagwa chini nikauona na kuuchukia Mungu anisaidie sana
Ni kwa neema tu🙏🙏 BWANA akubariki
Amen pastor mmbaga
Barikiwa pastor
Barikiwa pr kwa kutuinua kiroho
PR naomba uliweke upya ili somo sauti inakata
Great spiritual food. Barikiwa sana mchungaji.
Nabarikiwa sana kwa Neno Pastor, MUNGU Akubariki sana .
Mungu azidi kukutunza ww nafamilia yako
Ubarikiwe sana pastor Mmbaga
Mungu akubariki sana
Hakika KAZI unayoifanya ni kubwa kuliko vile uwazavyo sehemu uliyonitoa na mafundisho yako ni mbali mno.Mungu akutie nguvu na ujasiri uendelee kutumika kuokoa roho zilizokata tamaa.
Ubarikiwe
Nabarikuwa sana na mafundisho yako
Ila nabarkiwa sana kiukweli
MUNGU akutunze Baba
Nimebarikiwa
Hallelujah
What a blessed !
Neno la bwana liishi kupitia kwako mtumish
Endelea kutubadilisha mtumishi wa Mungu 🙏
Pr. Nakuxhukuru xna ktk hili somo