HUWEZI KUSAMEHEWA DHAMBI IKIWA HUJUI HILI SEH 1 (OFFICIAL VIDEO)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 20 дек 2024

Комментарии •

  • @benedictojakobo4425
    @benedictojakobo4425 3 года назад

    Mungu na akubariki akuzidishie sana or🙏

  • @JAMESALBANO-uv5kt
    @JAMESALBANO-uv5kt Год назад

    Nàbarikiwa sana na neno la Mungu

  • @Iankip123
    @Iankip123 4 года назад +1

    Alhamdula mtumishi in kweli kabisa

  • @magdalenajuma6229
    @magdalenajuma6229 4 года назад +3

    Sikua online week 3 nilihisi kupungua bila kufatilia masomo yako Nakuombea mtumishi wa Mungu nawatumishi wote wanaomtumikia MUNGU ktk Roho na Kweli Ameeen

  • @meshackleonce2850
    @meshackleonce2850 4 года назад +1

    Mungu na akubariki...

  • @Leo200981
    @Leo200981 4 года назад +1

    Katika wenye dhambi ndimi mkuu wao....

  • @suzannnesamwel4728
    @suzannnesamwel4728 4 года назад

    Mungu akubariki sanaaa ubarikiwe mtumixh

  • @happynessalex1660
    @happynessalex1660 4 года назад

    Somo zuri pastor Mungu azidi kukubarki

  • @muthonimary1295
    @muthonimary1295 4 года назад +1

    Ameeen mungu azidi kukubariki mchungaji

  • @mwambazmazoyah4628
    @mwambazmazoyah4628 4 года назад

    Tupo pamoja pastor

  • @vailethobedi4723
    @vailethobedi4723 4 года назад

    Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu kwa somo nzuri,

  • @esthetbabu7481
    @esthetbabu7481 4 года назад +1

    Amen mungu akupaliki kwa maubili hayo matamu

  • @luluemmanuel386
    @luluemmanuel386 4 года назад

    Umenivusha mahali mtumishi ,,,uzidi kubarikiwa

  • @lisachacha5542
    @lisachacha5542 4 года назад

    Mungu akubariki pastor kwa ujumbe huo

  • @asooraaasooraa4816
    @asooraaasooraa4816 4 года назад

    Amina nabarikiwa sana

  • @Iankip123
    @Iankip123 4 года назад +1

    Somo libarikiwe sana

  • @dorinimalisa3062
    @dorinimalisa3062 4 года назад

    Ameen barikiw Sana mtumishi

  • @bjchamba6452
    @bjchamba6452 4 года назад

    Nimeimeza hiyo maana nilikua sijui aisee, ubarikiwe

  • @nyamositugara4095
    @nyamositugara4095 4 года назад

    Mungu azidi kukuinua mchungaji

  • @noelyaokoffi7869
    @noelyaokoffi7869 4 года назад

    11 Mkatoliki anaweza kuchukua Meza takatifu ya Bwana katika Kanisa lolote la Katoliki duniani. Mubatisti anaweza kuchukua meza takatifu ya bwana katika Kanisa lolote la waBaptisti hapa duniani. Methodisti anaweza kuchukua Meza takatifu ya Bwana katika kanisa lolote la Methodisti hapa duniani. Lakini Mkatoliki haiwezi kuchukua Meza takatifu ya Bwana kuwabaptisti. Mubatisti hawezi kuchukua Meza takatifu ya Bwana kuwa Methodisti, kwenye kusanyiko la miungu... Na Bibilia inasema kwamba machafuko haya yote yanatoka kuzimu na yaenda kwenyi Hadezi. Ni nini? Ukristo ni ufalme wa Shetani. Na kila Jumapili, Shetani anaabudiwa katika makanisa yote ya ulimwengu kwa jina la Yesu. [ Ndr: Kusanyiko linasema, "Amina! "].
    Www. Philippekacou. Org

  • @lucasmabuli504
    @lucasmabuli504 4 года назад

    Asante sana mchungaji BWANA akubariki.Naomba msaada hapa je petro ndo alikuwa papa wa kwanza mathayo 16:18-19
    2Je.kuoa au kuolewa ni Dhambi 1kor7:32-35
    3.kulingana na hesabu 21:4-9 je sanamu yaruhusiwa kuabudiwa

  • @angelpetro4032
    @angelpetro4032 4 года назад +1

    Yanaitwa mahole

  • @samwelmachia3237
    @samwelmachia3237 4 года назад

    Amina mtumishi mungu

  • @Pendomabula
    @Pendomabula 4 года назад

    Barikiwa PR.

  • @changombesdayouthchoirtabata
    @changombesdayouthchoirtabata 4 года назад +1

    Barikiwa

  • @humphreysalingwa
    @humphreysalingwa 4 года назад +2

    Asante Mtumishi Kwa Somo 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @razalomahulege6447
    @razalomahulege6447 4 года назад

    Mahole kwa kiswahili

  • @maombijofre2302
    @maombijofre2302 Год назад

    AMEN

  • @benedictojakobo4425
    @benedictojakobo4425 3 года назад

    Thanks you

  • @nemaodhiambo7274
    @nemaodhiambo7274 4 года назад

    Sensitive topic

  • @yohanaemanuel4488
    @yohanaemanuel4488 4 года назад +1

    Mchungaji kanisa lako lipo sehemu gani hapa dar es salaam ?

    • @kitulohenry2393
      @kitulohenry2393 4 года назад

      Kanisa linaotwa Seventh day Adventist Church kila mkoa kanisa lipo kwa dar Kuna mwenge SDA Church, Kuna magomeni SDA Church, tegeta, kula sehemu nenda ukapate neno la kweli ndugu
      .ubarikiwe

    • @josephjohn8681
      @josephjohn8681 4 года назад

      Liko dodoma broo

    • @janethjoseph7966
      @janethjoseph7966 4 года назад

      Dodoma sehem gan

    • @Leo200981
      @Leo200981 4 года назад

      Mchungaji Mmbaga hana kanisa lake isipokuwa ni Mchungaji wa imani ya Waadventista Wasabato. Ambapo kanisa la Waadventista Wasabato lipo ulimwengu kote. Hapo ulipo tafuta kanisa la Waadventista Wasabato watakuwepo

  • @ezekielijohn297
    @ezekielijohn297 4 года назад

    Ameen

  • @moramora4414
    @moramora4414 4 года назад

    Amen

  • @janemwasumbi4973
    @janemwasumbi4973 4 года назад

    Amina

  • @kikiderreck9930
    @kikiderreck9930 4 года назад

    Thnx

  • @yassirhamid944
    @yassirhamid944 4 года назад

    O.
    I

  • @jimmymarwamatjr491
    @jimmymarwamatjr491 4 года назад

    Amen

  • @eliakanyika5379
    @eliakanyika5379 3 года назад

    Amen