Suala la Amani, lamgusa Rais Magufuli na hichi ndicho alichofanya...
HTML-код
- Опубликовано: 17 дек 2024
- Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli ambaye yupo Mkoani Geita, Wilayani Chato, wakati ametua uwanja wa ndege wa jiji la Mwanza na kupokelewa na shamra mbalimbali ikiwemo ya vikundi vya ngoma na kwaya, aliweza kuguswa na wimbo wa masuala ya amani uliokuwa ukiimbwa uwanjani hapo na kuweza kuingia kuimba nao.
Very patriotic leader of our times.... Rais maghufuli anaipenda sana Tanzania. Hata ukikumbuka kipindi alipokuwa waziri alikuwa akipigana kufa na kupona kuhakikisha mali za umma kwenye wizara yake hazifanyiwi ubadhirifu
nani anasikiliza kila mara na ana-miss raisi wangu Magufuli kama mimii?
Wimbo mzuri wenye hisia kali
Long time I like this song
Kuna vitu vinagusa moyo mpaka unakosa kabisa la kusema zaidi ya kusema tu Kwa Jina la Baba la Mwana na la Roho Mtakatifu Amina!....Kunta...Kinte.
Huu wimbo umepata heshima sana mtunzi ongera sana nyimbo zinakiwa kua na mvuto kiasi hiki na kuimbwa kwa unyenyekevu mzuri sana
Rest in peace JPM😥😭
Sure thing
Rais wetu tutakukumbuka sana.
R.i.p my forever president
Mama Samia sikiliza huuuwimbo😢😢😢
REST IN HAPPY THE KING OF THE PEACE AMEN
Our late president
💔 Rest in peace Mr.
Vijana AICC kwaya makongoro mwanza
wana mziki nzur
kwakweli
Magu was its better in tz
Ujumbe unalenga moyo huo
Hii ni nzuri sana. Je jina la kwaya hii ni gani? Na je huo ni wimbo katika albamu yao au ni wimbo maalumu kwa ajili ya mapokezi ya Mhe. Rais? Mungu azidi kuwasaidia Serikali ya awamu ya tano. Inaonekaa wana nia nzuri na nchi hii.
Nsubisi Mwalyoma AIC makongoro Album keusi
Nsubisi Mwalyoma
Jina LA wimbo in "CHEZEA PENGINE USICHEZEE AMANI" umo kwenye album ya AICT Makongoro Vijana Choir ya Mwanza itambulikanayo kama 'KEUSI'.
Aict Makongoro vijana choir
Naomba jina la kwaya
kwel mama wambie hao viongozi waelewe kua cheo ni dhamana tu
Ndo kashavuruga xx kwingine, kumbe mlimpatia na ruhusa kabixa yakuvuruga kwingine!!! Xx tayar kashamaliza kuvuruga kote na tayari kashaingia na kwenye amani!
Mungu awe nawe Raid wanguuuu
Hagai John bora umeandika Raid. Hakuna Mungu wa mchezo asee kwa lipi mpka Mungu akawe nae..? Shetani awe nae.
+Adrian Aman ushindwe mfululizo. nayeyusha maneno yako Kwa dam ya Yesu
Hagai John do u see whats going on in this country.? Chaguzi ndogo tu watu wanakufa na mamlaka inakaa kimya
mwambie huyo