Tanzania tunajivunia kuwa na Msanii kama huyu Nyimbo zake zitaendelea kuishi Ni gwiji la Mashahiri yenye mafumbo ambayo yanahitaji utaalamu wa kufumbua HONGERA SANA
Una misemo mingi ya waja kujihakiki mjomba. "RAHA YA JAMVI NI VIRAKA VIRAKA" Mtoto akiomba ndege ahadi za baba humpa tumaini la kuona kesho ilo bora. Hongera Mjomba.
Tanzania tunajivunia kuwa na Msanii kama huyu Nyimbo zake zitaendelea kuishi Ni gwiji la Mashahiri yenye mafumbo ambayo yanahitaji utaalamu wa kufumbua HONGERA SANA
Hii Ngoma kali san bado inaendelea kuishi wazalendo wanaelewa
Wale wanapost dislike ni walewale wanaopenda nyimbo za matusi na kucheza uchi
Achana nao hao ni mamruki
Mjomba ziku zote ukipewa kilema unapewa Na mwendo
Mkali wao siku zote❤
Una misemo mingi ya waja kujihakiki mjomba.
"RAHA YA JAMVI NI VIRAKA VIRAKA"
Mtoto akiomba ndege ahadi za baba humpa tumaini la kuona kesho ilo bora.
Hongera Mjomba.
Mjomba ni noma kwa mafumbo
I salute you Uncle!! Usiiache sauti hii ikapotea. Mjomba, mjomba wewe kiboko yao.
Greatest musician in east and central Africa in Kiswahili lyrics
Beti zako ni kama mashairi ya wallah bin wallah, unaweza sana mjomba 🇰🇪🇰🇪
Mmoja ulimwita Mjomba mwingine Sizonje safi nakuelewa Sana Mzee
Unatisha Dogo napenda Sana nyimbo zako sijui nitapataje hizo Frash zako za video? Maneno kuntuuuuu!!!!!
Huwa anatumia tungo sana mkulima wa papai
ulimi unauma kuliko meno. Ulimi una makali sana japo kiungo butu tu!
Natamani sana kukuona mjomba
Mjombaa asante
Upon Sawa mjomba
I'll vote this song 10/10
Izi ngoma zako kali sana
Mjomba
My favorite song
binadamu ni kama ganda la kitabu aiseee
Vipi mjomba? Mbona kimya sana?
Nikweli binadamu ni kama ganda LA kitabu
Wewe siuliwapaka wanja ngoja wao wakupake pilipili halafu kwenye kombolela iwe zamu yako kuzinga 😂 😂 😂 😂 jamaa linajua mpaka linaboa
Wewe siuliwapaka wanja ngoja wao wakupake pilipili halafu kwenye kombolela iwe zamu yako kuzinga 😂 😂 😂 😂 jamaa linajua mpaka linaboa