Mrisho Mpoto - Uhuru Wangu (Official Song) - Waite
HTML-код
- Опубликовано: 17 дек 2024
- Buy it from iTunes: geo.itunes.app...
Listen and share "Uhuru Wangu" song by Mrisho Mpoto. SUBSCRIBE Mziiki For Best African Music | bit.ly/1uNJIXi
#LISTEN | #LOVE | #SHARE
Nilikuwa nyuma sana. Ndio nausikiliza sasa hivi. Chukua maua yako Mjomba Mpoto. Nimemkumbuka Azory Gwanda.....Raha ya milele umpe ee Bwana...
Mjomba. Atakayekusikiliza vizuri ataishia kutoa machozi. Narudia kukuomba usipoteze staili ya muziki wako chonde chonde mpendwa wa Afrika
Napenda sana mjomba napockia song zako
Daaaah🤔 respect @mrisho_mpoto
Kazi nzuri sana 😥😥😥😥😥🙏🙏🙏
mjomba kazi zako nzuri sana ongera ujumbe umefika
Safi sanaa from Kenya
Laiti tuzingatie uyanenayo, dunia itakuwa mahala pema sana. Hongera ndugu.
Tunashindwa kuzingatia maneno ya Mwenyezi Mungu
mjomba rudi
Good song
heshima
Good
Legendar
Saf
After it try to get it try t