Mrisho Mpoto asimulia jinsi Rais JK alivyohisi wimbo wa 'mjomba' unamsema yeye

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 17 дек 2024

Комментарии •

  • @austinmabele3132
    @austinmabele3132 4 года назад

    Mjomba, kazi yako ni nzuri

  • @zeypagale2719
    @zeypagale2719 8 лет назад

    safi sana Mjomba,endelea kudumisha na utamaduni,has a Wa lugha a'dhimu kiswahili.

  • @goodtimerashidi8216
    @goodtimerashidi8216 8 лет назад +1

    Mrisho uko juu sana

    • @aliali189
      @aliali189 8 лет назад

      thanx bg good love a love u mpoto

  • @cheupemwanga3326
    @cheupemwanga3326 3 года назад

    Nice

  • @josephmateru8892
    @josephmateru8892 6 лет назад +1

    Mm pia Nikati Ya Mashabiki Wako Mjombaaa Unajua

  • @rikjohn1762
    @rikjohn1762 6 лет назад

    Nakukubali sana

  • @selemanibrahim5781
    @selemanibrahim5781 8 лет назад

    big up mjomba..

  • @mwambarockmwambarock739
    @mwambarockmwambarock739 6 лет назад +1

    Mjomba yuko pw

  • @daudhenry913
    @daudhenry913 6 лет назад

    January is good philosopher!

  • @sirialemmy37
    @sirialemmy37 8 лет назад

    Daaa, mimi nimemwonea huruma Millard kidogo nikijua kuwa mjomba huenda akasema maphalsafa magumu. ila mr Ayo ni jembe
    mjomba pia umemsema vyema mh: Kikwete!
    juu tuu kuwa niko Kenya na nitakupigia kura sana mjomba, nimeaha2ma kama mara3 hivi tayari. nitacdisha

  • @nurayusuph3088
    @nurayusuph3088 8 лет назад

    duuuhhh!!! kilemba kirefuu

  • @emmanuelahmedbyona2353
    @emmanuelahmedbyona2353 8 лет назад +3

    Mambo yako yana hekima na Busara saana, hata DRC tunakujua kama mutu wa Hekima na busara na kweli kufikiri saana

  • @josephtairo7810
    @josephtairo7810 2 года назад

    Sina komente kwa huyu

  • @yohananoah6628
    @yohananoah6628 7 лет назад

    kwakweli mjomba umefundisha kitu kikubwa sana

  • @عبداللهالإسماعيلي-ظ6ن

    safi mjomba ila ongea kiswahili naona km unachanganya ni kingereza kdg haiko poa sana

    • @sirialemmy37
      @sirialemmy37 8 лет назад

      iko poa sana, kuchamganya inaonesha ni jinsi gani alivyojingiza na maculture mbalimbali. ..

  • @hafidhabdul7350
    @hafidhabdul7350 8 лет назад

    "Sinsoje" itamfikia JPM maana ndo mgeni wetu

  • @hallunamajany1161
    @hallunamajany1161 8 лет назад

    JAMAA ANJUA XAN

  • @GogoGogo-ts6er
    @GogoGogo-ts6er 8 лет назад

    ebuye ebuye
    iko poa,
    eti kiremba kama gorofa😂😂😂😂

  • @mathiasedward8657
    @mathiasedward8657 8 лет назад +2

    Komaa mjomba nko pamoja nawe

  • @captenndunga9385
    @captenndunga9385 5 лет назад

    Watu wenye hekima kwangu ni wewe mrisho na afande sele, 20pacent, daz baba... sababu wote ni rasta watu wa amani sana.

  • @stevenpaul4818
    @stevenpaul4818 6 лет назад

    Mjomba uko poa sana

  • @abukondo5330
    @abukondo5330 8 лет назад

    ukitaka kutingisha kichwa unasema "smh" tu maana hiko kilemba kama ghorofa

  • @anitaphilip2070
    @anitaphilip2070 8 лет назад

    ulipo ingia studio umepiga magoti ndo ukapita hpo mlangoni maana hcho kilemba kirefu sana

  • @mathiasedward8657
    @mathiasedward8657 8 лет назад

    Komaa mjomba nko pamoja nawe

    • @haydarrashid1376
      @haydarrashid1376 8 лет назад

      mjombaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! iv ulitaaalamishwa na nan au kipaji tuuuuuj