Mrisho Mpoto X Harmonize - Nimwage Radhi (STUDIO SESSION)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 11 дек 2024

Комментарии • 412

  • @frankditrick3109
    @frankditrick3109 6 лет назад +40

    mrisho mpoto unanidham sana ndy mana kazi imekuwa nzur !!Hormonizer ni lulu ya tanzania asee kaz nzur sana kwel ukikubali kujifunza lazima usogee mbele!! gonga like kama unakubali nilicho kiandika!!

  • @j-ziiokiror4973
    @j-ziiokiror4973 Год назад +3

    Lakini huyu jeshii kweli anaweza kunature vijana kwa wazee mpaka watoto mungu saidia huyu jeshii is a ⭐

  • @evaristomwenga-rv5fw
    @evaristomwenga-rv5fw 9 месяцев назад +4

    2024 tena nineirudia❤❤❤❤

  • @josephnjoguplatnumz6646
    @josephnjoguplatnumz6646 6 лет назад +157

    Producer huyu simfahamu jina lakini naona makali yake..mpatie like hapa Kwa kazi yake nzuri🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️

  • @minhokid
    @minhokid 6 лет назад +9

    Milikutana mafundi aiseee mjomba yupo faster kutunga manenoo doooh ila nmependa direction yako harmo kwamba fanya ivi toa hiki malizia hiki uar de best trust me

  • @kumi_na_tatut.v4226
    @kumi_na_tatut.v4226 3 года назад +2

    kweli harmo alikuwa mpole hapa, bangi imemfanya awe wa hasira na mbishi kwa rafikiye Dangote....go be friends with your former boss Hon. Konde. much love.

  • @faithmuthoni5941
    @faithmuthoni5941 6 лет назад +2

    Producer heko very young!!!jamani mjomba is big bird!!!! Nyie very lucky to have him kwa studio mcheshi huyo jamani....love you mpoto

  • @em_vee_josh
    @em_vee_josh 10 месяцев назад +2

    Those days konde waa so thin 😅. Love from Kenya 2024

  • @issamasoud3347
    @issamasoud3347 Год назад +1

    Harmonize big boss nakuomba mtafute mjomba mtoe goma jingine 🙏🏼🙏🏼

  • @charlesmunyenzie2155
    @charlesmunyenzie2155 Год назад +1

    yaani harmonize bwana, huyu jamaa hata akiwa WCB alikuwa na studio yake, producer wake, dj wake na team nzima ya kondegang humo WCB ndani. hii ndiyo tofauti ya harmonize na wasanii wote waliosainiwa WCB

  • @simonomondo2576
    @simonomondo2576 10 месяцев назад

    Much respect for Mrisho Mpoto..one of my favourite African poets. Much love and respect from a kenyan living in Norway🤩

  • @petermbijima2552
    @petermbijima2552 5 лет назад +23

    Mjomba mpaka jasho,daa kweli kuandaa wimbo ni kazi sana,nani kaona konyagi na sprite pale mezani

  • @emmanuelmakoba4826
    @emmanuelmakoba4826 6 лет назад +24

    Mmakonde na. Mjomba like hapo

  • @francismande7028
    @francismande7028 Год назад +2

    The producer is so talented, Much respect from Nairobi Kenya

  • @franknurudin5959
    @franknurudin5959 2 года назад +2

    HARMONIZE genius sana blessng na mrsho mpoto alikubali kujishusha ili ajue zaid

  • @nyakobaemmanuel9614
    @nyakobaemmanuel9614 8 месяцев назад

    Harmonize is the best musician Tanzania ever had...
    His songs are the best, they can be listened for more years without fading 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @DybalaDete
    @DybalaDete 7 месяцев назад +2

    Nakupenda mjomba mrisho mpoto❤❤❤

  • @athumanomary1438
    @athumanomary1438 6 лет назад +14

    Ewe mwenyez MUNGU enderea kumuongoz kumrinda kumsimamia kumuepushia kira ririrobaya na renderea kuimarisha afya yake na WCB wote

  • @Mahonda8080
    @Mahonda8080 4 года назад +15

    Aliyegundua harmonize anaongea kama mondi tujuane

  • @sukirift9083
    @sukirift9083 6 лет назад +62

    Wow first one to comment ... Likes zangu

    • @stuartkudeba
      @stuartkudeba 2 года назад

      ruclips.net/video/Fz8eTcx0Wzw/видео.html

  • @dastaniguni5599
    @dastaniguni5599 5 лет назад +20

    Km umeona Kakonyagi ka kupandishia Mzuka Gonga like

  • @Mcverby
    @Mcverby 6 лет назад +8

    KONDE BOY MKALI WA HII KAZI....MPOTO SALUTE!!!

  • @Directorjax55
    @Directorjax55 4 года назад +1

    Hakka sna ubsh kwny hii nymbo hakka nmeipenda sn na ushlkiano wenu hakka nmeipenda sn one love

  • @charochakarumba9245
    @charochakarumba9245 4 года назад

    Mnaweza tembo BiG up KondeBoy"!!Mungu Aku Ongezee Baba Lao.. #From Botswana Boy natamani Ufanyanye "Show" Botswana Mungu Akipenda sukumoja tuu Watswana wasikie Music Yako...Mm Naishi zangu South Africa..Napenda music Yako Sana Sana

  • @straightkonect1613
    @straightkonect1613 2 года назад +5

    Mjomba talent makini mashairi unayatoa studio hapohapo

  • @cuteworld2269
    @cuteworld2269 3 года назад +2

    Dah harmonize fundi sana aseee🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽2021

  • @kelvinkaijage3275
    @kelvinkaijage3275 2 года назад

    Mjomba naona unashushia na tanzania konyag hla nilishawai kwenda kwenye studio moja hv nkakuta kuna bango la onyo ustumie kilev chochote kiwe cha kuvuta kunywa au kutafuna nkawaza hv wasanii wataweza kweli

  • @isdorchuvu6280
    @isdorchuvu6280 6 лет назад +5

    Naona mjomba hicho Kifua haitaj gym, kaz nzur mjomba harmonize

  • @ratifahbelekete3591
    @ratifahbelekete3591 5 лет назад +3

    Dah harmonize unaakili nyingi zakufikili broo kaza ndungu yangu ipo siku utakuwa namba moja bongo

  • @wycliffemuleshi1090
    @wycliffemuleshi1090 6 лет назад +4

    Kazi nzuri pongezi sana kaka zanguni, kwakweli mashairi ya nyimbo zako yananipa uledi was kiswahili , congrats

  • @HamzaOmar-wb9sn
    @HamzaOmar-wb9sn Год назад +1

    Harmonize hapa alikua mzuri sana handsome boy❤❤

  • @puritywanenemunene66
    @puritywanenemunene66 6 лет назад +4

    Harmonize i likes your songs and dance floor am in Mt Kenya region.

  • @thereal_mtangojr2634
    @thereal_mtangojr2634 6 лет назад +7

    nguvuu ya konyagiii safi🍾

  • @athumanomary1438
    @athumanomary1438 6 лет назад +6

    Mwenyez MUNGU yupo pamoja nanyi WCB

  • @nestorymsacky6838
    @nestorymsacky6838 6 лет назад +35

    Harmonize amevaa tena ile suruali ya mistari diamond yukwapi

  • @abdimarlikhassan5635
    @abdimarlikhassan5635 6 лет назад +2

    Aisee mrisho na harmonize mpo juu sana..bonge la hit

  • @mohammedabdulkareem1100
    @mohammedabdulkareem1100 11 месяцев назад +1

    Mrisho mpoto❤

  • @shabanimsuluzya7949
    @shabanimsuluzya7949 6 лет назад +1

    Nimekubal harmo ww nouma sana ndo hakika WCB ni nyumba ya vpaji

  • @gptwins1139
    @gptwins1139 6 лет назад +2

    broo kazi nzuri mung akutangulie shikamo wcb

  • @athumannambombe4334
    @athumannambombe4334 6 лет назад +1

    Kulirudia neno "Naomba" Kwenye Mstari wa Mwisho Kwa Upande Wangu haikukaa Sawa naona kwenye Mstari wa pili angetumia neno "Niacheni/Acheni Nichape Lapa" Ingekuwa Bora zaidi.
    NI MTAZAMO TU!

  • @ibrahimjobu9141
    @ibrahimjobu9141 4 года назад +1

    Waziri anaekuja ni Rajabu A.K.A Harmonize.

  • @magomasimba5730
    @magomasimba5730 4 года назад +6

    Kama umeona konyagi gonga like

  • @tatubadi9010
    @tatubadi9010 2 года назад

    Harmonize kakate nyama za utumbo na wewe uwe mwembamba tena.. Ulipendeza ukiwa hiv

  • @linusrohomoja8856
    @linusrohomoja8856 5 лет назад +1

    kumbe kuna kazi nzito hivyo, du kweli mnastaili kuitwa wasanii

  • @diomedesmtayoba3955
    @diomedesmtayoba3955 6 лет назад +10

    Konde boy hongera sana uko vzr

  • @madame6932
    @madame6932 6 лет назад +2

    Nakupenda mjomba unatabasamu tu mda wote 😘😍😘😘😘

  • @hassanovajunior6972
    @hassanovajunior6972 6 лет назад +9

    Shikamoo mjomba mambo ni fire🔥🔥🔥

  • @sakoson957
    @sakoson957 2 года назад +1

    Ka konyagi mezani, na 7 juu

  • @jumastevenstevenkalega1473
    @jumastevenstevenkalega1473 4 года назад +1

    Natamani harmoniz angefanya ngoma na mjomba tena jamani mana dah sio pw

  • @kraftedbrainzrecordz8237
    @kraftedbrainzrecordz8237 4 года назад +4

    keep up that great music coming brothers this is Alqaeda Kraft from South africa

  • @Briankizzo
    @Briankizzo Год назад +1

    Jeshi is such a vibe💯..big up bro👊🏽🔥9/2023

  • @mr.baraka5085
    @mr.baraka5085 6 лет назад +1

    Sikujua Harmonize ako vizuri kiasi hichi, do this, don't do that....

  • @cypherkongwe1910
    @cypherkongwe1910 6 лет назад +5

    Product of
    Team work
    Love&Respect

  • @bucuminyabenda4482
    @bucuminyabenda4482 4 года назад

    Uncle ayo maneno niyenyewe kama anavyo sema tembo
    Itapigwa katika maalusi yote kama
    Happy birthday inavyo pigwa

  • @ona_cedric
    @ona_cedric 6 лет назад +4

    Great rep. from Kampala __ Uganda

  • @godfreyonginjo7518
    @godfreyonginjo7518 2 года назад +1

    There are my guest of honor in spirit of music

  • @deoodp1893
    @deoodp1893 6 лет назад +11

    Naiona nguvu ya konyagi 💪🏽

  • @passionsound7474
    @passionsound7474 4 года назад +2

    Mbona hii ngoma najua ameproduce lizer,sasa namuona producer mwngne2

    • @EJR20
      @EJR20 4 года назад +1

      Art work yoyote inaweza kuwa na producer zaidi ya mmoja, wenda yeye ali play a part when composing the music, that makes him a producer too

  • @gladiadorden5769
    @gladiadorden5769 Год назад +1

    Eu até hoje sinto saudades desse tempo 🇹🇿🇲🇿💪

  • @Lbfbeatz
    @Lbfbeatz 3 года назад +2

    Kende boy ni fire

  • @abdimarlikhassan5635
    @abdimarlikhassan5635 6 лет назад +2

    Uyo producer isea noma ...ila konyagi pia duuh

  • @davidvallerian9061
    @davidvallerian9061 6 лет назад +2

    Hakika imetulia xn bonge la jingo

  • @ramseydon834
    @ramseydon834 6 лет назад +1

    watu wanaangaika ku Record jamn daaah ila kazi zur xana hongereni xan

  • @samsonjrsanga9620
    @samsonjrsanga9620 6 лет назад +1

    harmonize Ujuiii kucheka nee broo

  • @boazmasinde2764
    @boazmasinde2764 4 года назад +4

    Producer noma ako juuu sana

  • @mustafakasembe6398
    @mustafakasembe6398 2 года назад +2

    Unyama❤️

  • @hijauwesu7661
    @hijauwesu7661 6 лет назад +2

    Big up sana ..kwa kuj2ma huko mafanikio mali yako

  • @nancybiwott3042
    @nancybiwott3042 6 лет назад +10

    Harmonize nakupenda Sana

  • @benjimjrcarlos2303
    @benjimjrcarlos2303 2 года назад +2

    This has been my best song since the beginning

  • @bryan_juniour5094
    @bryan_juniour5094 6 лет назад +1

    2:45 nimeona kama konyagi ama kweli kazi na dawa

  • @salehmsomali4432
    @salehmsomali4432 6 лет назад +2

    Hamonz kaka unatoka lini huu mzigo nimeukubal

  • @emmanuelpatrick1423
    @emmanuelpatrick1423 6 лет назад +2

    Nakubali sana mrisho mpoto ft harmonize

  • @martinezthomas030
    @martinezthomas030 2 года назад

    Hamo ni mmoja ya wasanii anaowaheshimu sana big up sana tembo

  • @josephnjoguplatnumz6646
    @josephnjoguplatnumz6646 6 лет назад +2

    NAPENDA SESSION ZAUSIKU SANA.. KONDE BOY AND MAKONDE LEGEND😎

  • @kabebemazambi194
    @kabebemazambi194 3 года назад +1

    Kumbe kuimba kazi 😳😳😳😳😳😥😥🙏🙏✌️🇨🇩🇨🇩

  • @Archivetv12
    @Archivetv12 6 лет назад +5

    Hata kupima tezi dume nn hatari sana!!

  • @mdomdohusseinjr3575
    @mdomdohusseinjr3575 2 года назад

    Nilichokua sijui ni kwamba KONDE BOY kahusika kwa ideas Hadi baadhi ya mashahiri kwhy 55% ni harmo

  • @stn4873
    @stn4873 2 года назад +2

    MPOOOOOOOOTOOO🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @khanken4731
    @khanken4731 2 года назад

    Harmonize my favorite one day I will meet you

  • @khatibhaule6598
    @khatibhaule6598 6 лет назад +1

    Daaaah wcb ndio tiba ya bongo

  • @sechokivega9747
    @sechokivega9747 6 лет назад

    Aisee Mungu awalinde WCB

  • @bonnysure5131
    @bonnysure5131 6 лет назад

    Uyu prodyu anaitwa nan mpishi mpya uyu jameni

  • @danidee-vp4rb
    @danidee-vp4rb 7 месяцев назад +1

    ebwan producer safiiiiiiii

  • @IbrahimTv-l6x
    @IbrahimTv-l6x 3 месяца назад

    Very interesting we love u harmonize 🇰🇪

  • @PresenterRonnie
    @PresenterRonnie 2 года назад +2

    BADO NAKUMBUKA KWA SANA
    Wacha TEMBO aitwe TEMBO

  • @kevootz1456
    @kevootz1456 6 лет назад +1

    Huyu ndye diamond anayefata 2020

  • @nizoplatinumztz8025
    @nizoplatinumztz8025 6 лет назад +5

    Nipeni jina la huyu producer

  • @lizliza5948
    @lizliza5948 6 лет назад +4

    Kali kuruka😍😍😍

  • @benjimjrcarlos2303
    @benjimjrcarlos2303 2 года назад +6

    I love this session

  • @Cambarada
    @Cambarada 3 года назад +1

    Mbona producer yupo kavu sana yan hana habari hajacheka kabisa

  • @josephgomalo41
    @josephgomalo41 6 лет назад

    Uncle wa Tanzania nzima .. mjomba wewe ni shida. Mistari inashuka papo kwa papo..?

  • @ahabrondy2713
    @ahabrondy2713 6 лет назад +9

    Hiyo ni fire

  • @beatricemangula1480
    @beatricemangula1480 4 года назад +2

    Love you more,harmo&Mpoto

  • @princengombaniza4080
    @princengombaniza4080 5 лет назад +1

    Mjomba mpaka kijasho cha konyagi nakiona

  • @phionanabafu3401
    @phionanabafu3401 6 лет назад +2

    Am so into tz music one love from ug

  • @newlettermedia3709
    @newlettermedia3709 4 года назад +1

    Mpoto alikua aandiki vinatoka kichwanii kaaah

  • @ernestjosephat6995
    @ernestjosephat6995 6 лет назад +3

    Iko poa saanaaaa

  • @mpilapondasalim9494
    @mpilapondasalim9494 5 лет назад +2

    Mjomba mbona kaa umevaaa dera

  • @mosesaluta5987
    @mosesaluta5987 2 года назад +1

    2022 weka like

  • @kitulatvonline3854
    @kitulatvonline3854 6 лет назад

    Kitu Kama Vile Nakiona Fireeeeeeeeeeeeèeeeeeee Tisha Sana Konde Na Jombaaaaaaaaaaa!