YATAPITA STUDIO SESSION PART 1
HTML-код
- Опубликовано: 3 дек 2024
- For Bookings contact : bookharmonize@yahoo.com
Call +255755101070
Follow Harmonize on:
Twitter : / harmonize_tz
Facebook : / harmonize255
Instagram : / harmonize_tz
Copyright ©2018 WCB WASAFI .All rights reserved.
Prof Jay is extremely humble, it is evident why he's among the best in the region!
I love the fact harmonize is willing to give out his ideas 💡❤️
Rapper ya professor jay nikukata kumbe
Mzee baba weka heka nice truck!
Wcb tupo juu. Tutaupeleka mbali mziki wetu.nia yetu nikuufanya mzikiwatanzania uwebora africa mashariki na africa yote kiujumla nakuifanya Tanzania iheshimike ulimwenguni kote.tupeni support nduguzenu .Tukifanikiwa sio wcb tu ndio itakuwa imefanikiwa bali mtazania na msanii yoyo kutoka tanzania ataheshimika ulimwenguni.Much love to the boss chibu simbaa ! Mungu ampe maisha marefu!
Big up my brothers God bless you so much. Mistari yenyu Imeni toa machozi,haya maisha tu yatapita inshallah.
First person from somalia
Live in France
working with harmonize is my dream and i believe it shall come true
Keep working hard
Sorry to be off topic but does someone know of a method to get back into an instagram account?
I stupidly forgot my account password. I would love any assistance you can give me
@Richard Trey Instablaster :)
Yaan bro Joseph anaendana na jina lake kabsa,keep head up
amazing harmonize my role model man
i gat nice talent of what you love wish one day i meet you
Slambo-Tips subscribe back my chanel
@@BurudikaTV amazing hommie, done
Wazee tuko hapa juu ya professor J.wapi wazee wenzangu?
Prof the legend uko njema, hiyo one take nimeikubali
🙏🙏 please harmonize do another thing with this legend
Harmonize umedhiilisha kuwa una respect kwa waliokutangulia kaz njema
Wapi eti respect na juzi alikataa kuperform Eldoret juu ya pesa...
@@douglasondieki97 kwaiy afany kz bil pesa
Prof Jay ni mkali wa mistari
Harmonize proud of you sio rahisi kupata fursa ya kuimba na LEGEND Jay.Anyway kali sana.Kila la heri.
yatapita kueli sana rafiki zangu ninapenda hizo track zako. i hope that siku moja nimefika hapo studio hako
I love konde boy..my role model young simbah
No one like you in TZ. Mr Mbunge
Braza nisaidio Mdogo ako Kwani name nina kipaji najua kuimba 🙏🏼🙏🏼
Konde boy sisi wa Makonde wa ruvuma saivi tunagidai. nazi nzuri konde . wangozi
aaaaaaaah
Hakuna kitu napenda kama hiki " Studio Session " iko vzr sn harmonize
Ndo nimegundua saiv studio session ni balaaaaaaaaaaaaaa
Wow ! you guyz are having fun maine!
I may not understand the language but it sounds like Swahili and the song is powerful,Im from south africa
Powerful song about not giving up
Mimi naitwa ngabonziza John kutoka rwanda kigali harmonize na professeur key nabapenda sana
Namkubali Harmonize❤️❤️❤️👌💯
Brother kode tuwekeye studio session nyingi tuna zipenda sana hizo❤❤❤
Professor Jay for life!!!
Funga kazi, machoz jasho na damu, Joseph, aluta kontinua na mapinduzi halisi bado hujaniangusha, upo na dogo ninaemkubali kuliko wote wcb
It make tears to drop 4rm ma eyes
Wewe konde noma sana kwa mashiaili tu akuna mwengine tz
Harmo Mungu akutunze Babu unajua mno
Ninapendaga sana hii yani iwe kila ngoma munafanya hivi kutuwekea mapishi haya
Kenya mjitambue akuna ofisi hisie na boss harmonize anauwongozi wake pesa kwa ndo mangine ndo yanafata mana nyi wakenya matapeli pesa ndo kazi Mani
Ama kwa hakika hii Ngoma mpaka Leo tarehe 07/1/2023 nikiisikiliza naona kama imetoka Jana
Nmegundua harmonize anajua sana
Kama unamkubali harmonize like hapa na comment
Big up bro nakusaport tu sana coz una roho ya utu sana na hekma....na ngoma zako ni za mafunzo.....TAREHE 8 tuko pamoja ndani ya diani
Safi sana mdg wng HARMO
I love your song the Tz star.
daaa nimejisikia raha sana kuona mbunge Wang anavo shauliana na kunde boy iyo ndio inatakiwa sasa wte kueshimiana ndiomaana ngomalime heet sana wangekuwa wakina mwana fulani apo washa zila nakujenga mabeef
Hilo vibe la studio session nimelipenda , u guyz r enjoyng wat u du 💥
Harmonize I have two guys from kenya who have talent in bongo music plz how can you help them tried contacting you we love you
Nakukubali professor j
Harmonize bhanaaa et ama tumuwekeee diamond et aaah amna🤣😂😂😂
Nimeamini kuamba mpka ngoma ikatufkie huku kitaani jua kunamtu kahaso
Hii fala Harmonize juzi ulikuwa Eldoret ikakataa kuperfom juu tu eti anataka alipwe in terms of dollars. Mtu utravel almost 1000 km kenda kuona mtu kisha anakataa kuperform...It's official, he's after money not after his career. Huwezi fanyia fans ivo bana....I think I have a piece of advise for him, "Always remember your original life when you think you've transformed."
Aliekataa si yeye ako na management inamuamulia so kumjamia yeye ni bure
Mwachen alinge wweee
Kafanye kazi ya kanisa
Tunataka nyimbo zengine na jay please🎉
Patamu kweli waah 😘😘😘
Nakuelewa sana harmonize kutoka songea
There is 2024 here
Hey always on top,#kondeboy ila Nina swali braza hili studio lako sio!?..
Linaitwaje bro
Thanks
Harmonize penda sana ww mkali
Nawakubali kinomaaa
Unyama sana 🔥 popo 🔥
Mwenyez MUNGU yupo pamoja nawe
Big up sana wazee wangu 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Great work always
Wcb for life
Mu,,,achen,,,tembo...aitwe ,,tembo🎶🎶🎶
big up konde boy we ni mnyama wa kolabo
And my brother harmonize respect kbs
aisee kuwa tajiri mkubwa ni hatari ndio maana hata profesa alipata shida sana kuwataja
Bonga from tz i liké your jobs
Berisov anakuja vizuri... Huyu ndio producer wqko official mr harmo ama?
Nouma sana #WCB4LIFE
Heavy weight moto kama waasafi fm
Nimeielewa sanaaaaas....👊
Asante kaka
#km_worldwide we know you #harmonize , #jayproffessor
C'est très cool
Dah raha sana studio hukooo 😂
Hip Hop 4ever
oi konde boy Makin bro
Mbona ulitowa iyo wanangu wa bodaboda
Mnarekodi gospar pia nipeni jibu nabei yawimbo mmoja plz
Profesa ni nomaa
Uli tu fanyia vibaya 254 Eldoret kenya
Tutaungana wasafi soon mzee mwenzangu nafight nipate nafac tu ila nipo njian kuja wcb 🔥🔥🔥
kali..sana, ambia producer adownloadi Intel graphics card asplit screens
YT kumbe unapitianga huku pia😂😂
Jitihada na juhudi ndo humfanya kinyonga kuonekana anakimbia kama farasi
Ayubu Classic Nakubali brother
@@joytz4401 Yeah mdogo wangu maisha hakuna kukata tamaa hatakama unajua utakufa ila acha ufe ila ukiwa unatfta ili ukifa ukiwa unatafta basi utaitwa mpambanaji.
hutaitwa mshindi wala mtu alie shindwa ila utaitwa mpambanaji
Harmonize 🔥🔥🔥🔥
kazi nzuri kama unamkubali otile brown subcriber pls
First comment
serge vany vanny subscribe back my channel
You're here nigga
Gongaaa likes ........
nyimbo bomba
Wimbo mpya au?
Noma sana blaza kondeboy
Here 2021
KONDE BOY🔥🔥
Dingii Hamonenga wewe Fundi unajua
Konde boi umetisha kaka 💀💀
Happoooo
Hii ngoma sipati picha uko uko mtaani itakuaje kwa sisi wauza mboga wlah
Nice me huwa nataka nione session zako sanaa so inspire siyo kw vocal hizo
Harmo sio Balesa ni Baresa boya wew
Babu hata wewe hujuwi kuita yeye anaitwa bakhresa
kuna kitu kinaitwa 'poetic license'
@@Stephen_Chelu kwaiyoh
yuko sahihi, kanuni hii ya ushairi inamlinda
Yatapita
Tembooo
🔥🔥🔥🔥🔥🇨🇩
❤❤❤❤❤
Gud mzee
Eldoret tunakungoja na mawe,,hatuezi lipa show alafu ukose ku'perform hata usirudi Kenya,,Sisi mafans wako ndio pesa acha dharau ama uende upige show kwa National park ya wanyama!!! NKT!
Nisaidie namm nifike japo nusu yako