Kwetu Audio making WASAFI STUDIO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 28 мар 2016
  • Kwetu Audio making - WASAFI STUDIO

Комментарии • 420

  • @jackobsmith7788
    @jackobsmith7788 10 месяцев назад +13

    Who is watching this again after 7years
    Team vanny from burundi 🇧🇮🌹🌹

  • @valentineevarist5628
    @valentineevarist5628 5 лет назад +21

    DAAH naangalia hii mwaka 2019 kumbe rayvanny ni talented kiasi hiki GOD BLESS YOU KAKA

  • @joseoluoch
    @joseoluoch 3 года назад +27

    These kids are working really hard this is beautiful!!!

  • @halfanijmpanjila7118
    @halfanijmpanjila7118 2 года назад +9

    😂😂😂 nimecheka sana hpo kwenye "MICHICHA MILENDA" kumbe hiyo michicha ilikuja2 juu kwa juu..😅😅 ila All in All.. NLM for Life.. Rayvany.. Best Artist in 🇹🇿

  • @erickymajali2691
    @erickymajali2691 3 года назад +21

    The energy... the patience... the consistency 💯

  • @perfectmelodiz3345
    @perfectmelodiz3345 3 года назад +15

    Watching this every year .. every month 🔥🔥 inspirational

  • @djskash254musicinspector8
    @djskash254musicinspector8 2 года назад +10

    2021 still one of my favorite song may God continue to bless you always for this masterpiece🔥🔥🔥

  • @eliteresidencyrealestate
    @eliteresidencyrealestate 5 лет назад +27

    You really work hard to give us good music. God bless you guys

  • @seekerofpurpose
    @seekerofpurpose 4 года назад +11

    It at this stage and I believe one day I'll perform with Ray. Mungu si athumani. Hongera sana Wasafi.

  • @Ronald-Oundo-Gospel-Music
    @Ronald-Oundo-Gospel-Music 3 года назад +5

    Kama unampenda vanny boy achia like hapa uni follow pia as mwanamuziki from Uganda Kampala

  • @classicboymusic
    @classicboymusic 11 месяцев назад +4

    Dreams come true🙏 kwetu💯 wen ur happy ur enjoy the song🤣 wen ur sad u understand the lyrics 😔😔

  • @philemonkrop8741
    @philemonkrop8741 4 года назад +5

    All the way from Kenya ..wapi likes zangu wadau

  • @smartdee3757
    @smartdee3757 3 года назад +9

    muziki sio kazi rahisi watanzania punguzeni kutuchuklia poa tunatumia sana nguvu na akili tukiwa studio

  • @nicolaascloete7682
    @nicolaascloete7682 4 года назад +3

    Sema lizer anahaso sana kuwatengeneza newcomers wanapofika wcb ila wakitoboa hata kumuongelea tena hawawezi

  • @theressavincent4522
    @theressavincent4522 8 лет назад +13

    Da kaza buti ,maisha so kucheza ukuti,Sanaa ina mengi manoti,so piga moyo konde zitaongezeka zako futi.mi nakukubali saaaaaaaaaaaaaaaaana.

  • @iddykijiko4523
    @iddykijiko4523 8 лет назад +79

    Dah kumbe nyimbo yangu ya mwaka ndo ilitengenezwa hivii, vizuri

  • @rayjack6385
    @rayjack6385 Год назад +2

    Rayvany my role model am RayJack bongo Artist from kenya 🇰🇪 Embu

  • @abukiseidasman454
    @abukiseidasman454 3 года назад +4

    Rayvanny its 2021 u still the bestttt chuiii❤😭😭😭😭😭😭

  • @ZjGENERALTvVEVO
    @ZjGENERALTvVEVO 4 года назад +28

    I love this kind of production and chemistry between you and Lizzer classics
    I’d love to some day work with you 👊🏾🙏🏾

  • @msolidwagalilaya6094
    @msolidwagalilaya6094 Год назад +3

    Aiseee huyo Layzer ni mtu hatari sana katika kunyonga beats... Rayvanny pia upo vizuri sana katika kutafuta melodies na kuandika.... safi sana

  • @kefumutahi4702
    @kefumutahi4702 4 года назад +19

    All applause should go to the guy making the beats

  • @isaquielabelchioio4747
    @isaquielabelchioio4747 3 года назад +10

    E por isso eu respeito muito os artistas eles fazem muito trabalho com muito esforço.eu sou teu fã de 🇲🇿

  • @Djumaselemani
    @Djumaselemani 7 лет назад +8

    Raymond good job wewe noma kishezi bro

  • @ahmedalmazroui3669
    @ahmedalmazroui3669 3 года назад +7

    Next Level Music 🙌🏼🙌🏼🙌🏼😁

  • @searchsamtv3261
    @searchsamtv3261 2 года назад +4

    We love you rayvanny from Zimbabwe 🇿🇼

  • @yusterstephano8927
    @yusterstephano8927 4 года назад +1

    Daah hapa kichwa hakilaliii mazee, hata kusoma haiko hiviii,, nakukubali
    Rayvan

  • @rashidally480
    @rashidally480 7 лет назад +15

    rizer hatar naskia rism kali Kita tamu so amaizing

  • @michaelkikwete8277
    @michaelkikwete8277 6 лет назад +49

    Mziki ni safari ndefu na tunatumi nguvu na akili nyingi lakini wabongo wanakuj kuuchukulia pow tu

  • @reganclarence4657
    @reganclarence4657 4 месяца назад +1

    Naipenda sana hiii nyimbo tumie kwenye siku ya wapenda nao

  • @jacksolmusic3746
    @jacksolmusic3746 3 года назад +1

    Kali sana vanboy nakutambua,#jacksol kenya.

  • @levythadon6387
    @levythadon6387 7 лет назад +6

    vannyboy nakubali sana daaah brazaa unaeza xana

  • @boldenem448
    @boldenem448 3 года назад +3

    Who's here march 2021🙂🔥🔥🔥

  • @MBGOSPEL
    @MBGOSPEL 4 года назад +4

    Mwenye kujenga beat achane nywele...

  • @passionsound6838
    @passionsound6838 4 года назад +1

    Dah! Vanny boy noma sana ukiunganisha na lizer alivo noma ndo kabsaaa!

  • @erastofifi8314
    @erastofifi8314 4 года назад +2

    Polen kumbe ndo mnaumiza vichwa kias ik kazen

  • @Ja_Eid
    @Ja_Eid 8 лет назад +31

    baba umetishaa..hahaa sema nini ule mstari wa kabeji mirenda usingeufutaa :-) kaza mwanangu

  • @japhetdkambali1528
    @japhetdkambali1528 7 лет назад +11

    jembe lang rayvan boy nakukubali kinoma one day ntakutafuta

  • @benardkilonzo5654
    @benardkilonzo5654 7 лет назад +166

    kama wampenda vanny wapi likes zake

  • @salatsalah291
    @salatsalah291 3 года назад +4

    Kumbe ni kazi, count my views always, this song is my favorite one

  • @nurwelly2523
    @nurwelly2523 7 лет назад +26

    hahaha nimecheka sana aty cabbage milenda😂😂...the struggle is real🙌🙌 #salute

    • @SammyMusundi
      @SammyMusundi 5 лет назад

      🤣🤣

    • @raynaeafrica9464
      @raynaeafrica9464 3 года назад

      Wewe unaona rahisi kwasababu wimbo ushatoka 🤔we fala kweli 🤣😂🤣😂

    • @Boltonbolt30
      @Boltonbolt30 Год назад

      Hahhahhaha ahsante cjawai unserstand

  • @imbaragamuguhimbazaofficia3832
    @imbaragamuguhimbazaofficia3832 7 лет назад +9

    My producer lizer chapa kazi Nakuja dar verry soon

  • @hamphrykamando6905
    @hamphrykamando6905 5 лет назад +3

    Nakukubali xana Reymond kiukwel yani

  • @joshuayasolo4199
    @joshuayasolo4199 Год назад

    Lizer naye kapambana sana adi Leo hii wenye alikuwa nao na mabillionea akumbukwe na yeye kafanya kazi kubwa ayooo Lizer 🙏

  • @pediwakisumu7517
    @pediwakisumu7517 3 года назад +1

    Mko juu kushinda wakenya bana

  • @DerrickOgendo
    @DerrickOgendo 7 лет назад +12

    simple studio.great job!big up sana

  • @smartkilla
    @smartkilla 2 года назад +1

    Kazi safii

  • @croxzfireGideonsirma
    @croxzfireGideonsirma 3 года назад +1

    Hapo mumeweza kakaaaaa

  • @stux1143
    @stux1143 3 года назад +1

    Jamani Lyzzer hizo nywele

  • @jayzablon7281
    @jayzablon7281 8 лет назад +16

    big shoutout to my burundian prouducer lizer classic keep up with the good work

    • @dominickiplimo491
      @dominickiplimo491 2 года назад

      he is Tanzanian he went to Burundi because he had trouble with police in Tanzania because he had been sold stolen studio equipment,😜😜😜😜try finding try he confessed himself

  • @lameckntahondi8073
    @lameckntahondi8073 4 года назад +43

    2020,, watching

  • @safariadrien8544
    @safariadrien8544 5 лет назад +26

    2019 i still watching aiyoo lizer

  • @regina3440
    @regina3440 3 года назад +8

    You really work hard in order for us to get good 🎶 music. Thanks so much raaaaaayy

  • @minorbwezom2462
    @minorbwezom2462 10 месяцев назад +1

    Cabbage millenda🤣🤣🤣🤣hii Kaz achia wenyew🙌

  • @shukuruilomo768
    @shukuruilomo768 5 лет назад +2

    Ahsante produced mnamchango mkubwa sana kwa wasanii

  • @msaniiharry6760
    @msaniiharry6760 6 лет назад +3

    kaka nakubali kila ngoma unayo ifanya Bigup bro

  • @nonenone4954
    @nonenone4954 4 года назад +3

    Nakubali Sana Lizer🔥🔥🔥

  • @bonnysure1082
    @bonnysure1082 6 лет назад +3

    Amazing ngoma mkl Ray Gy mzee baba

  • @jamcmeja2557
    @jamcmeja2557 4 года назад +1

    Dha kweli una teseka sana kwa kutunga

  • @worldnews1400
    @worldnews1400 3 года назад +1

    Naichek hii 2021 January...Ila daaaaah laizer alikuw bado hajaw toz Kama saiv

  • @djonetz2730
    @djonetz2730 5 лет назад +3

    inakuaga shida kumbe

  • @adamsmwita4940
    @adamsmwita4940 7 лет назад +23

    Rayvanny mkali sana mgotee lizer producer wa nguvu among the best in Africa

  • @msolidwagalilaya6094
    @msolidwagalilaya6094 Год назад

    Huwa napenda sana kuangalia hizi studio time moments kwa sababu hata mimi pia ni msanii... huwa namiss sana studio nikiona ivi

  • @truppdizz7330
    @truppdizz7330 5 лет назад +2

    Daah jmn nyie achen tu sanaa kaz sana muanglie #VANY_BOY anaangaik apo kuandik alaf mt anakuj tu anafungia nyimb

  • @gilymzungu7759
    @gilymzungu7759 3 года назад +3

    Producers wanakazi kubwa bana...big shout out to them

  • @erastoboaz7294
    @erastoboaz7294 4 года назад +1

    Nakukubali tupo pamojaa

  • @derrickorlando
    @derrickorlando 2 месяца назад

    It's 2030 and I'm still vibing with this🤗

  • @irambonaericwamakamba6659
    @irambonaericwamakamba6659 3 года назад +4

    Nimekubli hii until now is trendy 🇧🇮🇧🇮 🇧🇮 🇹🇿🇹🇿 2⃣0⃣2⃣1⃣

  • @mzazig9095
    @mzazig9095 4 года назад +1

    Waaaaa kurecode mizengwe kwel

  • @SamuelSimiyu-pd6hn
    @SamuelSimiyu-pd6hn 6 месяцев назад

    I love this not the current amapiano songs

  • @irambonaericwamakamba6659
    @irambonaericwamakamba6659 Год назад +1

    Kwetu making so hard big up #lizerclassic 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮❤2️⃣0️⃣2️⃣2️⃣

  • @stephaniegati1051
    @stephaniegati1051 5 лет назад +6

    My song😭😭❤❤....from kenya👸

  • @dboymilan1464
    @dboymilan1464 3 года назад +1

    Nakubali sana kaka vanny boy

  • @malekeboy2592
    @malekeboy2592 6 лет назад +2

    Nakubal sana mwanang vanny boy umetishaaa

  • @innoallex9799
    @innoallex9799 4 года назад +1

    Hako kabitii mbona katamuuuu vipii namimi niingizee voko kaka nakuomba nirukee nayoo🙏🙏🙏

  • @sulemtani92
    @sulemtani92 9 месяцев назад +1

    nakubali sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

  • @aisha_mohammed5825
    @aisha_mohammed5825 Год назад +4

    This boy is so work hard in music 🎶 industry

  • @malikzafarani172
    @malikzafarani172 2 года назад +2

    Dogo ametoka mbali saana mwacheni avimbe tuh

  • @norbethngailo6604
    @norbethngailo6604 3 года назад +3

    Hii crip naiche kila siku 🔥🔥🔥🔥

  • @rammymussa8585
    @rammymussa8585 8 лет назад +3

    mh.....ebwana eeeh we fundi itx goo song

  • @andrewnyasuru2917
    @andrewnyasuru2917 4 года назад +3

    Kumbe kazi ndo iko hv😳

  • @calvinstephen1541
    @calvinstephen1541 5 лет назад +2

    Unaandika mwenyew Kaz nzur

  • @wahiduitsverycommentmane5421
    @wahiduitsverycommentmane5421 3 года назад +3

    Sichokii kusema hata mbuyu ulianza kama mchicha 2021

  • @gitongakelvin4917
    @gitongakelvin4917 3 года назад +1

    Ayoooooooo Lizeeeer!!! Huyu producer kiberiti bana.

  • @em_vee_josh
    @em_vee_josh 10 месяцев назад +2

    Yaani hivi ndivo ulikua unafanana miaka Ile

  • @maulidimgaywa5800
    @maulidimgaywa5800 8 лет назад +1

    Kutunga mashahiri mpaka yakamilike kazi kweli bgup kaka komaa maana

  • @edwardmgaya9537
    @edwardmgaya9537 3 года назад +1

    Kweli mzk Kaz sana

  • @jp8383
    @jp8383 8 лет назад +61

    Vijana wanahaingaika afuvwakitoka wananchi wanawachukulia poa sio poa

  • @nimahusseinabdi7524
    @nimahusseinabdi7524 8 лет назад +12

    kweli kazi

  • @mkambotv5418
    @mkambotv5418 6 лет назад +1

    HUYU LAIZA KAKONDA SANA. YAONESHA YUWAFANYISHWA KAZI NYINGI NA MALIPO DUNI... MPUNGA HAKUNA.

  • @venboyrecordsstudio6379
    @venboyrecordsstudio6379 4 года назад +1

    venda, limpopo province from south africa approved

  • @norbertjeremia504
    @norbertjeremia504 3 года назад +4

    Mwezi wa 10/2020 hapa like

  • @melusimuchada1714
    @melusimuchada1714 5 лет назад +3

    Weldone Rayvanny, Zim loves the final product!

  • @stefanwairimu9603
    @stefanwairimu9603 5 лет назад +1

    Lizer nakupenda

  • @briandosantos3741
    @briandosantos3741 5 лет назад +1

    Kube kazi gumu hivyo #chuma wewe expert

  • @liamvoice2057
    @liamvoice2057 Год назад

    Noma sana vanny

  • @JaredNgesa
    @JaredNgesa 5 лет назад +2

    kuunda wimbo siyo kazi rahisi! dah! kama huna subira na kujituma hutoboi. Halafu kesho wasikia eti ohh fulani kaingia illuminati , Ibilisi yu wapi hapa vijana wanapotia bidii hivi?

  • @nicksonkazungu
    @nicksonkazungu Год назад +1

    Good work

  • @BrightDramaticTV
    @BrightDramaticTV 3 года назад +2

    Kama hii ngoma unaitambua utamu wake hadi mwaka huu wa Korona, naomba like za kwako tafadhali

  • @stephanoiddy696
    @stephanoiddy696 5 лет назад +14

    Naitaji wimbo na msani yeyote wa Tanzania nipo marekani natowa 15.000 dollars

  • @GodwinLPetro
    @GodwinLPetro 8 лет назад +20

    daah nakumbuka ulivyotoa single yako huko TipTop then kuna wakati kwenye post za diamond alivyompost Harmonize nikakoment amchukue Raymond cox nilona kipaji chake knaendana na WCB kaza buti man ur a star now