TOMMY FLAVOUR,THE SHY AND SILENT ONE,Abdu Kiba loyalist, K2ga voice top notch , YOGO brains on the beats, KING is the mastermind and the person behind the success of this quality music,mentor,KING,KING KING,,,,,YOOOOOOOOOW
Jamaa anapendeza akiwa na kakake walahi. Jamani tuishi kupendana Kama ndugu na dada. Mwenyezi Mungu atufikishe sote pema InshaAllah. Mimi sio mpenda mziki ata hivyo
@@affleckmusic3709@ there bond is to strong always there for one another,alikua anamfunza pale alipokua anakosea,and he was very kinly listening to him,and notice he did it correct ❤.long live king music
Naona Alikiba alikasirika hapa 6:04 daeq 😂😂 Again, Abdukiba 8:30 kwa kweli hii studio session nitakuwa often nina come back kuitizama co'z its full of learning and enjoyment 😂
TOMMY FLAVOUR,THE SHY AND SILENT ONE,Abdu Kiba loyalist, K2ga voice top notch , YOGO brains on the beats, KING is the mastermind and the person behind the success of this quality music,mentor,KING,KING KING,,,,,YOOOOOOOOOW
You forgot manager aidan he is doing immensely
And you mohd the good analysts
@@choggysly3541 😎namaste
Vanillah the confident one
Vanillaa?
Jamaa anapendeza akiwa na kakake walahi.
Jamani tuishi kupendana Kama ndugu na dada.
Mwenyezi Mungu atufikishe sote pema InshaAllah.
Mimi sio mpenda mziki ata hivyo
unyama ni mwingi saaaana!!
Wote hapo wanangu sana. Kama na wa ni wanao nipate hata like 10 wafalme
HAWA JAMAA NDO MANA NYIMBO ZAO ZINAISHI WAKO SERIOUS SANA,WANAJUA SANA, BRO KIBA ENDELEA KUFANYA MZIKI MZURI🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Ali Kiba anafaa afunguee chuo cha vocal coz huyo jamaa ni noma sana
Oy huyu jamaa ni king kweliii sio poaaaa nashangaa tuzo ya muimbaji bora anapewa mtu mwengi wakat kwa kuimba huyu jamaa ni hatariiii
Kumbe huu wimbo angeweza kuimba kiba peke yake
Uzuri wa hi familia hutosikia marumbano wala kuzulumiana kama kule kwa jirani safi sana tim kiba👍❤❤❤
Hakika hapo nichuoo cha mziki na king ndiyo profesa
Kumbe King aliweza kuimba hii ngoma peke ake asee.
Just imagine being there when they're making this ..legend teaching his students..thanks kings music for showing us the hard work behind the scenes
So much love to Alikiba. What a brother
Top of all Apo Vanillah na ndo mwandishi wa huu Wimbo Kama unapinga nioneshe kpnde ambacho anaelekezw uimbaji Vanillah
Ni top tukimtoa alikiba
Notice the passion of k2ga when he is singing!!! My fav @kings
What a lovely combination of vocals and pure talents... I just love every bit of the scenes guys keep it up... Legends......
Ila hii familia naipenda sanaa
Yaani huu wimbo mimi naupenda jamani,na nimeangalia hii burdaaan kabisa moyo wangu kwatuuuuu❤
l just love the vibe between alikiba and abdul kiba, the brotherly love is a notch high,big up dudes
Hiyo ngoma ikitoka harufu yake ni dunia nzimaaa ni fire🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Napenda sana kuwepo ktk hiyo lebel.......
From rock city dadeq uku team kiba mwanzo mwisho 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Alikiba mon préféré depuis la RDC 🇨🇩
King's music unyama mwingi Sana 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Ahujawahi kuniangusha king's music forever
Ilikuwa big moments sana ,big up 👑👑
Salut king
Vanilla alipita One intake🔥🔥🔥🔥🔥
Nomaaa hakuwa na mbambamba 😂
Uyo jamaa ni atali sana vanilla ni atali aludiii na imoooo
Huyo alitisha
One love king musc
🇨🇦Napenda sana loyal and simple life style between brothers ally and abdu…🫡 Napendaga kaka anavyomleaga mdogo wake
“We all face difficult times. It is only the grace of God that gives strength to endure.”
Seems Alikiba loves his brother sana
"Kapatia"😂😂from the king to his baby brother❤❤❤
was looking for this COMMENT..😂😂😂ilisound fiti, the love to his brother
@@affleckmusic3709@ there bond is to strong always there for one another,alikua anamfunza pale alipokua anakosea,and he was very kinly listening to him,and notice he did it correct ❤.long live king music
I’m waiting ni skie real v ya kiba
Du! Kwel hii nayo ni kaz ngumu,mko class kabisa 🔥🔥
Huyu mwamba ndo Mana nyimbo zake zinaish
King unakazi kubwa
Nasikiliza mpaka natokwa machozi ya furaha kiba nakupenda mnooo
I like this how Ali tutoring
Kiba mziki anajua mpaka anakela
King's mazoez Sana sema kingkiba ni anagusa tu
Nyie King 👑 s really good music 🎵🎶💪💪💪
Safi Sana jamaa wanazingatia matamshi!
tuwekee yogo akitengeneza beat 🔥🔥
Kweny palace 🎉🎉
I wish one day niwe apo
Mara hii king kiba umeamuwa kuwakamatia bakora wanafunzi
King's music 🇲🇿💥💥
Studio sessions sio mchezo ukiwa na roho nyepesi waeza ondoka anyway lalalala is a mad hit
King 👑 kiba, I can’t wait for this
Love the way Ali was showing Abdu the way he should sing🎉
Yule shabiki Alie semaga ally hamsapoti mdogo wake alaaniwe
Fro Mozambique tunangojea ngoma king
Noma sanaa
Watu wabaya nawakubal xana bloo upande wenu daima
King Kiba 👑
nani kagundua k2ga amebadilishana verse na abdu kiba kwenye original version
Mi nilikuwa sijajua ila nimejua noma sana
Ni kwl kk
Alikiba na vijana wake 👉👉👉🤛🤛🤛🤛
ila k2ga salute zake melody yake kill it sana 🔥
Ali ako na vibe ka lote
Great, great guys 💪💪💪
King's music forever
King is teaching young bro to make it sound well 💥🔥
Music is feeling no feelings is not created good music congratulations champion alikiba
Unyama ni mwingi kwakweli hii inatwa kiba tallent music
umependeza kabisa na mimi napenda ni hube ka ti ka groupe yenu
kizazi sana Kings music my family
Ali mwalimu mkuuu wamusic tz
King ni King tu siku zote
Alikiba for abdulkiba najikuta najiskia rafa afu nalia😢❤❤❤❤❤
Pure talent 🔥🔥
😢😢😢😢 K2GA una sauti nzuri kabisa
Unyama mwingi
Alikiba😊😊 teacher
Yan we bado mdomo wako ni mzito,,hahaha kiba kichaaa saaana
Kenya I represent 🇰🇪
Kweli kuimba kazi kungu sana
Nyimbo tam jaman uwiii
yaani mm king nakupenda bure tu❤❤❤❤❤❤❤😢
Wote nawakubali Sana kiba na 2k
Jamaa Alie piga chaoras hatali
My family Kings Nusic 👑
nakubali mzee paraaaaaa yogo beat 🔥🔥🔥🔥
King 👑 🙌🙌🙌🙌🙌🔥🔥🔥🔥🐐🐐🐐🐐🐐🐐
Kaz nzur
King of music Ali kiba
Kings💥
watoto wapo na mwalimu darasani wanafundisha kidogo
Ally ni mwalimu bora sana wa music
Dah mpaka raha
At 15:31 would rather Sound superb than ever kibaaaa🙌
Nikama hii song iliandikwa na Ali na vanilla
True it's seems like
Nakubali king👑 alikiba 🇨🇩
😢😢😢 I'm happy to be there in Record for the King music 🎵🎵
Kumbe hii kazi ngumu hivi
Abdulkiba hana mazoezi ya kutosha ya kuimba kama ana uvivu wa mazoezi itamharibia
Yogo beat 😅mziki ni yogo
❤🌟✨⭐💥bom som
👑 music to the world 🌍 baby
Naona Alikiba alikasirika hapa 6:04 daeq 😂😂
Again, Abdukiba 8:30 kwa kweli hii studio session nitakuwa often nina come back kuitizama co'z its full of learning and enjoyment 😂
Hakuna sehemu nlocheka km hii 😂😂😂😂😂😂 daaaah
The love between alikiba anda Andy kiba..is like of l and my bro Florian
🤔niliisikia radha ya kiba the whole time, yuko poa sana❣️❣️❣️
King Music Forever 💫💫💫💫💫
Dah ilikuwa kazi
Mwazengua kweli...k2ga kwa video Ana virasta kama mwali.... Sasa kwa hio kachange stylo... Kings mko down.... Hahahah