Kwakweli Ni ngumu kumeza na ningumu kutema namanisha Ni ngumu kuamini na Ni ngumu kuelewa...yote yatupasa kumshukuru MUNGU kwa kila Jambo..nenda baba magufuli shujaa wa Imani Afrika
Ninaumiaaa, aliimbiwa wimbo huu siku za awali za urais wake na siku anashuka Airport mwanza akauishiriki, alichokuja kukifanya leo tunayosheana vidole, waliomshauri njia aliyopita hawakuwa watu wema....walimfahamu ni mtu so emotional na huruma ,ubaya watu wa aina yake akiaminishwa kitu hajiulizi mara mbili....Mungu ampe pumziko la amani,ameacha alama ktk mema yake, ameacha somo pale alipokosea ndio ubinadamu, tuyashike mema yake. Tumuombee, yeye pia atuombee unyoofu wa mioyo yetu. Amen
Jaman mie natafuta wimbo unaitwa mahali nijazwe roho mtakatifu niendelee kukutumikia siku zote ili ukija yesu wangu tukafurahi pamoja mbinguni kwako baba
mhh ina leta mafunzo yan lazima moyo ukuume ukisikiliza wimbo mzuli wa kufunza amani ni bola sana watanzania tuitunze amani yeto watu waililia na wanatamani kuipata lakini ss tunaona si kitu sababu tunayo tutunze kwa njia yeyote
So sad😭😭yaan hii nyimbo imenigusa sana mpk nimetamani hata ifungwe screen kubwa katikati ya mji kila siku iwe ina play watu waelewe kinachozunģumziwa hapa jaman😭😭
Mtunzi wa huu wimbo ni kama alitunga wimbo mmoja wenye nyimbo 100000000 ndani yake
Kwakweli Ni ngumu kumeza na ningumu kutema namanisha Ni ngumu kuamini na Ni ngumu kuelewa...yote yatupasa kumshukuru MUNGU kwa kila Jambo..nenda baba magufuli shujaa wa Imani Afrika
Naupenda sana sana huu wimbo na nimezidi kuupenda zaidi baada ya kumpoteza rais wetu kipenzi JPM siku zote alihubiri amani. r i p dady
Barikiwa sana mom kwa kuimba vizuri
Nimeitafuata kwel finally got it nyimbo nzuri kwel
leo ndo nmetambua kwa Nini JPM Alikuwa anaupenda huu wimbo Dah nmejikuta nalia tu Kuna ujumbe mzito sana hapa,EE MUNGU TUSAIDIE😭🙏
Umewaza mbali Sana
Ninaumiaaa, aliimbiwa wimbo huu siku za awali za urais wake na siku anashuka Airport mwanza akauishiriki, alichokuja kukifanya leo tunayosheana vidole, waliomshauri njia aliyopita hawakuwa watu wema....walimfahamu ni mtu so emotional na huruma ,ubaya watu wa aina yake akiaminishwa kitu hajiulizi mara mbili....Mungu ampe pumziko la amani,ameacha alama ktk mema yake, ameacha somo pale alipokosea ndio ubinadamu, tuyashike mema yake. Tumuombee, yeye pia atuombee unyoofu wa mioyo yetu. Amen
Pumzika kwa amani jembe letu magufuri
Yaani huu wimbo ulipaswa uwe unapigwa kwenye vituo vya television hata mara 100 kwa siku
Nimejikuta natoa Machozi tu
Duh sio kwa ujumbe huu
Sijaona nyimbo nimeona bonge la ujumbe safi
Unaliza huu wimbo jamani 😭😭😭
Sanaaaaa tyuuu
Kiukweli kila nikiuangalia mwili unakuwa wa baridi cjui tuu ni nini
From Instagram direct mpaka hapa continue Resting in Peace Papa John Pombe Magufuli 2022 I'm here ❤️
same here
Mubarikiwe Mara 1000000000000000000000000 wenye nyimbo
Hivi nyimbo kama hizi hamzioni?
Niliusikia huu wimbo kwa mara ya kwanza kama bahati tu nikaupenda mazima mpaka sasa
Upooo kama Mimi jomon,mm mwwnyew nimeona nikaupenda ghafla tyuuuuuu etyiii
Saut ya huyu dada n kiboko
nafurahi kumuona lecturer wangu wa Communication Skills Mr Makune🙏
@TIA~Mwanza campus
Kwa mara ya Kwanza siku 5 kabla ya kampeni kufungwa za uchaguzi mkuu was 2020, nawapongeza TBC1. Love her so much!!!
Jpm alinifanya niijue huu , jembe la Africa gone too soon...nikiusikia nalikumbuka
The message in this song is so deep, schoki ksikiliza... be blessed.
Bwana wa Majeshi Mfalme wa Amani awabariki❤
❤❤❤❤nliujua wimbo huu kwa sababu ya mwamba imara JPM Mungu ampunguzie adhabu ya kaburi
Mungu awabariki sana,big message to us.
Kwa kweli, hongereni, mmefanya vizuri sana
Mungu awabariki. Sana watumishi
Chang'mbe 🔥🔥🔥🔥🔥ujumbee mkali hamjawahi koseaa daaah 🙏🙏🙏🙏
Nimekuj baad y kuon crip y jpm pale ista y sudbrown
sijui kwanini leo ninaupiga huu wimbo since asubuhi
MLIOKUJA BAADA YA MATOKEO YA UCHAGUZI TUJUANEEE, NA WALE MLIOPITA KWA ROMA MKATOLIK ACHIA LIKE
NIMEKUJA KUSIKILIZA KWA MARA NYINGINE MAANA YANAYO IMBWA HUMU YANAUMIZA SANA........ MUNGU TUSAIDIE NAUMIA SANA 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏WIMBO UNALIZA SANA
Nyimbo Ina ujumbe Sana hii
r i p magufuli😓😓😓
Play with something else.... don't play with peace 💔 ... powerful message 💝💗
Mungu ilinde nchi yetu
Mungu zidisha amani upendo na mshikamano katika nchi yetu ya tanzania
Jaman mie natafuta wimbo unaitwa mahali nijazwe roho mtakatifu niendelee kukutumikia siku zote ili ukija yesu wangu tukafurahi pamoja mbinguni kwako baba
A single day can destroy peace 😭😭Haki ya Mnyonge Haipotei Bali hucheleweshwa😩🙏
Good Job and god bless you
Nimebarikwa sana.sichoki kuusikiliza.Mungu awabariki
Hongerà mungu awabariki
Mungu awainue
Nimeanza kuujua huu wimbo baada ya kufatilia Rais magufuli akiucheza daaah pumzika baba yetu magufuli
Mungu AWABARIKI Sana mmeimba vizuri
Chezea pengine usichezee amani
Mungu n mkuu Sana nmebrikiwa Sana kusikiliza wimbo huu
Me nautaka huu wimbo but nashindw download
Wimbo umenitia sana moyo. Nace song
My favourite song
Kwakweli chezea kingine na sio amani jamani8
Mungu linga inchi yetu
Bonge la wimbooo
My favorable song❤❤
God bless you 🙏🙏🙏 AMEN ❤❤❤
Nyimbo Nzurii sana
Waooow.. Wimbo mzuri sana
Mungu awabariki sana
Amani ikitoweka kurudi kazi sanaaa
God is the king of peace
Nyimbo nzuri sanaa. Asanteni watumishi mbarikiwe.ujumbe umefika
Amani ndokira kitu hayomengine nizarula tu
Kazi nzuri
Ameen
Nice song huu ndio ukweli amani ndio fraha ya kilamtu
Beautiful work
Ilovesomuch this song godblessyou
Nce song
Wimbo mzuri mnoo
Good songs
2023 still🙏🙏🙏🙏🙏😭😭
Ndy maana jakaya alitoa mchozi cku ya huo wimbo baba aliona mbali
Ooooh peace 🙏🙏🙏💔
nyimbo kali sana hii
Vuruga kwengine usivuruge amani
blessed
Don't run peace oooooooh my God
September, 2024
Powerful massage!
waebrania 12:14
mhh ina leta mafunzo yan lazima moyo ukuume ukisikiliza wimbo mzuli wa kufunza amani ni bola sana watanzania tuitunze amani yeto watu waililia na wanatamani kuipata lakini ss tunaona si kitu sababu tunayo tutunze kwa njia yeyote
Oooo so sad exactly
So sad😭😭yaan hii nyimbo imenigusa sana mpk nimetamani hata ifungwe screen kubwa katikati ya mji kila siku iwe ina play watu waelewe kinachozunģumziwa hapa jaman😭😭
Amen!
Good song
Good
2020
AMANI
❤
MUNGU anataka rehema c sadaka
True bro
God bless you all for this song God's servants
Nice song
.
My lovely song
Nice song
Blessed