Mtoto wa mwijaku Anaongea kingereza Tu Mitihani yote A anapika anafanya usafi anasoma international

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 17 ноя 2024

Комментарии • 105

  • @boionemkenyaofficial8822
    @boionemkenyaofficial8822 Год назад +5

    This young girl come rain 🌧️ come sun shine 💗 she's going to be a leader of tomorrow Mwijaku Big up brother God bless you all

  • @husseinkombo-3447
    @husseinkombo-3447 Год назад +5

    Mwijaku mungu akubariki sana pia kulinda familia yako

  • @benwekesa6139
    @benwekesa6139 Год назад +2

    Actually young girl she so amazing on speech

  • @Enigma_files_
    @Enigma_files_ Год назад +3

    Brother mwijaku ana jua kukuza mzee well done

  • @brfootball5002
    @brfootball5002 Год назад +2

    I just like that kid sana... that's the way to go... investing in your kids is the best of all

  • @alicekisanga8004
    @alicekisanga8004 Год назад +2

    Intelligent girl am impressed bravo.

  • @swedish_james
    @swedish_james Год назад +4

    For the first time I've heard a Tanzanian speak good English and ooh my it's a kid Mwijaku's daughter big respect to Mwijaku I tell you 🔥🇰🇪

    • @jicholafursa7058
      @jicholafursa7058 Год назад

      For the first time?acha hizo

    • @esaukalanje5378
      @esaukalanje5378 Год назад

      Acha uongo wewe yani Tz Mzima umesikia huyu tu acheni dharau

    • @safiyanirram-pf3sv
      @safiyanirram-pf3sv Год назад

      mbona wapo wengi tu watt pia waking sasha kina shuby nawengine atuwajui sema Kenya 🇰🇪 mnajifanya nyie ndo wajuaji😊

    • @nassercurtis9579
      @nassercurtis9579 10 месяцев назад

      Hivi nyinyi nanyi mnakuwa mambumbu mnamjibu huyu maandazi, si mkae kimya tu hawaoni zuri toka TZ siku zote wanawashwa bila kuitaja tz, sawa hatujui kingereza tuna lugha yetu ya Taifa tujivunie nayo. Kwani wachiba wanaongea kingereza au wafaransa ama wa Italy?

  • @omarisarai7699
    @omarisarai7699 Год назад +1

    Good girl I like the way you Express yourself. Keep it up and May Allah help you achieve the best Inshallah

  • @shukrimusa528
    @shukrimusa528 Год назад +3

    Mwijaku😂😂😂eti "najua hujaelewa hapi

  • @anjelinakasembe845
    @anjelinakasembe845 Год назад

    We Mtangazaji Biege kweli kunamtu asiyempenda mwanae

  • @alantonio855
    @alantonio855 Год назад +5

    Yuko na akili sana...walipo muuliza skul unavaa aje...amejibu vizuri...apana skul navaa normal ...

  • @lilyrose7983
    @lilyrose7983 Год назад +1

    Katoto kazuri sana ❤️❤️

  • @ibrackibrahim6909
    @ibrackibrahim6909 Год назад

    Huyu mtoto ni wamoto jamani 😁😁😂🤣😂🔥🔥🔥🔥

  • @hanifamziray277
    @hanifamziray277 Год назад

    Hongera sn dc hapo umelea ila punguza mbwembe

  • @kassimbakari3164
    @kassimbakari3164 Год назад +1

    Mtangazaji kingereza kimekushinda

  • @edchrisbeatz8976
    @edchrisbeatz8976 Год назад +1

    baba levo anasema anasomeshewa watoto nataka nione wakwake wanaongea kiha au kingereza😂😂🙌🏾

  • @mwigakatumpula5695
    @mwigakatumpula5695 Год назад +2

    Mwandishi wa Habar kaya kanyaga kwa mtoto kwenye kingeee chezea kingeee wewe🤔😃😃😃

  • @godfreyally-ps3fo
    @godfreyally-ps3fo Год назад +5

    najua hujaelewa ndio maana unakimbilia mamaa😄

  • @hashimahashimu7366
    @hashimahashimu7366 Год назад +1

    Kiukwl wtoto wanatakiwa kulelewa vzr na kuheshimiwa haijalishi n mtto au nn

  • @princeahmed5795
    @princeahmed5795 Год назад +1

    Mashallah good girl ❤

  • @mohamedfaris3000
    @mohamedfaris3000 Год назад +4

    Yuko wapi mtoto wa Baba Levo

    • @maymbeyu5458
      @maymbeyu5458 Год назад

      Hahhahaha🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣umenichekeshaaa

  • @hassanmwallimu5767
    @hassanmwallimu5767 10 месяцев назад

    Huo no ushamba wa wazazi wake ni lazima mtoto aongee lugha ya kwake ya asili halafu lugha nyingine ndio zinafuata. Sisi tupo nje ya nchi tumezaa watoto huku na huku wanapoishi lugha ni kiingereza tu lakini wakija nyumbani tunaongea nao Kiswahili hili waielewe na kuiongea lugha ya kwao kiufasaha . Jamaa zetu wa Nigeria,wa Ghana,wa Pakistani na wa Hindi wamezaa watoto wao huku na wote wa naongea kikwao kwanza kiingereza kinakuwa cha pili

  • @lastkinglastking3326
    @lastkinglastking3326 Год назад +2

    Duh hakika Mwijaku ni mwaname

  • @Idrisa-bu2ln
    @Idrisa-bu2ln Год назад +1

    nilichokipenda sio kuongea tu Ila nimependa Confidence
    Tutajitahid kujenga Watoto zetu wajiamini

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 10 месяцев назад

    Nyie watu acheni kasumba.Je Kiswahili anakifahamu Je hata lugha ya mama au mama anaifahamu 😢

  • @piuskusenge-jf2ob
    @piuskusenge-jf2ob Год назад

    Hahahahahaha😂😂😂. Eeee Mungu mwenye enzi, nakuomba mjaalie mtoto wa Mwijaku akue katika maadil mema, Ataweka wapi sura yake , endapo mwanae aki- misbehave huko mbeleni. Pia wajaalie watoto wote wa Tanzania na Africa kwa ujumla wakue kwenye maadili mema ili Africa liwe bara Bora kabisa duniani.

  • @hassanmwallimu5767
    @hassanmwallimu5767 10 месяцев назад

    Wa Tanzania wachache bado akılı zao ni za ki shamba sana

  • @simbabbq4427
    @simbabbq4427 Год назад

    Waandishi mnamda sana free kuhojiana na mjinga nawasikitikia sana waandishi wa habari wa tz

    • @wahugreat1975
      @wahugreat1975 Год назад

      🥴Na wewe unamda sana ukatumia bando ukaangalia alivyo ojiwa wewe mtazamaj wa tz mjinga 🤣🤣

  • @abby-xf5ow
    @abby-xf5ow Год назад

    Hatari sana

  • @sabihaibrahim143
    @sabihaibrahim143 Год назад

    Sasa mmoja anaongea kizungu mmoja kiswahili hahahaaa lakini munaelewana hahahaaa haya

  • @miltonmachage2462
    @miltonmachage2462 Год назад +2

    Sura ya baba sasa sana

  • @lydiahboyani1021
    @lydiahboyani1021 Год назад

    Eti anakimbia kimbia hajaelewa kingereza jamaaaaani...mbaka karudi kwa kiswahili

  • @mtanzaniamwenzangu181
    @mtanzaniamwenzangu181 Год назад +1

    Kingereza cha interview kinachezewa hapo

  • @mapenzibanzi8679
    @mapenzibanzi8679 Год назад

    Class 5 hanu wabongo Kenya n pp1 😂😂😂

  • @mzalendomtokambali6551
    @mzalendomtokambali6551 Год назад

    Siku akija kujua Kama amesomeshwa na pesa za uchawa ndipo utakuwa mwanzo wa aibu

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 Год назад +2

    Ushamba mtupu! Vitoto vinaishi ulaya na wxaxi wao wakija Tx kiswahili.Cha mshangao hapo nn??

    • @stanslausmteme8455
      @stanslausmteme8455 Год назад

      Huyu jamaa limbukeni sn wa maisha ndo shd ya sisi masikini

    • @rhodarobin8086
      @rhodarobin8086 Год назад +1

      Asikuumize kichwa huyu mwehu,.

    • @anodearsulusi7536
      @anodearsulusi7536 Год назад +1

      @@stanslausmteme8455 Ukizipata ukubwani ni shida sana jamani

    • @bainolatino3412
      @bainolatino3412 Год назад

      Hamna jamani sometym kuna mtu anaamua kuishi maisha yake tuu kwan nn au ndo wafanye wakina mondi tuu akifanya huyu ni ushamba

  • @stanslausmteme8455
    @stanslausmteme8455 Год назад +1

    Haha! Watoto we wenzio sio wanapata 80's wanapata 100% wakipungua 90's

    • @bainolatino3412
      @bainolatino3412 Год назад

      Haya bana

    • @alicekisanga8004
      @alicekisanga8004 Год назад +1

      You are very jealous 🤣🤣

    • @gibsonjosephat6352
      @gibsonjosephat6352 Год назад

      Mwisho wote Wana A.

    • @stanslausmteme8455
      @stanslausmteme8455 Год назад

      @@gibsonjosephat6352 hata Kiwango cha kufahuru huanzia div 4 hadi div 1 harafu Maliza hivyo mwisho wote wamefahuru marks na grade vitu viwili tofauti kitaaluma ndo maana A zipo mbili mkuu Kuna A+ na A sasa sasa km anapata 80's na anapewa zawadi Shulen kwa alama hizo hiyo shule bado

    • @stanslausmteme8455
      @stanslausmteme8455 Год назад

      @@alicekisanga8004 hapana nataka ajitathmin mkuu hizo alama anazopata mwanae ni za kawaida sn asione ni wapekee siku hizi watato wanafahuru kwa alama nyingi sana darasa laV anapata alama km hizo ni kweli anajitahid ila aongeze kwani wapo walimzidi darasa wanapata alama za juu zaidi yk na wapo darasa moja na yeye wanamzidi pia mi siwezi mwonea wivu mtu alonizidi kimaisha hata kidogo

  • @whitetigerprincy5882
    @whitetigerprincy5882 Год назад

    ni kweli mwijaku mwenyewe kajisemea ati hajui kingereza maanake sijai sikia hata siku moja akikisungumza kizungu

  • @MsodokiSokoine-k2x
    @MsodokiSokoine-k2x Год назад

    Baba mukwe wangu mwijaku

  • @mwashyombo9241
    @mwashyombo9241 Год назад

    Mwejaman mwijaku ungemwacha mama alandishe mtoto

  • @mkibandulo1231
    @mkibandulo1231 Год назад

    Mashaallah

  • @jonasnyanga8167
    @jonasnyanga8167 Год назад

    Also he design au nimesikia vibaya

  • @eddyamour9720
    @eddyamour9720 Год назад +1

    Dogo yupo vizuri Sana

    • @omanalwafi8486
      @omanalwafi8486 Год назад

      Watu wajinga sana kujuwa kingereza sio kuondoa umaskini ktk familia uyo baba yake mwikwaju kasoma mbona elimu aijamsaidia leo anapita kuomba omba kwa watu wasio soma wala kingereza awajui

    • @omanalwafi8486
      @omanalwafi8486 Год назад

      Kutwa ktk majumba ya watu kuomba kama kuwasifia apata ela ebu tutoleeni ujinga hapa inchi inawatu masikini wa akili hii

  • @Gabonfreeman
    @Gabonfreeman 10 месяцев назад

    🎉🎉🎉

  • @pastoraile7195
    @pastoraile7195 Год назад

    That is truth story

  • @Noel-bp1xd
    @Noel-bp1xd Год назад

    Nice kid

  • @nsmilles_tz2601
    @nsmilles_tz2601 Год назад

    Respect

  • @gracethomas683
    @gracethomas683 Год назад

    Hesabu hatujaoneshwa…..

  • @sanyajuutv2679
    @sanyajuutv2679 Год назад

    Mtangazaji kashindwa kuongea kingereza

  • @abdillahamour5415
    @abdillahamour5415 Год назад

    Good

  • @ziadamtebwa3712
    @ziadamtebwa3712 Год назад

    Mashallah marichuu

  • @smith90000
    @smith90000 Год назад

    Mwandishi 😂😂😂

    • @Noah-zt5zf
      @Noah-zt5zf Год назад

      😅😅😅😅😂😂najua hujaelewa pia wewe

  • @mayrose9772
    @mayrose9772 Год назад +1

    Nkajua A za 100 ila mwijaku mmmmh

    • @omanalwafi8486
      @omanalwafi8486 Год назад

      Kwani kingereza ni dili kama dili mbona watu awali kingereleza acheni ushamba kusjobokea lugha za mabebelu mmbwa nyinyi..

    • @mayrose9772
      @mayrose9772 Год назад

      @@omanalwafi8486 mbwa mwenyewe Tena we mbwa Koko dume

    • @omanalwafi8486
      @omanalwafi8486 Год назад

      @@mayrose9772 baba ndo mmbwa aliye shindwa kukuhudumia shetani mwekundu wewe...rusa kaka matako yako wewe unajilzalilisha uvivu kufanya kazi malaya wewe

  • @kassidpandu866
    @kassidpandu866 Год назад

    Mwijaku wako wengi wana Akili sana lakini hatuwatangazi Hadharini sasa Ndio Nini

    • @wahugreat1975
      @wahugreat1975 Год назад

      Mwacheee mwjaku kitoto chale kpo vzur
      Na interview imemfuata kwake na mvua ndiyo imemleta mtoto apo alikua bze na mbwa wake 🥴🥴

  • @ramadhanisalum3898
    @ramadhanisalum3898 Год назад

    Mwandishi amechmka

  • @misosikonki
    @misosikonki Год назад

    Safi

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 10 месяцев назад

    Teach her Swahili properly my dear brother.

  • @Thebaddest255
    @Thebaddest255 Год назад

    Kwa kingereza gani 😂😂

    • @mdalamgir-gu9hu
      @mdalamgir-gu9hu Год назад +2

      Wacha chuki

    • @ngowibeatrice1701
      @ngowibeatrice1701 Год назад +1

      Acha chuki

    • @smartnyengo725
      @smartnyengo725 Год назад +1

      You don't know English thus why you can't realize that she is speaking gud English 😂😂

    • @Thebaddest255
      @Thebaddest255 Год назад

      @@smartnyengo725 haya 😂

    • @lilyrose7983
      @lilyrose7983 Год назад

      The last class to attend is jealous before becoming a witch 😒

  • @peterrobert8905
    @peterrobert8905 Год назад

    Huyo mtoto ni balaa

  • @irenemacha5661
    @irenemacha5661 Год назад

    Aaoooh

  • @drvaxminja2133
    @drvaxminja2133 Год назад +1

    Kuna watoto wanapata A za 95-100 siyo hizo za 80-85 😅

    • @najmaallysaid-mz2wc
      @najmaallysaid-mz2wc Год назад

      Pia sio mbya ni grade ya A

    • @alantonio855
      @alantonio855 Год назад +1

      Mpongeze...ipo vizuri nyumbani na shule

    • @stanslausmteme8455
      @stanslausmteme8455 Год назад

      @@alantonio855 nikweli anajitahidi ila alama hizo kwa sasa ni za kawaida sana asione mtoto wake ni genius hata yeye baba yk alikua anapata hizo alama naamini hivyo ila kwa sasa watoto wanafahuru kwa alama za juu zaid

    • @lilyrose7983
      @lilyrose7983 Год назад

      Huo wivu sasa mbona yuko vizuri tu?

    • @neemanyimbi2355
      @neemanyimbi2355 Год назад

      Acha wivu cjui Ni broo xjui Ni dada wivu ATA kwa mtoto unawivu nyie ndo hamwez kuishi na watoto wa watu izo max pia Ni kubwa sana. Loooh huna ATA aibu roho Mbaya tu

  • @saadatiyahyashabani-yg2xy
    @saadatiyahyashabani-yg2xy Год назад

    😂😂😂😂

  • @joycekaguo8476
    @joycekaguo8476 Год назад

    Mwandish

  • @nikkimbishiunju2402
    @nikkimbishiunju2402 Год назад

    Mwijaku mpumbavu

  • @medikokadilo2740
    @medikokadilo2740 Год назад

    Afrika utumwa bado upo an jtu likiongea hlo lilughan la kitumwa lnajmwambafai na kujifanansha na wazungu kat China na urusi maprofesa wao weng kingeleza hawajui