OSTAZ JUMA - "ANASHINDA KANISANI ILA ANATOA HELA TU - GOZBERT ANA NINI MPAKA AONGEE na MUNGU?"...

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 5 фев 2025
  • OSTAZ JUMA - ''ANASHINDA KANISANI ILA ANATOA HELA TU - GOZBERT ANA NINI MPAKA AONGEE na MUNGU?''...
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Комментарии • 10

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  7 дней назад

    SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ

  • @MariyimJumanin
    @MariyimJumanin 3 дня назад

    Mh we ostaz juma unasema uzur unachangia wew sio mwanamke bana

  • @demicratia4071
    @demicratia4071 7 дней назад

    1. Angeliuza 2. Au angelitoa na yeye ZAWADI. 3.Angemrudishia 4. Angelipeleka kwenye Mnada

  • @barakaayubu6126
    @barakaayubu6126 7 дней назад

    Katika Imani ya kikristo mpaka Leo tuna mtume,nabii.

  • @deogratiusyudatadei5658
    @deogratiusyudatadei5658 7 дней назад

    Ndiyo maana mm sielewekagi leo niko msikitini kesho kanisan kesho kutwa kwa waganga yani ni mvurugano mpaka mwisho wangu point ni moja nataka pesa 😂😂😂

    • @FatumaMsuya-j5u
      @FatumaMsuya-j5u 7 дней назад

      😂😂😂😂pumbavuuu yani umenifanya nicheke kijinga😂😂😂😂😢😢😢😂😂😂

    • @fanuelykitambule5542
      @fanuelykitambule5542 7 дней назад

      🤣🤣🤣 Bora ww umeongea ukweli mana kuna watu wanafanya mambo ya hovyo sana alafu wanajificha kweny kimvuli cha dini waonekane watu wema. MUNGU ATUSAMEHE TU.

    • @deogratiusyudatadei5658
      @deogratiusyudatadei5658 7 дней назад

      @fanuelykitambule5542 kabisa

    • @deogratiusyudatadei5658
      @deogratiusyudatadei5658 7 дней назад

      @@FatumaMsuya-j5u 😂😂 pole

  • @mollelamosole8352
    @mollelamosole8352 7 дней назад

    Huyo jamaa amefanya makosa sana huwezi kuharibu mali ya umma kwa kushikisha imani au dini iyo gari ni mali ya umma