Zatiti jizatiti kma jina lko,,kubali tu ubaya ubwela chiko n yy asikizie maumivu uliopitia au sio washikaji,,,Mr Tasha goma la kwako hilo ausio chiko akileta za ovyo mvunje kiuno😂😂😂😂😂
Nampenda Mama tasha maana anampambania mwanae na kumpa ujasiri wa hali ya juu sasa zatiti nawe onyesha msimamo wako kwa tasha fukuza chiko kama mbwa koko
Sijapenda kipande cha kwanza kimechukua muda mIefu sana hivi na hawa wapemba humu ndani wanafanya nini jmn badaIa muwaweke watu wa maan nandioman sikuizi imepoa hii movie cjw kwa nn daah
@@rachelmichael-uo5hf yaani kipande kizima ni chakwao movie gani hinakuwa hivi khaaa yaani sikuizi wanaaribu harafu watu hawatoi sapoti wapo bize kuomba Iikeee
@@marthadaniel4904 Wanashusha brand, for the first time walikua vzuri lakin sasa wanafanya Bora liende.. hawajui kuwa watu tunaacha Kaz zetu tunafuatilia pengine tunapata chochote kitu
Tasha Fanya kweli bana Fanya nae mapenzi zatiti abebe mimba ili chiko aumbuke Zaid wanao kubaliana na mm like hap
kweli yani
Yaani kweli kabisaaaaaa
Kabisa Yan
Kweli kabisaaa 💯💯
Qweli ❤🎉
Ndio maana nakupenda mamaangu mamaake na tasha nakupenda sana mwenyezi Mungu akuzidishie umri mamaetu 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Zatiti unazidisha hii move yazidi kuwa moto na mama tasha mashallah🎉🎉🎉🎉🎉
Umbaya ubwela chiko kimekuramba ndo waenda kwa zatiti 😂zatiti acha kunyaa na kuwa mpole timua huyo mpuzi 😂😂🤣🤣chiko anaudhi kma wakubaliana na mm gonga likes 💪💪💪
Mpumbavu sana hyo chiko zatiti timua mtu
@@khafidamkambeKhafidamk-dq7njkabisa
Mama ake na Tasha nakupenda upewe maua Yako mama
Bwana yesu asifiwe asalaamu walekum yeyote atakayesoma hii coment mungu amuhamshe salama kesho🤲✊👊🙌👍🤏👉👆✊👊🤛🤜🤝🙏🙏🙏🙏👏👏👏
❤
Chiko unabore tuondokee wewe nauwache zatiti kabisaa
Amen 🙏🙏
Amiin 🤲
Amen Amen Amen
😂😂 Mama bora Sanaa Mama tasha asee etii kamuuliza tasha wewe elimuyako ni ya kuchimba visima. Aissee mama tasha yuko vizuri
Mama Tasha ako vizuri 😂😂😂
Chiko umezidi mpe amani zatity jamani mbna alikuwacha mda mrefu sana
Wanaopenda ushauri WA mama Tasha,wagonge like uapa
Huyu mama nampenda sana kwa busara zake
👍👍👍👍👍👍
❤❤
Yani hamenisha uri adimimi uku😅😅
Jamani zatiti na tasha waowane araka ule mpuuzi chiko afiye mbali nakuaribu starehe za watu🇨🇩🇨🇩🇨🇩👍
😂😂😂ndoa,tunayo
huyu chiko mbona anatak kuharibu furaha yangu jaman🎉🎉🎉🎉s amuache zatiti wetu .enyewe naomben like jaman🎉🎉🎉
Jamn kwenye hii tamthilia zatiti kachukua namba kwa urembo kama mnakubaliana na mm gonga like
😂😂😂😂kwakweli katika group zima zatiti mrembo hata mama tasha pamoja na utu uzima ila mrembo
Yaan ni mzur mnoo👌🥰
Zatiti unajiliza nn kwan huna maamuzi yako weww kama ww mpka umuite dada yako au unampenda bado yan unanikera kwann huwezi kujisimamia mwwnyw
Wanao Kesha kwakusubili house girl tujuane🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Chiko atuachie zatiti wetu ni wa tasha please,gonga like kama unakubaliana na mm
Apa Niko nawewe 100 kwa 100
Tupo sote
Kweli kbsa,APO tasha wetu ashapta jiko POA Sana, starring wetu zatiti 🌺🌺🌺
Kabisa chiko homemade mandevu😂
Aende kwa kendy wake😂😂
Tunaoamin chiko hawez kuzuia ndoa ya tasha na zatiti gonga like hapa tujuane 🎉🎉🎉🎉🎉
Alitoa Tarak Kwa jeuri Sasa hiv Kawa Kam chiz
Movie ingemgusa zaid chiko angekutana na zatit akiwa mjamzto hapo ndo angepagawa sana
Eee hapo ndio ingekuwa poa
😂😂angedai yakwake aliondoka nayo zatiti😂
Kweli ningependa zatiti angekuwa na mimba duuh chiko angezimia hapohapo na dada yake angejuwa zatiti anamimba pangekuwa patamu sana
Bilashaka pangependeza sana
Zatiti badala ya kuzidisha mapenzi kwa mr tasha kumwaminisha unampenda unakaa kulia lia
Asalm alyqum naiman mumeshnda vizur ...kufikia sai Allah awatangulie n kila l khr inshallah mlale poa🤲🤲💓
Jaman mbona mnatukosea kwa zatiti natasha ebu uyo zatit abebeshwe mimba na tasha chapu chiko aumbuke na dada yake maana walimwita mgumba😂😂😂😂😂😂
Chiko achana na zatiti,aponde Raha juu ulimkataa ,pia ww upate maumivu,kama venye yeye aliumia moyo team zatiti hoyeee nawapenda sana❤❤❤❤
Right
Kwanza anaboo saii uyo chiko😂
Ndio ameshaanza kuumia. Hio ndio sbb kalewa saana.
Siku nyingi nilikuwa nasubir sana chiko kimlambe ooooooh!! 🤣🤣
Wenye mashaka na mahusiano ya zatiti na tasha gonga like apa
Hata ikuwe sangapi bado tupo macho kuingija harusi ya mr Tasha na Zatiti
Chiko achukuane na boss wa Kai na maisha yaendelee
𝐇𝐚𝐩𝐨 𝐮𝐦𝐞𝐬𝐞𝐦𝐚 𝐢𝐦𝐞𝐛𝐝 𝐧𝐤𝐮𝐩𝐞 𝐥𝐢𝐤𝐞🎉
😂😂😂😂😂😂
😂😂😂Kichwa kibovu wewe😅😅
😂😂😂😂
Mule mule Yani🤣🤣🤣
Hahahah😂😂kwakweli ciko amenikumbucha mwanawume niliye zaanaye tukawacana 😂kwakweli amenisumbuwa sana paka nikaamuwa kuwolewa pengine jiliyake😂😂😂😂
Ndo mm mpaka sasa yani aneshindwa kunisahau
Chiko kapigwa na kitu kizito😂😂😂
Handsome boy mnywaji typing and deleting 😂😂😂
Vipenz mmeonaje zatiti kuolewa na tasha😍😍😍
Mama tasha mama mwenye d zake mbili mjini ebu fanya mambo yako hapo zatiti abebeshwe mimba natasha waruhusu walale wote
Tunaejifunza kitu kutoka kwa chiko gonga like hata tano
Msije mkathubutu kuwaacha
Manao wapenda baadae mkajuutia (wangu simuach)
Chikooooooooo,,,,ulisema cha nn wenzio wakasema mlete hapa anafaa kwetu,,,,wewe baki na mshangazi wako candy
😂😂😂😂😂😂😂
@@SitiSaid-ol9rm 😅😅😅😅
Mshangazi 😂😂😂😂😂😂😂😂😂 nimecheka sanan
zatiti fanya maamuz usilie mwenzio nakupenda
Weeeh! Chiko kimeumana😅😅 team zatiti & Tasha mpo apii
Dah chiko aache usumbufu bs kwa zatiti alafu mama Tasha cna uchoy nayo chukua maua yk🎉🎉🎉
Shikamoo mamake Tasha nakupnda sana mama kwa ushaur wako ❤❤❤❤
Leo wakwanza jaman nipen like japo 10 from Tanzania
😂😂😂😂😂 chikooooo utakuwa chikoti sasa mda wote watetema balidi ndio kwanza kunakucha unavulungwa 😂😂😂😂😂
Kutoka kenya 🇰🇪 Bwana Yesu asifiwe watu wa Mungu muwe na usiku mwema wenye mafuniko na awafanyi wepesi kwa kila jambo 🙏🙏🙏🙏
Na kwako pia
Amen nakwakopia
Amen nawe pia
Amen
Pole sana zatiti jamnn tasha ni wako 2
Mama tashaá nampenda sana nakwamini sana mama tashaá ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Tasha tumia lotion ya ndim Wallah 👌👌👌
Zatiti jizatiti kma jina lko,,kubali tu ubaya ubwela chiko n yy asikizie maumivu uliopitia au sio washikaji,,,Mr Tasha goma la kwako hilo ausio chiko akileta za ovyo mvunje kiuno😂😂😂😂😂
Masha Allah Allah Awazidishie Kipaji Chenu .. Twafurai kwa kazi Zenu
Wanaesema chiko kimemramba wote tuseme ameeen
Team strong taal 😂🎉🎉❤mambo taar chiko pambna na hali yako
Majinun fii
Mr Tasha na zatiti wanapitia mitihani katika mahusiano yao hila mungu yuko pamoja nanyi chiko kitakuramba tu😅
Hongera Sana mama tasha na maswali yake uko sawa kabsa mama
Hii part ya chiko imekua ndefu paka ya bowa
Very true
Mda wa chiko kuteseka sasa
Mamake Tasha ni mama mzuri Sana anamashauri mazuri Sana ❤❤❤❤❤
Nampenda Mama tasha maana anampambania mwanae na kumpa ujasiri wa hali ya juu sasa zatiti nawe onyesha msimamo wako kwa tasha fukuza chiko kama mbwa koko
Ukisema cha nini wenzako wanasema watakipata lini Chiko kula chuma icho 🤣😂😂😂😂❤
Ww Zatiti acha ujinga,maamuzi gani huezi fanya wakati Chiko akikudhalilisha ustake kutukoroga hpa
Mama tunae tuna tamba nae asante kwa kumtia moyo mr tashamaua yako mama🎉🎉🎉
😂chiko bn et akiota fangasi miguu nipeni like na mimi naomba leo joman😮
Wa kwanz jmn naomben like vipenz
Napenda zatiti akicheka unajua sana ❤❤
Zatiti amka naww acha kumuendekeza Chiko mwenzako huko alikokuwa analingia wameshamfanya chikojozi mtimue boya huyo
Namba moja Leo my like plz😂😂😂
Mlembooo
Nipeni like zangu wakwanza leo
Jmn wapendwa wa house girl mpooo 17:06
zatiti hana msimamo kama umeona kama mm gonga like
Leo wa kwanza. Likes plz
Waaà Leo nimewai today,nianze kufatilia,zijawai😂
Mr chiko wanifuraisha sana mwànangu 🌺 🌺 🌺 🌺 🌺 🌺 🌺
Nmewahi leo naombeni like ats tano wana Busati🎉❤
Ayaah
Mbon chiko anasumbua amwacheee zatiti
Zatiti mungu anamuona kwa anachonfanyia chiko
Ninawasi wasi kuna kitu kinaenda tokea dada wa zatiti akikutanishwa na mist tasha 😅
Chiko acha kumsumbuwa zatiti urimuacha kwa kejeri manyanyaso kuwa hazai muache namaisha yale
Nna waswas n zatt jmn mbon haongei kitu uenda Bado anamtaka chiko
Chiko fanya kila kitu elewa hadi utembee kichwa kikiwa chini ila ukae mbali na Zatiti wetu
Naombeni like jamanii Leo nimewah
Sehem ya chiko imechukua mda sana jaman
Hongera sana tash ulikuwa unapoteza muda wako wakumsikiliza uyo mpuuzi
Jamani zatiti mhh my mother sillies unalia house girl unalia zatiti kuwa na furaha bas ukilia wew mwenzio nafeel kulia pia ,,more ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
zatiti namkubali🎉🎉🎉🎉
Mm siombi like lakini napata mawaidha na mafundisho haswa kwa mama tasha🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤
Kwenye hii series wanaume hawajui kutongoza.
Kay kasaidiwa na baba yake, Tasha na Kibendu wamesaidiwa na mama zao.
😂😂😂Wenae utaszidiwa na nani😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂kumbe umeona eeeh
@@RizikiZiki na mshangazi
𝐔𝐦𝐞𝐬𝐞𝐦𝐚 𝐤𝐰𝐞𝐥 𝐢𝐥𝐚.𝐰𝐚𝐩𝐮𝐦𝐛𝐚𝐯𝐮 𝐭𝐮𝐮 𝐧𝐚𝐨𝐧𝐚 𝐰𝐚𝐥𝐢𝐩𝐞𝐧𝐝𝐚𝐧𝐚 𝐦𝐚𝐬𝐤𝐢𝐧 𝐰𝐚𝐰𝐢𝐥
😂😂😂😂😂
Siwez kupata usingiz bila kuangalia hii episode 🎉🎉
Mko na kazi safi kabisa msalimieni zuuuu naombeni like zenu kutoka kenya
Kiukwer zatiti unaboa hivi unashindwa kumsukumahapo uka mtimua mm kwass sipendi uhusika wako unaoigiza😢
Chiku akona shida gani mm aniboo sana ebu amwache zatiti alishamtesa za kutosha tugonge likes tukipita
Mbna mmeacha kutoa my mother na ilikuwa nzuri
Si useme amen 🙏 Ila chiko😅😅😅😅
Sijapenda kipande cha kwanza kimechukua muda mIefu sana hivi na hawa wapemba humu ndani wanafanya nini jmn badaIa muwaweke watu wa maan nandioman sikuizi imepoa hii movie cjw kwa nn daah
an umewaza kama Mimi, hawa wapemba 😂tangu movie imeanza sielewi Nn wanafanya... Alaf cjapenda hyo sehem ya chiko ni mbayaaaa hata haijabamba
@@rachelmichael-uo5hf😂😂wanakula pesa za bure tu ndio maan hicho kipand mm nasongeza mbel😂😂😂😂
@@rachelmichael-uo5hf yaani kipande kizima ni chakwao movie gani hinakuwa hivi khaaa yaani sikuizi wanaaribu harafu watu hawatoi sapoti wapo bize kuomba Iikeee
@@marthadaniel4904
Wanashusha brand, for the first time walikua vzuri lakin sasa wanafanya Bora liende.. hawajui kuwa watu tunaacha Kaz zetu tunafuatilia pengine tunapata chochote kitu
Yaan hao wapemba wananikeraga emu wawatoe t humu sion at kaz yao😂😂
Kipande kimoja kinaenda masaa afu maxungumzo yaleyale nanyie movie zenu karbia zote kipande kimoja kinatumia muda mreefu jitahidini kwene hili
Kwa kuwa leo nimewahi Kazi yangu itakua nikuangalia wa kwanza nani maana nyote mnasemaga ni wakwanza 😂
Zatiti umepoa sana kunjana nae mlevi uyo wasikupande kichwani mpk nakutamani hiyo nafasi ningekuwa mm angejuta kunifahamu
Tasha huenda akawa n mngese cuz mbn hataki madem 😂😂
Chiko kimemramba anajutia sas😅😅
Yaan hapo umenifurahsha Zatiti kwa mcmamo wako Leo umeongea ❤🎉
😂😂😂😂😂 mr tasha elimu yako niyakuchimba visima tu na kuniqiniza matai au nini maua yako mama🎉🎉🎉😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤
😂😂😂 mama amefurahisha
Hongera mama tasha 👌 nakupenda sana mama
Zatiti ndugu yangu ucwe mpole kiasi hicho
Me mpak ananiboa yani
Jaman mbon chiko anaker hivy hiv tash amshindw kumlisha kibao kwanz pombe zitoke
mama tasha nakupenda jamoniiiii wew nazatiti na tasha nawafuraiag sana kwamaneno yenu yabusara 💞💞💞💞
Zatiti usikubali kumurudia chiko Hana kizazi🎉🎉🎉😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂
😂😂😂 kabisa
Tulio wengi tunataman kumpata mwanamke kama ZATITI😂 na mama kama MAMA TASHA
Nimewah jamn