Word. But that's assuming one dedicates 8 hours a day consistently. In most cases lakini, deep focus lasts 2hours, and so that's why 10,000hrs might take longer.
Nice Show. #Technical thing to note: the video is overexposed. Next time difuse the lightings and keep them far from the subjects. Or you may adjust on post-production.
Kwanza haiko Overexposed ila imepigwa hard light. Na hilo siyo kosa. Mambo ya lighting ni chaguo la director behind the content, unapowaambia watumie diffuser Ina maana unataka wapate soft light, which is not their choice but yours. Kila rangi tunaiona jinsi ilivyo, no overposure. Hard lighting is the way of lighting too.
Unaehoji, unaboa.. Unaongea zaidi kuliko tulietakiwa kumsikia.. Pia the mix of language unaziangua, ISSUE YA MATANGAZO HAIKUA MUHIMU UMEKAA SANA MUDA HAPO, KITU AMBACHO NI MAKUBALIANO YA MLETA TANGAZO, NA SKY HANA JIBU LA PEKE YAKE, LAZIMA AMSIKILIZE NA ANAELETA TANGAZO.. BADO JIFUNZE KUHOJI.. SORTY SORRY NYINGI BOSS!!! HUJAKUA NA MASWALI SAHIHI KWA SKY
Mbona wewe umechanganya lugha apo kwenye Mix of language😂😂😂 By the way, anaeleweka, na hata akimix lugha, misamiati inaeleweka, asiyeelewa basi ujue sio target ya muandaaji wa hii podcast, sio mbaya pia, sio kila mtu ni target ya kila kitu😊
@@allykamila3445 unapohost podcast yyte lazma umpe mgen wako nafas zaid, watu wanataka kusikia mengi kutoka kwake, ukichukua ww host nafas kubwa hakuna maana ya kumleta mgen halaf ww ndo utumie muda mwing kuongea kuliko wew..
Ondoa Kiingereza hicho wewe mtangazaji, una maana gani sasa? Maudhui yanafuatiliwa na watu wa kawaida pia na unajua kabisa lugha ya taifa Tanzania ni Kiswahili, kwa nini Kiingereza kiwe kingi namna hiyo? Yaani najaribu kujiweka katika nafasi ya Mtanzania wa kawaida kabisa asiyejua Kiingereza ila ameona unamhoji Sky walker akataka kufuatilia mahojiano, matokeo yake haelewi muunganiko wa mahojiano kutokana na Kiingereza kingi anaishia kukereka tu. Hakika hii sijapenda kabisa kwa sababu wewe ni Mtanzania na upo Tanzania, ni kweli chaneli inafuatiliwa dunia nzima lakini upo Tanzania na Watanzania inabidi wawe wa kwanza kuelewa maudhui hayo. Msamiati wa Kiswahili kwa maneno yote ya Kiingereza uliyotumia upo kabisa na unaujua, sasa tatizo nini? Naamini kabisa hujamtendea haki Sky na Watanzania wa kawaida katika mahojiano haya
Ukiona huelewi ujue wewe sio target yake, sio kila mtu ni target, na yeye muandaaji ndo anachagua target group yake, usimuandalie wewe. By the way, interview inaeleweka, kama huelewi we ni mburura, mbona kwenye simu yako umeweka lugha ya kingereza na unatumia simu vizuri tu😂
@@allykamila3445 Maudhui ya mahojiano kwa ufupi ni safari ya Sky katika tasnia ya habari, sasa hapo Kiingereza kingi cha nini ilihali kuna watu wa kawaida wangependa kufuatilia kila kitu, kuelewa na kujifunza kutoka kwa Sky?
@@jilalamaligisa4854 Hakuna shida, hata muhojiwaji mwenyewe anachanganya lugha, hata simu yenyewe unayotumia ina lugha ya kingereza, kwahiyo, naamini mTanzania anayefaa kusikiliza stori ya Sky, ni mTanzania ambaye anaelewa kingereza japo kidogo, hata kama haelewi, hawezi toka patupu kwasababu lugha ya kiswahili imetawala zaidi, asiyeelewa kabisa ni mshamba, na content creators hawahangaiki nao hao, wakamskize kingwendu uko
@@jilalamaligisa4854 Hapo changamoto ipo kwako, kwa jinsi mazungumzo yalivyo marefu hivyo, hizo sehemu ndogo za Kingereza haziwezi fanya mtu asielewe, maana Kiswahili kimetawala mno, pia, hujui target group ya muandaaji, usimchagulie kwa Kusema ni watanzania wote, huenda yeye katika plan yake amesema "My target group is all Tanzanians who can understand Swahili and atleast basics of English terms" Sasa hapo hakutakuwa na shida kwasababu inaruhusiwa kuchagua target, sio lazima atarget watu wote, kwahiyo, unataka kusema Hata akiongea Kiswahili tupu, Wahadzabe wataelewa??????????
Dah jamaa kapita mapito Kama mm Yani story zinafanana japo mm nadili na ishu ya kitofauti
Sky izi Nondo ni balaaaa 👌👌 hata SNS hujawai zisema Big up
Ametu-bless sana
Dizasta vina aletwe msasani
Naomba siku moja mtupatie dizasta vina msasani
Sky Mimi NI ndo role model wangu
Kunasiku naenda Uganda natoka Kenya kwenyegali nasikia watu tafauti wanasikiliza sns
Journalism ilikuingia sky ,Uko vizuri kaka😅
SKY ni Mtqngazaji namba 1 kwa ambaye namskiliza mda mrefu
Huyu bundala anapendwa sana huku Burundi
Hata Kenya tunafuatilia sanaa content za Tz both Msasa and SNS
Safi sana 🔥🙏
Huyu sky natamani kufanya kazi na yeye🎙️
great job brothers
Asante kaka
Obviously, nime enjoy INTERVIEW yote kupitia PODCAST huku nikiendelea na mishe zangu...Big up katika hilo bro..🎉🎉
Tunafurahi kusikia hilo
Our industry is missing professional people's like you but i can see you win on your own way differently.. i like it keep up bro
Sky is very honest i lyk him😊
Sky upo good Sana bro, pia mtangazaji Ni very bright anakula shule kwa namna ya kuuliza....
Asante sana
goat 🤛
Hongera sana Sky
"Sky is a limit" Keep pushing
Who is here Everday 😂 for every Episode
You a real one! Welcome back 😁💪🏾💫
Nilisikiliza juzi kijujuu but leo nimesikiliza kwa makini nimejifunza alot 🖐
Host: hisia you're genius bro
Ahaha mfano wa SKY WA 5W+H Umenikumbusha kipindi Niko mwaka wa kwanza Journalism ARUSHA 🔥🎧🎤✊🏿
❤❤❤❤❤❤❤....gonga like kama unafuatilia Msasa
Tuletee Dizasta vina, atupe madini sir
Dizasta ni kichwa kweli 🙌 tutazingatia maoni yako mkuu
@@MSASAPODCAST sure broo naamin wewe pekee ndio utaweza kumuuliza maswali aisee 😂🙌 anamajibu mengisana
Huyu jamaa nampenda sana.Skay.mi nishabiki ake namba moja. Muulize TV na Radio kama wasafi au Efm anafungua lini?
Kazi nzuri brother
Sky the legend
Shule nzuri sana big up
Muosha anaoshwa 😊
Kazi Safi Sana. Tunatoka Kenya !
Nimejifunza kitu hapa
Awesome interview. Big up to the Host and Sky as well for the insights.
Maisha si kua lazima iwe watu kiooo cha jamii ili upate contect ila jaribu kuna watu wana vitu na creativity ila hawana airtime
Ni kweli kabisa..kuna watu wana nondo na hawafahamiki kabisa
Sasa mtu afahamiki atatuinspire vipi?
Sky ni 🔥🔥🔥🔥
🤜
Nimeipenda sna✅✅
Giving up is an option
Giving up, is never an option😅
Yess mzee niliokosea
Such a great interview
Great 🎉 Naomba U-shorten😂 video
Tutawapatia vipande vifupi vifupi siku zijazo💪🏽
Anayehoji bado hajaweza pia Lugha bado maana hajui kingereza wala kiswahili ushauri wangu atumie Lugha 1
💪🏾🙌🏾
Ivi hawa wanawake wakukuona from zero to hero wanapatikana wapi🥲
Swali zito hilo😅
Great interview, Bro sky congratulations
Can’t wait to watch this interview
Asante studio
Niko live mzee, good job
He’s man I’ve been inspired by
🎉
shule
Good Interview 🎉
God bless this man🎉🎉
Amen
👏
Sky the legend .. the intro was magnificent.. I follow you from England always 💥💥💯💯🔥🔥🇬🇧🇬🇧🇬🇧🇬🇧
10,000 hrs is 1 year and 4months
Word. But that's assuming one dedicates 8 hours a day consistently. In most cases lakini, deep focus lasts 2hours, and so that's why 10,000hrs might take longer.
Realistics
Intervista ina madini mengi. mafanikio sio rais kama tunavozania lazima usulubike😂
Sky
Nice Show.
#Technical thing to note: the video is overexposed. Next time difuse the lightings and keep them far from the subjects. Or you may adjust on post-production.
Kwanza haiko Overexposed ila imepigwa hard light. Na hilo siyo kosa. Mambo ya lighting ni chaguo la director behind the content, unapowaambia watumie diffuser Ina maana unataka wapate soft light, which is not their choice but yours.
Kila rangi tunaiona jinsi ilivyo, no overposure. Hard lighting is the way of lighting too.
Wote mko sawa. Na wote mko vizuri!! Tufanyeni episode ya lighting nini😅
@@TomJohns_TJ I watched that show on a TV. Try Andy QLED screen and then talk. We don't have to argue
@@MSASAPODCAST Unfortunately am not in Tanzania for now! But yeah, it could be fun with @tomjohnstj_ 😄
where is gangster mentality
Which country is this?
China
@@gilbertfuria5817 okay
Tanzania
Unaehoji, unaboa.. Unaongea zaidi kuliko tulietakiwa kumsikia.. Pia the mix of language unaziangua, ISSUE YA MATANGAZO HAIKUA MUHIMU UMEKAA SANA MUDA HAPO, KITU AMBACHO NI MAKUBALIANO YA MLETA TANGAZO, NA SKY HANA JIBU LA PEKE YAKE, LAZIMA AMSIKILIZE NA ANAELETA TANGAZO.. BADO JIFUNZE KUHOJI.. SORTY SORRY NYINGI BOSS!!! HUJAKUA NA MASWALI SAHIHI KWA SKY
Asante sana kwa feedback 💪🏽💪🏽
Mbona wewe umechanganya lugha apo kwenye Mix of language😂😂😂 By the way, anaeleweka, na hata akimix lugha, misamiati inaeleweka, asiyeelewa basi ujue sio target ya muandaaji wa hii podcast, sio mbaya pia, sio kila mtu ni target ya kila kitu😊
host.anaongea saaana kulko mgeni wake...tunataka kumsikiaa mgeni zaid
Acha chuki
Haya ni maongezi, sio mahojiano, a podcast is not an interview, soma maana ya podcast halafu urudi tena hapa.
@@allykamila3445 unapohost podcast yyte lazma umpe mgen wako nafas zaid, watu wanataka kusikia mengi kutoka kwake, ukichukua ww host nafas kubwa hakuna maana ya kumleta mgen halaf ww ndo utumie muda mwing kuongea kuliko wew..
@@allykamila3445 mim nimesikiliza mwanzo mpk mwisho, nenda naww uusikilize ndo uje kuongea hapa
Ondoa Kiingereza hicho wewe mtangazaji, una maana gani sasa? Maudhui yanafuatiliwa na watu wa kawaida pia na unajua kabisa lugha ya taifa Tanzania ni Kiswahili, kwa nini Kiingereza kiwe kingi namna hiyo? Yaani najaribu kujiweka katika nafasi ya Mtanzania wa kawaida kabisa asiyejua Kiingereza ila ameona unamhoji Sky walker akataka kufuatilia mahojiano, matokeo yake haelewi muunganiko wa mahojiano kutokana na Kiingereza kingi anaishia kukereka tu. Hakika hii sijapenda kabisa kwa sababu wewe ni Mtanzania na upo Tanzania, ni kweli chaneli inafuatiliwa dunia nzima lakini upo Tanzania na Watanzania inabidi wawe wa kwanza kuelewa maudhui hayo. Msamiati wa Kiswahili kwa maneno yote ya Kiingereza uliyotumia upo kabisa na unaujua, sasa tatizo nini?
Naamini kabisa hujamtendea haki Sky na Watanzania wa kawaida katika mahojiano haya
Ukiona huelewi ujue wewe sio target yake, sio kila mtu ni target, na yeye muandaaji ndo anachagua target group yake, usimuandalie wewe.
By the way, interview inaeleweka, kama huelewi we ni mburura, mbona kwenye simu yako umeweka lugha ya kingereza na unatumia simu vizuri tu😂