JINSI YA KUPIKA CHICKEN CURRY/ Mahitaji/Mapishi na Zamaradi TV

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 фев 2025
  • #ZamaradiTV #ChickenCurl #Mapishi

Комментарии • 58

  • @anithammary6110
    @anithammary6110 3 года назад +1

    Kazi nzuri

  • @rehemammbaga287
    @rehemammbaga287 3 года назад +1

    Wow! Mate

  • @nahlamohd4477
    @nahlamohd4477 4 года назад +1

    Kazi nzur brooo

  • @vumiliahamisi7046
    @vumiliahamisi7046 4 года назад +1

    Kazi nzuriii

  • @lulugora2712
    @lulugora2712 4 года назад +1

    I know this man mungu akutangulie mshakaji

  • @fallymetoo191
    @fallymetoo191 4 года назад +1

    Safi kabisa chef

  • @aminanamoyo83
    @aminanamoyo83 4 года назад

    Mi naweza sema kila mtu na mapishi yake nice, ila ameweka nyanya nyingi na karroti,any way kwa yeye mtazamo wake kufanya mchuzi uwe mzito ni carroti ingawa sijawahi jaribu mi ninachojua ukitaka mchuzi mzito vituunguu tu viwe vingi, then huna haja ya kuweka nyanya nyingi 1,2 tosha kabisa.kwenye chapati niliona alipika vizuri ila ktk mchuzi niseme amejitahidi.❤ zama 👍

  • @esthercheupe4529
    @esthercheupe4529 4 года назад

    Dada Zama me nimependa ulivyoweka ndefu maana inaonyesha hatua kwa hatua yan nimetenda sanaaa anavyoelekeza

  • @dolehakuna584
    @dolehakuna584 Год назад

    Kwann ungeliwa chemsha kwanza hao kuku ili ukiunga waive vizuri

  • @jastinimakeki2684
    @jastinimakeki2684 4 года назад

    Nzuri,Ila samahani mala nyingi me uwa nazani curry yoyote lazima uweke Nazi je kunaukweli?

  • @anisiamedard3775
    @anisiamedard3775 4 года назад

    Kazi nzuri Ila nishauli ukiosha kuku weka kwenye chombo kinachochuja maji

  • @masalakulwa7601
    @masalakulwa7601 4 года назад +10

    Yaani mie niwe na jiko hilo zuri hivyo then nitumie sufuria cheap namna hyo na huo mfuniko😅! Oh big no!

  • @juliaayieta2578
    @juliaayieta2578 4 года назад

    Asante kwa upishi bora chef 👨‍🍳 ila hapo kwa title ulikua unatakiwa uandike chicken curry sio chicken curl 😘

  • @chany9950
    @chany9950 4 года назад

    Huuuuummmm👌🏽👍

  • @gemimamabilu1368
    @gemimamabilu1368 4 года назад

    Mchuzi mwingi sana

  • @masalakulwa7601
    @masalakulwa7601 4 года назад

    Umeachia mamchuzi mengi mnoo😎😎

  • @anahna6788
    @anahna6788 4 года назад +1

    Sufuria sijalisoma hata

  • @si-qm1ki
    @si-qm1ki 4 года назад +2

    Uwe unaandika list ya viungo..
    Ulsema.
    Paprika.
    Curry powder
    Chicken masala
    Ukasema bizar nyembamba mara bizar ya njano...hapa umenichanganya

  • @asmanicolaus1328
    @asmanicolaus1328 4 года назад +1

    Hata mm naweza kupika hivyo ila chapati nishida zinakuwa kavu kama bati

    • @ceninibe7622
      @ceninibe7622 4 года назад +1

      😎😎😎 angalia mapish ya chapat alifundisha pia ni rahis sana pia tumia unga wa ppf utanipa mrejesho😋😋

    • @godfreykisheki1758
      @godfreykisheki1758 4 года назад

      Hahahaha

    • @IlhaamMarshed
      @IlhaamMarshed 4 года назад

      Asma Nicolaus Mapishi ya skonzi ruclips.net/video/WdBNvhr0GX8/видео.html unaweza angalia na subscribe tafadhali

    • @IlhaamMarshed
      @IlhaamMarshed 4 года назад

      Asma Nicolaus Mapishi ya kabab za samaki ruclips.net/video/QIYjKWLos2g/видео.html naomba subscribe tafadhali

    • @IlhaamMarshed
      @IlhaamMarshed 4 года назад

      Utengenezaji wa milkshake 4 tofaut na tamu ruclips.net/video/cGlANylqZKo/видео.html

  • @sharifaabdullah6825
    @sharifaabdullah6825 4 года назад

    🔥🔥🔥

    • @IlhaamMarshed
      @IlhaamMarshed 4 года назад

      Sharifa Abdullah Mapishi ya skonzi ruclips.net/video/WdBNvhr0GX8/видео.html unaweza angalia na subscribe tafadhali

  • @gullaalex6590
    @gullaalex6590 4 года назад

    😋😋😋

    • @IlhaamMarshed
      @IlhaamMarshed 4 года назад

      gulla alex Mapishi ya skonzi ruclips.net/video/WdBNvhr0GX8/видео.html unaweza angalia na subscribe tafadhali

    • @IlhaamMarshed
      @IlhaamMarshed 4 года назад

      gulla alex Mapishi ya kabab za samaki ruclips.net/video/QIYjKWLos2g/видео.html naomba subscribe tafadhali

    • @IlhaamMarshed
      @IlhaamMarshed 4 года назад

      Utengenezaji wa milkshake 4 tofaut na tamu ruclips.net/video/cGlANylqZKo/видео.html

    • @gullaalex6590
      @gullaalex6590 4 года назад +1

      @@IlhaamMarshed 😋😋😋

  • @roseliku531
    @roseliku531 4 года назад

    Nimecheka eti kwenye ubora wake

  • @juliaayieta2578
    @juliaayieta2578 4 года назад +2

    Wapenzi musikose kutizama video hii nilio hadithia kuhusu ujauzito wangu na changamoto nilizo pitia......🙏🏾🙏🏾🙏🏾
    ruclips.net/video/LsrIla10vcU/видео.html
    Pia nakusihii u subscribe 🙏🏾😘😘😘

  • @a.856
    @a.856 4 года назад

    ⭐🌙🕌🙏🏼👍🏽

  • @latriciah01augustino67
    @latriciah01augustino67 4 года назад

    Nimecheka kifala jamn comments zimeniua mbavu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @rehemamatemba6233
    @rehemamatemba6233 4 года назад

    wa kwanza hapa 😋😋

    • @IlhaamMarshed
      @IlhaamMarshed 4 года назад

      rehema matemba Mapishi ya skonzi ruclips.net/video/WdBNvhr0GX8/видео.html unaweza angalia na subscribe tafadhali

    • @IlhaamMarshed
      @IlhaamMarshed 4 года назад

      rehema matemba Mapishi ya kabab za samaki ruclips.net/video/QIYjKWLos2g/видео.html naomba subscribe tafadhali

    • @IlhaamMarshed
      @IlhaamMarshed 4 года назад

      rehema matemba Utengenezaji wa milkshake 4 tofaut na tamu ruclips.net/video/cGlANylqZKo/видео.html

  • @rehemamatemba6233
    @rehemamatemba6233 4 года назад +1

    sound mbovu, km mzimu

    • @aminanamoyo83
      @aminanamoyo83 4 года назад

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙄mzimu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣umefikiria mbali sana.

  • @ulricamakalla5565
    @ulricamakalla5565 4 года назад

    Hivyo vinyanya si uviweke kwenye sufuria unavibakisha vipande vnne vya nn jmn kwenye sahani 🤣🤣🤣🤣

    • @asiayuliana4363
      @asiayuliana4363 4 года назад

      Hahahaha yaani ww unawaza kama mm mharibifu huyo

    • @ulricamakalla5565
      @ulricamakalla5565 4 года назад

      @@asiayuliana4363 huhuhuhuhu et tuseme hakombelezi 🤣🤣🤣🙌

    • @asiayuliana4363
      @asiayuliana4363 4 года назад

      @@ulricamakalla5565 Hahahaha mambo show off unakuta nyuma ya Camera alivikombeleza vyote

  • @angelbwija9547
    @angelbwija9547 4 года назад

    Akuna kutokosha kuku at kidogo 🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭, kuku wa ulaya ukimupika bila kutokosha anakuwa na chombo nyingi sana 🤮🤮🤮🤮🤮,lakini good job bro

    • @IlhaamMarshed
      @IlhaamMarshed 4 года назад +1

      Angel Bwija Mapishi ya skonzi ruclips.net/video/WdBNvhr0GX8/видео.html unaweza angalia na subscribe tafadhali

    • @IlhaamMarshed
      @IlhaamMarshed 4 года назад +1

      Angel Bwija Utengenezaji wa milkshake 4 tofaut na tamu ruclips.net/video/cGlANylqZKo/видео.html

    • @dinnarandrew1982
      @dinnarandrew1982 4 года назад +3

      Mapishi yake ni kawaida mno!ulizia wapishi wa hiyo kitu mpk unataka kulamba mwiko

    • @angelbwija9547
      @angelbwija9547 4 года назад

      @@dinnarandrew1982 🤣🤣🤣

  • @susannesusie3217
    @susannesusie3217 4 года назад +1

    Zama viombo cheap saaaana zama wewe jina kubwa weka vitu kwendandana hadhi

  • @teddyoscar6876
    @teddyoscar6876 4 года назад

    Daah nothing special kawaida tu.