Mapishi ya fried rice ya haraka haraka - Simple and quick fried rice recipe
HTML-код
- Опубликовано: 7 фев 2025
- ingredients
2-3 cups cooked and chilled rice
cooked and chopped chicken
mixed vegetables
2-3 beaten eggs
1 medium chopped onion
1 tbsp fresh ginger
mixed papers
salt to taste
3 tbsp dark soy sauce
3 tbsp oil for cooking/frying
______________ shuna's kitchen
wali uliopikwa na mbaridi vikombe 2 - 3
kuku alopikwa mkate kate kiasi
mchanganyiko wa mboga mboga
mayai 2 - 3 yachanganye
kitunguu maji 1
tangawizi mbichi
pilipili hoho/boga mchanganyiko
chumvi kiasi
soy sauce (ilokoza) vijko 3
mafuta ya kupikia
_________shuna's kitchen.
Mashllh unafahamish vizur n umepika vizur
Mashallah napenda unavyofundisha ur good
Chakula kizuriiii mashalllhaaa
MashaAllah so yummy
Ma Shaa Allah very nice n very simple as u said dear
Mashallah simple i like it shukran
Mash' Allah recipe nzuri
Mashaallah wali unao baki ushapata mahala pake shukran nimeipenda
Afwan my dear
Yasalaam....
Mashallah allah akupe affya. Nzuri sana ntajaribu
Ameen yarabb, asante
Good job🥰
Mashaallah Asante sn dd
Mashallah
MaashaAllah
Ma Shaa Allah 😘
Mashallah hasbiyallah napenda upishi wako 😘
Ni kweli simple na mouth watering gonna try this one thanks may Allah blesses be with you dear hii ni kwa kutupa recipe zako shukran
Afwan. Shukran pia
Mash Allah
Shukran habibty ,Allah akufanyie wepesi ,hakika napenda mapishi yako mazuri sana.
Ameen dear asante sana
Wow napenda upishi wako shunas I will try this for my hubby 😍❤️ thx
Asante kwa kuangalia
AHSANT saaana
MashaAllah your cooking is very simple and easy to follow. Bless you dear xx
Thank you so much :)
Delicious
masha Allah masha Allah Allah akulipe kheir dada tuletee mapishi ya mkate wa sembe
In shaa Allah dear
Waw
Mashallah Dada, Allah s.w akuzidishie kwa kazi yako
Ameen dear asante
@@ShunasKitchen habari yko..
soy sauce mm siijuw naomba unifahmishe ...
Unaweza kutumia ht nyama ya ng'ombe??? kwa kufata njia hizo hizo
mashaallah Allah akuzidishie
Habar yako dada naomba unieleweshe iyo soy sauce siijuw...
Asalm alykum naomba unifahmishe iyo soy souse
Maashaallah habibty, tuletee upishi wa keki ya chocolate
In shaa Allah dear
thanx
Thanks Shuna
Masha allah mtam sana
Asante dear
Mashallah sis tamu 👍 , utaniacha nitoboe kioo nifate hiyo sahani
safina ali hhhhh kumb unafika mpak huku.
RAHMA A. NAIM hhhhhh zamani
safina ali cjawahi kukuona lakin nakuwa sisomi comment
Ndo manake ukiiona CPO kwa comments ni vile unavyonielewa
😃😃😃
Mouth watering recipe 👌👌👌sister i wanted to know is oyester sauce halaal or not?
W msalam dear, i have read different online articles about oyster sauce and came out with this one.....Oyster sauce is halal since it's is made from oysters.... but always read the ingredients before buying it, and if you have any doubts, better use the vegan one, it can be found online or in Chinese groceries . Hope this helps, thanks for watching :)
shukran
Hatuweki kitunguu swaum? Na ukipikia mkaa unaweza kupalia makaa juu?
Kama hauna iyo sauce unaweza kuweka nn mbadala yake
Asalam alaikum warhamatullah wabarakatuh tunataka upishi wa Chinese fried rice
W msalam dear, in shaa Allah
Kipimo cha uo mchele ulotumia naomba uniambie plz
Nataka fone yeno
mm swal langu tu huo n mchele wa aina gan nimeupenda jmn
Ni basmati
Samahan,naomba kuuliza wali wako n lazma ukauweke kweny friji?
Si lazima ila ndio unakua mzuri zaidi
Hey shunas unaweza kuonesha how to make waffles
In shaa Allah dear I will, thanks for watching :)
Can’t wait to see love ❤️
Izo vegetables ndo nini na nini nikienda sokoni nitaje iwe rahisi kupata
Mchele ni lazima uwe basmat
Sasa wali bario tumepata tiba yakee😂😂😂😂
Haha kabisaa
😁😁😁
Mm mwenyewe nimefurahi wali unaobaki hii ndio kazi yake 😁😁
Jee ladha itapotea nisipoeka soya sauce
Inaweza kutofautiana kiasi
Masha Allah
thanks dear