Mapishi ya Wali na Kuku wa kituruki | Turkish Rice and Chicken in an oven - Tavuk kapama / collab
HTML-код
- Опубликовано: 7 фев 2025
- Prawns biryani - Asha Yummy link 👉
• jinsi ya kupika birian...
_______________________
Instagram: Jifunze_mapishi
ingredients
6 pcs chicken thighs
2 tbs butter
1 tbsp oil
chopped garlic
salt
water
2 cups rice
tomato
onion
Red pepper
salt
oregano
parsley
Red bell paper paste or tomato puree
1 cup chicken
garlic
paprika powder
Red chilli flakes
back pepper
Wallahi wabillahi dada Allah akulipe kheri sana kwa kujitolea kutoa mafunzo au elimu ya upishi sasa najua kupika mapishi mazuri sana kupitia elimu yako
Waleykum salam Mashaallah kipenzi Allah akulipe kher kwakutifundisha mapishi tofaut tofaut Allah akuhifadhi habbty
MashaaAllah .Allah aibariki mikono yako kwa kutufunza mapishi mbali mbali. Allah akufe afya njema amiin .Akuondoshee mazito .Amiin .Pamoja na sote atuondoshee mazito Amiin. Shukran
Ameen yarabbi kwa sote. Shukran sana habibty 💕
Ameen 🤲🏾
Mapish yako mashaallah mi najaribugi kupika basi kinakua kitamu mpaka watu anataka kujing'at nitajaribu na hili
Asante sana
Chakula ni kitamu. MashaaAllah
Asante sister, nimejufunza mengi Allah yubarik
Well done I love it ❤
Mashaa Allah habibty naona tumehamia uturuki shukran kwa recipe zao
Tunatembelea kidogo tu 🙂 asante sana kwa kuangalia
Mashaallah Mashaallah chakula kizuri na kina mvuto wa kipekee😋😘😘
Asante sana
Yeey am the 1st one kuja hapaa🥰BTW ata sijamaliza kutizama inalook soo yummy mashaaaAllah👌😋thank u for sharing hun❣️
Thank you so much sweety 😘💕
You know the two of you are the best.
Nishasoma sasa nasubiri kufanya test ha ha ha ha in shaaAllah
MashaAllah! I will try this weekend InshaAllah💗
MashaaAllah wacha niwatch sasa😋😋😋😋😋
Asante sana kwa kuangalia my dear 💕
Yaani mpenzi naitwa nitajaribu hii recipe inakaa🔥🔥🔥 na rahisi sana kufanya mate yanitoka jamani😂 Shukran kwa maujuzi😋
Afwan love asante pia kwa kuangalia
Masha Allah shukran sana kwa mapishi
Chakula kinaonesha kitam ss mm ni mzanzibar pilipili hoho kwetu tatu tu chakula hakiliki kwa ukali wake vipi kunambadala wa pilipili?,
Asante sana kwa kutuongezea ujuzi 🙏❤❤❤❤
Walykum salam warahmatullah wabarakat dear thank you for sharing mpenzi wali waonyesha mtamu sana 😋😋👌👌
Asante sana my dear
Mashaallah🤤nitajaribu nimependa kinaonekana kitamu sana😋
Sana mashaAllah, shukran sana
Njaa hzi dah.. 😋😋😋😋😋😋Maashallah habbty 👌
Shukran sana kwa kuangalia
Mashaallah looks yummy 😋
Asante sana
asante sana kipenzi
Karibu habibty ❣❣
Waalaykum salaam warahmatullah in shaa Allah tomorrow iwill cook very simple and delicious
In shaa Allah thank you.
Maasha’allaah
Walyekum mssalm warramathulai wabarrakathu mashaallah wali umetokea mzury
Asante sana
Jazakillahul khayr
Masha'allah chakula kizuri
Asante sana kwa kuangalia
Mashallah 😋😋
Mashallah nice
Asante sana
Mshlh mabruk
Mashallah Yummy😋
Shukran
Masha allah 🙏🙏🙏😘
Naomba kuuliz lazim niwe na siagi?
Mashaallah
Shukran
MashaAllah
Shukran
Yummy
Thank youuu
Samahan kwani dengu ndio njugu ama nimeelewa vibaya
Chakula kitamu Sana😋😍
Asante sana kwa kuangalia 💓😊
😊😊😊
Hayo majani ni lazima kioenzi
Tomato paste ni tofauti na tomato puree?
haziko tofauti
zote ni sawa
Tomato paste unaweza saga tu Tomato fresh, Tomato puree ni ile ya pakti au kopo kutoka dukani. Zinaweza kua na majina tofauti tho hivyo ndio ninavyotofautisha mimi.
hizi ni dengu ama njugu mawe
😋😋😋😋
😋😋😋
Unaeza pika Bila hiyo pilipili kama hupendi
Ndio unaweza, asante kwa kuangalia.
وعليكم السلام ورحمة الله وبركاته 👍👏🔔🔔🔔🔔🙋
Mashallah
Shukran
😋😋😋