UHARAMU WA HAPPY BIRTHDAY||Sheikhs:(Abdallah Humeid,Abuu Khawlah, Abul-fadhwl Qaasim & Abuu Haashim)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 29 сен 2024
  • uislam sahihi kupitia Qur an na Sunnah Kwa ufaham wa wema waliotangulia 📡

Комментарии • 29

  • @MazoeaSimba
    @MazoeaSimba Год назад +4

    allaah awahifadhi mzidi kutubainishia haki nawapenda kwa ajili ya allaah masheikh zangu

  • @abdulsalaam5166
    @abdulsalaam5166 Месяц назад

    Innaalillaah wainnaa ilayhi raajiuun ni kweli kabissaa mashekhe zetu Allah awabaarik

  • @AmruhuMswaki
    @AmruhuMswaki Месяц назад

    Mashallah

  • @Dr-ubaida965
    @Dr-ubaida965 2 месяца назад

    SIJAONA HATA DALILI YA KIELIMU ILIYOTUMIKA .
    ME NLITEGEMEA ALETE DALILI YA KIELIM INAYOSEMA HAPPY BIRTHDAY HARAAM😮

    • @twalibumsangule7385
      @twalibumsangule7385 Месяц назад

      Hakuna kheri isipokuwa Mtume amewajulisha umma wake.

    • @Dr-ubaida965
      @Dr-ubaida965 Месяц назад

      @@twalibumsangule7385 Na hakuna shari isipokuwa mtume amewakataza umma wake.

    • @Samsumah
      @Samsumah Месяц назад

      Ndugu birthday sio mila wala desturi ya kiislamu ni mila iliyoletwa na watu wasio wa imani yetu mtume wetu rehma za Allah na amani zimshukie kasema atakae jifananisha na kundi la watu fulani basi ni miongoni mwao hata hivo kwenye sherehe ya birthday hakunaga la maana zaidi ya kupoteza muda, mziki unapigwa kuchezea neema za Allah vyakula vinapikwa mpak israfu inafanywa , mimi binafsi sioni faida ya birthday umri unasonga unasogelea kaburi yako kipi cha kusherekea hapo tuutumie umri wetu vizuri na Allah atuongoze

    • @Dr-ubaida965
      @Dr-ubaida965 Месяц назад

      @@twalibumsangule7385 Na Hakuna shari isipokuwa mtume ametukataza

    • @Dr-ubaida965
      @Dr-ubaida965 Месяц назад

      @@Samsumah Nini maana ya birthday? Tuanzie hapo kwanza pengine hufahamu maana yake.
      Mtume alikifanya birthday kila j3 kwa kufunga.
      Je birthday hiyo ni haramu?

  • @mohamedhaji4827
    @mohamedhaji4827 3 месяца назад

    Allah atusameh na atuongoze kwenye matendo yetu

  • @zubeyrIssa
    @zubeyrIssa 2 месяца назад

    الاهم احفظهم

  • @user-UmmyKhamisMuhd
    @user-UmmyKhamisMuhd 3 месяца назад

    Allah atuongoze

  • @HarunaNduwimana
    @HarunaNduwimana 3 месяца назад

    ALLAH AWAHIFADH WALIM WANG

  • @HamdaniSaidi-rd1gz
    @HamdaniSaidi-rd1gz 3 месяца назад

    Allah awahifadhi mashekh wetu

  • @abubakardiwani
    @abubakardiwani 3 месяца назад

    Allah awahifadhi

  • @ndongeyejackobo4059
    @ndongeyejackobo4059 3 месяца назад

    Allaah atuhifadhi ❤❤

  • @KhawlaYahya-np4ql
    @KhawlaYahya-np4ql 3 месяца назад

    Assalaam aleikum mm hufunga siku yangu ya kuzaliwa je ikiwa junamosi naeza kufunga jumamosi peke yake

    • @subulus_salaam2023
      @subulus_salaam2023  2 месяца назад

      Waalykumus salaam warahmatullaahi wabarakaatuh
      Moja: Haifai kufunga siku yako ya kuzaliwa iache ipite kama ilivyo siku zingine za kawaida,,,
      Pili:Mtume (swala na salamu ziwe juu yake) amekataza kufunga jumamosi pekee isipokuwa itakapokuwa funga ya faradhi kama Ramadhani ama ukitaka kufunga funga ya Sunnah basi ima ufunge siku moja kabla ya jumamosi(Ijumaa) kisha jumamosi yenyewe au jumamosi kwanza kisha siku moja baada ya jumamosi (jumapili)

    • @KhawlaYahya-np4ql
      @KhawlaYahya-np4ql 2 месяца назад

      @@subulus_salaam2023 shukran sanna Allah barik na awahifadhi masheikh wote wa salafi

  • @BakariOmari-tr8cy
    @BakariOmari-tr8cy 3 месяца назад

    Naam

  • @mgombaabdallahhassan8497
    @mgombaabdallahhassan8497 Год назад

    Allah atuongoze