- ะะธะดะตะพ 55
- ะัะพัะผะพััะพะฒ 43 927
SALAFI STUDIO ๐ป.
ะะพะฑะฐะฒะปะตะฝ 20 ัะฝะฒ 2021
Manhaj Salaf.
HII NDIO NJIA YA WEMA WALIOTANGULIA.
HII NDIO NJIA YA WEMA WALIOTANGULIA.
UHARAMU WA KUVAA ISBAALI (Nguo iliyovuka fundo mbili za miguu).
uislamu sahihi kupitia Qur an na sunnah kwa ufahamu wa wema waliotangulia.
ะัะพัะผะพััะพะฒ: 442
ะะธะดะตะพ
CHALLENGE KWA WASHEREHEKEAO MWAKA MPYA WA KIISLAMU.
ะัะพัะผะพััะพะฒ 5124 ะผะตัััะฐ ะฝะฐะทะฐะด
Uislam sahihi kwa ufaham wa wema waliotangulia.
FOUR HOLLY MONTHS.
ะัะพัะผะพััะพะฒ 605 ะผะตัััะตะฒ ะฝะฐะทะฐะด
uislamu sahihi kupitia Qur an na Sunnah kwa ufahamu wa wema waliotangulia.
Mtume Muhammad ๏ทบ ametumwa kwa MAJINI na WANADAMU WOTE
ะัะพัะผะพััะพะฒ 1445 ะผะตัััะตะฒ ะฝะฐะทะฐะด
๐ค Sheikh Abulfadhl kassim Mafuta (.ุญูุธู ุงููู ุชุนุงูู ูุฑุนุงู).
Maana ya ""MANHAJ SALAF"" kwa UFUPI
ะัะพัะผะพััะพะฒ 3175 ะผะตัััะตะฒ ะฝะฐะทะฐะด
Uislam sahihi kwa ufaham wa wema waliotangulia
๐ฑ๐จ๐พ๐จ๐ฉ๐ผ ๐ป๐ถ๐บ๐ฏ๐ฌ๐ณ๐ฌ๐๐ฐ JUU YA ๐บ๐ฏ๐ผ๐ฉ๐ผ๐ฏ๐จ DHAIFU NA NYEMBAMBA MNO YA ๐ด๐จ๐บ๐ผ๐ญ๐ฐ.
ะัะพัะผะพััะพะฒ 2016 ะผะตัััะตะฒ ะฝะฐะทะฐะด
uislamu sahihi kwa ufaham wa wema waliotangulia.
Hukumu ya kumuita ""SAYYID"" Mtume ๏ทบ
ะัะพัะผะพััะพะฒ 7 ััั.6 ะผะตัััะตะฒ ะฝะฐะทะฐะด
๐ค Sheikh Abulfadhl kassim Mafuta Kassim .(ุญูุธู ุงููู ุชุนุงูู ูุฑุนุงู)
๐ป๐จ๐ต๐ฉ๐ฐ๐ฏ๐ฐ ๐ฑ๐ผ๐ผ ๐๐จ ๐ญ๐ผ๐ต๐ฎ๐จ ๐๐จ ๐ฒ๐ฌ๐บ๐ฏ๐ถ ๐ฒ๐ผ๐พ๐จ๐จ๐ท๐ฐ๐๐จ ๐ด๐จ๐๐จ๐ฏ๐ผ๐ซ๐ฐ 19-October-2023.
ะัะพัะผะพััะพะฒ 116ะะพะด ะฝะฐะทะฐะด
#sheikh_Abuu_Haashim_Abdul_Qaadir. #Pia_Tutahadhari_na_Mayahudi
Hivi ndivyo ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ WALIVYOZICHUNGA #๐บ๐ผ๐ต๐ต๐จ๐ฏ ๐๐จ ๐ด๐ป๐ผ๐ด๐ฌ ๏ทบ.
ะัะพัะผะพััะพะฒ 992ะะพะด ะฝะฐะทะฐะด
#sheikh_Abdallah_Humeid
#CHALLENGE ISIYOJIBIKA!!!.
ะัะพัะผะพััะพะฒ 828ะะพะด ะฝะฐะทะฐะด
#sheikh_Abuu_Ayman_Al_shiiraaziy. #sheikh_Kassim_Mafuta
๐ด๐๐๐๐๐๐ โฟโน ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐ #๐ด๐จ๐ผ๐ณ๐ฐ๐ซ๐ฐ
ะัะพัะผะพััะพะฒ 2,5 ััั.ะะพะด ะฝะฐะทะฐะด
#Mzungumzaji_Ustadh_Abuu_Anas_Kiza
๐ด๐๐๐๐๐๐ โฟโป ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐ #๐ด๐จ๐ผ๐ณ๐ฐ๐ซ๐ฐ.
ะัะพัะผะพััะพะฒ 9 ััั.ะะพะด ะฝะฐะทะฐะด
#Mzungumzaji_Abuu_Anas_Kiza.
๐ธ ๐บ ๐ท ๐ฆ ๐น ๐พ ๐บ ๐ธ ๐บ ๐ซ // ๐ผ๐๐๐๐
๐ ๐จ๐๐๐ ๐บ๐๐๐๐๐๐ ๐ฏ๐๐๐๐๐ ๐ฑ๐๐๐๐
๐ (ุญูุธู ุงููู)
ะัะพัะผะพััะพะฒ 3,8 ััั.ะะพะด ะฝะฐะทะฐะด
#msomaji_Ustadh_Abuu_Sufyaan_Hassan_Jamada.
WATU HAWA AMALI ZAO ZITAKUWA NI VUMBI LENYE KUPEPERUKA(ูุจุงุก ู
ูุซูุฑุง).
ะัะพัะผะพััะพะฒ 733ะะพะด ะฝะฐะทะฐะด
#Mzungumzaji_sheikh_abuu_najma_Laurent_salim #ุงูุนูุงู
ุฉ_ุตุงูุญ_ุงูููุฒุงู_ุญูุธู_ุงููู
Je, ni sahihi kuhusisha ูุฑู
ุงููู ูุฌูู kwa '๐จ๐ณ๐ณ๐ ๐ฉ๐ฐ๐ต ๐จ๐ฉ๐ฐ๐ป๐พ๐จ๐จ๐ณ๐ฐ๐ฉ (ALLAAH amridhie)?.
ะัะพัะผะพััะพะฒ 645ะะพะด ะฝะฐะทะฐะด
#sheikhkassimmafuta ELIMU NI NURU๐ก
๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐ ๏ทบ ๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ุฑุถู ุงููู ุนููู
// ๐บ๐๐๐๐๐ ๐จ๐๐
๐๐๐๐๐ ๐ฏ๐๐๐๐๐
.
ะัะพัะผะพััะพะฒ 222ะะพะด ะฝะฐะทะฐะด
๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐ ๏ทบ ๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ุฑุถู ุงููู ุนููู
// ๐บ๐๐๐๐๐ ๐จ๐๐
๐๐๐๐๐ ๐ฏ๐๐๐๐๐
.
ITIKADI SAHIHI YA UISLAMU JUU YA NABII ISSA ุนููู ุงูุณูุงู
// Sheikh Abul-fadhl Qaasim Mafuta ุญูุธู ุงููู
ะัะพัะผะพััะพะฒ 148ะะพะด ะฝะฐะทะฐะด
ITIKADI SAHIHI YA UISLAMU JUU YA NABII ISSA ุนููู ุงูุณูุงู
// Sheikh Abul-fadhl Qaasim Mafuta ุญูุธู ุงููู
Uhusiano Nabii LลชT na Nabii IBRAHIM (ุนูููู
ุง ุงูุณูุงู
) // Sheikh Kassim Mafuta (ุญูุธู ุงููู).
ะัะพัะผะพััะพะฒ 218ะะพะด ะฝะฐะทะฐะด
Uhusiano Nabii LลชT na Nabii IBRAHIM (ุนูููู
ุง ุงูุณูุงู
) // Sheikh Kassim Mafuta (ุญูุธู ุงููู).
๐ฏ๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐ ๐ด๐๐๐๐๐ & ๐ด๐๐
๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐ด๐๐๐๐๐๐ ๐ซ๐๐๐๐๐๐๐ // ๐๐ซ๐พ๐พ ๐๐ช๐๐๐ช๐ช๐ท ๐๐ช๐ญ๐ฑ๐ฒ๐ต๐ฒ ๐๐ซ๐ญ๐ฒ.
ะัะพัะผะพััะพะฒ 173ะะพะด ะฝะฐะทะฐะด
๐ฏ๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐ ๐ด๐๐๐๐๐ & ๐ด๐๐
๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐ด๐๐๐๐๐๐ ๐ซ๐๐๐๐๐๐๐ // ๐๐ซ๐พ๐พ ๐๐ช๐๐๐ช๐ช๐ท ๐๐ช๐ญ๐ฑ๐ฒ๐ต๐ฒ ๐๐ซ๐ญ๐ฒ.
๐๐๐ฏ๐๐ฃ๐๐๐ฉ๐๐ค ๐ ๐๐ฉ๐๐ ๐ ๐๐ค๐จ๐๐ ๐ฌ๐ ๐๐ฉ๐ช๐ข๐ ๏ทบ ๐ ๐ฌ๐ ๐๐๐ฃ '๐ผ๐๐๐๐จ(ุฑุถู ุงููู ุนููู
ุง) // ๐ฐ๐๐๐ ๐ฎ๐๐๐๐๐๐ (ุญูุธู ุงููู ุชุนุงูู).
ะัะพัะผะพััะพะฒ 157ะะพะด ะฝะฐะทะฐะด
๐๐๐ฏ๐๐ฃ๐๐๐ฉ๐๐ค ๐ ๐๐ฉ๐๐ ๐ ๐๐ค๐จ๐๐ ๐ฌ๐ ๐๐ฉ๐ช๐ข๐ ๏ทบ ๐ ๐ฌ๐ ๐๐๐ฃ '๐ผ๐๐๐๐จ(ุฑุถู ุงููู ุนููู
ุง) // ๐ฐ๐๐๐ ๐ฎ๐๐๐๐๐๐ (ุญูุธู ุงููู ุชุนุงูู).
HII NDIO ZAKA YA KIMALI || sheikh Abuu Abdis-salaam Muhammad Mujaahid (ุญูุธู ุงููู).
ะัะพัะผะพััะพะฒ 149ะะพะด ะฝะฐะทะฐะด
HII NDIO ZAKA YA KIMALI || sheikh Abuu Abdis-salaam Muhammad Mujaahid (ุญูุธู ุงููู).
UHARAMU WA HAPPY BIRTHDAY||Sheikhs:(Abdallah Humeid,Abuu Khawlah, Abul-fadhwl Qaasim & Abuu Haashim)
ะัะพัะผะพััะพะฒ 7 ััั.ะะพะด ะฝะฐะทะฐะด
UHARAMU WA HAPPY BIRTHDAY||Sheikhs:(Abdallah Humeid,Abuu Khawlah, Abul-fadhwl Qaasim & Abuu Haashim)
Hiki ndio KIKAO BORA kabisa katika SWALA kwa kwa asiyeweza kusimama || Sheikh Abul-fadhl Qaasim.
ะัะพัะผะพััะพะฒ 410ะะพะด ะฝะฐะทะฐะด
Hiki ndio KIKAO BORA kabisa katika SWALA kwa kwa asiyeweza kusimama || Sheikh Abul-fadhl Qaasim.
Hali ya mja MUUMINI wakati anatolewa ROHO na safari yake kuelekea AKHERA ||sheikh Abul-fadhl Qaasim
ะัะพัะผะพััะพะฒ 101ะะพะด ะฝะฐะทะฐะด
Hali ya mja MUUMINI wakati anatolewa ROHO na safari yake kuelekea AKHERA ||sheikh Abul-fadhl Qaasim
Hali ya mja KAFIRI anapotokwa na ROHO na safari yake ya kuelekea AKHERA || sheikh Abul-fadhl Qaasim
ะัะพัะผะพััะพะฒ 165ะะพะด ะฝะฐะทะฐะด
Hali ya mja KAFIRI anapotokwa na ROHO na safari yake ya kuelekea AKHERA || sheikh Abul-fadhl Qaasim
Nabii NUH(ุนููู ุงูุณูุงู
) ndiye Mtume wa kwanza kutumwa kwa watu wa Ardhini ||Sheikh Abul-fadhl Qaasim
ะัะพัะผะพััะพะฒ 235ะะพะด ะฝะฐะทะฐะด
Nabii NUH(ุนููู ุงูุณูุงู
) ndiye Mtume wa kwanza kutumwa kwa watu wa Ardhini ||Sheikh Abul-fadhl Qaasim
MASWALI NA MAJIBU (Questions with answers) ๐ค Sheikh Abul-fadhl Qaasim Mafuta (ุญูุธู ุงููู ุชุนุงูู ูุฑุนุงู)
ะัะพัะผะพััะพะฒ 275ะะพะด ะฝะฐะทะฐะด
MASWALI NA MAJIBU (Questions with answers) ๐ค Sheikh Abul-fadhl Qaasim Mafuta (ุญูุธู ุงููู ุชุนุงูู ูุฑุนุงู)
UHARAMU WA KUWAOMBA MAITI(WAFU) || Sheikh Abul-Fadhl Qaasim Mafuta(ุญูุธู ุงููู).
ะัะพัะผะพััะพะฒ 414ะะพะด ะฝะฐะทะฐะด
UHARAMU WA KUWAOMBA MAITI(WAFU) || Sheikh Abul-Fadhl Qaasim Mafuta(ุญูุธู ุงููู).
""PONGEZI KWENU"" ๐คIbu Ghulaam (ุญูุธู ุงููู ุชุนุงูู ูุฑุนุงู).
ะัะพัะผะพััะพะฒ 17ะะพะด ะฝะฐะทะฐะด
""PONGEZI KWENU"" ๐คIbu Ghulaam (ุญูุธู ุงููู ุชุนุงูู ูุฑุนุงู).
RADD KWA MASUFI,,,ZAMA ZA MTUME ๏ทบ NDIO MAKUSUDIO YA ZAMANI || Sheikh Kassim Mafuta (Allah amhifadhi)
ะัะพัะผะพััะพะฒ 37ะะพะด ะฝะฐะทะฐะด
RADD KWA MASUFI,,,ZAMA ZA MTUME ๏ทบ NDIO MAKUSUDIO YA ZAMANI || Sheikh Kassim Mafuta (Allah amhifadhi)
Shukran sana sheikhe
Mashallah
Allah akuhifadhi sheikh hakika sisi tunakupenda kwa ajili ya Allah alietukuka
Allah amhifadhi sheikh wetu mbora
Nabii anahaki kuliko mnavyovikusanya
Alifunga saumu kuzaliwa kwake na kusheherekea
Neno maulidi ni kuzaliwa
Huyu ni mzushi wa maswali mhabi
Hawa walimu Kila siku nikupinga tuu
ุงูููู ุงุฑุญู ู ู ุงุฑูุนู ุจุงููุฑุขู ุงูุนุธูู
Allah amhifadhi shekh wetu
Mashallah
Masufi hamuezi elewa mpaka Allah awafunue kifuniko kwenye nyoyo zao
Masha Allah
Sishangai MASALAFI = MAYAHUDI
Masalafi bangi mnazovuta hazijawahi kumuacho mvutaji yoyote SALAMA
Na mahizb bangi za kisumu cio alafu makhurafi wenda wazimu
Ma shaa Allah. Allah akuhifadhi.
Innaalillaah wainnaa ilayhi raajiuun ni kweli kabissaa mashekhe zetu Allah awabaarik
SIJAONA HATA DALILI YA KIELIMU ILIYOTUMIKA . ME NLITEGEMEA ALETE DALILI YA KIELIM INAYOSEMA HAPPY BIRTHDAY HARAAM๐ฎ
Hakuna kheri isipokuwa Mtume amewajulisha umma wake.
@@twalibumsangule7385 Na hakuna shari isipokuwa mtume amewakataza umma wake.
Ndugu birthday sio mila wala desturi ya kiislamu ni mila iliyoletwa na watu wasio wa imani yetu mtume wetu rehma za Allah na amani zimshukie kasema atakae jifananisha na kundi la watu fulani basi ni miongoni mwao hata hivo kwenye sherehe ya birthday hakunaga la maana zaidi ya kupoteza muda, mziki unapigwa kuchezea neema za Allah vyakula vinapikwa mpak israfu inafanywa , mimi binafsi sioni faida ya birthday umri unasonga unasogelea kaburi yako kipi cha kusherekea hapo tuutumie umri wetu vizuri na Allah atuongoze
@@twalibumsangule7385 Na Hakuna shari isipokuwa mtume ametukataza
@@Samsumah Nini maana ya birthday? Tuanzie hapo kwanza pengine hufahamu maana yake. Mtume alikifanya birthday kila j3 kwa kufunga. Je birthday hiyo ni haramu?
ุงูุงูู ุงุญูุธูู
Assalaam aleikum mm hufunga siku yangu ya kuzaliwa je ikiwa junamosi naeza kufunga jumamosi peke yake
Waalykumus salaam warahmatullaahi wabarakaatuh Moja: Haifai kufunga siku yako ya kuzaliwa iache ipite kama ilivyo siku zingine za kawaida,,, Pili:Mtume (swala na salamu ziwe juu yake) amekataza kufunga jumamosi pekee isipokuwa itakapokuwa funga ya faradhi kama Ramadhani ama ukitaka kufunga funga ya Sunnah basi ima ufunge siku moja kabla ya jumamosi(Ijumaa) kisha jumamosi yenyewe au jumamosi kwanza kisha siku moja baada ya jumamosi (jumapili)
@@subulus_salaam2023 shukran sanna Allah barik na awahifadhi masheikh wote wa salafi
ALLAH AWAHIFADH WALIM WANG
Naam
Chuki za mawahabi dhidi ya Mtume ni za wazi sana
Wanfuga ndevu kama mtume, hawavai isbali kama mtume, hawamzushii hufuata yale aliyokuja nayo ibada zao huziegemeza kwa dalili kutok kwakwe wala hawazitangulizi akili zao mbele ya mafundisho yake.. bila shaka wanofany kinyume chake ndio wasiompenda utakut shikh wa kikhurafu kavaa kanzu iina buruza chini, kidevu cheupee, mganga kam kina Dr.sule afu useme anampemda mtume? Mche Allah
Alla akuhifadhi
TOA DALILI ZA KUKHARAMISHA TUONE. IMA KUSEMA JIBABA ZIMA LAFURAHI . KWANI BABA HAIFAI KUFURAHI KATIKA DINI?. AU KHARAMU KUFURAHI BABA KWA WATOTO WAKE?. AU HAIFAI KUMKUMBUSHA BABA AU MWANAE KUMKUMBUSHA KUWA UMEINGIA MWAKA MWENGINE NA ANZA KUJIHESABU TENA MATENDO YAKO NA REKEBISHA ULIOHARIBU MWAKA ULIOPITA , YOTE NI KATIKA SIKU YA KUZALIWA. NA HII INAJULIKANA KUWA HATA USIPO WAKUMBUSHA WATU SIKU HIO NA UKAKUMBUSHWA BASI UTAKUFA TU KWA KUJISAHAULISHA MIAKA YAKO NA KUJIRUDISHA NYUMA๐. MNAOGOPA SANA KUKUMBUSHWA BIRTHDAY DAY ZENU KUWA MWAKA MWENGINE UMETOEKA HUO ILA MTAKUFA TU HATA MKIJISAHAULISHA NI BURE MIAMBA๐๐๐. SASA FURAHIA IKIWA MWAKA ULIOPITA ULIFANYA KHERI, ILA KAMA HUKUFANYA LIA SANA SIKU HIO. MTUME SAW AMESEMA " HASIBU KABLA AN YUHAASABUU " YAANI JIHUSSBIE MATENDO YAKO KABLA HUJAHESABIWA. BIRTHDAY KUKUMBUKA NA KULISHA WATU KWA KHERI NA HESABU MATENDO YAKO KWASABABU HATA UKUPUUZA HUKU MALAIKA WAAMINIFU WANAANDIKA VIJANA NYIE MJUE. KUJISAHAULISHA KWAKO HAKUMPUNGUZII MWENYEZIMUNGU SW KUKUPA MIAKA ZAIDI, HESABU UMRI WAKO KABLA YA KUHESABIWA. NA KUMBUKA MIAKA YAKO KUWA UNAKARIBIA KUFA, HATA UKUACHA KUHESABU NA KUKUMBUKA TAREHE YA MWAKA MPYA USIFIKIRII ITAACHWA KUANDIKWA๐, MTUME SAW AMESEMA " KUMBUKENI SANA MAUTI...." KAMA UNAINGIA MWAKA MPYA HUPATI KIASHIRIO CHA MWAKA UMEKUPITA, NINI KITAKUMBUSHA KUFA KWAJA?. WASIA WANGU. NYIE WALINGANIZI WAPYA ALIOWATABIRI MTUME SAW KUWA MTALINGANIA WATU KATIKA MILANGO YA MOTO, ANAEKUFATENI AMEANGAMIA. NAKUAMBIENI. FUNDISHENI WATU DINI NA MSIWAPE UZITO IWE HATA KUFURAHI MAJUMBANI MWAO IWE KHARAMU MTAWAFANYA WATU WASHINDWE NA UISLAMU, WAFUNZENI LILILO KHARAMU WALIJUE NA SIO MNAKURUPUKA KUTOA FATUWA ZA HOVYO HOVYO AMBAZO HAZIKUBAINISHWA KATIKA QURAN WALA SUNNA. MTUME SAW ALIPOGUNGA IJUMAA TATU ALIULIZWA, KWANINI UNAFUNGA IJUMAA TATU?. MTUME SAW ALIJIBU " YAUMA ULIDTU" (NAFURAHIA) SIKU NILIOZALIWA , MY BIRTHDAY. MTUME SAW ALIITUKUZA, ALIJIKUMBUSHA, ALIFURAHI, ALILISHA WATU, ALISWALI NA MENGINE MENGI SIKU HIO KWA KUMAANISHA SIO KHARAMU KUFARAHIO BIRTHDAY DAY ILA FANYENI YALIO BORA SIKU HIO NA YA KHERI KWAKE ALIASHIRIA KWA IBADA YA FUNGA NA SIO KHARAMU KULISHA SIKU HIO. ################### ENYI WALINGANIAJI KATIKA MILANGO YA MOTO , KWANINI MNAKHARAMUSHA JAMBO AMBALO HAKUKHARAMISHA MWENYEZIMUNGU SW NA MTU WAKE?#######.
ENYI WALINGANIAJI KATIKA MILANGO YA MOTONI. MNAONAJE MAKAFIRI WANAWAPA ZAWADI WATOTO WAO SIKU ZA KUINGIA TAREHE YA BARTHDAY NA JEE WATOTO WENU WAKIISLAMU HAWAHITAJI FURAHA JUU YENU ENYI WALINGANIAJI KATIKA MILANGO YA MOTONI?. JITIZAMENI KABLA MKAFANYA WATOTO WENU KUUHAMA UISLAMU NA KUONA UKAFIRI UNA MAPENZ KULIKO UISLAMU
MAASHAALLAH. ALLAH AIHIFADHI NA MARKZI ZOTE ZA KISALAFI.
Allaah atuhifadhi โคโค
Allah awahifadhi
Allah awahifadhi mashekh wetu
Mashaallah
Allah atusameh na atuongoze kwenye matendo yetu
Elimu ya mawahabi ni mtihani ukijaribu kuwafuta sijui M. Mungu ndie ajuae, sasa kwenye Atahiyatu swala ya mtume imo Saiyidina Muhammad leo eti tuitowe tuweke nini bass nyie mawahabi leteni yenu swala ya kumswalia mtume
Nyie mnataka sheria muiongoze kwa akiri zenu, siyo akiri zenu ziongozwe na sheria. Ndo mana hamuachi kuzusha mambo na mnachukulia poa.
Hujaelewa kilichozungumzwa ndugu yangu, Allah akujaalie elimu yenye manufaa
Sasa ww leta hadith inayosema ivo au maneno ya mwanachuoni yeyote
Allah atuongoze
Allah amuhifadhi
Hujajibu swali weye sheikh kwasababu hao wanaofanya sunna na wao hawasemi lazima
Haiskiki
Allah amhifadhi Sheikh ABUL FADHL
Ma shaa Allah barakAllah fiyk
Aamiyn
jazakallahu khayran
Aamiyn
Ma shaa Allah
Allah akuhifadhi
Tushawazoea hamna jipya
ni kweli wao siku zote dini yao ni ile iliyoelekezwa na mtume kwa ufahamu wa wema waliotangulia,sio kuacha mlango wazi kila mwenye jambo lake akidhani tuu ni zuri basi laingizwa katika dini
Ni kweli kabisa ndo walivo masalafy hawana JIPYA kwahyo inabidi muwazoee hivohivo nao ndo watakavyo
Hawa masalafi ni malimbukeni Wamepata elimu kidogoo imekuwa keroo kwenye jamii hatuna rahaa Kila kitu wao haramuu .ila Cha ajabu wanaitikadi za kufruu hasaa Wala hawasemi kama hazifai ๐๐๐
@@tamimuhamidu5 Mmezoea uzushi. Endeleeni kuzusha.
@@ABUUALLY-ch5jr Kama ipi kufuru hiyo?
Ss walikuwa wanasemaje?
Wewe sumaili abuu anas elim huna na nina waswas na akil zako
Masha allah
Tunaomba Subtitle ya kiswahili
ู ุง ุดุงุก ุงููู
ู ุง ุดุงุก ุงููู
ู ุง ุดุงุก ุงููู