𝑴𝒂𝒔𝒘𝒂𝒍𝒊 ⓿❻ 𝒚𝒂𝒔𝒊𝒚𝒐𝒋𝒊𝒃𝒊𝒌𝒂 𝒌𝒘𝒂 𝒘𝒂𝒕𝒖 𝒘𝒂

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 17 ноя 2024

Комментарии • 119

  • @Yousouf-wn1qz
    @Yousouf-wn1qz Год назад +4

    Mbona mnamsema shehe ivoo mbona yupo sahihi sana zaidi ya sana anafahamika mashaalla Mungu amlinde

  • @HamzaKidiru
    @HamzaKidiru Год назад +4

    Nyiny Mnaokoment Upuuzi Embu acheni Msikubali kupelekeshwa msikilizen Skekh Kiza mpate ufaham

    • @tanzaniaonmzamiloon8627
      @tanzaniaonmzamiloon8627 Год назад

      Kwanza unasikia kiza +kiza hamna kitu unaanbukia usiku na kila utakacho kuona kwako nibidaa tu

  • @RashMash-l1b
    @RashMash-l1b Год назад +4

    Mashallh sheikhuna yupo sahihi sana ila watu wamaudi wabishi tu

    • @aliabdullahi9200
      @aliabdullahi9200 Год назад

      Huyu sheikh wako hayuko sahihi anatumiasiasa ya kiakili kuna aya inao sema mowlidi hakuna ama kuna waimamu walisema mowlidi.hakuna?

    • @jumaakhamis4953
      @jumaakhamis4953 Год назад

      Assalamu alaikum warahmatullah wabarakath ndugu kama ww wayakubali maulid bs maswali hayo yajibu usiulize swali ilhali hujajibu ulilo ulizwa

    • @aliabdullahi9200
      @aliabdullahi9200 Год назад

      @@jumaakhamis4953maswali ya kisiyasa yatajibiwakwa kisiyasa hio swali ni ya kiali tu

  • @AbdallahMnyiwe-he2zu
    @AbdallahMnyiwe-he2zu 2 месяца назад

    Huyu ni mzushi wa maswali mhabi

  • @davidruhasha9670
    @davidruhasha9670 Год назад +1

    Hawawezi kujibu mpaka kiama

  • @huseinmaulidi7346
    @huseinmaulidi7346 Год назад +1

    Kwenda kuwatembelea wagonjwa ni ibada nayo inasharti zake? Sio kila ibada inanguzo sheikh na shart sheikh ,rudi ukosome tena riyadhi au madina tena ukasome sana wew bado uko nyuma.

  • @mohdkhamis257
    @mohdkhamis257 Год назад +3

    Watu bidaa wajibu maswali haya kama ni wanaume kweli mm naona kuwa hawawezi kujibu

  • @kudra23
    @kudra23 Год назад

    Jaza kallahu kheir yaah sheikh khana

  • @AbdallahMnyiwe-he2zu
    @AbdallahMnyiwe-he2zu 2 месяца назад

    Nabii anahaki kuliko mnavyovikusanya

  • @shabaniumande
    @shabaniumande Год назад +2

    Ni mashia ndio walio anzisha maulid,
    Sheikh natafuta namba yako ya simu please

  • @MussaZombwe-du4pj
    @MussaZombwe-du4pj Год назад +1

    Je sarafi ilianza lini

    • @emanuelkyomo3772
      @emanuelkyomo3772 Год назад +1

      Enzi za mtume Swalla allahu alayhi wasalama

    • @BrothersAbuu
      @BrothersAbuu Месяц назад +1

      Sio sarafi ni salafi lkn pia km uhujuw usalafi ulianza lini ina onekana ww ata ibitadiya huja soma au Qur aniyah

  • @IptiswarMustwafa
    @IptiswarMustwafa Год назад +2

    Mashali yote hayo hayana msingi n sioni kama anaongeya bila ikhlaswi bali kutengeza mkate wake wasiku tu

    • @kitosio
      @kitosio Год назад

      Kumzulia Mtume s a.w Uongo. Hii NI hatari. Na kujadiliana na mpigaji Tari/Matari NI HATARI zaidi. Wangefanya MASAHABA angalau

    • @ibrahimabdallah6237
      @ibrahimabdallah6237 9 месяцев назад

      Kama hayana msingi jibu

  • @AbdallahMnyiwe-he2zu
    @AbdallahMnyiwe-he2zu 2 месяца назад

    Neno maulidi ni kuzaliwa

  • @jumanjenga7682
    @jumanjenga7682 Год назад

    Bidaa ni bidaa isipokuwa wanasema ni bidaa njema.

  • @AbdallahMnyiwe-he2zu
    @AbdallahMnyiwe-he2zu 2 месяца назад

    Alifunga saumu kuzaliwa kwake na kusheherekea

  • @CholoMbaluku-dv7ie
    @CholoMbaluku-dv7ie Год назад

    Naaam

  • @abuusaid511
    @abuusaid511 Год назад

    shekhe... hajafatilia historia ya shekh wa barzanji... kisha anakuja kutuuliza swali sisi dah... SASA SHEKHE NAOMBA NIKUULIZE nijibu COMMENT yangu

    • @jumaakhamis4953
      @jumaakhamis4953 Год назад +1

      Wewe ulofatililia hebu tuthibitishie kuwa jambo hili lafaa

    • @saidihaji3739
      @saidihaji3739 Год назад

      ​@@jumaakhamis4953
      Maulid ni mkusanyiko wa mambo yafuatayo :-
      1)) KUSOMA SEHEMU KATIKA QUR-ANI TUKUFU .
      2)) KUKUMBUSHANA MAMBO YA DINI ((daawah )).
      3)) KUSOMA AU KUSIKILIZA SIIRA NA MWENENDO WA MTUME ﷺ ۔
      4)) KUMSALIA MTUME ﷺ KILA ANAPOTAJWA AU KUTAJWA SIFA ZAKE .
      5)) MUJITOLEA SADAKA YA CHAKULA AU CHOCHOTE KILICHOPO .
      NAOMBA : Wew uniambie kipi katika hivi hajafundisha mtume ﷺ ?? Kipi hakijathibiti katika QURAN AU SUNNA ZILIZO SAHIHI katika hayo ??

  • @Biziman-pu4kf
    @Biziman-pu4kf Год назад +2

    Watu wabidaa imewauma

  • @kitosio
    @kitosio Год назад

    Hizi Clip Tunataka ziweko Kwa series zidipunguwe 40 Hadi 70
    Watu washashtuka na wenyewe washafunguka macho kilichobakia wazito kuacha wanajisikia Aibu sanaaa washakwama. Hawakujuwa kuwa kuwa Uzushi wa Mashia. Ndio sasa wanajadili chinikwachini. Misumari iendelee non stop.

  • @mustaphamkali7476
    @mustaphamkali7476 9 месяцев назад

    Wewe sumaili abuu anas elim huna na nina waswas na akil zako

  • @IptiswarMustwafa
    @IptiswarMustwafa Год назад

    Hhhhhhh maulidi inahifadhi zote kinyume na ulivo sherehesha kama nilivo tnguliya waongeya katika maswlahi yko huongei ni ilimu

  • @saidsobongo912
    @saidsobongo912 Год назад +2

    Hii mada nimeielewa saana
    Tafadhal..naomba kupata namba za sheykhe huyu...mie nimtanzania nipo southAfrican

  • @AbdallahMnyiwe-he2zu
    @AbdallahMnyiwe-he2zu 2 месяца назад

    Hawa walimu Kila siku nikupinga tuu

  • @mirajiwenge
    @mirajiwenge Год назад +2

    Acheni matusi jibuni maswali

  • @IptiswarMustwafa
    @IptiswarMustwafa Год назад +1

    Jambo Zuri silazima mtumi alilifanya au alete hadithi kasome mtumi asema nimebainisha halali na Haramu na yale niliyo nyamaziya ni kuwaonya huruma wala siyo kuwa nimesahau ss haya yaloatwa ni yapi na je hukmu yake ni gani?
    Na kama jambo zuri ni lile alosema mtumi tu bac ijmaa ina faida gani?

    • @medimisi6930
      @medimisi6930 Год назад

      duh, ibada zote zimefumdishwa na mtume . hakuna ibada aliyokua hakufundisha. elewa hilo

    • @medimisi6930
      @medimisi6930 Год назад

      duh, ibada zote zimefumdishwa na mtume . hakuna ibada aliyokua hakufundisha. elewa hilo

    • @BrothersAbuu
      @BrothersAbuu Месяц назад

      Kwaiyo akhi ijuma mtume haku isema uborawake na fadhila zake pia juwa maswala ya ibada ni maswala ya kusita sio kuji ongezeya uka jikuta mtaalamu zaidi kuliko mtume na maswahabaa

  • @SeifMchuzi-vm2me
    @SeifMchuzi-vm2me Год назад

    الأسئلة كماء الشرب

  • @CharafimalisalimoAli-qw3hk
    @CharafimalisalimoAli-qw3hk Год назад +2

    JINA LA ANSWARI HALIENDANINAAO NA LA SALAFI HALIENDANINAAO NA LA UWAHAABI HAWALIPENDI, SASA WAMEAMUA KUWAPORA MASUFI JINA LA AHLISUNNA WALJAMAÃ KAMA WANAVYO PORA MISIKITIYAAO 😂

  • @twahirburhan3726
    @twahirburhan3726 Год назад +1

    Watu wa Uzushi wa Maulid mbona mnapaniki kwa kitu ambacho hakimo ktk dini? Hoja za kuitetea hamna mmebaki kuwashambulia mashekh wanaoipinga

  • @salimabdallah5176
    @salimabdallah5176 Год назад

    DHIKRI FIKRI SHUKRI SUBRI

  • @mwalimjecha6893
    @mwalimjecha6893 Год назад

    Sasa hayo maulidi ulitaka uanzishwaji wewe

  • @ZubedaHilal
    @ZubedaHilal Год назад

    Yani mimi kuhusu maulidi hunitoi abadan kuhusu kufurahi mazazi ya mtume hiyo bidaa yako wala sikuelew

  • @aliabdullahi9200
    @aliabdullahi9200 Год назад

    Kwanza huyu sheikh anajiita abuu Ana's hii ni jina lakujibandikia ama nijina walimtolea babaake na mamaake?

    • @saidhamad203
      @saidhamad203 Год назад

      Lako weye hilo lichukue uondoke nalo

  • @zulfajuma8394
    @zulfajuma8394 Год назад +1

    Mctuchanganye maana tuashindwa kuelewa, tushike lipi tuache lipi, tuacheni tushike apo tulipo shika mengune mungu anajua yy

    • @subulus_salaam2023
      @subulus_salaam2023  Год назад +1

      Achana na BIDA'A ya MAULIDI fuata HAQQ kwa kufanya kama tulivyofundishwa na MTUME swala na salamu ziwe juu yake

    • @azizaj776
      @azizaj776 Год назад

      @@subulus_salaam2023, yaani kuwa Msalafi Ni kujihakikishia mwisho wako JAHANAM , yaani hakuna salama yoyote kwa MSALAFI Ni laana toka kwa Mtume na MOLA Mtukufu Ni FITNA NDANI YA UISLAMU YAANI OGOPA USALAFI KUSHINDA NYAMA YA NGURUWE KUWA MSALAFI YAANI NI BORA KULA NYAMA YA NGURUWE MAANA UNAWEZA KUSINGIZIA NJAAAA KULIKO KUWA MSALAFI MAANA HAKUNA SALAMA KUWA FITNA NDANI YA UISLAMU WEWE NI FINARI JAHANAM KHALIDINA FIHAAAAA

    • @medimisi6930
      @medimisi6930 Год назад

      ibada zote zipo wazi labda ww tu ujichanganye.

    • @khalidtechnology367
      @khalidtechnology367 Год назад

      Usikubali kupelekeshwa soma ukimaliza ndo ufate

  • @IptiswarMustwafa
    @IptiswarMustwafa Год назад

    Hhhhh qayfiya kuna ibada nyingi hatukuelezwa qayfiya kama kumuungiliya mkeo niibada katika ibada kubwa je kuna qifiya au hadithi inaeleza mtumi namna akiingiliya wake zake?

  • @sharifashabani493
    @sharifashabani493 Год назад

    Unatafuta kiki kwenye dini hujawai hata kupoteza hata kiungo chako kwaajil yadin maneno unaremba habar zakkutenga watu kma wewe hutak kumtaja mtu unae muamin niwewe

    • @subulus_salaam2023
      @subulus_salaam2023  Год назад

      Sharifa soma dini yako uijue kwa dalili usifuate matamanio,,,,

  • @hassankiloba217
    @hassankiloba217 Год назад +1

    Hhhhhh siayi bike kama bachu kajikojo leya Bada yaku shindwa kujibu hoja

    • @saidmohammed2830
      @saidmohammed2830 Год назад

      Subuhanallah achaa chuki ongea hakki shekh

    • @KomboAli-p1l
      @KomboAli-p1l Год назад +1

      Unauhakika na unachokisema kuwa shekh bachu alijikojolea

    • @khalidtechnology367
      @khalidtechnology367 Год назад

      Uzungumze kila cha haki masna utakwendwa kuulizwa

  • @abdalahusseinmtotohalalina9239
    @abdalahusseinmtotohalalina9239 Год назад +1

    Namahindano yakuruani yameanza lini

    • @Bahero-w9p
      @Bahero-w9p Год назад

      Elimu zenu n zakibishana maulid c mambo mengine

  • @MkindiRama-lp6hy
    @MkindiRama-lp6hy Год назад +1

    Nenda Kwa ustadhi said mambrui utapata dawa yako

    • @giltaemi4017
      @giltaemi4017 Год назад

      Mashia Mnasumbua sana.

    • @mirajiwenge
      @mirajiwenge Год назад

      Mwambie ajibu maswali

    • @medimisi6930
      @medimisi6930 Год назад

      dawa umeipata ww baada mashekhe hao wa maulid kukubali kua wanyama kuongea alipozaliwa ni hadithi dhaifu , sasa ww utaacha hayo maulid au utaendelea kusoma hali unajua kuna hadithi dhaifu nyingi.

  • @tanzaniaonmzamiloon8627
    @tanzaniaonmzamiloon8627 Год назад +3

    Maswali yakitoto naomba mjadala na wew nikufundishi huna huna ulijualo

    • @giltaemi4017
      @giltaemi4017 Год назад

      Ujinga ndo unakusumbua.
      Fanya mjadala na nafsi yako ukiishinda ndo uombe mjadala na mtu mwingine.
      Nafsi yako yenyewe inakushinda kuizuia na ushirikina na Uzushi.
      Huo mjadala ujadili nn sasa.

    • @tanzaniaonmzamiloon8627
      @tanzaniaonmzamiloon8627 Год назад

      @@giltaemi4017 mjinga wew usie jua shirk ni ipi na uzushi ni Nini matabu mnayosomeswa kayaandika nani je mtume kaandika matabu hayo au maswahaba au tabighina ?

    • @mirajiwenge
      @mirajiwenge Год назад

      Jibu maswali

    • @ibnuidrisa3996
      @ibnuidrisa3996 Год назад

      😂😂😂😂

    • @KomboAli-p1l
      @KomboAli-p1l Год назад

      Kama ni maswali ya kitoto yajibu hayo Basi Kwanza halafu ndio uombe mjadala

  • @walidmgonja3644
    @walidmgonja3644 Год назад +1

    Tuna masheikh wa hovyo wanaopenda mabishano kila mara na kuwagawa waumini
    Hawa wote ni sehemu ya mtandao wa kijasusi wa Mayahudi wenye lengo la kuudhoofisha uislam duniani kote.

    • @hafidhwajina6718
      @hafidhwajina6718 Год назад

      Uislamu hauimaliki ktk kufanyika maulidi,si uache tu?

    • @hafidhsalum-jp2mw
      @hafidhsalum-jp2mw Год назад

      Kukaaa kimya kuna hekima zaidi kuliko kuongea upuuzi

  • @ru7benniesospeter776
    @ru7benniesospeter776 Год назад +1

    Ukifanya maulid unapata thawabu na usipopanya sio dhambi. Wewe vingapi unafanya leo mtume wala maswahaba hawakuvifanya??

    • @mirajiwenge
      @mirajiwenge Год назад

      Jibu maswali

    • @hafidhsalum-jp2mw
      @hafidhsalum-jp2mw Год назад

      Kwaio swawabu hizo maswahaba hawakuzijua munazijua nyie c ndio?

    • @hafidhsalum-jp2mw
      @hafidhsalum-jp2mw Год назад

      Nyie ndo muna ujuzi zaidi wa kuyajua mambo yenye thawabu kuliko mtume swala na salamu ziwe juu yake pamoja maswahaba zake c ndio?

  • @aljabery.binruz
    @aljabery.binruz Год назад

    Ww wanafunzi unatumalia bandle

  • @AbdallaAssaa-we3vi
    @AbdallaAssaa-we3vi Год назад

    Kwani mukikaa kundi la watu mukamswalia mtume Muhammad (sw) na kusoma Quran na kutoleana mawaidha ni makosa?

  • @IptiswarMustwafa
    @IptiswarMustwafa Год назад

    Huyu jama hazipati walaahi anapija kelele tu hajui n nn ibada kwanza kasema ibada lazima iwe mna nguzo na nawaqidh huwo niurongo na hakuna qaida hiyo

  • @Abdallah-i1d
    @Abdallah-i1d Год назад +2

    Mangapi nyinyi mwa fanya hayakufanywa na mtume,maswahaba na karne bora, Na ww simsomi , hilo swali lako mushajibiwa kitaambo lkn nyinyi muna chuki zenuu

  • @CharafimalisalimoAli-qw3hk
    @CharafimalisalimoAli-qw3hk Год назад

    INASIKITISHA KUWAONA WATU WALIOTAHIRIWA WAKIKERWA KUKUTANA WAISLAMU KUMSWIFU MTUKUFU,
    ILA HAWAKERWI KUONA HATUNA SEREKALI YAKIISLAMU, NA WANADAI WANASIMAMIA KITABU NA SUNNA. WAKATI KABLA YA UWAHAABI KUDHIHIIRI TULIKUA NA SEREKALI TTELE ZA KIISLAMU. NA KILA WANAPOZIDI MAWAHAABI NDIO HATUNA HATA SEREKALI YA KIISLAMU NA WACHAMUNGU HUPUNGUA.

    • @BrothersAbuu
      @BrothersAbuu Месяц назад

      Kwani ww akhi katika wacha mungu umoo pia akhi nina swali je maswahaba wali kusanyika kwaajili ya kumsifu mtumee acheni ashabiki dini sio mpiraaa

  • @Abdallah-e7o
    @Abdallah-e7o Год назад

    Huna lolote baradhuli wewe

  • @salimabdallah5176
    @salimabdallah5176 Год назад

    Shetani anakuchezea tunapoteza muda....

  • @IptiswarMustwafa
    @IptiswarMustwafa Год назад

    Na huu msabaqatul quraani uliaza lini na wapi na alihudhuriya n nani katika wageni wahishimiwa
    Na hafla za kufunga madrasa shabani zilianza lini na nani kaanzisha na alikuwa mgeni rasmi ni nini ?

    • @medimisi6930
      @medimisi6930 Год назад

      jibu kwanza haho sita halafu uliza lako. ndugu maulidi yanaingia ktk kigawanyo gn katika uislam. jibu haho sita

  • @OmarKatumbo
    @OmarKatumbo Год назад +3

    Hata mama yako na babiyo hawakuwepo wakati wa mtume

    • @HajiJuma-dc2ev
      @HajiJuma-dc2ev Год назад

      Wao wenyewe nibidaa hao

    • @subulus_salaam2023
      @subulus_salaam2023  Год назад +1

      ​@@HajiJuma-dc2ev
      Hujui TA'ARIF ya BIDA'A kaa darasani USOME

    • @tanzaniaonmzamiloon8627
      @tanzaniaonmzamiloon8627 Год назад

      @@subulus_salaam2023 wew ulie kaa darasani hujia kama Kuna bidaa hasana na sayyiatu na hujui hata tagharif yake nini

    • @mirajiwenge
      @mirajiwenge Год назад

      Acha matusi jibu maswali

  • @tanzaniaonmzamiloon8627
    @tanzaniaonmzamiloon8627 Год назад +1

    Wew shekh kama unajiamini omba niqashi sio kuwajaza matango pori waislam Kwa ujinga wako wa uelewa

  • @walidmgonja3644
    @walidmgonja3644 Год назад

    Kama wewe ni msomi na unayo ikhlas basi pambana na makafiri kama alivyofanya mtume wa mwenyesimungu ( SAW)badala ya kupambana na waislam wenzako.

    • @idihsingano-kq2sy
      @idihsingano-kq2sy Год назад +1

      Mbona we na bachoo hamuelewani?? Wakati kugombana waisilamu ni ufaasiki???

    • @abuurayaan3902
      @abuurayaan3902 Год назад +1

      Jibu maswali ???

  • @hassankiloba217
    @hassankiloba217 Год назад

    Huna elim hiyo yakujuwa maulidi soma kwaza usiayi bike wewe mungu alimsifu mtume acha wewe wahabi kafiri mkubwa

  • @walidmgonja3644
    @walidmgonja3644 Год назад +1

    Kama wewe ni msomi na unayo ikhlas basi pambana na makafiri kama alivyofanya mtume wa mwenyesimungu ( SAW)badala ya kupambana na waislam wenzako.

    • @noordinkishky1900
      @noordinkishky1900 Год назад

      Tulia upate hidaya, mpaka tuongoke kwa njia iliyonyooka ndio hao wakristo tuweze kuwaongoza. Isikuwe tuna pande mbili kama wao

    • @hafidhsalum-jp2mw
      @hafidhsalum-jp2mw Год назад

      Akapambane na makafiri ata akirudi ao alowaacha waislamu washaubadilisha uislamu wao kwa mambo ya kubun? Kweli akili ni nywele na kila mtu ana zake
      Ni bora kurekebisha ambao washaamini kuingia kwenye upotevu kuliko kushughulika na mtu ambae ata hajaamini