4. NATAKA NIMJUE YESU By Tabernacle de Likasi (Album Merci Seigneur)
HTML-код
- Опубликовано: 8 янв 2025
- 1. Nataka nimjue Yesu
Na nizidi kumfahamu
Nijue pendo lake na
Wokovu wake kamili.
2. Nataka nione Yesu
Na nizidi kusikia
Anenapo Kitabuni,
Kujidhihirisha kwangu.
3. Nataka nifahamu na
Nizidi kupambanua
Mapenzi yake nifanye
Yale yanayompendeza.
4. Nataka nikae naye
Kwa mazungumzo zaidi
Nizidi kuwaonyesha
Wengine wokovu wake.