"Tanzania Kwanza Mengine baadae jpm nambari 1 Katiba sisi wananchi tuibadilishe rais wetu aendelee kutawala mpaka ukomo wa uhai wake kwa pamoja tunaweza Kinacho tukwamisha maishani! Sio kile kitu tusichonacho! HAPANA nikile tulichonacho hatujui namna ya kukitumia wananchi WANAHITAJI KIONGOZI BORA NA SI BORA KIONGOZI
@@kambamazig02024 Ingependeza kama mgefanya vizuri zaidi NASDA kidigitall zaidi. Wazo langu sio kwamba nakandia najaribu kuchangia kwenye uboreshaji zaidi..mmefanya kazi nzuri na inaonekana kama feza ipo wekeni screen kubwa inonyesha hizo bei
Big up Ayo TV kwa kuendelea kutuonyesha vitu vya MSINGI........
Kazi ya magu. Mk oka mpumzishe baba yetu,🙏🏼🙏🏼
Doh good job maana dhahabu ilikuwa inaenda tu bila kujua au kuzisikia hizi pesa...... big up Serekali 👍
Keep going Tanzania
Hayo ndio maendeleo piga makofi kwa JPM tafazali duu tulikua giant sleeps
👏👏👏👏
"Tanzania Kwanza Mengine baadae jpm nambari 1 Katiba sisi wananchi tuibadilishe rais wetu aendelee kutawala mpaka ukomo wa uhai wake kwa pamoja tunaweza Kinacho tukwamisha maishani! Sio kile kitu tusichonacho! HAPANA nikile tulichonacho hatujui namna ya kukitumia wananchi WANAHITAJI KIONGOZI BORA NA SI BORA KIONGOZI
Ninja nijambozuli sana
Acheni kuandika bei kwenye whilte board...NUnuna big screen or monitor kuonyesha hizo bei
Mbona NASDA wanaandika kwenye board kabla ya kuweka kwenye screen na hujasema lolote? Vipi ndugu yangu?
@@kambamazig02024 Ingependeza kama mgefanya vizuri zaidi NASDA kidigitall zaidi. Wazo langu sio kwamba nakandia najaribu kuchangia kwenye uboreshaji zaidi..mmefanya kazi nzuri na inaonekana kama feza ipo wekeni screen kubwa inonyesha hizo bei
ata pete za dhahabu mnanunua
kazini kuna kazi
Safi sana!!
Hii ndo raha ya kupiga kura yako ikaleta manufaa kwa nchi, najivunia kumchagu jpm
Safi sana
Okey !
😮
Saf san jpm