BMG TV: Jionee uwekezaji mkubwa ndani ya kiwanda cha dhahabu Mwanza

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 5 фев 2025
  • Kiwanda cha kusafisha dhahabu cha Mwanza Precious Metals Refinery (MPMR) kilichojengwa kwa ubia kati ya Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) na kampuni ya Lozera ya nchini Dubai kina uwezo wa kusafisha kilo 480 za madini kwa siku kwa ubora wa asilimia 99.99 kikigharimu Tsh. Bilioni 16.
    BMG Media- Pamoja Daima!
    Tovuti www.bmgblog.co...
    Facebook / bmghabari
    Twitter / bmghabari
    Instagram / bmghabari
    #BMGTV #BMGBLOG #BMGHABARI Pamoja Daima BMG

Комментарии • 9

  • @denisfelician9466
    @denisfelician9466 Год назад +1

    Noma xn aisee

  • @temuemanuel4671
    @temuemanuel4671 Год назад +1

    Safi sana. Tanzania ndio hii tunayoitamani. Tusiuze mali ghafi nje

  • @Anti-socialSocialClub
    @Anti-socialSocialClub 6 месяцев назад +1

    hichi kiwanda kimeanza kufanya kazi ? mbona hatujaoneshwa dhahabu inayosafishwa ?

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  6 месяцев назад

      Kinafanya kazi, ukifika hapo watakuonyesha. Ama tafuta siku ya uzinduzi walionyesha!

  • @scarionmuntu5175
    @scarionmuntu5175 Год назад +1

    kutumia umeme kuyeyusha dhahabu ni garama kubwa, bora ingetumika gas kama mbadala