Muandishi na watanzania wote kwa ujumla, eleweni kwamba haya madini mnayoyazungumzia ni aina ya mawe yalioko ardhini, ambayo yametokea mahali palipokuwa na volcano kwa miaka elfu mbili au zaidi iliyopita, hivyo upatikanaji wake hauwezi kabisa kuwa na uhusiano wa kimazingira, eleweni hivyo na ndivyo ilivyo.
Kwa kweli Dotto Biteko anfit sana kwenye hiyo wizara ,Mungu amsimammie..
Muandishi na watanzania wote kwa ujumla, eleweni kwamba haya madini mnayoyazungumzia ni aina ya mawe yalioko ardhini, ambayo yametokea mahali palipokuwa na volcano kwa miaka elfu mbili au zaidi iliyopita, hivyo upatikanaji wake hauwezi kabisa kuwa na uhusiano wa kimazingira, eleweni hivyo na ndivyo ilivyo.
Huyo mweupe aliyeshika madini, wakimtaka watampata na hiyo kampuni iliyofanya wizi mpka mtu wa mwisho mhusika atapatikana
Let's keep praying for Magufuli
ANAJIELEZEA VIZURI SANA ALAFU INAONYESHA HATA SHULE IPO KICHWANI
Form 4 ya zamani hiyo Kaka
Airtel Wanazidiwa Na Netiweki
MAGUFULI BABA LAO * kwa maendeleo ya Watanzania 🇹🇿
Wakwanza