KUTOKEA MWENGE: WANANCHI WAFUNGUKA BAADA YA MAMA SAMIA KUAPISHWA "MAGUFULI ALISEMA TUFANYE KAZI"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 28 янв 2025

Комментарии • 9

  • @DRIPPINGPAIN
    @DRIPPINGPAIN 3 года назад +1

    TUENDELEE KUCHAPA KAZI.. KUMTANGULIZA MUNGU MBELE SAWA baba AISEE
    VIPI TUPUBLISH KITABU. VITABU IN MEMORY YA RAISI WETU

  • @ibrahimwerejuma4816
    @ibrahimwerejuma4816 3 года назад +1

    Siyo tu kwa watanzania bali ni pigo kubwa kwa baara la africa mzima, watanzania huyu magufuli ni Mungu ndio aliwapatia.

  • @suzanemwangingo6932
    @suzanemwangingo6932 3 года назад +1

    Raisi ataweza tu

  • @rashidmohamed6482
    @rashidmohamed6482 3 года назад +2

    Rais Magufuli ni mashujaa wa Afrika kweli tumepoteza Rais wa wayonge .Rashid kutoka Northern kenya

  • @suzanemwangingo6932
    @suzanemwangingo6932 3 года назад +2

    Mama Samia atafata nyendo zake magufuri naamini atapiga kazi

  • @nabsgilo4896
    @nabsgilo4896 3 года назад +1

    So sad 😥😥😥😥 Ooooh God why take him this early the world shall miss u late Pombe Magufuli ...if all African leaders were like u , Africa would be abetter place #Rest Easy Beloved Pombe ..u left behind no presidents in Africa...the rest are dictators

  • @valenakomba4453
    @valenakomba4453 3 года назад

    Tena a weza sana, kama anataka.

  • @sittatwaha805
    @sittatwaha805 3 года назад +1

    Sion wa kuziba pengo la magufuli. Mmmmmmmmmm.