Bando MC Feat Nay wa Mitego - Nimesamehe (Official Audio)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 22 ноя 2023
  • #NewMusic #bando #epicjourney #trending #newmusic
    (C) Slide Digital
    Bando MC Songs OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES:
    ffm.bio/1kqop5
    Written & Performed by Bando MC x Nay wa Mitego
    Katika haya maisha jifunze kusamehe ila usisahahu. Karibu kusikiliza official audio ya Bando MC akimshirikisha Nay wa Mitego (Nimesemehe)
    Contact info:
    EMAIL- bandomc0@gmail.com
    INSTAGRAM: / bando_tz
    Channel Administered by Slide Digital
    Instagram: / slidedigitaltz
  • ВидеоклипыВидеоклипы

Комментарии • 1,9 тыс.

  • @BandoMC
    @BandoMC  7 месяцев назад +225

    asanteni sana Wanangu kwa upendo WENU toka siku ya kwanza naanza game mmekuwa wadau wakubwa sana wakuhakikisha nafanikiwa!!
    Sina chakuwalipa zaidi ya mziki MZURI kila siku Haya hii hapa “NIMESAMEHE” share na wengine 👇👇👇
    ruclips.net/video/Q15nj7XeVPg/видео.htmlsi=CaKyVYJ0deM6UvCi

  • @ahmedally-zo9jj
    @ahmedally-zo9jj 2 месяца назад +4

    Aliyesikia kama mimi 😂kwamba atasamehe wote lakn sio tanesco😂agonge like apa

  • @kuyisport8814
    @kuyisport8814 7 месяцев назад +34

    Kama umeikubali nyimbo hii like nyingi na hongera sana Kwa waimbaji nyimbo ya kuingilia nao Christmas na mwaka mpya

    • @BandoMC
      @BandoMC  7 месяцев назад

      Kuyooi

  • @tetri-numz96
    @tetri-numz96 7 месяцев назад +8

    Mkubwa Mungu Fela tu Diwani wa Kiringule nani kaipata hii 🎉🎉🎉

    • @BandoMC
      @BandoMC  7 месяцев назад

      😀😀

  • @Jaymoneyfitx1
    @Jaymoneyfitx1 7 месяцев назад +18

    Before I was not listening to nay but nowadays I do listen to him everyday

    • @BandoMC
      @BandoMC  7 месяцев назад +6

      Sio poah

  • @paskopopezekiel07
    @paskopopezekiel07 7 месяцев назад +58

    Kila siku unavotoa ngoma , unazidi kuonyesha unyama, tunakubali sana kazi zako Bando Mc🎤

  • @WakujaTech
    @WakujaTech 7 месяцев назад +34

    Nimesamehe wote mtakaoninyima Likes😂

  • @deogratiusmenyela6513
    @deogratiusmenyela6513 5 месяцев назад

    Sema we bando unasemehe San bhana..... wengne wakatae hakuna msamaha

  • @mjroyaltz8322
    @mjroyaltz8322 7 месяцев назад +2

    Miamba miwili👊👊👊

  • @aridythomas421
    @aridythomas421 7 месяцев назад +5

    Mungu hajawahi mtupa mja wake umetoa hint la heshima na bado litaendelela kuwa la heshima mungu akuzidishie na azd kukupa nguvu pale unapo kutana na mafarao bas uwashinde nimesameh 😅wewe je unaye iskiza umesamehe

    • @BandoMC
      @BandoMC  7 месяцев назад

      Hii sio poah

  • @user-ci1dk6zy3v
    @user-ci1dk6zy3v 7 месяцев назад +10

    Mh Ila mwanao aliyesema tutoke magetoni nae ametuchongea vimbao😂😂😂😂😂mmetisha sna wanetu Kaz nzur endleen kutufunza hip hop4 life🙏

    • @BandoMC
      @BandoMC  7 месяцев назад +1

      😂😂😂

    • @godfreymagoso5334
      @godfreymagoso5334 7 месяцев назад +1

      Walimaanisha nn huo mstari,,,,,, nimeirudia weeh nimeona nisikichoshe kichwa

    • @user-ci1dk6zy3v
      @user-ci1dk6zy3v 7 месяцев назад

      @@BandoMC Nakukubal sana kaka simu yngu nimejaza verse zako tu naskiliza madini makali big up sn👊🙏❤️

    • @user-ci1dk6zy3v
      @user-ci1dk6zy3v 7 месяцев назад

      @@godfreymagoso5334 Kuna mwana hv alikua akitusihi Wana tutoke home tusake maokoto huku akituonyesha maokoto yke baada ya yeye kutoka magetoni lkn Cha ajab Hana mtonyo anatumia vimbao kuvitengeneza km pesa ili kujifny anazo ye mpmbnaji sn kumbe kiande tu watu tunapmbna na tunatoboa fresh na hatusemi 😂😂😂😂

  • @bighopethb
    @bighopethb 7 месяцев назад +2

    Bravo my best Rapa ujawai kuniangusha, nakubari iyi kazi respect nipo CONGO Bukavu 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

    • @BandoMC
      @BandoMC  7 месяцев назад

      Asante sana fam

  • @lazaromwambene4516
    @lazaromwambene4516 7 месяцев назад +1

    Kwenye vimbao hapo mmetisha sana Toka magetoni❤

    • @BandoMC
      @BandoMC  7 месяцев назад +1

      😂

  • @mzingabenjamin
    @mzingabenjamin 7 месяцев назад +6

    Mimi binafsi nimechagua kukuheshimu maaan sio kwa utunzi huu💐💐💐🔥🔥🔥🔥

    • @BandoMC
      @BandoMC  7 месяцев назад +1

      Ayee

  • @mandovapicture
    @mandovapicture 7 месяцев назад +4

    Nyimbo Kali kama hii ilitakiwa on Trending ishike number 1

    • @BandoMC
      @BandoMC  7 месяцев назад

      Noma

    • @kevinwesanza7562
      @kevinwesanza7562 6 месяцев назад

      The answer is with stamina his video
      track underrated solo Project.

  • @user-qh8xm1eo6q
    @user-qh8xm1eo6q 7 месяцев назад +2

    Bado hawajasema
    na watasema
    Yaaaaan mpaka wasemeeee😅

    • @Petro635
      @Petro635 7 месяцев назад

      😂😂

  • @alhajiFashions7563
    @alhajiFashions7563 7 месяцев назад +2

    Oe Bando pokea maua Yako brother!!! Sema hii umeupiga mwingi na Baba Yaga😂😂😂😂

  • @sulleymanhussein8466
    @sulleymanhussein8466 7 месяцев назад +6

    Anaesema tutoke magetoni nae anatuchongea vimbao😂😂

  • @avithalfred4926
    @avithalfred4926 7 месяцев назад +5

    🔥🔥 tumesamehe

  • @karisakahindi-dx8cs
    @karisakahindi-dx8cs 7 месяцев назад

    Nimesamehe mmeweza sana raisi wa kitaa na mc bando...bamburi Mombasa

  • @babajuma2500
    @babajuma2500 5 месяцев назад

    Nay I respect u mzee wa ukweli utaki mapenzi God bless you

  • @sparkdsanga1612
    @sparkdsanga1612 7 месяцев назад +3

    KWENYE BATO KAMA IZIIII NAY NI WA MOTO SANA

  • @OmahRee10
    @OmahRee10 7 месяцев назад +3

    Kwa hili dude nimelizia kusamehe kila kitu

  • @KingSillah-gx5nv
    @KingSillah-gx5nv 7 месяцев назад +1

    Tanzania mzima nawapenda wasanii watatu(Bando, nay wa mitego na Roma), Nyie ndiye mnaoujua maana ya demokrasia Tanzania mzima, fanya hima mje hapa Nairobi kenya, huku Kuna Uhuru WA kila kitu, hatumuogopi yoyote. Tundu lissu tupo naye hapa Nairobi.

  • @JordanSolomon-mj6dn
    @JordanSolomon-mj6dn 6 месяцев назад

    ❤❤❤🎉🎉🎉 nikweli muda hauendi ila kwasasa unasogea sogea noma kaka hii sijaipenda bhana maaana mumeua sana yani mumenitisha namimi aduibyenu nimeweka tayari silaha chini na kunyoosha mikona kwamba sikuzote bando umekua mchanaji safi wakucheza na maneno vema ney nae ana maua yake kwangu mimi nimmoja wa mitoto isiopendwa mitaana ila sindio tunaishi nao kwaakili changamoto zipo watabhana mwishoe wataachia ukiona unatolewa kasoro jiulize mala mbili mbili maana utakua tayari sio masikini tena yani moja kwamoja unaenda kufanikiwa msaka buku mwenzangu 🎉 fanya kazi vizuri alafu maneno tuachie sisis mashabiki chai na mandazi 😂😅😊

  • @aridythomas421
    @aridythomas421 7 месяцев назад +6

    Tuko katak wakt ambao sisi binadamu tunaukataa ukweli tunakubali uongo ila kka mabumo stay high ♥️

    • @BandoMC
      @BandoMC  7 месяцев назад +1

      Blood

  • @thirdbornjs6685
    @thirdbornjs6685 7 месяцев назад +4

    Umetisha sana my brodah hii ngoma niliisubili kwa hamu sana🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 one love forever @bando

  • @aishaseif6917
    @aishaseif6917 7 месяцев назад

    TumesameheTukupe mauwa yakoooOne luv from burundiii we luv you nay

  • @jastinarts
    @jastinarts 3 месяца назад

    Bando wew ni mc mkali
    I like your lyrics
    Floors
    Na comb ji perfect

  • @jumakimtanange8177
    @jumakimtanange8177 7 месяцев назад +4

    Nakubari Kaka Mkubwa 👏👏👏👏👏🙏🙏

    • @BandoMC
      @BandoMC  7 месяцев назад

      Mtanange

  • @DomcityTattoo-iv9iz
    @DomcityTattoo-iv9iz 7 месяцев назад +3

    Tumesamehee! Tuendelee Kuvunjika kwa mwiko sio mwisho wa Mapishi!

    • @BandoMC
      @BandoMC  7 месяцев назад

      Kabsa kaka

  • @aishaseif6917
    @aishaseif6917 7 месяцев назад

    Bandoooo umeuwaaaTumesameheTukupe mauwa yakoooOne luv from burundiii we luv you nay

  • @isabhatototwin6542
    @isabhatototwin6542 19 дней назад

    Dem akipaka blich hakikisha naww umepaka mkongO,,,,, Mr neY bado upo baba😂

  • @kamtafuteTena01
    @kamtafuteTena01 7 месяцев назад +6

    Nimeiskiliza ,pia ahsante kwa kuwachana Basata na wajinga wengine wanaotuvuta mashati ktk safari zetu🔥🔥🔥🔥

    • @BandoMC
      @BandoMC  7 месяцев назад

      😀😀

  • @jayboetz7405
    @jayboetz7405 7 месяцев назад +3

    Nimesamehw❤❤❤❤

  • @BAHATIKIBA-ul6wx
    @BAHATIKIBA-ul6wx 7 месяцев назад +2

    Huu Unyama Lazm Uwe Mwingi Coz Amjawah Kutuhangush Nin Wawil , I'm So Proud Of You Brothers🎉🎉🎉🎉🎉🎉

    • @BandoMC
      @BandoMC  7 месяцев назад +1

      Noma

  • @fredrickraphael1624
    @fredrickraphael1624 7 месяцев назад

    Shy town boy!
    Ngoma kali Mzee...

  • @mbakimwakifwamba1576
    @mbakimwakifwamba1576 7 месяцев назад +3

    Wa kwanza kuview na kukoment❤❤

  • @philipomvanga2450
    @philipomvanga2450 7 месяцев назад +1

    Wakiifungia na hii najua pakuitolosha🔥🔥🔥👏🏼🙌🏾🙌🏾

  • @aishaseif6917
    @aishaseif6917 7 месяцев назад

    Bandoooo umeuwaaaTukupe mauwa yakoooOne luv from burundiii we luv you nay

    • @BandoMC
      @BandoMC  7 месяцев назад

      Sio poah

  • @blackGRapper
    @blackGRapper 7 месяцев назад +9

    Unyama sana bando uswazi Bwoy was here 🔥🔥🔥

    • @BandoMC
      @BandoMC  7 месяцев назад +1

      Mauaji

  • @user-bw3xh6sp3b
    @user-bw3xh6sp3b 7 месяцев назад +3

    Kazi kubwa

  • @nasriboe8974
    @nasriboe8974 7 месяцев назад +1

    Magetoni iz typing vibao deleting oya wakurugwa mmetisha san na BOM🇹🇿

  • @michaelseka6890
    @michaelseka6890 7 месяцев назад +2

    Brother umetisha Tena upo na msema kweli Ngoma kali

  • @kuppetz
    @kuppetz 7 месяцев назад +5

    Nomaa mwanangu 💥💥

    • @BandoMC
      @BandoMC  7 месяцев назад +1

      Sio poah

  • @nexteboytz4173
    @nexteboytz4173 7 месяцев назад +4

    Bando . nakubalii

  • @marakidtz9454
    @marakidtz9454 7 месяцев назад +2

    Rais Wawili Wakutana Sinza😁✌️

  • @WhipperGram
    @WhipperGram 7 месяцев назад +1

    Bg song it kqbs 🙌🙌brother BANDO

  • @Selemanirashidi260
    @Selemanirashidi260 7 месяцев назад +3

    Unyamwezi sanaa

  • @sadockmishoro
    @sadockmishoro 7 месяцев назад +4

    tumesamehe🤲🤲
    let's goooo

  • @cadkennykimpembe-md7ft
    @cadkennykimpembe-md7ft 7 месяцев назад

    Hii ngoma inafaaa usikilize ukiwa pekeyako gheto ndo utaelewa kuna ujumbe gani imebeba @bando mc u kill it ma gee🔥🔥

    • @BandoMC
      @BandoMC  7 месяцев назад

      Kwel mam

  • @International_Bwoy
    @International_Bwoy 7 месяцев назад +2

    Nakubali sana Hii Blaza 😂😂

  • @jameschumbula7351
    @jameschumbula7351 7 месяцев назад +3

    Mc Bando n..........🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💪🏾🎧🥰

  • @sumbiasungwa8998
    @sumbiasungwa8998 7 месяцев назад +3

    Shytown mabegani🔥

    • @BandoMC
      @BandoMC  7 месяцев назад

      Mabega

  • @MURAY922
    @MURAY922 7 месяцев назад

    Hata mm pia nimewasamehe. Walio kuwa hawaja nisamehe✌️✌️

  • @hamisisonga4ef5m
    @hamisisonga4ef5m 7 месяцев назад

    daaaah we ni noma bando mc sema nataka collabo na wewe

  • @ztvonline2523
    @ztvonline2523 7 месяцев назад +11

    One of the Best song 🔥🔥

  • @aishaseif6917
    @aishaseif6917 7 месяцев назад

    TumesameheOne luv from burundiii we luv you nayTunaonaaa chuoa zakooo kaka

    • @BandoMC
      @BandoMC  7 месяцев назад

      Kila noma

  • @patrickmulamboruhurumba4639
    @patrickmulamboruhurumba4639 6 месяцев назад

    Nay bado ni king wa bongo flavor namukubali sana

  • @Meka_tz
    @Meka_tz 7 месяцев назад +2

    Hatariii 🔥💥

    • @BandoMC
      @BandoMC  7 месяцев назад +1

      Ewaa

  • @mzingabenjamin
    @mzingabenjamin 7 месяцев назад +3

    Ngoma ni kubwa in short mmetisha sana 🎉

    • @BandoMC
      @BandoMC  7 месяцев назад +1

      Sana

    • @mzingabenjamin
      @mzingabenjamin 7 месяцев назад +1

      @@BandoMC naqbal sana kaz zako mungu aendelee kukulinda kaka 🙏🏿🙏🏿🙏🏿

  • @MakhtubHassan-on8ep
    @MakhtubHassan-on8ep 7 месяцев назад

    Mh ila mwanao! Anasema tutoke magetoni nae anatuchogea vimbao 🙌🙌🙌

    • @BandoMC
      @BandoMC  7 месяцев назад

      🙏🙏🙏

  • @user-fs7hl6vg2p
    @user-fs7hl6vg2p 7 месяцев назад +1

    ❤😂🎉😢😮😅😊umeuwa mwamba bandoooooo

  • @DatBoyKujo8656
    @DatBoyKujo8656 7 месяцев назад +7

    Hit after Hit🔥🔥🔥

  • @user-bw3xh6sp3b
    @user-bw3xh6sp3b 7 месяцев назад +5

    Umetisha sana

  • @aishaseif6917
    @aishaseif6917 7 месяцев назад

    One luv from burundiii we luv you nayTunaonaaa chuoa zakooo kakaCongrats tenaaa

  • @Yarimboy
    @Yarimboy 7 месяцев назад +1

    Unyama sana, shy town boy ,wakifungia na hii tuna andamana ,

    • @BandoMC
      @BandoMC  7 месяцев назад

      😅

    • @Yarimboy
      @Yarimboy 7 месяцев назад

      @@BandoMC au we unasemaje , natoka bugweto nakuja dar kuandamana

  • @balloofficialtz8391
    @balloofficialtz8391 7 месяцев назад +5

    Le's go Blood

    • @BandoMC
      @BandoMC  7 месяцев назад

      Twende

  • @rutudaniel8314
    @rutudaniel8314 7 месяцев назад +16

    New hit hip-hop song in town❤

    • @BandoMC
      @BandoMC  7 месяцев назад +1

      Noma

  • @aishaseif6917
    @aishaseif6917 7 месяцев назад

    Tukupe mauwa yakoooOne luv from burundiii we luv you nay

  • @user-je1bi2tq4k
    @user-je1bi2tq4k 7 месяцев назад +1

    Daaaah rais wa kitaaa unatisha sanaaaa

  • @mjthefuture96
    @mjthefuture96 7 месяцев назад +3

    NIMESAMEHE 🔥🔥🙌🙌

    • @BandoMC
      @BandoMC  7 месяцев назад

      Kaka kaka

  • @hellyfridy
    @hellyfridy 7 месяцев назад +3

    Wakwanza mimi

  • @Allyjunior4393
    @Allyjunior4393 7 месяцев назад +1

    Big up kaka uko vzr mungu andelee kukubariki uzid kutupa ngoma nzuri

    • @BandoMC
      @BandoMC  7 месяцев назад

      Kali sana

    • @BandoMC
      @BandoMC  7 месяцев назад

      Noma

  • @bendachi_the_artist
    @bendachi_the_artist 7 месяцев назад +3

    Unajua sanaaaaa

  • @SaidGongo-rd2rd
    @SaidGongo-rd2rd 7 месяцев назад +8

    ngoma kari💪💪💪

  • @aishaseif6917
    @aishaseif6917 7 месяцев назад

    Tukupe mauwa yakoooOne luv from burundiii we luv you nayOne luv from burundiii we luv you nay

  • @Msanii12
    @Msanii12 7 месяцев назад +1

    Vichwa vimekutana nilijua tu itakua bonge la goma 🔥🔥🔥💪

    • @BandoMC
      @BandoMC  7 месяцев назад

      Ila noma

  • @Ym_classic_tz
    @Ym_classic_tz 7 месяцев назад +13

    My favourite rapper 😢❤🙌🙌🙌

    • @nshokamusic5664
      @nshokamusic5664 7 месяцев назад

      🔥🔥🔥

    • @mbelelema
      @mbelelema 7 месяцев назад

      What a hit broda🎶...👿 wanaojua wakijutana hua unyama

    • @mbelelema
      @mbelelema 7 месяцев назад

      2take nini tena mose, bonge moja la ngoma💃

    • @mjthefuture96
      @mjthefuture96 7 месяцев назад

      Rapper wa karne😂

  • @osmondyfate6599
    @osmondyfate6599 7 месяцев назад +4

    Omg........ Ni nouma sana

  • @Daizo530
    @Daizo530 7 месяцев назад

    Ngoma iendelee Kutembea Mjini Ngoma Kali sana ikae juu hapo Namba Moja

  • @erickngwiso304
    @erickngwiso304 7 месяцев назад

    Ney hunagabaya mungu akupe myaka buku (1000)

  • @jimmynass6494
    @jimmynass6494 7 месяцев назад +9

    Bonge la ngoma s🙌🙌🙌🔥🔥

  • @Victogeorge
    @Victogeorge 7 месяцев назад +4

    KWANZA KUSAMEHE NI IBADA ❤

    • @BandoMC
      @BandoMC  7 месяцев назад +1

      Kabsa

  • @DekelvaSoujaboy-mb8ps
    @DekelvaSoujaboy-mb8ps 7 месяцев назад

    oya myamba ngoka kali sana nakubali ❤❤❤❤❤ love from Drc Congo Lubumbashi🎉🎉🎉🎉🎉🎉😢😢😢😂😂😂

    • @BandoMC
      @BandoMC  7 месяцев назад

      Hii noma

  • @geffdepoet5974
    @geffdepoet5974 7 месяцев назад +2

    mwambaaa napenda jinsi uko na ubunifu wako unique kaka ,,,napenda sana ngoma zako

  • @goodluckgugami4305
    @goodluckgugami4305 7 месяцев назад +5

    Hii ndo rap collab iliyokuw imebaki kwa mwaka huuu

  • @aishaseif6917
    @aishaseif6917 7 месяцев назад +5

    On fireee ❤

  • @thomasmesiack738
    @thomasmesiack738 7 месяцев назад +1

    Kaka unandika vizuri, unaimba vizuri, mtazamo wangu km sio ushauri, acha kusuguana na wenye mkono mrefu🙏🏿

  • @zacharialubazu3481
    @zacharialubazu3481 6 месяцев назад

    Ngoma kubwa,ya moto kabisa...

  • @lelomellowtz
    @lelomellowtz 7 месяцев назад +5

    You're the legend in the making.
    This song will live on.
    Too Generational.

    • @BandoMC
      @BandoMC  7 месяцев назад +3

      Sio poah

  • @aloysiusrwehumbiza2229
    @aloysiusrwehumbiza2229 7 месяцев назад +8

    Wimbo mzuri, na production nzima, hasa verse ya kwanza🔥 kwasababu imejaa ujumbe na imebeba hisia.

    • @BandoMC
      @BandoMC  7 месяцев назад +1

      Kabsa

  • @EvanceHonest-ce7wj
    @EvanceHonest-ce7wj 6 месяцев назад

    Big up bro ukweli unafika wanaziba masikio

  • @user-hj4cw5mv1m
    @user-hj4cw5mv1m 6 месяцев назад

    Jamaa anajua pia mjanja sana ndo maana amemshirikisha Ney anaelewa Ney ni dhahabu lazima ang'ae.

  • @MabadiAyubu
    @MabadiAyubu 7 месяцев назад +3

    Yes mmetisha sana wazee✊

  • @boniphacesebiziga6064
    @boniphacesebiziga6064 7 месяцев назад +9

    Oyaaah mwanetu tayar goma hewani lifike Sasa views 500,000+, like comment share !!

  • @Youngstev_tz.
    @Youngstev_tz. 7 месяцев назад +1

    Ngoma Kali Sana ❤

  • @emmanuelgeorge7852
    @emmanuelgeorge7852 3 месяца назад

    Naelewa sana mashahiri yako mwanetu asa pale kwenye tuongeee

  • @jayboetz7405
    @jayboetz7405 7 месяцев назад +2

    Nimesameh❤❤❤❤

  • @mzingabenjamin
    @mzingabenjamin 7 месяцев назад +3

    Ngoma ni Kali than I expected

    • @BandoMC
      @BandoMC  7 месяцев назад +1

      Hii noma

    • @mzingabenjamin
      @mzingabenjamin 7 месяцев назад

      💐💐💐 chukua maua Yako 💐