🅻🅸🆅🅴 BONIFACE JACOB (BONI YAI) ANANGURUMA MUDA HUU

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 ноя 2024

Комментарии • 5

  • @usembiphonedar5632
    @usembiphonedar5632 3 часа назад

    Asante mhe. Boniphace Jacob, unaongea ukweli kiongozi,sauti ya Boniphace ni Sauti ya mamlaka!
    Asante sana kwa maelekezo mazuri unaongea inaonyesha mwanamme anaongea, chadema hakuna kurudi nyuma tuko pamoja na tunaomba Mungu asimame na wenye haki wote, kila la kheri Chadema mshinde viti vyote vya serikali za mitaa Nchi nzima. Ccm ife! Kama inavyoua vyama vingine na watu!

  • @MuseiMeleki
    @MuseiMeleki 11 часов назад +1

    Tuko pamoja sana wananchi tunawahitaji sana kuliko kipindi kingine chochote maana viongozi wengi wa mitaa ccm ndio waliogeuka kuwa madalali wa viwanja vyetu na kufanya zuluma mbali mbali

  • @usembiphonedar5632
    @usembiphonedar5632 4 часа назад

    Kwa hiyo hao majambazi ya kijani yanahakiki majina ya wapinzani tu!? Ama na ya ccm!?

  • @kimalinganomhelela8377
    @kimalinganomhelela8377 9 часов назад

    Hakuna kitu hapo.Mnashindwa vipi kusimamisha kwa 100% kama ni chama pendwa.Chadema usanii huwa hamuachagi.

    • @Yussuf-b3b
      @Yussuf-b3b 9 часов назад +1

      Wasanii ni hao wanaofanya magumashi kuwaandika watu wasiohusika kama watoto, maiti nk na wanajiandaa kuiba uchaguzi