CHECHE ZA BONI YAI KWA WAGOMBEA WA CHADEMA/ AIPASUA VIKALI CCM, ATANGAZA KUIPIGANIA CHADEMA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 ноя 2024

Комментарии • 46

  • @malackedson7706
    @malackedson7706 2 часа назад +1

    Safi

  • @BoniphaceManyama-y2s
    @BoniphaceManyama-y2s 8 часов назад +3

    Well done

  • @AyubuChacha-u6u
    @AyubuChacha-u6u 4 часа назад +2

    Kweli mpao vizuri sana maàna sijaona mnapigana maccm na mapolisi wao wanapigana na kukataria wao kwa wao kwenye. Kura tu za maoni kweli watafundisha nini ccm wanatengea kuiba uchaguz na kura ccm polen sana na hamuna jipya au lolote

  • @Frank-b2d6u
    @Frank-b2d6u 3 часа назад +1

    Safi sana

  • @AyubuChacha-u6u
    @AyubuChacha-u6u 4 часа назад +1

    Hongeren Sana kwa mipango hiyo mikubwa mpo vizuri Sana ccm nawaba polen labda mlilie mapolisi wawasaidie kama kila siku mnaposaidiwa.

  • @deodathsilayo3639
    @deodathsilayo3639 3 часа назад +1

    Masisiem yangepata mtu kama huyu tunge koma😅

  • @rogersiddy
    @rogersiddy 10 часов назад +5

    😂😂Juma Ulole Ulole anapasha yupo tayali kwa kuingia uwanjani kukipiga😂😂😂😂🙌

    • @musa-v3f
      @musa-v3f 9 часов назад

      Tunakwenda kuwapa mamlaka ya jiji la dar es salaam tena mjipange vizuri

  • @hemedsimba492
    @hemedsimba492 4 часа назад +1

    Ushindi ni mapema. People's power.

  • @LemaliMeyasi-r4c
    @LemaliMeyasi-r4c 6 часов назад +2

    Pamoja Sana makamanda

  • @TumainieliMamuya
    @TumainieliMamuya 3 часа назад +1

    Makamanda tuko imara

  • @MathayoSaid-d4t
    @MathayoSaid-d4t 7 часов назад +1

    Big fire.

  • @AyubuChacha-u6u
    @AyubuChacha-u6u 4 часа назад +1

    Wakiwakata nanyie wakateni na kuwakataa wasiingie maofisin wakikata mtu huo mtaa ubaki hiyo hata waccm asiwepo wala asitangazwa wala asiingie ofisin wala kupewa mihiri.

  • @HassanKibwana-h3w
    @HassanKibwana-h3w 10 часов назад +3

    CHADEMA GOOD SANA NAWAKUBALI SANA

  • @rasnchimbi
    @rasnchimbi 10 часов назад +3

    Muwe na filimbi,mkiona mtu au watu wanaiba kura,ipulize sana kuitia mwizi.🤔

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 5 часов назад +1

    Ccm msidharau Maoni ya wananchi jamani

  • @MasudSalum-o4o
    @MasudSalum-o4o 10 часов назад +3

    Huyu ndie mwenyekiti anaefaaa

  • @musa-v3f
    @musa-v3f 9 часов назад +2

    Tunakwenda kuwapa mamlaka ya jiji la dar es salaam tena mjipange vizuri

  • @IbrahimuAzizi
    @IbrahimuAzizi 8 часов назад +2

    Imetosha kamanda

  • @ToureMassawe
    @ToureMassawe 10 часов назад +1

    Peopless power

  • @rogersiddy
    @rogersiddy 10 часов назад +2

    😂😂mmoja amefanana na Mau Fundi😂😂😂😂

  • @Nicolasmosereta
    @Nicolasmosereta 10 часов назад +2

    Boni yai

  • @francissimwinga-gb2vd
    @francissimwinga-gb2vd 11 часов назад +2

    Ccm nikutembea nao tutakutana huko huko mbele

  • @Mosmwampa
    @Mosmwampa 4 часа назад

    CCM wanaanza kuibiana wao Kwa kwao kwanza, hawaamin uchaguzi bila figisu

  • @faustinemangula8424
    @faustinemangula8424 5 часов назад

    Majina ya watoto waliojiandikisha majina yao yatatumika na watu wazima wasiojiandikisha ufanyike uchunguzi wanapiga kura.

  • @jamesjeremiah9416
    @jamesjeremiah9416 10 часов назад +1

    CCM bye 👋

  • @WilleyKiwelu-yg4yq
    @WilleyKiwelu-yg4yq 10 часов назад +1

    Pipoooozzz

  • @musa-v3f
    @musa-v3f 9 часов назад

    watoto hawatapiga kura siku hiyo bali watapigiwa kura halafu kura zitajazwa kwenye mabox ya kura kwa niaba yao chadema jiandaeni na preloaded ballot boxes

  • @PiusMabondo
    @PiusMabondo 11 часов назад +2

    Kamanda bon uko sawa

  • @tanzanite9944
    @tanzanite9944 9 часов назад

    Asa Huyu Juma na Bwana Pembe Ukiwaangalia ni Viongozi Au ni Wachunia Tumbo? Ndio sababu wamekatwa CCM na huko Chadema pia hawatapata Chochote watabaki kutapatapa tuu. Hakuna Kiongozi yeyote hapo hata Kwa kuangalia ni Njaa tuu inawasumbua.

  • @paull8659
    @paull8659 9 часов назад

    Hawa wameinguliwa kwenye vyao wanawapokea, shida yao ni madaraka tu, mkiwaengua kama Mzee Sumaye wanarudi nyumbani😂😂😂😂

  • @StephenMpallange
    @StephenMpallange 5 часов назад +1

    Ati Police wamejipanga kwa Uchaguzi,kukamata,kupiga mabomu badala ya kuzingatia usalama.

  • @evelina9621
    @evelina9621 9 часов назад

    Wanachi
    Mko.wanachamavizuri.shida.mwenye.kiti.namwenyekiti.msaidizi.mambo.yaeleweke.si.kusingizia.polisi.kuna.viongozii.wended
    Ubinafs..naomba.sana.sana.wasadiene.ujukane.nanì
    Hawaii
    Mwenziwe.chama.kuna.mtu.anaongoza.kukoroga.chama.msgwa.ameongea
    Wanachama.wakasema.muongo.vitendo
    Mambo.anaendelea.
    Mzungumze.msiwatie.polisi.wanajua.yaendelea.kwa.viongozi.hasa.wenye.viti
    Ngazi.ya
    Jjuu

  • @evelina9621
    @evelina9621 9 часов назад

    Msiwao yeshe.nikama.kumwaga..mchele

  • @nyembobea7285
    @nyembobea7285 10 часов назад

    Hushindi mtakimbilia mahakamani tena

  • @HanifaUrassa
    @HanifaUrassa 6 часов назад

    Hujauona Umatilla wa CCM wewe unaota ndoto

  • @marysichinsambwe7708
    @marysichinsambwe7708 11 часов назад

    Mbowe must go.

  • @godfreymbwambo4460
    @godfreymbwambo4460 5 часов назад

    WEWE UMEKULA RUSHWA WAKATI NI DIWANI UKAJENGA GOROFA BAADA YA KUTOKA CHUO KIKUU HALAFU UNADANGANYA WATU!

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 Час назад

      Wivu utakuua ,je hao maraisi wenye mali kibao nabado wakitoka madarakani wanajengewa mahekalu na huku wanatunzwa na familia zao milele na milele hao kwao ni sawa

  • @dorothmsuya1686
    @dorothmsuya1686 11 часов назад

    Yetu macho!😅😅😅

    • @MathayoSaid-d4t
      @MathayoSaid-d4t 7 часов назад +1

      Usitusemee, chawa wewe, ukiwa mlopokaji uwe na kumbukumbu.

    • @dorothmsuya1686
      @dorothmsuya1686 7 часов назад

      @MathayoSaid-d4t sio chawa tu! Sema kunguni! TUNASIMAMA NA MAMA....

    • @MathayoSaid-d4t
      @MathayoSaid-d4t 5 часов назад +1

      @@dorothmsuya1686 mama wa kwako usitusemee, Tena mnanuka damu, za watu.

    • @dorothmsuya1686
      @dorothmsuya1686 4 часа назад

      @@MathayoSaid-d4t Ndio ni mama yangu! Chuki binfsi hazifai! Alimchinja kuku wako???

  • @hamadhamud-n4j
    @hamadhamud-n4j 11 часов назад

    Usiandikie mate.

  • @MagdalenaBeenad
    @MagdalenaBeenad 11 часов назад

    Asaassante baba huna zambi