🔴🅻🅸🆅🅴 MPINA ANAFUNGUKA MAMBO YOTE BAADA YA KUREJEA BUNGENI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 ноя 2024

Комментарии • 13

  • @edwinkajuna7207
    @edwinkajuna7207 7 часов назад +2

    Nko Dodoma lkn nimejua bunge linaendelea baada ya Mh Mpina kurudi bungeni leo

  • @adammjomba5814
    @adammjomba5814 8 часов назад +2

    Huyu mpina anaakili sana lakini ccm watampatia cheo au watamfunga mdomo kwa njia yoyote kusudi asihoji maana hakuna mbunge mwingine wa ccm mwenye akili kama huyu jamaa ,Mpina big up mpina usikubali Mlungula

  • @remigiushaule3302
    @remigiushaule3302 8 часов назад +2

    Mmm kwa hili jambo unalosema Mbunge Mpina najiuliza kuna nini Tanzania kinaendelea hadi yafanyike hayo kinyume cha utaratibu na uwazi ?Mmm hii ni shida kubwa sana.

  • @hadijasufiani6167
    @hadijasufiani6167 5 часов назад

    Hongera sana Mheshimiwa mpina endelea kutetea wananchi ukweli wako Mungu yupo pamoja nawe ucjali

  • @rejobu9723
    @rejobu9723 9 часов назад +1

    Akili kubwa inaongea 🎉🎉

  • @HamisLeo
    @HamisLeo 6 часов назад

    Jmn mbna watu wa dodoma hamkuflika eneo la bunge

  • @PhilipoMwita-b2x
    @PhilipoMwita-b2x 7 часов назад

    Kuna nini kinaendelea Tanzania..? Tuliposema wanauza bandali wakasema oooh mnatumiwa na mabeberu

  • @Leodimk-n5c
    @Leodimk-n5c 8 часов назад

    Duu kumbe ngpoma ndio kwanza imeanza 😅😅😅

  • @WilbardMsaki
    @WilbardMsaki 6 часов назад

    Mpina apewe ulinzi siyo mchezo

  • @Alphonce223
    @Alphonce223 7 часов назад

    Mpina wewe nimzalendo sana one day utakuwa raisi

  • @HamzaHeri
    @HamzaHeri 8 часов назад

    KITI YA BUNGE WOTE HUYU HAPA HANA AKILI ANAENDESHWA NA BANGI TUPU

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward 7 часов назад

      Bangi mnavuta wote au unamuuzia au unajuaje kwamba anavuta?

    • @selemaniigosha
      @selemaniigosha 7 часов назад

      Ww unamtetea mama yako kwa sababu ya udini